Kimenuka! Wabunge wa Zanzibar Wasusia Bunge, Watishia Kuuvunja Muungano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Kimenuka! Wabunge wa Zanzibar Wasusia Bunge, Watishia Kuuvunja Muungano
    Wabunge Wa (Cuf) Wametoka Bungeni Baada Ya Mwenyekiti Anaengoza Kikao Jioni Ya Leo Kuzuia Mijadala Kuhusu Muungano Uamuzi huo Ulitolewa na Mwenyekiti, Musa Hassani zungu, Baada Ya, Waziri wa Sera Na Bunge, Jenista Muhagama, Kuomba Muongozo
    Instal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis...naibu SPIKA WA BUNGE
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 240

  • @mussachuo250
    @mussachuo250 5 ปีที่แล้ว

    Dahhh poleni sana

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 6 ปีที่แล้ว

    Poleni sana wabunge wa Zanzibar, baadhi ya wabunge hawana uelewa na ndiyo hao wanaoboronga mambo, tutawawajibisha wasituvuruge sisi ni wamoja.

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi5638 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani wa Zanzibar tunateseka sana tumekosa Uhuru Zanzibar tunanyanyaswa tunabubuziwa sasa tumechokana na serekali ya uzayuni tunataka serekali mpya ya Zanzibar unguja na Pemba ndio mafanikio yakuikombowa nch yetu mahii inshaallah Zanzibar itapata Uhuru juu yahaq yake Allah atujalie tupate maendeleo tumechoshwa na ccm ya uporaji wahaki za wana nchi Zanzibar unguja na Pemba Pemba wametufungia kazi zetu hawataki tuziendeleze wanatukata ushuru hali yakuwa tumejiajiri wenyewe halafu wsnakuja wanatukata ushuru subhanallah Allah tuokowe na janga hili nchini mwetu Pemba Pemba na unguja

  • @kumulwa
    @kumulwa 6 ปีที่แล้ว +1

    Hata mm nakubaliana nawo wauvije

  • @seifhabib5987
    @seifhabib5987 4 ปีที่แล้ว +1

    Uwiiii kazi kweli kweli,hivi si vita vya Panzi hivi ila kuna CORONA jamani,osheni mikono na Mask muhimu Wazanzibar wezangu,mm sina la kusema Naogopa Ammiyy

  • @salmaismail9425
    @salmaismail9425 6 ปีที่แล้ว

    😭😭😭muungano walio unga hao wzee wt hawakuunga kwa ajil ya mfarakano bali waliung kwa ajil ya umoj km wamefikia hali hio ya kutudhalilish br na unavunjwe t maan cc wananzibar tunao uwez wa kujtegemea bdo
    na watuwache tuwe na maish ytu waone km hatutosonga mble kimaendeleo na wal htutokufa njaaa sana dah inaumma san kwa walivyofany watanganyika mungu ibariki zanzbar

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi5638 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tujitahidini kuitafuta nchi yetu iwe na amani marahiii nilazima tupate Uhuru Zanzibar unguja na Pemba

  • @mwinyiathuman5786
    @mwinyiathuman5786 6 ปีที่แล้ว +47

    Mimi natokea Kenya Mombasa lkn naipenda Sana zanzibar.ipo siku Zanzibar itakuwa inchi yakujitegemea kwa uwezo wa ALLAH INSHALLAH

    • @jumamkuu6542
      @jumamkuu6542 6 ปีที่แล้ว

      Mwinyi Athuman nenda kwenu

    • @mwinyiathuman5786
      @mwinyiathuman5786 6 ปีที่แล้ว

      Hate speach

    • @wambaamwambaje1272
      @wambaamwambaje1272 6 ปีที่แล้ว

      Mwinyi Athuman Amin

    • @musamuyuga8702
      @musamuyuga8702 6 ปีที่แล้ว +1

      utasubiri sana kafiri wewe

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 6 ปีที่แล้ว

      braza fuata ya nchini kwenu aiseh! ya huku hayakuhusu kabisa, wewe kuwa mtizamaji tu

  • @iliyasamanzi5667
    @iliyasamanzi5667 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu yupo mungu mmoja dunia mapito akhera ndio makazi

  • @hamadali6379
    @hamadali6379 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah amin

  • @abdalahmohamedi1806
    @abdalahmohamedi1806 6 ปีที่แล้ว +5

    Upo sahihi kbs mzee nakuunga mkono

  • @hidayamussa4273
    @hidayamussa4273 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi huku Uganda nawaombea wazanzibar mupate taifa lenu huru

  • @messithedon9502
    @messithedon9502 6 ปีที่แล้ว +1

    Mpo xawa Wabunge Wa Zanzibar Mm m2 Wa bara Lkn Mnachofanyia co Kitendo cha Ubinaadamu Ila Ipo Cku Mungu Atakulipeni Ndgu Zanguni Nawapenda Xana Wananchi Wa Zanzibar....!!!

