ความคิดเห็น •

  • @GoldDolan
    @GoldDolan 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pole kwa raisi tena hapo ndo mnaposhangaza sana

  • @kiavyakapera2352
    @kiavyakapera2352 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni shida hii clipu

  • @ELLYJ24
    @ELLYJ24 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni nabii wa uongo kbs kwa sababu hakuna unabii unaotoka baada ya majanga kutokea

    • @filomenaemmanuel14
      @filomenaemmanuel14 10 หลายเดือนก่อน

      Alitoa unabii tangu mwez watisa

  • @barakakasamia5036
    @barakakasamia5036 10 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni ubabaishaji yalikuwa wapi kusambaza kabla ya matukio, nakama kweli ni nabii wa Mungu kweli waliba lakini yametokea, inamaana Mungu akuwasikia? awa uwa wanakaa kwenye vikao vya ibilisi nakujuwa mpango

    • @GoldDolan
      @GoldDolan 10 หลายเดือนก่อน +1

      Pole xana kwa uelewa mdogo kifupi, na inawezekana haujawah kumfatilia hayo maneno aliyasema ibadan na full video ipo xaxa Kama haujaiangalia au haumfatilii yalitokea Kama hv wakaileta utakaza fuvu tu wakat hauna hoja yoyote ubishi tu wa kigoma

  • @reginaruta3249
    @reginaruta3249 10 หลายเดือนก่อน +1

    Watumishi wa kuzimu ndio Hawa Sasa. Mungu amekunyesha ili watu wafe? Au alikuonyesha ili uchukue atua maafa yasitokee? Ulipoonyeshwa ulichukuwa atua gani? Kijionshesha kwenye mitandao huyo sio Mungu wa mbingu na nchi anayekutumia Bali ni Shetani na kuzimu. Mbona Mungu alipotoka kuangamiza Ninawi alinituma Yona ili aende Ninawi?

    • @hvtchannel9115
      @hvtchannel9115 10 หลายเดือนก่อน +1

      Exactly 🙏🙏🙏🙏

    • @filomenaemmanuel14
      @filomenaemmanuel14 10 หลายเดือนก่อน +1

      Acha kushindana yameruhusiwa kwa sehemu ili tujue Mungu anatafuta waabudu halis katk Roho na kweli eeeMungu ponya taifa letu na majanga