"LOVE is giving someone the POWER to destroy you but trusting them enough NOT to #RoseLLa . .." The long wait is over now !!! Here's H_ART THE BAND's latest release with TANZANIAN SONGSTRESS LADY JAYDEE titled 'ROSELLA' BEWARE !!! This will make you want to text your exes back * #ROSELLA #TeamH_artForever
I started listen to you guys since day one till today!! the most group of music nnalikubali na kusikiliza ngoma zenu, guys nawapenda coz mko real na you are blessed with your talent ila huu wimbo tangu nimeupata sijaacha kusikiliza.. From Tanzania.
Wapi 5million viewers kwa hii ngoma,upuzi diamond ama Alikiba wakiimba ngoma bila mistari naona lots of viewers lakini hii kali haiko karibu😩😩😩 well done👊🏿👊🏿👊🏿
I'm from Japan. I don't understand that language. But hapo kwa 'wingi wa mahaba...nilikupenda kinyama...kukutenda sikuwaza...kamba nikakakaza' imebidi nimeelewa Swa. #rosella #keepinggoodmusicalive
They say Tanzanians gat the best love songs but apana io..... Kenya 🇰🇪 we the best n love things bhanaaaaa.... Nani anakubali ii ngoma kuliko za diamond
Ukitaka kujua Tanzania ipo mbali kwa love songs za kiswahili waulize H_art the Band Kwanini waliitaji ladha ya Lady Jaydee toka TZ. Yote kwa yote hii ngoma ni kali sana. Hilo sikatai Mazee
By the time this song was on heat I was dating a lady whom looked alike to Jay dee so each time I watch this song she navigates deep in my synapse of the brain
Nikaja kupenda na moyo wangu wote, Binti huyu aliyenyefanya nimuote, usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa Sionekani popote nikaja kutenda mambo Mengi magumu na mazito Ilimradi niwe naye lakini sasa ninapotazama naona kwamba niliachwa upweke. Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa Chorus Rosela, mi najiuliza Rosela, Je umebadilika Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2 Verse 2 Ni ukweli niliamua kuondoka. Nikidhani nitapendwa niendako Ooh hakuna Oh mi nilidhani nitakuta tofauti hio yote mpaka sasa sijaona Moyo waniuma nikikumbuka Mambo mengi we ulinikosea Najiuliza je ni kweli umebadilika Na maumivu mi nayarudia Masikini nashindwa amua Ooh nashindwaaa ×2 Rosela, mi najiuliza Rosela, Je umebadilika Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2 Verse 3 Yani ilikua siku mingi sana hatujazungumza SMS zangu hurudishi, please call me zangu hunijibu Simu hushiki Na najua hiwezi kua ni simu ulipoteza Juu social media nimeona selfie zako Na ile top flaini kali nilikubuyia ya dashiki Kweli ni kukumiss nimekumiss tena sana Na najua umenimiss pia unanilenga tu juu tulikosana. Ego yako iko juu, ulikuaga dem wa maringo. Lakini siteti, nilikupendaga tu ivo ivo na ni tangu unitoke stress iko juu tu sana Sura imejaza wrinkles, kila time najipata tu nimekasirikia vitu simple simple Hata jokes na pimples nacatch hawa wakishow tu madimples. Yani kosa walisema si kosa, kosa nikurudia kosa, na najua unajua ulikosa but huwezi kubali Umekosea, nishakuzoea, ni sawa tu Nishakusamehea unaact selfish But kuishi bila we, machozi siwezi daily, Kukula kwa hoteli, si unajua mi ni mlazy. Malkia, smile tamu crescent shape ya mwezi. Sipendi tukikosana Napenda tukichora saba kwa saba love heart Si unajua nakupenda tu kwa sana pamoja, Tembea Dar, Kenya, Moshi, Arusha Tunajirusha rusha, spending karibu dolce, gabana mwanaume si unajua ni kukazana, shopping Maspaghetti, crop 9months later baby shower Na pamper nimeshika rada, latha First born anakaribisha brother. Twende nyumbani nikuinteoduce kwa mother Mrasta ameshapata the other Rudi Nyumbani Rosela, mi najiuliza Rosela, Je umebadilika Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2
I am from Kiribati and definitely don't understand swahili.....but hii imenimaliza "haiezi kuwa ni simu ulipoteza, juu social media nimeona selfie zako na ile top kali nilikubuyia...."
