WAMILIKI WA JENGO LA KARIAKOO WABURUTWA MAHAKAMANI “KUUA BILA KUKUSUDIA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 174

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ajali ikifika haina kizuwizi hiyo ni sababu tu kujengea na kuanguka mungu awasaidie inshallah. Na wafiwa mungu awape subra

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly วันที่ผ่านมา +30

    Siku zote usisahau kuomba kuinuliwa kwako isiwe sababu ya anguko lako.
    Mungu aendelee kuwatia nguvu wahanga

    • @FaridaMahami-zw1mv
      @FaridaMahami-zw1mv 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Umeongea point sanaaaa, swadaktaaaa

    • @JudyLee-hf9cy
      @JudyLee-hf9cy 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Amen

    • @SmilingCornflowers-qb5ll
      @SmilingCornflowers-qb5ll 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Hao wamiliki hawana makosa mtabiri ilishasema miezi sits iliyopita hata hivyo serikali kupitia wataalam wake siwalilikagua jengo wakati wa kujenga

  • @RosemaryMwaipopo-qd4vw
    @RosemaryMwaipopo-qd4vw 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Aisee hii nchi Kila mtu profesa mnasema mipango ya mungu kweri kwenye janga lisilofata utaratibu unajenga watu wapo ndan ebu acheni ufund achen Sheria ifanye kazi yake

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman วันที่ผ่านมา +16

    Serikali inatafut wakumpa zigo la lawama wakat wao nd wahusika namb 1, kama majengo yalikua sio imara wakaguz WA majengo wanatokea wap? Kama sio Serikalin huko huko, Achen kuangushia watu lawama kabla jengo halijakamilika kwann wakaguz wasingesem jengo sio imara au bovu, hii serikali Jau sana akili 0

    • @hadija846
      @hadija846 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🙏

  • @RukiaMziwanda
    @RukiaMziwanda 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mitihani ya mungu waoo wenyewe hawakupenda lidondoke mitihani tu

  • @MiriumWajey-lr1tq
    @MiriumWajey-lr1tq วันที่ผ่านมา +11

    Wawasamehe wameua bila kukusudia walipe fidia walau japo huwez kulinganisha mtu na mali mana hata wakiwauwa haita saidia nao hawakudhamilia japo inauma lakini hakuna namna😢

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na kila kifo kina sababu ingekua tetemeko angekamatwa nani

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Absolutely yes

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​tatiz hap kila m1 anatak awe mwema,Hawan maamuz ya busara2

    • @fifo262
      @fifo262 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kusamehewa ni shauri zuri lkn miundombinu ya ujenzi wa dar ni mibovu sana ,watu wanajenga kwa tamaa sijui km wale mipango miji hawaoniiii au ndo jiji la biashara yani mwisho tumuachie mungu tu apitishe rehma zake

  • @jadetoto
    @jadetoto วันที่ผ่านมา +5

    Nasikia walikuwa wanaongezea manuka mengine kwa chini ndo mana likabongonyoka kosa limeanzia hapo kwa nyie mnaosema waachiwe

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy วันที่ผ่านมา +1

      Sema kwann ss hawaliziki na manuka yaliyokuwepo? ahh miyeyusho mana

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman วันที่ผ่านมา +24

    HAWANA makosa hao, serikali nd haijielew kwann wasiangalie majengo yaliyochok alaf wabadilishe au wahimize marekebisho kila mwaka iwe kama SHERIA ili kudhibit haya maafa?, hao hawan makosa hata kidogo

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman วันที่ผ่านมา +3

      @MapeKhamis kwaiy serikali na wapokea Kodi za majengo na biashara hawakuona?? Hiko kitu, na ni watu wa serikalin hao unazan nan mwenye kosa walishindwa kujua na kuzuia siku zote hzo ujenz ukiwa unaendelea??

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman วันที่ผ่านมา +4

      @MapeKhamis mpak jengo kuanguka nd wanamtafuta mchaw?? Hapo kosa lipo serikalin hawako makini vyomb vya ukaguz majengo na usimamiz mkuu unafanywa na Serikali sas ukisem hao wanamakosa kosa lao lipi??

