Masikini mwanamke ukweli wa kifo anaujua ALLAH watu wanakisia tu kama kakabwa au vipi ila binaadamu wallahi sisi lo hivi unazidi kutia chumvi kama itakuwa kauwa wakati huna hata uhakika ... hivi chukuwa nafasi ya huyo mwanamke halafu na huyo mtoto wake uhakika nikwamba kama akifungwa huyo mtoto masikini sijui ataishi maisha gani yallah nimefikiria hatma ya huyo mwana wao tu mie yarab husni lhatma.. ameen
😳😳 jamani kweli wasaniii awana Maisha mazuri Maisha yao mengi ni ya kuigiza kma movie Duuuh niva kumbe waishi Maisha mabovu ivyo kma mimi ambae sio msaniiii 😂😂😂😂
Maisha ya ndoa kama ndo haya sitaki tena kuolewa maana natamani sana hiyo ndoa kama ndo kupigana bas ni bora niendelee tu kufanya kazi kwa waarab nina miaka minne na mwezi nipo oman
daaah inauma na kweli wasukuma wanapenda wanawake weupe mm shemeji yangu aliachana na dd angu rakini akawa anamtaka mpaka sema yeye alikuwa anapiga weeeh
Mmmmmmhu hakika dunia ya leo imebadilika sana wanaume kuuwa wake zao na wanawake kuuwa waume zao duuuu sijui tunaelekea wapi! Daaa jamani ukiona ndoa haieleweki ni bora kuondoka mapema kuliko kuyasubiria mauti! R. I. P
Kwa kweli sikuizi ndoa nying zina migogoro. Na migogoro mwisho wake n mbaya tuombe mungu azibariki ndoa zetu jaman
Masikini mwanamke ukweli wa kifo anaujua ALLAH watu wanakisia tu kama kakabwa au vipi ila binaadamu wallahi sisi lo hivi unazidi kutia chumvi kama itakuwa kauwa wakati huna hata uhakika ... hivi chukuwa nafasi ya huyo mwanamke halafu na huyo mtoto wake uhakika nikwamba kama akifungwa huyo mtoto masikini sijui ataishi maisha gani yallah nimefikiria hatma ya huyo mwana wao tu mie yarab husni lhatma.. ameen
Dada geah uko mrembo sana pokea salamu kutoka Kenya 🇰🇪 kila siku kila saa naangalia video zako
Km na ww unasoma comments huku unaangalia bac like hapa tujuane
Mm nipo hapa ndo tabia yangu huku naangalia na kusoma comment
@@المهلهلالحراصي ndio vdhur nikiona comments mbaya haziendan na kichwa cha habar kilivyo naacha mbio nisipoteze mb zangu bure
@@المهلهلالحراصي 🤣🤣🤣🤣kumbe tupowengi
@@khayratmuhamed6730 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@المهلهلالحراصي 😂😂😂😂
Innah Lilah wahnaillah raj'oun...!kifo lzima kiwe kina sababu siku yake imefika Allah ampe kauli thabiti
Kama umemwona bongo muvii mariooo hapo like hapo twende
Its So Sad. Subhanallah. Allah atustiri. Atujalie imani na desturi njema kwa waume zetu na majumba zetu na watoto wetu tiwafunze mazuri.
Huyu baba wa libabe kanichekesha kweli,nimecheka ka mazuri Aiseee,poleni sana daah
waukweeli nikkon t
Subahanallah
💪💪💪💪💪 ao wanawake wengine wamekubuhu mafunzo ya kijeshi mpaka mwanaume kafa 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂🙌
Innallillahi wainnaillaihi rajiun. Poleni wafiwa. Halafu huyo mme alikuwa kalewa hee! Mbona asimsubirie pombe ziruke ndio wagombane jamani
Yaan dunia hii ukiwa na hasira bora uondoke kuliko kugombana
Kweliii kabisaaaa
Kwali kabisa
Kweli
Binti uliyelia umeniliza jmn. So sad😢😢😢
Sio peke yako yaani
Yani nimelia sana
Kwani uswahilini hawaishi watuuu...iv wabongo mnakwama WAP...ishi maisha yako popote bana
Polesanaa it is very sad 😭 R.l.P from Australia 2022 🙌
Diva nawe kumbe unakaa uswazi kumbe safi sn cc wa Uswazi km mm Tutambuane K/Nyama
Ramadhan Ibrahim anaitwa niva
marehemu na mume wake kama umesikia like
Hadija Salum Marehemu na mume wake.