There's something about Lady Jaydee's voice that draws me to her. Wananiambia Usiuseme moyo maana Siku hazigandi, usije ukasifia kesho uanze Yahaya na kwa Joto hasira ushindwe kucheza Ndi ndi ndi kama Anita. Natamani kuwa malaika lakini naogopea Machozi so mi Single boy wengi Hawajui but nasema ahsante kwa H_art the band kutuletea Binti. Awesome Woman and awesome delivery from y'all guys
This song is too good to be contained by my ears and soul... The kind if music we have been missing...siyo kupiga makelele tu na kukata viuno... The lyrics met the vocals. just perfect..
Nice catchy song. Nothing is more important than love. All we need is love. Love will conquer all. God is love. Love is God. We will only survive with love. Love is all around. Love you all.
"LOVE is giving someone the POWER to destroy you but trusting them enough NOT to #RoseLLa . .."
The long wait is over now !!!
Here's H_ART THE BAND's latest release with TANZANIAN SONGSTRESS LADY JAYDEE titled 'ROSELLA'
BEWARE !!! This will make you want to text your exes back *
#ROSELLA
#TeamH_artForever
H_art the Band Official ngoma kali🔥🔥🔥you made my X call me
from tanzania,nyie jamaa nawakubali sana mpo unique sana halafu mnaweza
I started listen to you guys since day one till today!! the most group of music nnalikubali na kusikiliza ngoma zenu, guys nawapenda coz mko real na you are blessed with your talent ila huu wimbo tangu nimeupata sijaacha kusikiliza..
From Tanzania.
+Alli Matala I love it too
This is good music but you guys can make your video a bit more interesting. otherwise kali sana!
Hear in 2024❤ still
I'm here
2024...someone pls like my comment I want to come back here 10 years later coz this will still be a hit😊
Tuko pamoja❤
Mbele iko sawa😂
there are rumors that these guys are going to jail for murdering that beat
norah Kalunda why
I'll follow them,,, it's fireeeeeee
norah Kalunda you are so hilarious.....l was astonished by your statement at first not until l finally understood the joke.
umenimurderrrr😂😂
😂😂😂😂😂
2024 still here...
goodmusic
THIS JAM IS JUST 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌟🌟🌟🌟🌟🌟💥💥💥💥
Ben Soul you guys are going far kwanza ile tune ya dem wa mashiisha..........balaa
sauti sol mkae radar,mlikimbia na hamna breki this guys wametoka mbali uliza kiatu zao.
♥️♥️♥️♥️ Bensoul
3years later bado tuko hapa bro.... You guys are taking the industry by the neck hamtaki mchezo....
@@markwango3749 sai Sasa they already did it wonderful right?😁 Kaggz ayee✊🏿
2024 Revolution Son I was here when it happened. I was part of it.
1st verse is on repeat,,I can’t get myself to go past that,,,dude has serious vocals..2024 is listening tuki reject the finacial bill✌️🇰🇪
Mbona nsijipate apa 2020... Who's rolling with me
These guys are 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I am here in 2021
6yrs later
Mbona huu mziki hujafika 10m? Afrika mashariki fanya mambo. Mnatuangusha kaka zetu vipi!!!
5 years down the line and I'm still hear, timeless music.
Wapi 5million viewers kwa hii ngoma,upuzi diamond ama Alikiba wakiimba ngoma bila mistari naona lots of viewers lakini hii kali haiko karibu😩😩😩 well done👊🏿👊🏿👊🏿
I'm from Japan. I don't understand that language. But hapo kwa 'wingi wa mahaba...nilikupenda kinyama...kukutenda sikuwaza...kamba nikakakaza' imebidi nimeelewa Swa. #rosella #keepinggoodmusicalive
oscar oduor 😂😂😂😂😂 ati from Japan......you've killed it 😂😂😂😂😂
hahahahaaa, wallai top comment "Oduor" the japanese
Kevo Rikoz 😂😂😂😂
hehehehehe おかしな子(男の子
Kevin Kavai I'm from Japan. That mode of writing is possessed by my brother's from China. Lakini tuko pamoja
This song will remain my favourite,it's 2023....