    • @gallusmbaga5522
      @gallusmbaga5522 วันที่ผ่านมา

      Serikalini ni NANI?

    • @MapeKhamis
      @MapeKhamis วันที่ผ่านมา +1

      @@ShaulizSeleman Ndomaana nikakwambia kosa lipo watayajadili yote uko .

    • @ShekhaSalim-o5e
      @ShekhaSalim-o5e วันที่ผ่านมา

      Kabisa bro yaani hawa kosa kabisa

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 วันที่ผ่านมา +6

    Kila nafsi itaonja umauti kwa sababu zake jamani mungu awarehemu na awape nguvu na subra wafiwa sasa kama yule mama amepoteza mabint 2 yule ata mseme hao wenye ghorofa mnawafunga yy watt wake watarudi au ata mumpe dolla laki milioni watt wake watainuka jibu ni hapana kikubwa hpa ni kumuomba Allah kwa yote yy ndio jabal wa kila kitu duniani

    • @hawaismail5060
      @hawaismail5060 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      1:❤42 1:42

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      💔😭😭😭

  • @neemamgesi3752
    @neemamgesi3752 วันที่ผ่านมา +3

    Yani nilikuwa natagemea Full report chanzo cha jengo kuanguka, na historia ya jengo labda kuna sababu sababishi kuanguka kwa jengo au ni uzembe wa watu katika ujenzi

    • @GraceMeckrinah
      @GraceMeckrinah 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Inasemekana kuna ujenzi ulikua unaendelea chini, na kama ni kweli bas wamiliki wana makosa kujenga chini na juu kuna watu ni kitu cha hatari na walilijua hilo labda wakasema wajaribu tu

  • @gastonpeter4265
    @gastonpeter4265 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa km wameuwa bila kukusudia mnawakamata wa nini🤨🤔🤗

  • @SihabaAbdallah-li6dx
    @SihabaAbdallah-li6dx ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wabakaj Hawa onyeshwi😢

  • @ramadhaninasibu9443
    @ramadhaninasibu9443 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😅😅😅 Kesi inasema kuuwa bila kukusudia. Icho kipengele tu basi

  • @mariamabraham-q5x
    @mariamabraham-q5x วันที่ผ่านมา +10

    Ila wananchi vigeugeu 😂😂kwasababu kipindi limeanguka watu mlikuwa na machungu sana comments za watu wanaomba mmliki wa ghorofa akamatwee leo hii mnasema wasamehewe 😂😂 mnaichanganya serikali sasa😅😅

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Serikali inajichanganya yenyewew waliotoa vibali wakowapi

    • @imanibakili8028
      @imanibakili8028 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Namimi nina kumbukumbu sahihi kuwa walisema mwenye ghorofa akamatwe😂

  • @drgeraldcubwa481
    @drgeraldcubwa481 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo tajiri afilisiwe na mali wapewe wahanga !! Iwe fundisho kwa wengine na vizazi vijavyo

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanza walipe fidia wapangaji wote ..pili hakuna aja ya mahakama wapigwe Miaka 10 ..imeisha hiyo

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 วันที่ผ่านมา +20

    Nimejikuta tu nacheka ivi hawa jamaa wanakosa gani naombeni mnisaidie huende mm sina ufahamu katika hili aisee🤔

    • @amirisaid6341
      @amirisaid6341 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Kulikuwa Kuna ujenzi unaendelea chini ya Hilo gorofa ....ndio sababu ya kupolomoka kwa Hilo jengo ...na huo ujenzi inasemekana haukufata taratibu za ujenzi

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kumiliki jengo

    • @fridamnyambii7175
      @fridamnyambii7175 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      1:42 1:42 kosa lao ulikuwa wanachimba chini ya hiyo gorofa kuongeza floo ya chini ili waongeze vyumba vya wapangaji😂

    • @pacomezouzoua9175
      @pacomezouzoua9175 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Aziz-p6s
      Nimecheka kwa nguvu😆

    • @moodjeco5844
      @moodjeco5844 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sina hakika na hili​@@fridamnyambii7175

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    TZ BANA MUWAWZAJIBISHE WALIOTOA VIBALI VYA UKARABATI. RUSHWA ADUI WA MAENDELEO

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Apo anae family kuswekwa ndani ni contrater

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 วันที่ผ่านมา +1

    Hata wakifungwa watu waliokufa hawarudi tena. RIP wote waliofariki

  • @NeemaNjera-ho6ln
    @NeemaNjera-ho6ln 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanza.kabisa.tukamatieni.wakaguzi.wajengo..habari.ya.wamiliki.hatutaki.kusikia.

