🛑FRIJI BOVU ACHAFUKWA YANGA WAMEZIDIWA UBUNIFU NA SIMBA MSIMU HUU , WAKUBALI TU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @syliviamurondoro4690
    @syliviamurondoro4690 2 หลายเดือนก่อน

    Sema baba ss tuko nyuma yako❤❤❤❤

  • @KeziaKaita
    @KeziaKaita 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli jezi ya simba nzuri Yanga sio rangi yao

  • @kaysischirwa6759
    @kaysischirwa6759 2 หลายเดือนก่อน

    Utajijua

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaaaaaaa vijoraaaaa!! Mbavu sina wakuu🤣🤣

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 2 หลายเดือนก่อน +4

    Bado hawajafuta historia ya kupingwa 6 so ni ushamba tu hapo ni vitenge vya vikoba.

    • @zuhurajabiri3900
      @zuhurajabiri3900 2 หลายเดือนก่อน

      𝘏𝘢𝘵𝘢 𝘩𝘪𝘻𝘰 5 𝘣𝘢𝘥𝘰 𝘩𝘢𝘸𝘢𝘫𝘢𝘭𝘪𝘱𝘢 𝘬𝘪𝘴𝘢𝘴𝘪 𝘮𝘢𝘢𝘯𝘢 𝘚𝘪𝘴𝘪 𝘵𝘶𝘭𝘪𝘸𝘢𝘧𝘶𝘯𝘨𝘢 5 𝘣𝘪𝘭𝘢
      𝘚𝘪𝘴𝘪 𝘵𝘶𝘭𝘪𝘱𝘢𝘵𝘢 𝘮𝘰𝘫𝘢. 𝘒𝘪𝘴𝘢𝘴𝘪 𝘩𝘢𝘬𝘪𝘫𝘢𝘭𝘪𝘱𝘸𝘢

    • @israelmunuo7938
      @israelmunuo7938 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂vigoma, vijora na vitenge vya vikoba

  • @JacksonSalum
    @JacksonSalum 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba nguvu moya😂😂

  • @hafidhyousuph7592
    @hafidhyousuph7592 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uposahihi bro wapechukua rangi ya kaiza chifu

  • @SiraMinanda-k1n
    @SiraMinanda-k1n 2 หลายเดือนก่อน

    Jezi mbooooooovu mno

  • @syliviamurondoro4690
    @syliviamurondoro4690 2 หลายเดือนก่อน

    Ila kweli wametoka kwenye uharisia wa jezi Yao,hiyo ni ya kaize chifu.

  • @KangaMaluguru
    @KangaMaluguru 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo 5 ni zawadi ya Chama kumbukumbu Alita zawadi kwa Yanga,hivyo asante ya Yanga ni hiyooooo

  • @BarikiOmbay-i6q
    @BarikiOmbay-i6q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waambie hao wapuuzi wamefeli sana hawana jipya

  • @DAUDKAYALA
    @DAUDKAYALA 2 หลายเดือนก่อน

    Kama waliomba kubadilisha twiga kisa uhalisia wao Tff ilibid wasitumie zilizo iba lang za time zingine ikiwezekana na faini

  • @SudyMpanda
    @SudyMpanda 2 หลายเดือนก่อน

    Ushamba utopolo

  • @hassanyassin-ny3qh
    @hassanyassin-ny3qh 2 หลายเดือนก่อน

    Ndugu mtangazaji jalibu kumuerewa friji bovu pwentiyake ni Rangi. Sio. 5 wala mkonoo.

  • @drallan6879
    @drallan6879 2 หลายเดือนก่อน +2

    yanga wameleta kanga za kigoma

  • @AllyAbuu-ct3wf
    @AllyAbuu-ct3wf 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga safari hii wamechemka

  • @EdwardElikunda
    @EdwardElikunda 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe sio msemaji wetu jezi yetu ni yetu, wewe kaa na sanda yako

  • @shabanimkavu3404
    @shabanimkavu3404 2 หลายเดือนก่อน

    Wamebugi wameweka nyeupe tunaona maajabu safari hii

  • @azizimatahuka2012
    @azizimatahuka2012 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna jezi hapo suala la matokeo linaingiaje kwenye jezy...Yan yanga hawawezi kutrend na ubunifu wa vyao mpaka wahusishe Simba kwayo

  • @michaelmbeti5040
    @michaelmbeti5040 2 หลายเดือนก่อน

    6 6 6 6 hawato futa goli 6

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa huo mkono wanajisahaulisha mbona Simba walipiga Yanga 6 wanakumbuka 5😂😂😂

  • @EdwardElikunda
    @EdwardElikunda 2 หลายเดือนก่อน

    Timemkanda mtu leo nayo najua umeumia, alafu usishi kwa kukariri

  • @Hadijamatemba
    @Hadijamatemba 2 หลายเดือนก่อน

    Frij wenye be ajili watakuelewa ni kweli Wana vijora kwa I uwongo ukweli ni ukweli tu.

  • @SaidyBakari
    @SaidyBakari 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani sanda fc siwameiba bruu kutoka azam

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @ZiadaZuber
    @ZiadaZuber 2 หลายเดือนก่อน

    Nikweli wanakulupukaaa

  • @shabanimkavu3404
    @shabanimkavu3404 2 หลายเดือนก่อน

    Vitenge vya wax

  • @JeremyDani-x7u
    @JeremyDani-x7u 2 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji hovyo et. 5

  • @hassankumba6938
    @hassankumba6938 2 หลายเดือนก่อน

    Hatushindani ubunifu. Tunashindana kucheza mpira.

  • @aleyslaim4935
    @aleyslaim4935 2 หลายเดือนก่อน

    Wenye akili ndio watakuelewa

  • @kaysischirwa6759
    @kaysischirwa6759 2 หลายเดือนก่อน

    Usitupangie katengeneze yako

  • @ibrahimsimai7085
    @ibrahimsimai7085 2 หลายเดือนก่อน

    Asikupigishe kelele uyo mwandishi ni mwananchi

  • @JosephJulius-mf3ov
    @JosephJulius-mf3ov 2 หลายเดือนก่อน

    Simba jez kari sema matangazo meng mo anazingua ichot

    • @abdallahmzee4335
      @abdallahmzee4335 2 หลายเดือนก่อน

      Idhamini wewe bac ili tuwe na mabango machache

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 หลายเดือนก่อน

    Heading mbovu kabisa kwakweli wacha kupotosha umma dogo muogope mola wako kwakweli

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 2 หลายเดือนก่อน

    Wacha wakutukane uko sawa wewe zaidi ya mchambuzi