Thank you for making a song about me🙏
This song is lit guys. That verse by Mordecai got me for real
Nilikuwa na wingi wa mahaba....
254 music to the world
patch kipenzi#tana
patch kipenzi#tana
patch kipenzi#tana
Fidel Shammah vv
kevin omondi 😂😂😂😂
They say Tanzanians gat the best love songs but apana io..... Kenya 🇰🇪 we the best n love things bhanaaaaa.... Nani anakubali ii ngoma kuliko za diamond
mmmmh
+Khamis Hassan ndo ivo
Ukitaka kujua Tanzania ipo mbali kwa love songs za kiswahili waulize H_art the Band Kwanini waliitaji ladha ya Lady Jaydee toka TZ. Yote kwa yote hii ngoma ni kali sana. Hilo sikatai Mazee
umeona eh.....thumbs up lady jaydee and the band....hot hot!!!
ewaah Jay Dee ni ng'ombe asiyezeeka maini
By the time this song was on heat I was dating a lady whom looked alike to Jay dee so each time I watch this song she navigates deep in my synapse of the brain
my husband sent me this song so i can come back home and i am back na wingi wa mahaba..love this song atiii
Bado uko na yeye?
i hope so
This song is criminally underrated. Still a fire 🔥 tune in 2020
People are definitely calling their exes after this! #TheFeels
SERRO l actually feel so
SERRO hell no
lol...
SERRO fighting the feeling 😢
SERRO for real I miss him already woiye😢😢
This guys are going places...Hands up 🙌if in agreement
Kaduchi Kihima 🙌🙌🙌🙌
Rick Rhymes
Niceeeeee😉
These guys* not this guys.. it's a band so they are more than one hence *These as opposed to *This..... sorry couldn't help it
21st Century trolls😂.
English is not our 1st language tho',take a chill pill bruh.
Rick Rhymes 😘😘
Aiii hii ngoma inaweza.. Nani anakubaliana na mm
🇰🇪team Kenya tweni tweni😩♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️rosela
Nikaja kupenda na moyo wangu wote,
Binti huyu aliyenyefanya nimuote,
usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa
Sionekani popote nikaja kutenda mambo
Mengi magumu na mazito
Ilimradi niwe naye lakini sasa ninapotazama
naona kwamba niliachwa upweke.
Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa
Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa
Chorus
Rosela, mi najiuliza
Rosela, Je umebadilika
Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2
Verse 2
Ni ukweli niliamua kuondoka.
Nikidhani nitapendwa niendako
Ooh hakuna
Oh mi nilidhani nitakuta tofauti
hio yote mpaka sasa sijaona
Moyo waniuma nikikumbuka
Mambo mengi we ulinikosea
Najiuliza je ni kweli umebadilika
Na maumivu mi nayarudia
Masikini nashindwa amua
Ooh nashindwaaa ×2
Rosela, mi najiuliza
Rosela, Je umebadilika
Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2
Verse 3
Yani ilikua siku mingi sana hatujazungumza
SMS zangu hurudishi, please call me zangu hunijibu
Simu hushiki
Na najua hiwezi kua ni simu ulipoteza
Juu social media nimeona selfie zako
Na ile top flaini kali nilikubuyia ya dashiki
Kweli ni kukumiss nimekumiss tena sana
Na najua umenimiss pia unanilenga tu juu tulikosana.
Ego yako iko juu, ulikuaga dem wa maringo.
Lakini siteti, nilikupendaga tu ivo ivo
na ni tangu unitoke stress iko juu tu sana
Sura imejaza wrinkles, kila time
najipata tu nimekasirikia vitu simple simple
Hata jokes na pimples nacatch hawa wakishow tu madimples.
Yani kosa walisema si kosa, kosa nikurudia kosa,
na najua unajua ulikosa but huwezi kubali
Umekosea, nishakuzoea, ni sawa tu
Nishakusamehea unaact selfish
But kuishi bila we, machozi siwezi daily,
Kukula kwa hoteli, si unajua mi ni mlazy.