  • @abdulrazakyussef3177
    @abdulrazakyussef3177 4 ปีที่แล้ว

    Inallah masbriin. Muungano huu uliweza kulindwa na hekma kubwa ya Nyerere, na Karume. Nyerere alisema aliogopa sana kubezwa kuwa ''ameimeza ZNZ'', na pia alishasema ZNZ wanaweza na wako huru wakiamuwa kuvunja mungano, ila akatahadharisha, wakiondoka tu basi yataanza Upemba na UUNguja...Serikali ya mungano iwe na hekma na subra na haki kwa ZNZ. Nilimskia kiongozi mmoja wa juu wa serikali ya mungano akidai atamshughulikia mtu atakaye jaribu kuvunja mungano...ni makossa makubwa...mungano inalindwa na hoja na siyo nguvu...haitawezekana...basi serikali ya mungano ishughulikiye kero za ZNZ na baadhi ya wanasiasa wa upinzani ZNZ waache jazba…. na madai mengi, zingine hazina msingi. Bungeni kuna malumbano mengi...nasikia wabunge wa ZNZ walikuja juu sana waziri mmoja alipodai kuwa ZNZ siyo Nchi...alikosea kidogo...waziri mkuu angesahihisha kwa kusema….ZNZ na Tanganyika ni nchi sawa ndani ya muungano….lakini serikali ya mungano ni nchi ''pekee'' inayowakilisha ZNZ na Tanganyika ktk jumuia za kimataifa….ni jibu tosha kabisa.

  • @dubais9018
    @dubais9018 5 ปีที่แล้ว +6

    Hata mimi moyo wangu umeumia sana juu ya nchi yetu kunyimwa usawa wa Muungano.
    Tupo pamoja na nyie wabunge wote mnaoitetea zaznibar

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว +1

    Ni vizuri mjadiliane tz bara.tz.visiwani ni sawa hakuna pingamizi

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe Ali salehe unatwanga maji kinuni Ameanza Baba yao Nyerere Kuichukia Zanzibar na Wazanzibari sababu tu ni uisilamu na waisilamu amesema mwenyewe Nyerere laanatullahi

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 6 ปีที่แล้ว

    Vumilieni yakheeeeeeee, Mungu yuko pamoja na wenye kusubiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii√

  • @nassirmohd6850
    @nassirmohd6850 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kitu ninachokichukia duniani kama huu muungano wa kishenzi ila iko siku in shaa Allah.

  • @ddennisskkattulla5942
    @ddennisskkattulla5942 6 ปีที่แล้ว

    Mpigeni kimya maisha yaendelee

  • @aronbanda4484
    @aronbanda4484 6 ปีที่แล้ว +3

    Hamjitambui wazanzibar muungano huu munaonewa

  • @josephlukuba5831
    @josephlukuba5831 5 ปีที่แล้ว

    Jamna jipya nana

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Bado mnaathari za kisultani!!!

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 5 ปีที่แล้ว

    Hatuutaki mungano me family yangu ccm lakini hakuna faida y mungano watoeni mashekhe wetuu

  • @abuudharishahidy3074
    @abuudharishahidy3074 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwili wangu mpana tafadhali nipatiwe koti jengine hili linabana.
    Poleni mmeyataka wenyewe

  • @tezuratezura8452
    @tezuratezura8452 5 ปีที่แล้ว +1

    muungano ufe mana haunatija

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 6 ปีที่แล้ว

    Jamani tudumishe umoja.

