KILIMO BORA NA CHA KISASA CHA MAHINDI TANZANIA,pdf

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @shabanikavula1304
    @shabanikavula1304 5 ปีที่แล้ว +3

    Mko vzr sana.kwa dar tupande MBEGU GANI bora kwa MAHINDI ya kuchoma marefu

  • @elizabethlweya5011
    @elizabethlweya5011 11 หลายเดือนก่อน

    Asante 🙏🙏🙏

  • @edwinmwalongo8494
    @edwinmwalongo8494 2 ปีที่แล้ว

    Hongeni Sana

  • @mcodetanzania221
    @mcodetanzania221 4 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri sana, kazi nzuri, inaleta mwanga...

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana.sijui chochote kuhusu kilimo na ufugaji wa kuku. Nina nia na hamu ya kuwa mkulima. Haswa wa mahind na mbogamboga. Jee, vp ntaweza kupata mafunzo? Asante.

  • @OdembaNYACHUMA
    @OdembaNYACHUMA 9 หลายเดือนก่อน

    Je ekari moja unabeba mashina mangapi

  • @fidyaline214
    @fidyaline214 4 ปีที่แล้ว +1

    Mupo vizuri san

  • @AbdulNdanzi-ce9yt
    @AbdulNdanzi-ce9yt ปีที่แล้ว

    Abduli ndanzi

  • @jamesfredrick6022
    @jamesfredrick6022 ปีที่แล้ว

    Je unaweza kuchanganya vegmax na super gro kwa pamoja

  • @davidmahenge1889
    @davidmahenge1889 4 ปีที่แล้ว

    Asanteee nimepata darasa

  • @hajimakame7554
    @hajimakame7554 5 ปีที่แล้ว +1

    nzurii tcha

  • @ekieshnanyaro2371
    @ekieshnanyaro2371 5 ปีที่แล้ว

    Mpo vizuri kaka!

  • @selemanisalimu8377
    @selemanisalimu8377 วันที่ผ่านมา

    Mm nipo mkoa wa tanga nitumie aina gani ya mbegu

  • @mariammwaipopo3090
    @mariammwaipopo3090 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama sikuweka mbolea ya kukuzia je naweza tumia mbolea gani?

  • @lesinaekalinga2534
    @lesinaekalinga2534 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kujua ni Mbegu aina gan inaweza kistawi mikoa ya mtwara na lindi

  • @FarmingWithJoshe
    @FarmingWithJoshe 4 ปีที่แล้ว

    Kama mkulima najifunza mengi sana ,, shukrani sana

  • @honoratussalvatory8060
    @honoratussalvatory8060 5 ปีที่แล้ว +1

    Iko poa sana

  • @jakobmjungu177
    @jakobmjungu177 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nipo kahama ushetu naweza kutumia mbegu gan

  • @lucaagrovert8646
    @lucaagrovert8646 2 ปีที่แล้ว

    Jinsi ya kupanda mahindi kwa kutumia chombo Cha kisasa

  • @yusuphulameck6548
    @yusuphulameck6548 3 ปีที่แล้ว

    Na alizeti mnauza mbegu ya kisasa

  • @eyksaz3677
    @eyksaz3677 4 ปีที่แล้ว

    Tazama jinsi zao hili lilivyo na faida hadi Mil 2 kwa mwezi
    th-cam.com/video/MTJTuggPKDs/w-d-xo.html

  • @selemanisalimu8377
    @selemanisalimu8377 วันที่ผ่านมา

    Mm nipo mkoa wa tanga nitumie aina gani ya mbegu