Malkia, smile tamu crescent shape ya mwezi.
Sipendi tukikosana
Napenda tukichora saba kwa saba love heart
Si unajua nakupenda tu kwa sana pamoja,
Tembea Dar, Kenya, Moshi, Arusha
Tunajirusha rusha, spending karibu dolce, gabana mwanaume si unajua ni kukazana, shopping
Maspaghetti, crop 9months later baby shower
Na pamper nimeshika rada, latha
First born anakaribisha brother.
Twende nyumbani nikuinteoduce kwa mother
Mrasta ameshapata the other
Rudi Nyumbani
Rosela, mi najiuliza
Rosela, Je umebadilika
Rosela, nashindwa kuamua aaah ×2
*Rosella
2024 am here still a lovely song
Anyone listen to this 💎 in 2024?
Mko juu wazing🔥
Am still here in 2020😂❤️
Pamoja sanaaa
Me too hii wimbo huwa moto
Mmmmh umekalili iyo yote hatar fire
Present
😂nakufuata nyuma
GOD is awesome 2020 here am .........Rosella i seriously need you during this quarantine season
You have killed the song, coffined the beats, soiled the lines, rosed the video and finally laid to peace yua sweet vibes.
Who is here 2020 indeed this was a major heat this song deserves a million views this guys are underated Kenyans let promote our own
some songs are seriously underrated. great song H_ART THE BAND
Nilikuwa mwingi wa mahaba😊😊😊
mghetto akiwa kwa mapenzi ni moto sana,hii iko ndaaaaaaaaaaaaani ndaaaaani kabisa.
steven were 😂😂
ivy nikweli ama nasema urongo
steven were yeah 😂😂
I can watch/listen to this 1,000,000,000 times a day.
🔥
lovely Lady Jay Dee,
great song.
👌👌♡
She always good
🚩 You guys are so original, the blend between you guys, you are our One republic in Kenya 🇰🇪.
I am hear waving our flag 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Who liked and shared fast even before viewing just like i... Sooo nice song good staff #HArtTheBand * #Ladyjaydee #Rosella 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Morris Wafasa I did
6 years but still a master piece to me.
Ngoma kali kama hizi zikitungwa nakuwaga wapi? Sikuskia hii gem. Lakini nimeilove 2 years later. Nimeenjoy kuskia spoken Word tena.
my name is ROSELLA thanks for singing this beautiful song for me
these guys are dope they make it look like its easy to make a hit song,love the song,poetry at its best,killeŕrrrrrr
These guys deserve more credit than they get... am a fan🔥🔥🔥
This is anothr hit song from the best and my favourite figures h_art_the_band togethr with NDI NDI NDI Woman from Tanzania....what a beautful song
I love this❤❤
Sister jide the best love from Tanzania 🇹🇿 h art wit them art 💥
You are simply the best guys #hearttheband to the world
I am from Kiribati and definitely don't understand swahili.....but hii imenimaliza "haiezi kuwa ni simu ulipoteza, juu social media nimeona selfie zako na ile top kali nilikubuyia...."
😂😂😂 huelewi swahili?
😹😹☢️nkt
Saitan upimaji huu😂
Modecai hii ilikuwa tamu ingali Moto 🔥🔥
Who's here coz of quarantine 😻😻😻
Wooooow it's on repeat can't get enough of itt, itsss tooo sweeet inafika hadi kwa bone marrow🤭
This song reminds me of all the thing that happened in my past relationship 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭#ROSELLA 😢😢😢😢😢😢
There's something about Lady Jaydee's voice that draws me to her. Wananiambia Usiuseme moyo maana Siku hazigandi, usije ukasifia kesho uanze Yahaya na kwa Joto hasira ushindwe kucheza Ndi ndi ndi kama Anita. Natamani kuwa malaika lakini naogopea Machozi so mi Single boy wengi Hawajui but nasema ahsante kwa H_art the band kutuletea Binti. Awesome Woman and awesome delivery from y'all guys
i love you
@@Tiana_Fits 💯🔥🔥
This song is too good to be contained by my ears and soul... The kind if music we have been missing...siyo kupiga makelele tu na kukata viuno...