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu rais samia asitafute sababu ya kuwatowa watu kafara. Kwani wao walipenda hilojengo lianguke?. Chunguzeni hayo maghorofa yote fanyeni tathimini yajengwe kwa kufuata sheria .yawe imara.sababu hayo majengo yazamani sana.

  • @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
    @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapa Hapaitaji Ushauli Acheni Mahakama Ifanye Kazi Yake

  • @jozamsolomon4002
    @jozamsolomon4002 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wahandisi wasanifu wa mchoro na mamlaka zote zilizohusika katika utoaji vibali zinapashwa kuwajibika na kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma.

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuendea na ukarabati watu wakiwemo ndio kosa Nene ,
    Lingeanguka lenyewe lawama ingekuwa kdg,, tuwaombee tu kwani jela ni yetu sote,

  • @SadatMunakhan
    @SadatMunakhan 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani jengo lenyewe linasemaje

  • @NgoshaZedonny
    @NgoshaZedonny 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aiseee hyo tunaitaga ajar haina kinga na wao hawakujua hilo!! Ukiacha na hilo la gorofa na wale wanaojenga nyumba za kawaida huwa haziangukiii watu tena wakiwa wamelalamo!! Na hao nao wanautaratibu gan kwenye uhai wa wa2? Au wao ni bahati mbaya? Serikali itambue kuwa ile ilikuwa ni bahati mbaya vingnevyo huo ni ukandamizajiii

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bado sijaliona kosa Lao. Siajabu ndo mijengo tunayorithi kwa mabAbu hiyo

  • @JamesMkuyu-n9o
    @JamesMkuyu-n9o วันที่ผ่านมา

    Hiii ndo 🇹🇿 TANZANIA duuuu panahatari sana jamani kwani naombeni kusaidiwa kwani wakaguzi waserikali wako wapi lamda basi nawao tunaomba wakae ndani mpaka suluisho lipatikane vinginevyo maandamano yataanza kama kenya sasa

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mamlaka husika ndio inayotoa vibari na kusimamia mpango mzimz mmiliki kuhusishwa hapo yy sio fundi yy ni mmiliki tu. Hayamambo niliyasoma ktk kitabu mfalme Juha kumbe yapo live

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 วันที่ผ่านมา +2

    Uchaguz wa mitaa ccm imeshida asilimia 99.9 😂😂😂😂

    • @MwileMkangwa
      @MwileMkangwa วันที่ผ่านมา

      Aaaa wewe sema vizuri 😂😂😂😂😂😂😂

  • @UmumaherBakar
    @UmumaherBakar 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona kuna mtu alihojiwa akasema mmiliki ni nimkinga na mchaga waarabu lishauza

  • @JacksonNgede-k4q
    @JacksonNgede-k4q วันที่ผ่านมา

    Kunamda tufke mahali tujue hii ni nchi ya watu na sio ya vichwa vya mwendawazim hv kitu kinavoendlea kuish kinakua na ubora Zaid au kinazdi kupunguz ubor wake kadri siku zinavoenda,Kam sijaelew mungu nisameh Ila Kam nilichkielew ndo kipo hv hao jamaa wameliki hawan kosa lolote

  • @AllyMadenge-u6o
    @AllyMadenge-u6o 31 นาทีที่ผ่านมา

    Kesi hakuna hapo ni danganya toto tu

  • @NadeemKhan-zo8dc
    @NadeemKhan-zo8dc 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Serekali ya mavi kmamake

  • @olicej7837
    @olicej7837 วันที่ผ่านมา

    Lakini mbona niliskia kwamba taarifa walitoa kabla ya ujenzi uliokuwa ukiendelea??? Au wanamakosa yapi😢

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    IVI INGEKUA TETEMEKO NDO SABABU ANGEKAMATWA NANI.

