AMANI - WAWABU |Official 4K video | Directed By Fredrick Rugina

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Alipofika karibu aliuona mji, akaulilia, akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.
    LUKA 19:41-42

ความคิดเห็น • 6

  • @TabithaMamboleo-eh6pd
    @TabithaMamboleo-eh6pd ปีที่แล้ว

    Laiti ungelijua hata Wewe,
    Kazi nzuri sana
    Wametukumbusha zamani sana wimbo huu❤

  • @ridhishasagati5138
    @ridhishasagati5138 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kuwatumia mama zangu shangazi yangu Helen soga mbarikiwe kwa Yesu kunalipa mnaonekana wasichana wadogooo

  • @lydianashon8010
    @lydianashon8010 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awafikishe mbali akina mama wajane na waleao peke yao Bunju
    Endeleeni kumtumikia Mungu

  • @dianagosso5948
    @dianagosso5948 ปีที่แล้ว

    Wamependeza mno mabinti wa Yesu, Mungu azidi kuwainua.

  • @SamweliNkondo
    @SamweliNkondo 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mama zangu

  • @maxwellvangulinja
    @maxwellvangulinja ปีที่แล้ว

    aminaa