  • @musamkala4642
    @musamkala4642 6 ปีที่แล้ว

    bora

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 5 ปีที่แล้ว

    Jamanii eeh hemu Tuende katika uhalisia wa kimaisha hii nchi hat akae cuf,chadema,act wazalendo bc mayahudi hawaiwachi huru wametumia kivuli cha Tanzania bara mayahudi ndo wanaosokot Zanzibar sio Tanzania bara

  • @nuranzubail1240
    @nuranzubail1240 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni mtanganyika lakin nikiangalia kwa upana wake Zanzibar tunaiangamiza hasa kiuchumi . Sema wabunge wa CCM ndo hawajielewi kabisa

  • @rashidibrahimshemlugu7845
    @rashidibrahimshemlugu7845 6 ปีที่แล้ว

    funguka babaaaaa wataelewatu

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 5 ปีที่แล้ว +1

    Kila kitu kina mwisho wallahi

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 7 หลายเดือนก่อน

    Muungano na uvunjwe wasitukhanithi ssi tunaweza hata kuwaoa na kuwalisha

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 6 ปีที่แล้ว +1

    techokaaaaaa jamani, tanganyika yatudhalilisha sanaaa. yatudhulumuuu.

  • @saidikikoko
    @saidikikoko 6 ปีที่แล้ว +3

    Fanyeni cc tupo nyuma yenu kuwasupport. Yan unajua ninyi wazanzibar kiukwel mko conscious sana ukilinganisha na wabunge watanzania bara, ninyi mnasubutu hata kutetea watu wenu lakini wabunge wa bara wao ni matumbo yao wale wa CCM
    Vunjeni tu muungano na cc wabara tunasupport uvunje maana mnaendelea kuumia kipuuzi kwa ajili ya upuuzi wa wabara

    • @moziidavchonchi3338
      @moziidavchonchi3338 6 ปีที่แล้ว

      WEE NAE FANYA UTAFITI HAO WAZANZIBARI WANAUMIA KIVIPI SASA, MBONA WAPEMBA KIBAO TUNAPISHANA NAO MBAGALA HAHAHA WANAFATA NN SASAAA WAENDE KWAO MAV YA BAKAYOKO HAO

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 5 ปีที่แล้ว

      @@moziidavchonchi3338 ivi unaona wapemba wanahamu sana na kukaa huko,wanakaa huko kwa sababu tu yakutafuta rizki zao,kwani Zanzibar yetu imedumazwa kiuchumi na Tanganyika ,iyo ndo sababu ya kuwaona huko ,is ingekuwa ivyo usingemuona mpemba hata mmoja ww,sasa tuachieni kisiwa chetu,muone km wapemba hawatarudi kwao,ila mnang'ang'ania nini lkn,km mnawapenda wapemba ss hatuna ubakuzi na ss pia tutawapenda lkn kinyume na hapo tutachukia,ni vyema tu mkakiachie kisiwa hiki kidogo

    • @aridiyahya8049
      @aridiyahya8049 5 ปีที่แล้ว

      Wewe kweli nyumbu. Mbw* koko

  • @albertanania3379
    @albertanania3379 5 ปีที่แล้ว

    Lakini sawa Mimi nimbara lakini muungano auna maana kwasababu zanzabar na tanzania bara ni nchioja lakini ukichukuwa kama been dhaa kama sukari au tivii au friji ama garii ukipeleka tanganyila kama umezipeka Kenya au Uganda wakati ss ninchi moja kwaili wazazibaa twaeaonea

  • @onlinetv9189
    @onlinetv9189 6 ปีที่แล้ว

    Bora wajitenge

  • @omarhassan8451
    @omarhassan8451 6 ปีที่แล้ว +8

    Unguja,Pemba,Mombasa mpaka Malawi yote ilikua zanzibar

  • @yasseralhazim2447
    @yasseralhazim2447 5 ปีที่แล้ว

    Leo wafugaji na wakulima wamekua hawana chakufanya kila kitu kinatoka bara Zanzibar hawana ruhsa ya atakupeleka maji ya drop muungano uwo una faida gani kwa raia viongozi mtakuja kujuta wakati wa kurudi kwa juu ya vyeo mlivyokua navyo

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 6 ปีที่แล้ว

    Hahaaaaaa njaa mbaya sanaa

  • @moodyman7588
    @moodyman7588 5 ปีที่แล้ว

    Nyinyi tukitaka kuwapiga changa la macho wafanyeni hivi wakiweka ccm Tanganyika Zanzibar tuweke Cuf o Act apo ndo itapatikanwa haki bila ya hivyo bc watatutukana, kwa wazanzibar tunataka independent no blablabla bom bom Think before you done

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 5 ปีที่แล้ว

    Yot sababu ya uislamu

  • @praisesamson8298
    @praisesamson8298 6 ปีที่แล้ว

    Yote haya yanatokea kwenye utawala huu au kuwapo?