Huyo mwenye miwani itakuwa walikuwa wana pakuana 😂😂😂😂😂😂
Kwakweli sio kwa uchungu huo
We mpuuzi,mawazo ya ngono tuu...kwani Mungu alivyotuambia tupendane na kuhurumiana alimaanisha ngono,we Malaya. Ndio maana unawaza hayo.
😭😭😭
🤣🤣🤣🤣🤣lakiniii un nni
mmmmh mungu nisaidie Yan had nawaogopa wanawake duuuu naogopa hata kuoa
We mtangazaji mbona unachukulia masihara ulivyomuhoji yule dada alieombwa sh. 1000? Si vizuri.
😳😳 jamani kweli wasaniii awana Maisha mazuri Maisha yao mengi ni ya kuigiza kma movie Duuuh niva kumbe waishi Maisha mabovu ivyo kma mimi ambae sio msaniiii 😂😂😂😂
Mimi ndio maana nilikimbia ndoa, maana ningeishia magereza, maisha ya ndoa 🙌🙌🙌
Asha b pole jamani
Maisha ya ndoa magumu sana yanaitaji moyo wa ziada, pole sana mpenzi
Yaani boro kuondoa sasa ona.watoto WATABAKI wanateseka.
Maisha ya ndoa kama ndo haya sitaki tena kuolewa maana natamani sana hiyo ndoa kama ndo kupigana bas ni bora niendelee tu kufanya kazi kwa waarab nina miaka minne na mwezi nipo oman
Asha b asha karibu kwangu natafta mke
Subhana Allah wanawake wengine nyoka
Nivaaa kumbe unaishi uswazy hvy matambo yako ya mitandaon kumbe huna lolote na hicho chumba hapo nyuma ndo gero kwako huhuuuuuuu
Kwan kuish seem Kam iy ttz we vp mbn mshamba mfyuuuuuu au alishasem km anakaa wap mfyuu paka ww
Ulitak wote tufanane au
Da geah Mashaallah uko vizur mpz
Kilio cha dada mwenye miwani sijakielewa
Ata mimi kwakwel xijakuelew kabxa
Hahahahah kilio cha kuona camera
Hah hah hah!
kakosa hata wa kumnyamazsha
😂😂😂nilijua nimeshtuka peke angu..analia kwa yake c bure
Binadamu hamna dogo,Kama we huna upendo kwa majiran ucdhan Kila mtu yupo hivo
Dada Yuko in real pain, Kaumia Sana... Dah!!!
We Dada uliyevaa miwani kutakuwa na kitu kati yako na bab aliyeuliwa ni maoni tu 😎😎
Subuha allh
Jamani huku tunaumizwa wanawake huko wanaume basi nashindwa kuerewa dunia inaendaje mwenyezi mungu nusru watu wako tunamalizana
Badilishana 😁😁😁
Inalillah waina lillahi rajiuni
daaah inauma na kweli wasukuma wanapenda wanawake weupe mm shemeji yangu aliachana na dd angu rakini akawa anamtaka mpaka sema yeye alikuwa anapiga weeeh
Hahahahaaaa ulijuaje Kama tunapenda wanawake weupeeeeeeee😂😂😂😂
Poleni sana, hakika inauma sana.
Geah keep it up 👆 dada ang unaweza🙏
Kama alieona alievaa miwan gonga like
Mmmpoleli
Mzeediva pia halikuwepo
Huyo mwanamke ni jiniii kisiraniii kama alikuwaa hamtakiii mumewe siange achana nae kiroho safiiii jamaniiii mpumbavu huyooooo
Nawanaume wamezidi kuoa oa
Dada geah nakupenda Allah akupe afya njema uzidi kutupa habari
Asia Zuberi hata mimi nampenda sana huyu dada
Huyo mwanamke ni jonsinaa jmnii duuu munguu wangu
Huyu msanii anaishi huku? Kweli sanaa bongo hewa
Mh umrona eh?