  • @amosraphael810
    @amosraphael810 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnaokomenty wasamehewee mnarohonmbaya na hakili hmna

  • @jerryzedon9642
    @jerryzedon9642 วันที่ผ่านมา +8

    Mnaosema hawana makosa kaeni mjitafakari halafu wafikirieni waliofiwa mjue uchungu walionao

    • @tabutabu8900
      @tabutabu8900 วันที่ผ่านมา +2

      Wee mjinga kwel kwahiyo wangeishi milele hapa duniani kifo kipo hata wewe hapo utakufa tu utake usitake habar ndio hiyo

    • @jemimabakari
      @jemimabakari วันที่ผ่านมา

      Wameishi miaka mingapi?

    • @ritchiexanti9587
      @ritchiexanti9587 วันที่ผ่านมา +2

      kaka relax ukishajua watu unaobishana nao basi utaona haina haja ya kucomment....ujinga bado ni adui yetu nambari moja.

    • @ShekhaSalim-o5e
      @ShekhaSalim-o5e วันที่ผ่านมา +1

      Ina ww huamini kufa eeeh hujui km kifo chatafuta sababu

    • @AminaRamadhani-hv2ht
      @AminaRamadhani-hv2ht 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kwani kufunga ndo uchungu unaisha unaloho mbaya kwer

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duh ni cocktail waarabu 2 na mweusi moja.....

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kichwani umebeba ujinga usio kusaidia

    • @mamlomamlo9064
      @mamlomamlo9064 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @magorymara5515 munapenda rushwa ndio maana waraabu walitawala weusi nchi hii wanajua uzaifu wao uko wapi

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh วันที่ผ่านมา +1

    Yaaani tanzania bana kwel kuna mbunge alisema ninchi yakijingaa nimeamini

  • @AminaAbdallah-lu2tm
    @AminaAbdallah-lu2tm วันที่ผ่านมา +1

    Wawe na makosa wawe hawana makosa Sheria lazima iwakabili pia itakuwa ni kinga kwao.

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaan wote waliofanikisha huo mchakato wawajibike2

  • @DullyTz-z4w
    @DullyTz-z4w 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hii Nchi iuzwe tugawane pesa. Sasa hao wanakosagan. Mbona Meli ilizama kigoma Hawakukamatwa Wamiliki. Achane uonevu Hiyo ni Ajari tu Jaman. Tunashuhidia shule zinaanguka kwa Mvua zaupepo zinauwa wanafunzi Na hakamatwi Mtu. Achen kujisahau

  • @AhuuIdrisa
    @AhuuIdrisa 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hao watu hawana kosa lolote pamoja na yaliyo tokea watu kufarik pia Wana mawazo ya hasara waliyo ipata ,hivyo si vyema kushtakiwa kwa jambo ambalo hawakulipanga Wala kulitarajia,iyo ni ajal kama ajal nyengine

  • @AlimaKunjenga
    @AlimaKunjenga 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    eti vifo wa watu 29 mna tuchukuriaje sisi 😭😭😭😭

  • @VickiMushi
    @VickiMushi 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe Mungu watetee walipo wameumia kuliko wafiwa poleni

    • @ToneTone-ll3qb
      @ToneTone-ll3qb 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hv ushawahi kufiwa kweli ww nyumba zinajengwa roho hazijengwi
      Allah awafanyie wepesi

  • @AminaRamadhani-hv2ht
    @AminaRamadhani-hv2ht 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kama mungu mwenyewe analeta tetemeko naili linaweza likatokea nimipango ya mungu2

  • @NOVATISIYAME-t3x
    @NOVATISIYAME-t3x 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama jengo mpaka Lina dondoka maana yake lilianza mda kualibika awakuchukuwa tahadhali kwanini ya kuziba ufaa

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama aujafiwa na ndugu utaona kawaida ila ukikutwa umepatwa na msiba katika hilo janga hautoongea

    • @nusalim3389
      @nusalim3389 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wao pia wanasema usiombe yakukute,mana magumashi yapo kwny majumba mengi,mengine Hadi yamepinda au Yana ufa,lkn hayaanguki,isipokuwa jumba Moja kati ya 400,ww pia huwez jua Janga lao Hadi uwe kama wao,na pia hawakutaka,hakuna mtu kawekeza kwenye kupoteza Bali analiombea Mungu miaka 300 ijao

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bila kukusudia tena?