  • @seifhabib5987
    @seifhabib5987 4 ปีที่แล้ว

    Yahya sinongo karibu Zanzibar tuje kukunywisha Kakhwa na khaluwa.

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwanini mnalazimisha kutuletea SUKARI? Au mnataka.kutuwekea sumu.

  • @hamedhamiar3201
    @hamedhamiar3201 5 ปีที่แล้ว

    kila mwenye akili timam analitambua hili kama Zanzibar inabamwa na muungano huu, wew umeona wap upande mmoja ukawa na maamuz kwamwenzake , wananzibar tumetaawaliw coz ya muungano inauma sana kuiyona Tanganyika inasonga mbele wakat Zanzibar inazidi kuteketea sabab ya muungano😴😥

  • @khadijahassan3504
    @khadijahassan3504 6 ปีที่แล้ว

    sawasaw

  • @sautisamsu2981
    @sautisamsu2981 5 ปีที่แล้ว

    tupo pamoja kweli ss wazanbar hatuna maana wanatuonea kwann

  • @bonyenyekahawamoshi9775
    @bonyenyekahawamoshi9775 6 ปีที่แล้ว

    Nyie no cuf

  • @umadiali5793
    @umadiali5793 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa huu ni muungano sio kutuonea wazanzibar tukawa hatuna haki!!

  • @suleimanjngondo6760
    @suleimanjngondo6760 5 ปีที่แล้ว

    wazanzibar iyo ni laana ya masheikh wenu mulio waweka ndani bila kuwasomea mashitaka

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 7 หลายเดือนก่อน

    Ss tunaweza kuwaoa na kuwalisha kma wake zetu t ,wasituletee ujinga hapa

  • @omarhassan8451
    @omarhassan8451 6 ปีที่แล้ว +2

    Mkiona joto livueni Koti👋

  • @sgfdhaikuhusu6086
    @sgfdhaikuhusu6086 4 ปีที่แล้ว

    Nataka tutukanwe mpaka tumwskwe maji ya chini si munahamu ya muungano hata bado maana mwaona vizuri nyinyi kutukanwa km vele ati km tunataka msaada tuseme tupewe yaan ndo hatujiwezi

  • @minaziparasu8748
    @minaziparasu8748 6 ปีที่แล้ว

    Saiv lazima watutukane kwamana tumeshawafunza kuvaa jeanz.wameshasahau kuvaa majani nangozi zawanyama

  • @iddibama6819
    @iddibama6819 5 ปีที่แล้ว

    speak up

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 ปีที่แล้ว

    Mmmh mm naona huyu jini hajafa ila wafufuliwe walotuachia jini huyu

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 4 ปีที่แล้ว

    Hamna lolote hamna mumuzi yoyote ccm oyee

  • @salummohdnyiga9760
    @salummohdnyiga9760 6 ปีที่แล้ว +1

    Mimi mwenyewe japo ni mtanganyika siutaki muungano ila nalazimishwa tu natamani sana niishi hapa kwa visa, na ukitaka kujua ubaya wa muungano safiri na TV yako na mengine mengi siwezi kuyaandika yote. Ni bora muungano tuupigie nao kura na si kuburuzana tuuu.

    • @suluman1808
      @suluman1808 6 ปีที่แล้ว

      kwani vp nyie kama limebana livueni halinama.

  • @mwanalelee6
    @mwanalelee6 6 ปีที่แล้ว

    hahahaaaaaa Na bado maalim seif aliposema mulimuona mjinga sasa endeleeni mbele kwa mbele iyooooo

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 6 ปีที่แล้ว

    Vunjaa sisi sio watanzania bara .

