Everthing is perfect kwenye video we need new stuffs kama hvyo watu mmekariri video mpaka dancers mmekariri same colors we need unique stuffs kama hiz big up to you Nick for the uniqure rap and Audio ngoma kali sana man amini hivyo i mean it
Duuh Mnavyopangilia Kutoa Hit Song Ni Balaa Nick Unaimba Kwa Msimu Ila Vichupa Unavyotaka Navyo Uwa Ubaitishagi Mule Mule Weusi Mnatisha East Africa Kwa Rap
2024 tujuane hapa
2024 still sweet
Everthing is perfect kwenye video we need new stuffs kama hvyo watu mmekariri video mpaka dancers mmekariri same colors we need unique stuffs kama hiz big up to you Nick for the uniqure rap and Audio ngoma kali sana man amini hivyo i mean it
Weka song mwanangu
kila demu anataka kila mwanaume amkatie pochi halaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
daaah....nyie noma axeee mmebadilika & mnaendana na mabadiliko ynyw.....ila mna7bixha wngn wanachange alafu hawajui mabadiliko yapi wayafanye hatimae ndo wanaharb kbx
We don do music we do hit.............. damn swt mangi😊😆😅😂🙌 watasma xn......
Aiseee mwisho nimeupata nimeutafta mno tangu niusikirze 2017 leo tena nimeukubuka 2021 / 3
Na mimi 2024
Ndenge shee
Sio nikufanye tu ntaka nikufanye mwanamke mjasiriamali
2019 still my ringtone
2024 iyapa
video kali xana pamoja na audio niceeee xana
2021 n the music still rocks me
Respek on the name WEUSI i can feel em haters tryna bow down .. Salute bruv lets keep it livin' blessings on blessings..
Still in this 2022 where are you? Loved when Am form 3😝😝🙌🙌🙌
Nikki umetisha nibonge la video
Till world end still it burn,🔥🔥🔥
2025 tujuane apa
Hii ngoma naipenda cz kuna kitu inanikumbusha sichoki kuitazama 2020
2023 it still hit😮😮
sauti ya nikk wa pili imechujwa sana au vp,naona kama rap katuni hv,nimependa mashahiri ila sijapenda hyo sauti kama comedy flani
Video sijaipendaaa
Dah weusi mtaja tuuwa 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
chin bees sijamuona ila content imetisha sana big up WEUSI
sweet mangi😂😂😂 ikopoa sana ila kichupa kilitakiwa kifanyike kwa madiba #SA or #USA
Justine Campos Si mbongo mdau..
Iko poa sana imepenya iyo... Sweet Mangi #Imooo.!
Hatari muzi wenye sweet .... nice shit, dope shit...
uwiiiii nakupa 1500 unga kifurshi cha chuo........
#tukopeace
ncy nikki
Ipo vizuli broo
na sio nikufanye tuu............100% ..weuuuuuuuuuuuuusi
GOMA LANGU LA MUDA WOWOTE TOKA KWA NIKKI WA PILI 🔥🔥🔥
This is a good one,location za nchi za watu zilikuwa zishanichosha...this is creativity tho kuna watu hawatoielewa video.
2024 sweet
safi niki..ngoma kali mno na video pia ni kali ila ambao awajui aina hii ya video hawataelewa
Duuuuuuh ww noumaaaa sana nakukubal
Korasi kaa ambae kapiga nameless
mangi to the world..... awesome one my sweet mangi
Sweet Mangi hii kali sana broo
Big up sana vid kali sana
nice Nikki mwanzo mzuri wa kuliteka soko la kimataifa
Weusi hamjawahi kosea ...nice song
My favorite song all time 2024💕
Sweeeeeet mang
weusiii...noma sana
aiseeeeeeeeeeeeeee
God bless Weuuuuu Weusiiiiiiiii
🙌🙌🙌 heshima kwako
Yan everything ni dope creativity imeusika sana
Perfecto❤❤❤
#Mangi umetishaaaa,..
hadi rahaaa asee
Hiki kichupa kitanichukua muda sana kukielewa
video inaonekana si nzur kwasbb haina HD ila ni nzur na Nikki as usual ameflow vzur
Sweet mangi ishanlogaaa...love t ila video bna mekorogwa kdgo buh sharaut to weusi
🔥🙌🏾 Nice Video
kuwa na akili rahaa sana
weraaaaaa😊
nikki yo killing this man
🔥🔥🔥🔥 all day jam
Up to day
Huu wimbo unakumbusha zama
More 🔥🔥🔥🔥🔥
Kwenye kala ya vidio mmezingu toeni kala nyingine
iko vzr noma
Super video
💥💥
Luffa kaua sana humu
Still hits 2024
Hii kitu ni ya moto
Kaliioo
Here we go 2023
Kichupa noma
daa nakumbuka 2017 long time ago leo 14 /9/2023
noma sana
hukosei niki
i like the melody ,, nice song,,,
Dana✔️
Weusi nao wameanza kutumia kutumia wazungu. Kutoka Nje ya kumi na nane hadi Ndani ya Mbili
i like this song
2024
2020????
Weusii
Dc Kama Dc
Duuh Mnavyopangilia Kutoa Hit Song Ni Balaa Nick Unaimba Kwa Msimu Ila Vichupa Unavyotaka Navyo Uwa Ubaitishagi Mule Mule Weusi Mnatisha East Africa Kwa Rap
I need sweet mangi
Hahaha
❤❤❤❤
respect to yuh broder
bonge moja la audio ila video pumba kabisa hata chini bizzy cmuoni dah video mbovu cjaiyelewa
were here 01agust2024 sweet mangi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🫡🫡🫡🫡
Sweet mangiii
Perfect
Bg up
hii video ni mbovuuu ila audio ni mbwa na nusuuu
#mtazamoo msijenge chukiii
true
zipo nyingi za dizaini iyo kaka #Roger
nice bro go
vedeo kawaida sn ila audio nomaaa sn.
2023 still ya moto sana gonga like kama unamkubali DC
DC Kama Dc
Bonge moja la songi na video ila tujitahidi tutumie akina dada weusi warembo kwenye hizi video zetu jamani.
Ubaguzi wa nini
Suala sio Ubaguzi, suala ni ngoma imekaa ki local iyo rangi haifai kwe ngoma kama hii.
Hivi umeona old school songs video zake
jamaa kafuta comment yake ya ubaguzi
+AD MLAY nimeona anapotezea tu.. kwani wazungu wana nini mpaka watumiwe wadada weusi? Haya wadada weupe wakiafrika watu wanasema wazungu.
Anarang yamtume from Dubai 😆
tujuane 2021
🔥🔥🔥🔥