Achenj hizo kwani yeye so binadamu
Subahanallah mtihan 😢😢
Polenisana wanaume ote kwamajanga ya huyo mjomaba
Yani bora mie nilivyokimbizwa na wazee wangu nipo zangu nchii nyengin maan ningekuw marehem kwa uyoo mume
Yakfi zahran Yakfi zahran rudi tu nyumbani jmn
Haaahaaaa jaman uwiii mbavu zangu nimekaa kama mazr 😂😂
pole, wengine hatusemi, tunayo mengi, ila tunamshukuru mungu kutoka huko
@@khadijamisayo7476 umeona eeh tena hayasemeki
Hahaha
Diva ako na sura ya pombe jamani khaaa 🤔
Anaeamini kuwa mama Tedy ataenda kuisaidia polisi agonge like hapa
Huenda hiyo ndizi ndio ime mnyonga kwakua alikua mlevi. Mlevi ni mlevi tu. Lazima anarudi na vita na mwanamke lazima aji hami
Mlevi ni mwanamke
Heee!!! Huyo dada wa miwani!!!
😂😂😂😂
Du mtihani ewe ya Allah tuepushie na vitu kama hivi poleni sana
Duh polesana inalilah wainarilahi lajuun polenisana ndungu Jamaanamarafiki
Tz viswahili vimenyoka mashallah
Jaman wanawake nao wakorofii mungu tusaidie
Wanawake si wakorofi, tunafundishwa ukorofi na wanaume
Jamani huyo msanii anaishi maporomokoni kama mimi????????😂😂😂😂😂😂👋🏼
😁😁😆😅😅🤣🤣
Mmmmmmhu hakika dunia ya leo imebadilika sana wanaume kuuwa wake zao na wanawake kuuwa waume zao duuuu sijui tunaelekea wapi! Daaa jamani ukiona ndoa haieleweki ni bora kuondoka mapema kuliko kuyasubiria mauti! R. I. P
Kweli kabisa my
Dd gea umenichekesha et piga kabari hatar🤣🤣🤣🤣 lkn nawao wanaume wameongoza kutuuuwa wanawake kwa ukatili
Something must be done.
Hujuw tuuu
Niva apo ndo unapokaa
Wanawake tukiwezeshwa tunaweza pole kwa family
Fatwima Makungu 😂 sio vizur ujue
Fatwima Makungu 😁
😂😂😂🤭
Wanawake mnaofurahia hilo kumbekeni malipo yapo
Kumbe jirani wa niva,
sifa zote niva kumbe kawaida tuu
Pigaaaaa aooooooo pumbav wamezoea kutuua
Wao watumie visu na bastola sie loba ya mbao😭😭😭
Wanaume mnaopigwa na wake zenu ,vumilieni thuu,hayo ndio mapenzi
Ladymasha Allah I like u a advise Hamsini 🤣🤣🤣wa wapige lakini sio kuuwaa jamani
Dah,,, poleni jamani huyo dada anayelia had huruma an
Wavumilie kupigwa tu, kwanza siku hizi mambo yamegeuka wanaume hawataki kazi
Iv wewe una pepo gan
Duh! Jamani hiz ndoa Mungu atusaidie
Da gea nimekupenda bure dadaangu
Minywele haikupendezi kabisaa
ghear unazingua bana, nyie wenyewe mnasema kuimba kupokezana mbona kama umekomaa na maiki kiasi hicho?
jamanii inauma jamanii sawa mwanamke ndo anakosa lakin wanaume mpunguze kutesa wanawake
Waridi Oswadi .
Jamani niva ndo anakaaa hapo 😃😃
Geah asante kwa habari za video
Mm nashukulu adi sasa apa nilipo fikia shikamoo ndo nazani ninqekuwepo adi leo Tanzania zanzani ninqekua nishasaulika
Husna Mohamed Hata hueleweki umeandika nini .hebu soma tena comment yako alafu tuambie ulitaka kusema nini .