  • @charlesanselimo6658
    @charlesanselimo6658 5 ปีที่แล้ว

    Kiti Cha spika Ni dhaifu

  • @allymsuya6655
    @allymsuya6655 6 ปีที่แล้ว

    Tatizo ni unafiki was wabunge was CCM upande was Znzb

  • @bonyenyekahawamoshi9775
    @bonyenyekahawamoshi9775 6 ปีที่แล้ว

    Hiyo anaonekana anagubu anaona anaenda kufa anataka kufa nawengi mjinga sana

  • @shifaa3327
    @shifaa3327 6 ปีที่แล้ว

    Muungano wa kisiwa cha zanzibar ni mswala kw wanawake kw wanaume ni mskiti na kukifata kitabu cha Allhah Quran hayo yt yanakaa sw wenyewe ela mungu hamumtaki wazanzibar kweli kutaachwa kulalamika kl sk twaonewaaa jmn dunia hii musijetutia mazilanii

  • @mundhirhamad6595
    @mundhirhamad6595 6 ปีที่แล้ว

    wamezoe hao chukueni hatua

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 6 ปีที่แล้ว

    Tatizo wazanzbar n watu wa Amani SAANA halafu hawana JESHI lakn kiukweli ZANZIBAR HASA HAWAUTAKI MUUNGANO, TANGANYIKA WANATEGEMEA JESHI KUWANYONYA NA KUWAZULUMU NA KUWATISHA ZANZIBAR

  • @minaziparasu8748
    @minaziparasu8748 6 ปีที่แล้ว

    Ikopoa znz kwanza .fanyenikweli musisumbuliwe navilaza vya Ali kesi namsukumaa

  • @madiyaahmad2749
    @madiyaahmad2749 6 ปีที่แล้ว

    Hatutaki watuachie wenyewe zanzibar yetu wafe wakinya muungano 000%

  • @yasseralhazim2447
    @yasseralhazim2447 5 ปีที่แล้ว

    Mtoto akililia wembe mpe huooo!
    Cmnaupenda mnapokua uwanja wa amani mnasema tuuduumishe muungano sasa iyo ndio faida yake.

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 6 ปีที่แล้ว

    Kwanini watanganyika wang'ng'ania huumunganooo

  • @suleymanalawi9613
    @suleymanalawi9613 5 ปีที่แล้ว

    mbunge wa zanzibar kupitia ccm hawez kuitetea zanzibar hata siku 1

  • @saidmj9213
    @saidmj9213 6 ปีที่แล้ว

    Kiukweli inashangaza Mimi wiki ilopita nilikuwa huko Zanzibar yaani bora iachwe ijitegemeee

    • @moziidavchonchi3338
      @moziidavchonchi3338 6 ปีที่แล้ว

      IJITEGEMEE KWA LIPI SASA KWANI MAENDELEO NI LAZIMA MTANGANYIKA AKULETEE KWANI IYO SUKARI AIWEZEKANI KUJIUZIA WAO WENYEWE KUNA UNGUJA KUNA PEMBA PIA IKUMBUKWE?? WAZIPE THAMANI BIDHAA ZAO KIZURI CHAJITEMBEZA KIBAYA CHAJIPITISHA. NA SIO SWALA LA KULALAMIKIA MUUNGANO

  • @omarjumanne4471
    @omarjumanne4471 6 ปีที่แล้ว

    Bi Rukia umecheza ngoma huijui ujue kuwa Zanzibar zama hizo liikuwa na kiongozi mwinyi mkuu muungano hautovunjwa na wabunge ambao wanajaziba zao binafisi au za vyama vyao

  • @bugdadiajm8270
    @bugdadiajm8270 6 ปีที่แล้ว

    Waacheni waende

  • @MohdRashid-cu9qb
    @MohdRashid-cu9qb 5 ปีที่แล้ว

    Hivi hawa wabunge wa ccm kutoka Zanzibar hawalioni hili au ndio wameridhika

  • @godfreybigeyo9105
    @godfreybigeyo9105 6 ปีที่แล้ว

    kiongozi wao ni nani hawa,

  • @mariobalotel1329
    @mariobalotel1329 5 ปีที่แล้ว

    Hawo wanyamwezi si watu wazuri hawoo

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 5 ปีที่แล้ว

      usitukane makabila ya watu, wazanzibari zaidi ya nusu kama si wote wana damu za kinyamwezi labda wawe wameshuka leo kwenye ndege kutoka ulaya kwa utalii

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 6 ปีที่แล้ว +5

    km vipi muungano uvunje wao wabaki na kisiwa chao na sisi tubaki na tanganyika yetu maan haya malalamiko haya ishi

