Hakuna chochote walikuwa wanajua ilikuwa geresha kumdanganya Shakib aone ilikuwa surprise masikini. Diamond dhambi mbaya anafanya kwa sababu ana pesa za kunuka angeweza kutayarisha hiyo birthday katika venue yoyote anayoitaka South Africa lakini yote hii ni kuonyesha ubabe tu na Zari anaona hapati umaarufu bila Diamond hivyo kila atakachofanya Diamond kwake ni sawa kama sasa watu wanawaongelea alikuwa ana miss hiyo. Lakini atajuta siku moja.
Happy birthday Baby girl. Merry Christmas to you guys ❤️
Happy birthday Ms Tiffa D🎉 May you have more to come 🎂
😅😅😅❤😂
Happy birthday tiffah
Daimond hawezi kumuachacha mrembo
More years happy birthday princess tiffah ❤❤❤❤
😅🎉hongera mrembo wa mondi kazur sana
Mbona Diamond umeparara hivyo, ulikuwa unalelewa na bibi kizee sasa umerudi Shaini.
Hakuna chochote walikuwa wanajua ilikuwa geresha kumdanganya Shakib aone ilikuwa surprise masikini. Diamond dhambi mbaya anafanya kwa sababu ana pesa za kunuka angeweza kutayarisha hiyo birthday katika venue yoyote anayoitaka South Africa lakini yote hii ni kuonyesha ubabe tu na Zari anaona hapati umaarufu bila Diamond hivyo kila atakachofanya Diamond kwake ni sawa kama sasa watu wanawaongelea alikuwa ana miss hiyo. Lakini atajuta siku moja.
Shakib ajipange
Wivu itawauwa zali ni nimrembo
Zari is bad showing narcissistic behavior by taking all the attention from Tiffa coz it's Tiffas BIRTHDAY and turned all the attention to herself