The lyrics met the vocals. just perfect..
I heard this song today @ radio maisha. guys this tune is maaaad
Here 12/3/24 who's here
When these guys came I thought they were "one hit". They prove me wrong...They are going far AF
Rrrrrrrrosela 🔥🔥
Loving this song from 0:00 to 5:06, 👌👌👌
6 Years back and ROSELLA still hits different🥲🥲
This songs hits differently everytime I listen to it😍😍... T
💥💥
great song
a hit inafaa kufikisha 50m kenyans tuifikeshe tu ache kufikisha za inje
u guys just deliver all the time i love u guys my playlist will maake room for rosella on reapt for a while🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥The best ever done !!!!
Mama yangu hii ni mzuka tu sana btw big ups tu sana @ JD n warasta wenza art the band
2024, November 🇰🇪🇰🇪🔥🔥
Lady Jay D, Heart the Band 🙌🙌
Watching live from Houston, Texas 🇺🇸🇺🇸📍
Jaydee has a special voice especially on choruses ❤️❤️❤️❤️🔥
Waseiyaaa 😍😍🔥🔥
Femi One mzeiyaaa 🙌🙌🙌
dope song, iko ndani ndaani ndaaani kabixa
uuuuuuwwiiiiiiii......iko ndani ndani ndaaaaaannniiii kabsa.........
Now this is good music. One word for it "MASTERPIECE" !!!
Dennis Bett am rosella they sang this song to my heart I love it
This song aki...Wacha tuu..it got while I was in college n that person used to sing it like every time❤
love is becoming an enemy to many😭
Its not love, its all the other things(rejection,loneliness,envy) but love.
Alliloh Allice you alone not all
safi..kazi nzur hamjawai kosea mazeee..mko on fire...lets keep tha guwd music alive..hart tha band#######
one of the best Kenyan songs, a personal anthem. Rosella
Hii ngoma iko poa sana kiukweli naikubari sana jpo ni ya muda gonga like kama na wewe unaikubari ❤️❤️
#TheGettohFam Baddest💥
Am still crying to this song in 2019
Entering the 2024 Valentines while listening to this dope tune by our sensational artists #H_art the Band and Lady Jaydee
These guys are artists! They embody Art! Thank you!
this song is so true me😒😒😒😒....aisee song ipo powa ile mbaya#much love kwenu aisee
the best Hart the band performance.Hands down.I love this band.Imagine listening to this masterpiece at a show.
Sauti soul wanafaa wafanye collambo na haya watu bwana
Rossella why I'm still watching this sept 2019...if we ar together let's make like button blue
*Rosella
Kama Nataka kusikiliza nyimbo Nzuri this guys Wanakuja Kwa Mind
One of Kenya's Greatest Songs Of All Time 🐐🐐 🔥
I can't help but imagine this song ikichezwa plainly na violin, how deep it would dig into mafeelings aisee #justathought
These guys r super kul nawapenda toxic love to you
Big up to all spoken art artists ,,,,waah uyo n mwaki
wow this is what i call good music i cant get enough of this
kitu Sure kabisa 💯💯
Vida Pia Imeenda Shule 👏
kudos 👍
#TeamGoodMusic ✔
this guys are killng me, damn this is good,real poetry,real sense
this song has made my X calling me.she has told me to watch this and truely its getting us back.wath a great tune.keep that mood up.
Hii imeweza sana +H_art the Band Official hamjawahi bahatisha #KisumuPresident
Love Lady Jaydee Love H_art The Band Love ROSSELLA
I'll just say nice things ingawaje nilidhani kwingine wanaongea kwanza rap.
Lady Jay Dee #AlwaysSlays
#GreatWords!!
the way the beat joins in before 1 minute. I am in love...
Rosella....nikaja kupenda na moyo wangu woteee....
like number 1000, proud of H-art & jay dee
Nice catchy song. Nothing is more important than love. All we need is love. Love will conquer all. God is love. Love is God. We will only survive with love. Love is all around. Love you all.
I can't keep myself from pressing the replay button.. So deep!