  • @ObadiaKajungu
    @ObadiaKajungu วันที่ผ่านมา

    Sasa wamiliki wametapeliwa nondo, kokoto na simenti kwa kujengewa jengo chini ya viwango wanongezewa msumari wa kushtakiwa!🤔
    Mkandarasi aliyejenga na anayejua ni nini alichokifanya hashtakiwi!
    Law is now compromised with propaganda!

  • @HappynesNickson
    @HappynesNickson 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yan kifo ni fumbo ko hamuwez juwa siri iliyokuwemo kweny gorofa kila mtu na kifo chake na hawakukusudia kuua ko ni siri kubwa San mnawez kamat hao kumbe roho za makafar zikaw zimemwa

  • @MrishoMussa-h6e
    @MrishoMussa-h6e 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawana makosa ajali ni mipango ya mungu

  • @rashidomary8395
    @rashidomary8395 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo niajali kama ajali zingine wangewasamehe tu jamani

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WALIOTOA VIBALI VYA KUENDELEZA JENGO WAKO WAPI AU WAPO CHEMBA😮

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Engineer yupo,Mkunduge tandale

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km วันที่ผ่านมา +2

    Sasa mnajificha nini 🫣🫣☹️☹️

    • @ShekhaSalim-o5e
      @ShekhaSalim-o5e วันที่ผ่านมา

      Ulitata wawaje ? Mbona matukio kibao wanajificha hawa kuna geni gani acha kiki

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Walikwambia wanajificha au wamejistiri hebu Wacha kelele

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KESI ya bila kukusudia ni KESI gani hiyo..

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni kesi iliyoandaliwa kuua bila kukusudia hapo ni tayari makali ya hukumu yamepungua hivyo inawezekana kuwa fidia wakawa huru .Nashangaa imekuwaje bila kukusudia wakati unapomkata mtu mtama akianguka akafa itakuwa bila kukusudia?angali ni wazi kakata mtu mtama na matokeo yanajulikana kufa kuvunjika au kupona.Sasa hawa walijua nyumba ya zamani msingi ndio nyumba iweje waikate mtama?

  • @KhadijaDija-ir2hq
    @KhadijaDija-ir2hq 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa wao wanakosa gani wakini ni ajali kama zilivyo ajali nyingne

  • @YasserSuleiman-s5y
    @YasserSuleiman-s5y 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuburutwa maana yake nini

  • @NaylaFauz-c2p
    @NaylaFauz-c2p 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawajakusudia jmn😢

  • @harithrashid5314
    @harithrashid5314 วันที่ผ่านมา +1

    Hao walotoa vibali wapo wapi?

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndugu yang kwan utawaona bhas,wengine washahamishwa kaz wapo Manyara

  • @HassanEnericko-h3h
    @HassanEnericko-h3h วันที่ผ่านมา +7

    Wasameewe hii ni ajari kama hajari nyingine

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 วันที่ผ่านมา +2

      Ajali kama ajali nyingine kivipi? Wewe unaweza kuchimba msingi wa nyumba yako? Hujui kama msingi ndio nyumba?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@emmadora7848Ati

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f วันที่ผ่านมา +5

    From 🇧🇮 tam zao njo zimewa poza😂😂

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mafundi je hawakushiriki maelezo mabovu ya wakandarasi? Wakandarasi kwanini wafanye contract ya kiholela? Na je waliowapa kibali cha ujenzi holela manispaa ni kina nani?? Na pia wafanyakazi wa manispaa wasingepata ujasiri wa kula rushwa,isipokuwa labda wameona mlegezo wizarani tamisemi na wizara ya ujenzi ,mnyororo mrefu wa tuhuma wote wanyoosheane vidole ili iwe funzo kwa taifa