    • @mohamedsalum3112
      @mohamedsalum3112 5 ปีที่แล้ว

      Shaaban Ramadhan sawaaa lkn naona hamtuwachii mmetugandaa

    • @aridiyahya8049
      @aridiyahya8049 5 ปีที่แล้ว

      Tumewaganda!!??🤣🤣🤣

  • @Ba63828
    @Ba63828 6 ปีที่แล้ว

    WATOTO WA MAMA MMOJA MWAGOMBANA BURE HAKUNA TIJA

  • @elenestjackson129
    @elenestjackson129 6 ปีที่แล้ว

    Hii michogo mbona inatun,gan,ganiya kuwe na mungano sisi wazanzibari hatutaki muungano machogo

    • @moziidavchonchi3338
      @moziidavchonchi3338 6 ปีที่แล้ว

      CHOGO NANI ME DUNYA MBONA MIMI MTANZANIA KABILA MTUSI ASILI YANGU RWANDA NI RAIYA WA TANZANIA HUSUSANI BARA AFU NASKIA HUKO KUNA MASHOGA WENGI BILA SHAKA HATA WEWE PIA

  • @tonedeusmuganyizi5265
    @tonedeusmuganyizi5265 6 ปีที่แล้ว

    Huyu hana hoja.
    Zanzibar inayo sera ya kuingiza sukari bila kodi. Tanzania bara hatuwezi kuruhusu sukari hiyo kuingizwa hapa bila kodi na kuharibu ushindani. Kaeni na sukari yenu - na wala siyo sukari tu na bidhaa nyingine.

    • @omarjumanne4471
      @omarjumanne4471 6 ปีที่แล้ว

      Tonedeus Muganyizi huo ndo ukweri wataalamu was uchumi hawsikilizwi Zanzibar ushauri wa kitaalamu hawataki sasa mnayaona Mimi kiwanda cha viatu nimewashauri hawataki sasa mambo hayo tumieni makuluge kujenga viwanda Zanzibar bars watakwama kuzuia bizaa zetu

  • @hamadshein935
    @hamadshein935 6 ปีที่แล้ว

    ZANZIBAR IKIJITENGA.ITAKUWA KAMA DUBAI YA AFRIKA.UAE ITAJENGA MAGHOROFA UKIWA JUU UNAONA TAA ZA MBEZI.ZENJI WERAWERA

  • @amanisuleiman5628
    @amanisuleiman5628 6 ปีที่แล้ว +7

    Hakki hiiiiiooooo naiona inarudi kisiwa kime wakwama kooni hakimezeki na mtakitema vijana tupoooo tayari Kwa lolote na tanganyika mna tusoma mzikiwetu salama yenu maalim seif shariff katutuliza lakini akiachia kamba hapatatoshaa

    • @winniefrida1483
      @winniefrida1483 6 ปีที่แล้ว

      mna mziki gani nyie wakati 1/4 tatu yenu ni mashoga

    • @samiryusuf9492
      @samiryusuf9492 6 ปีที่แล้ว +2

      we fala kumbe baba ako na babu yako itakuwa nao mashoga ndio maana wabongo mumeumbwa na roho mbaya na sura zenu mbaya

    • @leonelleo4425
      @leonelleo4425 6 ปีที่แล้ว

      Winnie Frida HAHA asilimia kubwa yao vidole juu..

    • @moziidavchonchi3338
      @moziidavchonchi3338 6 ปีที่แล้ว

      MNASHINDIA UROJO UTAMSUMBUA NANI WW PUNGA??? ME NATUSUA FURUSHI LA DONA NIGUSE NIKUTIE KISU CHA MACHO MIXER MADOCHI YA MBAVU MAV WEE AFU MISHOGA MING INATOKA ZENJI NA MZIKI WENU WA TAARABU NA MIDUARA SIJUI VIDAKUDAKU ANI UPUUZI MTUPU

    • @aridiyahya8049
      @aridiyahya8049 5 ปีที่แล้ว

      Wazanzibar wanapenda kudharau bara lakini wakidharauliwa basi waja juu. Nami ningependa tuvunje muungano ndo mtajuwa umuhimu wa bara kwenu. Hiyo mnayodanganywa eti itakuwa Singapore ya Africa.🤣🤣 . Mara nyingi mnapewa kipaumbele lakini haitoshi nadhani mnataka kuitawala bara.

