Mungu awabariki kwa wimbo wa kuleta nguvu na faraja, Aisee huyu dogo anakipaji duh!!! Safi sana tumika kwa Mungu kuichezea sauti yako kumtukuza Mungu ungali kijana naye atakubariki sana na utafika mbali, Perfect words & voice, barikiweni tena. Nahs nyie ni ndugu eee
U can imagine upendo zaidi ya mama, ni upendo kiasi gani!! Mungu baba tusaidie kuuelewa upendo wako kwetu.…. Watumishi mubarikiwe zaidi sana kwa kutubariki.
Nyimbo yako ya napenda kuwa na ww imenibariki sn barikiwa sn mtumish wa mungu nyimbo hii inaupako wa ajabu nimeiskiliza sku ya 3 mfululizo bila kuchoka
Huu ni zaidi ya Upendo nimependwa na Mungu kwa upendo usiokuwa na mwisho.yeye hajui kusariti wala hajui kutelekeza mwanaye wala hawezi kukuacha mpweke,katikati ya huzuri anakufariji HATA UKIMKOSEA ANAKUPENDA HIVOHIVO.Tuungane pamoja kuutangaza UPENDO WA MUNGU.Subscribe kwenye page ya kaka yangu Emmanuel Mgogo,lkn kwa Upendo nakukaribisha pia Ku subscribe kwenye TH-cam Chanel yangu ili upate kile Mungu ameweka ndani yangu kwa ajili yako.UBARIKIWE
Asante mugogo kwa kolabo hiyo ya mwaka.. Ezekiel pia naona yuko sawa
Mbona hii nyimbo inagusa maisha ya mtu
Jamani upendo wa Mungu niwaajabu
Kama umekuwa Wa kwanza kubarkiwa na nyimbo hiii naomba like zenu
Dh! nishida ubarikiwe san ni kweli mungu ni zaidi ya kilakitu
Ndugu na marafiki wanaweza kukuacga ila mungu aliyetuumba hawezi kutuacha I will never disappoint my God..I say be blessed
Mungu awabariki kwa wimbo wa kuleta nguvu na faraja, Aisee huyu dogo anakipaji duh!!! Safi sana tumika kwa Mungu kuichezea sauti yako kumtukuza Mungu ungali kijana naye atakubariki sana na utafika mbali, Perfect words & voice, barikiweni tena. Nahs nyie ni ndugu eee
Kama unaamini MUNGU wetu hawezi kutusahau wakati huu ambao ulimwengu wote unaathirika na janga hili la Corona sema Amina🙏🇰🇪🇰🇪
Amina
Amen 🙏 kweli kabisa Asante saaaana Mungu .tu naishi kwa Neema yako amen 🙏
Amen 🙏 hakika upendo wa Mungu hauelezeki katika maisha yetu
Mungu hawezi kukuacha yatima.!
Hawezi kutusahau ooooooh Upeeendooo wa Yesu....nizaidi nimebarikiwa kazi nzuri waimbaji mbarikiwe saana..
😭😭😭nilikosa upendo wa baba lkn Yesu wangu alie hai akanikumbatia... Ubarikiwe mwimbaji wa huu wa wimbo
Ubarikiwe Sana mtumishi wamungu
Kweli huyu MUNGU ni zaidi ya wote,,hawezi tusahau,,chamsingi tuwe tu waaminifu kwake
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu wimbo mzurii sanaaaa
U can imagine upendo zaidi ya mama, ni upendo kiasi gani!! Mungu baba tusaidie kuuelewa upendo wako kwetu.…. Watumishi mubarikiwe zaidi sana kwa kutubariki.
Hakika Upendo wa Mungu ni zaidi ya Upendo wa baba Wala wa mama
Weeeeeeeeee mgogo wewe jaman yesu akutunze we na Ezekiel
Mungu akutangurie kutimiza ndoto zako kaka angu Ezekiel
Wimbo. Unabariki Sanaa mungu Ni zaidi ya baba
Ezekieli n zaid ya msanii kabisa anasauti mpaka raha..pambana utafika mbali
kwer yesu nizaidi ya baba nimebalikiwa Sana na nyimbo yako kaka
Aisee! Barikiwa sana muko vizur Kwa ajiri ya utukufu wa Mungu
Hakika nimeuona upendo wa Mungu tangu baba yangu alipotangulia mbele za haki nasikiliza tena na tena
Upendo wa mungu nizaidi ya baba
Mubarikiwe sana ❤❤🙏🙏
Amina! Mungu ni zaidi ya wazazi na wote wasemao hawawezi kutusahau
Powerful song!