  • @MandoliiMoshi
    @MandoliiMoshi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    serikali ndo inahusika na vifo vya watu katika ilo jengo kwa sababu wakaguzi wa majengo marefu wapo n serikali wenyewe asa kwann wakamatwe wamiliki? serikali ndo washtakiwa wa kwanza kukwamatwa pia nyie serikali musituone cc muwa hatuna akli ko tunajua vzr nyinyi serikali ndowakaguzi wa haya majengo makubwa asa kwnn muruhusu jengo kutumika akati munajua liko chini ya viwango asee

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky วันที่ผ่านมา +1

    Mmmmh: How??????

  • @Sharifajafari-ys6gx
    @Sharifajafari-ys6gx 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duh kuuwa tena

  • @FatumaJuma-b2g
    @FatumaJuma-b2g วันที่ผ่านมา +1

    Asant Kwa taalifa

  • @twahahamidu6246
    @twahahamidu6246 วันที่ผ่านมา +1

    Wafugwe au walipe fidia

  • @LushweKuandika-lm9zc
    @LushweKuandika-lm9zc 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    29??

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo bubu miaka 61 atafia jela

    • @kulwalucas8848
      @kulwalucas8848 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @aishaaisha7097
    @aishaaisha7097 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wangesamehewa tu 😢

    • @chrisshonga
      @chrisshonga 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wakati mwingine hata kukaa kimya ni hekima tosha sana sio lazima uonekane umechangia kitu ambacho hujui maumivu yake yakoje

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora hasaaa,lakin walipe fidia

  • @alimuse6980
    @alimuse6980 วันที่ผ่านมา +3

    Maonezi majengo mangapi duniani yana poromoka waachieni huru

  • @adamonesmo2253
    @adamonesmo2253 วันที่ผ่านมา +1

    Wanakosa gan

  • @AsiaShaban-zz4yr
    @AsiaShaban-zz4yr 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe ni waarabu

    • @nusalim3389
      @nusalim3389 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwahio? Na huyo mwafrika je kazaa nao? Unajua nyumba za kariakoo vizuri lakini,mwarabu anakuwa masikini ya Mungu TU, nyumba inaweza kuwa ya urithi,ila ikamilikiwa na mkinga kwa miaka 10 au 20,akaijenga na kuchukua Kodi,mda wake ukiisha inarudi kw wenyew au warithi,hawana wanachojua kiujenzi umeendeleaje wanaona TU mabango ya sheria hawawezi jua madudu,zaid ya kuwa wao wanaonekana kwenye jina tu,ndio mana wanazuiwa wote

  • @jastinejackson9942
    @jastinejackson9942 วันที่ผ่านมา +1

    Muwasamehe kama Mungu wa mbinguni anavyotusamehe sisi.

  • @McT-m1m
    @McT-m1m วันที่ผ่านมา +2

    Mimi naona ni uonevu tu lakini siku zote haki ipo kwa allah sasa makosa yao ni yapi

  • @janepopular889
    @janepopular889 วันที่ผ่านมา +1

    polen

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 วันที่ผ่านมา +1

    Wale wa serikali engineers mbona hapa hawapo wakati wao ni wahusika wakubwa. Hawa waliofikishwa hapa waachiwa ikiwa itaonekana hakuna mhandisi. Kinachotakiwa wakamatwe wahandisi hawa wanaonewa

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Trump alishawahi kusema,Africa ni kama shimo la choo

  • @serafinamalecela4728
    @serafinamalecela4728 วันที่ผ่านมา +1

    Duh

  • @fanuelijustice9056
    @fanuelijustice9056 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢

  • @AlbertSabo-hp3ss
    @AlbertSabo-hp3ss วันที่ผ่านมา

    Maigizo tu hayo. Sasa wao kosa lao liko wapi? Sio wachoraji wala mainjinia. Na pia kuna mamlaka ya kupitisha na kukagua majengo😮