  • @ipmalu9947
    @ipmalu9947 6 ปีที่แล้ว

    ndo Kwanza mjue leo
    kama Zanzibar inanewa na watanganyika

  • @Myselfmasanja
    @Myselfmasanja 3 หลายเดือนก่อน

    Ondokeni wakojani tumewachoka kila siku nyie mnaonewa ila nyie mnavyowaonea watu Wabara kwenu hamuoni.

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 6 ปีที่แล้ว

    mnaliona leo hilo

  • @omarkhatib4968
    @omarkhatib4968 6 ปีที่แล้ว

    Haya yooote yanatokana na yule bwege sheni na mabunju ya ccm

  • @brisketkidari1623
    @brisketkidari1623 6 ปีที่แล้ว +5

    wachane tu unawazonga nini waambieni hatuutaki sisi nyinyi tu uko ndo mnauweka hebu lianzisheni muone kama watapata mfuasi huku znz hatuutaki

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 6 ปีที่แล้ว +1

    HATUTAKI ZANZIBAR NI NCHI SISI TUNAMAAMUZI YETU. HATUTAWABEMBELEZA TENA SISI TUMESIKIA NA TUKOPAMOJA WAKITAKA WASITAKE SISI NI NCHI . MUNGU KAZIGAWANYA KWA MATAKWA YAKE . WANACCM MLIJUWE HILO ZANZIBAR KWANZA.

    • @saverynada180
      @saverynada180 6 ปีที่แล้ว

      kama ni nchi si mjiuzie sukari yenu???

    • @moziidavchonchi3338
      @moziidavchonchi3338 6 ปีที่แล้ว

      HAFU WEE NAE UNAONGEA UTUMBO KUBWA JINGA WEKA HOJA YA KUSEMA MUUNGANO UVUNJIKE NA HOJA KUBWA KUWEPO KWA VITA AMA UCHUMI KUYUMBA SASA ULIONA WAPI KUTOUZIKA KWA SUKARI MUUNGANO UKAFA HAHAHA TATIZO LA BAADHI YA WAZANZIBAR WENGI HAWAKUJIKOMBOA KIHELIMU MPO KIDINI DINI TUU

  • @joetchatv1453
    @joetchatv1453 6 ปีที่แล้ว

    Muungano hauvunjiki

  • @julianlukindo4623
    @julianlukindo4623 6 ปีที่แล้ว

    Tumewachoka Zanzibar nasihatuwataki

    • @sgfdhaikuhusu6086
      @sgfdhaikuhusu6086 4 ปีที่แล้ว

      Yaan ss hatuwataki mara Kumi yake hamuna faida yyt kwetu

  • @madukurumwanileles7909
    @madukurumwanileles7909 6 ปีที่แล้ว

    Povu linawatoka mweee! Hakuna kuleta sukari ya magendo hapa imekula kwenu.

  • @arkammohamed711
    @arkammohamed711 6 ปีที่แล้ว

    KUNA WATU WAMETIWA MFUKONI

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว

    Waambie wanatulea dharau na jeuri hatutaki muungano wizi na hatuna lolote tunalolipata wanafiki .

  • @pantaleokulaya5308
    @pantaleokulaya5308 6 ปีที่แล้ว +1

    wabunge wa ccm bila kuamua nyie wengine hamna ubavu

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 6 ปีที่แล้ว +5

    Tatizo wabunge wa Zanzibar siku zote mnahisi mnaonewa tu kwanini nyie lakini!!

    • @michakazojet1146
      @michakazojet1146 6 ปีที่แล้ว

      kwani wwe huoni mifano ya kile kinachoendelea?

  • @kassimjuma1539
    @kassimjuma1539 6 ปีที่แล้ว

    Mchakato wa katiba wazanzibar tumemaliza kila kitu kilichobaki uwonevu tu.

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 6 ปีที่แล้ว

    Kwann manasema to hamfanyi leo

    • @alihamad6046
      @alihamad6046 6 ปีที่แล้ว

      Tupeni kura ya maoni tuuulizwe tunautaka aman hatuuutak

    • @henryndosi8569
      @henryndosi8569 6 ปีที่แล้ว

      Wewe mwarabu koko