From Msa Kenya
Nyimbo yako ya napenda kuwa na ww imenibariki sn barikiwa sn mtumish wa mungu nyimbo hii inaupako wa ajabu nimeiskiliza sku ya 3 mfululizo bila kuchoka
Much love from kenya I love this song
Wimbo juu unabariki sana aisee,
Nawapenda sauti zenu ninzuri saaaaan mubarikiwe namungu👏👏👏👏👌👌💗
Baba wa yatima na wajane waliompokea!!,Sifa,heshima na utukufu vikurudie Mungu wetu uliye juu
Hii ni zaidi ya faraja kwangu imagine nimetoka kukata simu inayoumiza nakutana na hii baraka asanteni sana😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Wooow I love the song
Hongera sana mdogo wangu zidi kunyenyekea utafika mbali sana
Mgogo jitahidisana uspotezee ilemaana yakwanza
Immanuel kuna uvaaji unavaa mi sipendezwinao nahisi umeanza kuiga
Heeeee Baba yangu yuko hai Yesuuu
Ameen, nikumbuke Mungu wangu
Our God is so faithful he can't forget about us....he is our father and alive ...a good staff brethren.blessed.
Upendo Wa Yesu ni ZAIDI ya MAMA
Wimbo mzuli sana uu Mungu awabaliki watumishi
Amina Sana ni wimbo mzuri Sana
Amen watumishi wa munguuuu
Mbarikiwe sana watumishiwa Mungu
Hakika Mungu wetu anatupenda
Mungu ainue huduma yako
Kweli Mungu wetu ni zaidi ya mama/baba...Upendo wake ni Mkuu kwetu
Mungu awabariki sana upendo wa Mungu hauna kipimo
Ameen Mungu awabariki xna
Ameeen! Mungu wetu ni zaidi ya baba
kweli mungu hawez kukuacha
wimbo mzru nmeupenda mungu azidi kpawa chenu
Amen ubarikiwe san
Thank you Jesus
Asante Yesu
HONGERA SANA KAKA ENIZE MWAYINGA TOKA BOKO KITIMOTO
Safi sana ila mgogo umetubania ungeimba hata kavesi kamoja
Hongereni sana mko vizur
Amen sana
Amina tena Yesu akajibu ndio mama ana weza kunisahau ila Sio Mungu
Kazi nzuri sanaaaaaaaa
mungu in zaidi ya baba
Mungu ni mwema sana hutoa kwa njia zake barikiwa ezekiel makililo
Immanuel kuna element umeanza siyo nzuri unaiga mabaya wewe jifunze ambwene nimtulivu sana nawe ulikuwa vile umebadilika
Mmetisha iko poa sana..mbarikiwe aseeee
Ni zaidi ya baaaaaaaBa ni zaidiii ya maaaaaaMa...mmenibariki sana
Kazi hii ni ya baraka na kipekee sana
Good message,Nice, GOD bless you
❤❤nice songa
Mubarikiwe kwa nyimbo nzur
Mubarikiwe
Amen nimebarikiwa,mungu kuwabariki pia
Kazi safe Sana watumishi.
Aminaa Kaka angu
Amina mtumishi
Imekaa vizuri sana
Mungu Atatuepusha na Corona
Saf sanaaaa
Ongera
Aise ongera sana nimekubali kulike na kusub4
Ur the best always but mmejua kufanya kazi nzur
Amina Sanaa zaidi ya Baba
Amen
Ubalikiwe
Ubarikiwe ni ukweli
Amen amen nyimbo bora kabisa 💪👊👏
Kipaji
@@ananiasmalangala4398 hakika
Huu ni zaidi ya Upendo nimependwa na Mungu kwa upendo usiokuwa na mwisho.yeye hajui kusariti wala hajui kutelekeza mwanaye wala hawezi kukuacha mpweke,katikati ya huzuri anakufariji HATA UKIMKOSEA ANAKUPENDA HIVOHIVO.Tuungane pamoja kuutangaza UPENDO WA MUNGU.Subscribe kwenye page ya kaka yangu Emmanuel Mgogo,lkn kwa Upendo nakukaribisha pia Ku subscribe kwenye TH-cam Chanel yangu ili upate kile Mungu ameweka ndani yangu kwa ajili yako.UBARIKIWE
Amina
Barikiwa
Amen
Kweli huu wimbo umenibariki sana uinuliwe zaidi na zaidi🙏🙏🙏😇😇😇
This song is filled with wisdom
Ubarikiwe kaka
Barikiwa sanaaaaaa
Ndu kaka hii nayo ni yamoto
Mungu awabariki sana
Cool
Waooooow
Amen kubwa
Nice song
Nice
Amen
Saf
Amen