اللهُـمِّ اغْفِـرْ لِـ وَارْفَعْ دَرَجَتَـهُ في المَهْـدِييـن ، وَاخْـلُفْـهُ في عَقِـبِهِ في الغابِـرين، وَاغْفِـرْ لَنـا وَلَـهُ يا رَبَّ العـالَمـين، وَافْسَـحْ لَهُ في قَبْـرِهِ وَنَـوِّرْ لَهُ فيه
Historia ya Sheick ni nzuri saana Rena ndefu saana nimeisikiza mwanzo hadi mwisho .....hii inainyesha uvumilivu na subra kubwa alikua nayo sheick sisi kwa dunia hii ya sasa kweli tutaweza kuwa wavumilivu kiasi hicho inshaallaah tumuombe saana Mwenye Ezi Mungu atuezeshe na taupe subra Kama ya sheick sababu ilmu yake Allaah na kua kiongozi wa dini sio mchezo kabisa
Maskini hat una tena imamu kmubwa tena mwana chuoni Kama huyu inshaallaah Mwenye Ezi Mungu atuondoshee simanzi inshallaah .....kazi yake Allaah haina makosa sisi tulimpenda lakini Allaah alimpenda zaidi pia ndio akamchukua iliobakia ni kumuombea Duas kwa wingi
Mashallah Allah akurehemu usthi wetu akutiye janatul firdaus
Mashaallah....ALLAH amueke pema peponi...Aameen yarrab 🤲
اللهُـمِّ اغْفِـرْ لِـ وَارْفَعْ دَرَجَتَـهُ في المَهْـدِييـن ، وَاخْـلُفْـهُ في عَقِـبِهِ في الغابِـرين، وَاغْفِـرْ لَنـا وَلَـهُ يا رَبَّ العـالَمـين، وَافْسَـحْ لَهُ في قَبْـرِهِ وَنَـوِّرْ لَهُ فيه
يارب ثبته بلقول الثابت
Al hamdulillah naskia raha kumuona USTADH wetu haarith , nugu yake ustadh Mahmoud haarith ndio alotufundisha ma sha ALLAH
May Allah give you peace in this world
Mwenyeezi Mungu Amrehemu Ustadh Harith Swaleh na Amlaze pema na wema Ameen
MashaAllah jazzakh Allahu kheiri
Historia ya Sheick ni nzuri saana Rena ndefu saana nimeisikiza mwanzo hadi mwisho .....hii inainyesha uvumilivu na subra kubwa alikua nayo sheick sisi kwa dunia hii ya sasa kweli tutaweza kuwa wavumilivu kiasi hicho inshaallaah tumuombe saana Mwenye Ezi Mungu atuezeshe na taupe subra Kama ya sheick sababu ilmu yake Allaah na kua kiongozi wa dini sio mchezo kabisa
Mungu ailaze roho yake maala pema
Amazing history of shekh Harith
Mwenyezi mungu amrehem atuajali pepo ya firdaus inshaAllah
Allah akutanganye na wema shekhe letu ust harith tutakukumbuka kwenye maisha yetu
Allah amrehemu Amen 🙏🏼
Maskini hat una tena imamu kmubwa tena mwana chuoni Kama huyu inshaallaah Mwenye Ezi Mungu atuondoshee simanzi inshallaah .....kazi yake Allaah haina makosa sisi tulimpenda lakini Allaah alimpenda zaidi pia ndio akamchukua iliobakia ni kumuombea Duas kwa wingi
kabiss
Sharifu 😂😂😂😂😂
Allah amrehemu amuweke pema penye wema