Hii nyimbo naipendha sana sichoki kuiskiza kla cku nthamu kweli 💯💯🔥
MARJAN naomba 'nyumba njema si mlango fungua uingie ndani'
Oyoooooooooooooo piga kelele kwa babuakeeeee weuweeee
Tafadhal naomba kibao Yusuf tenge.utabaki pita pita nenda rudi
Naipenda sana
Jamani raha
Mashaallah ❤imenikumbusha mbali
Kuna nyimbo inaitwa Si mlezi bwego ❤️❤️na shuwea nalea zitafute izo kaka Yani old gold 🥇 pambe sana
Weuweeeeeeeee,mambo'yapwani'hayoooo
Kaka Marjan naomba sikudhani ya Asili tafadhali by juma bhalo
Hii nyimbo kumbe Mwisho inaamsha😄
Mzigo huo safii😍😍❤❤❤
"Hallo oh! Ukipigwa njoo huku noana leo nitabeba tangu jadi hadi sasa 2021 nyimbo za mfundisho, Niko Kambe/Pangani"
Mahaba yametutatiza wengi,yamebaki makumbusho toka udogo wangu nasikiza maulidi Juma
Nzuli sana❤️❤️❤️❤️🙏🙏
Old is gold .mambo ayooo❤❤❤
Mm bado sijachoka
Sama setu
Santaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Santha sanaaaaa🔥👌
OLD IS GOLD JAMANI HIZI NDIO NYIMBO. ZA SASA VURUGU TU
Tangu jadi mwajua tena
❤❤🔥
Nyimbo nzuri
❤❤❤❤
❤️❤️
jamanii wakatii wamalizikaa tukoo 2021/7/6
😂😂😂 Eweeeeeeh tutakuwezaaa hayaaa Oaaa bac ama watasubiri sanaaa watu wa home 😂
Hapo.wachaa
❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯
Aa.marjani pls naomba wimbo wa maulidi juma wa :Joka la mdimu mdimuni limetanda
❤️❤️❤️
Marian naomba kama unaweza ku upload,
Nikatae kwa elezi sinikatae kwa iNda...
Much appreciated
😘😘😘
❤❤
@sheshi beshi Yule muugizi pha mapenzi yangu alisema wazi ....iko wapi @sheshi beshi ?
Santhaaaaaa