Ali Ali Ni kweli hata sijamwelewa anataka kusema nini , mara shikamoo, mara ningesahaulika , madhara ya kukimbia shule haya .
Kwani wewe ujawai kutuma txt ukawai kuikosea ata sk 1 nyie mulio maliza chuo mw. Munqu hawaonqoze kwakila jambo
Shule nimekimbia ata nikiwaelewesha mutaelewa nini
Na ninqekimbia shule nisinqefika kwenye nchi zawatu
Mwanaume hapigwi jamani hta Kama nimyonge heshima iwebo kua ni baba tunakwama wapi wanawake
Huyo jirani kavaa miwani anaonekana slay queen af uswazi looh
Seviour mubby 😂😂 kajiandaa kwa camera
Geah unajua unavituko eti kampiga bonge la roba🤣🤣🤣
Hahahaha ni huzuni lakini umenichekesha
😂😂habar ni za kusikitisha ila da geah unavotangaza unanifanya nicheke😂😂eti zinga la kabari
😂😂
Mungu alaze pema peponi
Mtian huu jamani asira sio mzuri
Mwanamke ndio Bouncers 💪🏾
Umeona
Good
Tusio kuwa kwenye ndoa mbona twaogopa jamani kwani ndoa ni upendo au kuuwana
Huyu jamaa anaishi uswahilini duuh
Subhanaallh
Nakukubali Sana gea
Mwanaume alikua mlevi huyo, mie kunishika tu shat unapata kelebu moja mpaka unamkumbuka mwalimu wako wadara enzi hizo
Kazi ipo hapo
Siku ya kufa haina hodi ujue
Haaaaaaaaa uwi
we sopfia mungu anakuona kwa kumet yako
😂😂😂
Wanawakee mbonaa daah achatu leo ni ixhiee hapaa
Eeeeeee we miwani vpi mbona kilio hvooo jamn au kiki
Kiki au alikuwa bwana ake
Getrude Pius mwezangu maan naona kilio kingi
🤣🤣🤣😂 anajishaua 2
Aisee jamani
Uyooo wa miwan kama beyonce wa buzaaa jamn ongea yakeee
Hiiii Niva unakaa huko kumbe!
Inna ilah waina ilehi rajiuni poleni Sana
Amkabe tu. Wanaume wamezidi kutesa wanawake. Serikali umuachilie tu jamani
Kam umemckia msukum akiongeaaa like hap
Huyu dada wa miwani analia au anacheka uuwiiiiiiii
We dada unakimbelembele lkn ujui hata kujieleza
Awww poleni sana jamani
Hayo manjwele Gea hayakupendezi
Na hiyo.miwani kama kobe
Mtihani wanawake huwa tunapandwa na nini
Duh huyu Angel kajua kutuzalilisha mbon kin angel hatupo hv
True kabisa
Bonge la roba 🤣🤣🤣🤣🤣
Dah hasira hasara....
🤣🤣🤣🤣🤣daa ila jmn wewe
Nakupenda geah wangu
Poleni sana
Hyo ilikuwa kabari ya muoga agopa mtuu muoga akikukaba anajua kabsa hapa nikimuachia uyu hahaha hataniua
Kweli kabsa mm nilimpiga mtu nusu kumua ila uwoga
9:54 Huyu si Niva marioo😳
Huyo itakuwa ni pressure
Tumekuwa na mioyo migumu sn kuua ni Jambo la kawaida tumuombe mungu atusaidie sn
Nayy mwanamke aukumiwe kunyongwa maana sio vzr jmn ukimchoka mhache tu
Katika majirani wote wewe ndio unalia kufa mmmmmh?
Madam Rose ana miwani mikubwa du!!!!!
Matusi sijui anayatowa wapi?😂😂😂
🤣🤣🤣🤣yaan
Nimekupenda bure Dada wa miwani teh teh
Hii nyumba ina vimwanaaa
Kumbe nawe umewaona hhee
nasr miah nenda kapange
😂😂😂😂wanaume jaman