| UZAZI UTOTONI | Mimba za mapema kaunti ya Kilifi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Suala la mimba za mapema limekuwa donda sugu nchini huku kila mwaka maelfu ya watoto wakilazimika kuacha masomo na ndoto zao kuzimwa. Kaunti ya kilifi ni moja ya kaunti ambazo zimeathirika pakubwa kwani kwa miaka mitano sasa imerekodi visa zaidi ya elfu hamsini huku kukiwa na hofu kuwa hali hii huenda ikawa mbaya wakati wa janga la COVID-19. Mwanahabari wetu gatete njoroge amerejea kutoka kaunti ya kilifi ambako alikutana na baadhi ya waathiriwa na ametuandalia makala maalum ya uzazi utotoni.
    #UzaziUtotoni

ความคิดเห็น • 16

  • @paulinenyambeki7788
    @paulinenyambeki7788 4 ปีที่แล้ว +8

    I got pregnant at age of 17, now my daughter she is 14 years old and am not regretting to have her. I was naive by then and I will never allow my daughter to pass what I went through. Most of teenagers girls lack of support from their parents and majority of them coming from the poor family. I learned a lesson in my life I tried to take abortion but nothing happened am happy to see my daughter grown up now she in high school asumbi girls national, I will work hard to educate her to make she will reach where I did not reach. Am proud to be a single mother. Is the end of the world God has reasons for everything.

    • @annmogaka2564
      @annmogaka2564 4 ปีที่แล้ว +1

      Same to me my daughter she's 12 yrs now

    • @mohamedkhamiskhamis4587
      @mohamedkhamiskhamis4587 4 ปีที่แล้ว +2

      Sorry and usikate tamaa. Everything happen for a reason.

    • @annmogaka2564
      @annmogaka2564 4 ปีที่แล้ว

      @@mohamedkhamiskhamis4587 thanku so much

    • @nobertussanya7344
      @nobertussanya7344 4 ปีที่แล้ว +3

      Mbona mnafanyanga hivo instead msome msaidie wazazi wenu

    • @annslifestyle
      @annslifestyle 4 ปีที่แล้ว +1

      Me too nilipata mimba nikiwa 17yrs... My dota ako 9yrs now i will workhard for her siwezi taka apatane na yenye nilipata

  • @susannyaguthii4713
    @susannyaguthii4713 4 ปีที่แล้ว +2

    Wazazi kazeni mwendo na kutoruhusu wasichana kuwa free sana without knowing where they are. Also wekeni masharti yao wakipatikana na mimba msichana anangojewa azae halafu wote wanafungwa jera 20 years bila faini. Hapo wataogopa na kuheshimiana. Mtoto anazaa Mtoto sasa maisha ataanza wapi na wakioana mapema bado waachana Ketini chini na serikali mpitishe sheria. Wakitaka kupendana wapitie kwa Wazazi halafu Wazazi wawaruhusu ama wawakataze. Wazazi mkionyesha watoto wenu huruma nyinyi ndio mtaumia na kuongezea umaskini..especially wasichana ndio wanaharibikiwa na maisha.

  • @nobertussanya7344
    @nobertussanya7344 4 ปีที่แล้ว +2

    Those who are you doing this should be arrested with an immediate effect

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 ปีที่แล้ว +3

    Waache kupanua miguu wasome jmn yani hawa wangejua hii life hata wangesoma bora pia wangeozeshwa wakayaona

  • @faithkirui3351
    @faithkirui3351 ปีที่แล้ว

    God have mercy on us

  • @goldgrace7773
    @goldgrace7773 4 ปีที่แล้ว +2

    Ina uma Sana

  • @eriminahmshai
    @eriminahmshai ปีที่แล้ว

    Njaa pia inasibabisha naokosefu wa pesa kwa wazazi kwahuvyo serekali wekenyi maisha yawe rahisi jamani ndio watoto wetu wapate elimu na maisha bora

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 ปีที่แล้ว +1

    Mvulana anapewa na mamake nae yuahonga waschana acheni tamaa hayo mambo yako mutayakuta someni jmn musije kujipata majukumu mapema

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 ปีที่แล้ว

    Munawakataza ndoa wakizini hoo watoto mtoto akililia wembe mpe asotk kusoma muozesheni

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan1723 4 ปีที่แล้ว +1

    Sisemi kwa ubaya lakini hawa vijana hawa kusoma shule if you have sex you will get pregnant