  • @saidhamwisha5137
    @saidhamwisha5137 วันที่ผ่านมา +3

    Wana makosa gani sasa hao watu wa watu

  • @AishaDiddi
    @AishaDiddi 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bwana inauma sana ila mungu akipanga jambo lake hakuna wakupindisha hawa watu wachiwe tu maana watu wengi wanafanya maukarabat yanyumba zao kila kukicha kwahiyo jumba likiporomoka nikafungwe

  • @charlesmwakagile7294
    @charlesmwakagile7294 วันที่ผ่านมา +1

    Walipe fidia kwa familia zilizopteza ndugu zao

  • @OmegaJustine
    @OmegaJustine 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😮

  • @ritchiexanti9587
    @ritchiexanti9587 วันที่ผ่านมา +3

    Mnaouliza kwenye comment kwamba wana makosa gani hamjui kusoma hyo title au?? nyie mshasikia kabisa kwamba kuna dalili za uzembe na ujenzi holela uliosababisha hasara ya mali na vifo vya watu takribani 29 hilo mnaona kawaida? au mpaka mfiwe nyie?? Watanzania tujitafakari sana adui namba moja kwetu bado ni ujinga pamoja na miaka yetu 60 na kitu ya uhuru.

    • @awemaqway1201
      @awemaqway1201 วันที่ผ่านมา

      Pamoja na yote nani alitoa kibali cha ujenzi kiendelee kwenye hilo jengo naye inatakiwa pia afikishwe mahakamani kwa sababu hakufanya tathmini ya kuruhusu ujenzi ktk eneo ambalo shughuli zinaendelea labda itokee hawakuwa na kibali cha kuendeleza ujenzi

    • @ritchiexanti9587
      @ritchiexanti9587 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@awemaqway1201 no matter the cause lakini lazima mtu ajibie haki ya hizi roho zilipotea ndo maana tuna mifumo na idara za mambo haya....kama ni mhusika wa jengo au ni mamlaka husika basi itafahamika na haki itatendeka....lakini hizi comment mtu anauliza eti hawa wana makosa gani zinachefua sana....unadhani wamejisalimisha au wametafutwa na kukamatwa? Na kwanini? Lazima mtu ajibie hizi roho zilizopotea.

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 วันที่ผ่านมา

    Sasa wanakosa gani ama wao wameliangusha makusud hiyo ni ajali kama ajal zingine japo watu wamepoteza Maisha ingelikuwa hivyo basi kila ajali kila mmoja angetiwa mbaroni

  • @pksailortz4404
    @pksailortz4404 วันที่ผ่านมา +1

    Waachiwe lile ni janga kama majanga mengine😢

  • @merrykitiwi775
    @merrykitiwi775 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    W
    Aa

  • @JoyceAbel-v6p
    @JoyceAbel-v6p วันที่ผ่านมา +2

    hawana makosa jaman kifo kipo tu

  • @AnthonyTilia
    @AnthonyTilia 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siku zote wajinga ni wajinga tu

  • @AdamSwalehe-c9b
    @AdamSwalehe-c9b วันที่ผ่านมา

    Hio sio sawa kabisa hio ni ajari kama ajar zingine hivyo wangetakiwa tu kulipa fidia bas

  • @MeshafabianiNghawalala
    @MeshafabianiNghawalala 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hiyo ni ajali tu kama ningine

  • @JoanessAdoloph
    @JoanessAdoloph วันที่ผ่านมา +2

    Awana makosa

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 วันที่ผ่านมา +1

    Wanaonewa tuu

  • @EsterM-g7o
    @EsterM-g7o วันที่ผ่านมา

    Wasamehewe awakupenda wanajujutia sana

  • @Sharifajafari-ys6gx
    @Sharifajafari-ys6gx 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inaitwa polisi utoki bule😂😂😂😂😂

  • @barakasabunduli5133
    @barakasabunduli5133 วันที่ผ่านมา +1

    Hawana makosa wasamehewe tu

  • @marwamarwamangera698
    @marwamarwamangera698 วันที่ผ่านมา

    hawa hawana kosa mana hata sekrikali ina majego abayo tunaka je?yenyewe kwa bahati baya likitokea lakutoke watamshitaki nani hii nihajali kazini ilitokea kwa bahati mbaya tuu wala hata wawo hawakupeda gorofa liaguke na watu kufa