My brother na nī Bishop endirie ciana ciakwa kwangoma na agikoma nacio 😰

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @Wanduawamwangi.
    @Wanduawamwangi.  หลายเดือนก่อน +19

    You can have a word with shiru
    +254721773770 just encourage her 😭😭😭😭😭

    • @doreenshii563
      @doreenshii563 หลายเดือนก่อน +5

      Mwambie aende Thika kwa pastor Joshua afanyiwe deliverance,huyo haitishangi pesa, maybe utake kurudisha shukran....wandua mpeleke na muingie live

    • @emmahkamande
      @emmahkamande หลายเดือนก่อน +1

      @@doreenshii563 Kwa apostle Joshua atazaidika nikweli 💪💪🙏

    • @BethMwangi-u2t
      @BethMwangi-u2t หลายเดือนก่อน +2

      Mwambie aombwe everything itakua sawa,huyo mungu unaomba ndiye atakuponya mum please

    • @LucyChege-k
      @LucyChege-k หลายเดือนก่อน +1

      @Wanduawamwangi connect that lady with Rev Cephas of CCI Ndandora for effective deliverance na atasaidika in Jesus mighty name

    • @wanguinjoroge513
      @wanguinjoroge513 29 วันที่ผ่านมา +1

      @@Wanduawamwangi. OK 👌 I even have story like that ,about my son aftercompleting his 4m4 educationi don't know what happened, but i suspect someone doing a witchcraft to him ,but yours is more worse but we still believe iñ God for everything

  • @judywarui768
    @judywarui768 หลายเดือนก่อน +18

    Tafuta a true man of God afanyiwe deliverance as soon as possible pamoja na your son

    • @essywanjiru2092
      @essywanjiru2092 หลายเดือนก่อน

      Ooh yeesss

    • @pastorannneema
      @pastorannneema 25 วันที่ผ่านมา

      She needs Salvation first, then prayers. Prayers without Salvation doesn't work in this situation

  • @EstherNyambura-r6c
    @EstherNyambura-r6c หลายเดือนก่อน +7

    😭😭😭😭woi Mungu wangu....sijai skia story uchungu kama hii, bt naamini hio sio cancer mum..hio ni spirit mbaya, kitu unahitaji ni maombi na deliverance

  • @Argonhershi
    @Argonhershi หลายเดือนก่อน +2

    That son mwenye aliombea huyo mtoto is strong spiritually and he is all that famiy needs.That is happening to make the boy strong spiritually he is being trained for great missions in the future ❤❤God is great i speaking healing spiritually,emotionally and physically it will be a testimony to the world.Stay strong

  • @Monicah-qe5su
    @Monicah-qe5su หลายเดือนก่อน +16

    Tafuta pastor Bamboo wa life is spiritual watoto wafanyiwe deliverance

    • @veromuniu
      @veromuniu หลายเดือนก่อน +3

      Apana amtafute YESU CHRISTO. Sio binadamu

    • @catecathey4059
      @catecathey4059 29 วันที่ผ่านมา +3

      ​​@@veromuniuYes of course, they need Christ Jesus to deliver them....but they need a spiritual authority to take them through the deliverance process .... don't be ignorant of the devil's schemes ... deliverance is a process n require someone with spiritual authority.....true men of God are still there

  • @JJ-fw7cy
    @JJ-fw7cy หลายเดือนก่อน +7

    Pole sana mum .May God have mercy for you and your family. It's gonna be well in Jesus name

  • @musa02129
    @musa02129 23 วันที่ผ่านมา +1

    wooooooi maa pole mum,,,, may lord heal you🙏🙏🙏

  • @mag_35.-25
    @mag_35.-25 14 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mama amezika huyo mtoto karibu na kwetu but kumbe this is what happened 😢😢WA Ann gía na thayú

  • @janenjuguna8314
    @janenjuguna8314 หลายเดือนก่อน +10

    Pole sana mama,,,hio story ya hao wasichana ali rape niliona kwa wambui wa mwangi,,it's a true story

    • @irenemwangi4714
      @irenemwangi4714 หลายเดือนก่อน

      Title kwa wambui inaitwa aje?

    • @86jamani
      @86jamani 28 วันที่ผ่านมา

      Aii these are different ppo. Wambui wa mwangis there was no witchcraft, its a nephew who is a bishop raping his cousins and impregnated one in high school

  • @Perrymwas
    @Perrymwas หลายเดือนก่อน +13

    Mama,, watoto wako walikuwa already wameuzwa kwa shetani, please be prayerful and close to God to save your son

  • @lucykagoru6060
    @lucykagoru6060 หลายเดือนก่อน +13

    Abba Yahweh kunja kwa huyu mama, uko na uwezo na nguvu zoote,mponye na uponye huyo mtoto wake ,Muumba wetu katika Jina lililo juu ya majina yote la Yashuah ingilia haya ,mpiganie ,nguvu za giza zimeshidwa ,damu ya Yashuah itakuokoa mami,pole sana.

  • @sarahnaomi4546
    @sarahnaomi4546 27 วันที่ผ่านมา +1

    Wacha aongee imtoke.😢😢may the Lord our Mighty heal u

  • @Promise-g1o
    @Promise-g1o หลายเดือนก่อน +8

    I would want to meet this family in person

  • @kahurire3498
    @kahurire3498 หลายเดือนก่อน +4

    Achana na hospital kama unataka watoto wako waishi hio ni spiritual war not medication tafta uponyaji kwa mtu wa mungu wa ukweli na uchunge coz c wote wa mungu ,ujue huyo uncle wao do anawakula anaeza tumia watu wao kama true man ofGod

  • @MamaMalaika
    @MamaMalaika หลายเดือนก่อน +5

    That was no hospital matter, you knew but you ignored 😢. Pole sana coz it’s already done. Don’t let the grand child die, take to the healer Yeshua Messiah🙏🏾

  • @MelissMburu-wq2ry
    @MelissMburu-wq2ry หลายเดือนก่อน +7

    Woooi mungu wangu ,siku hizi hakuna mtu wa kuaminia watoto wako kama huyu ni brother yake amewafanyia hivo 😢,mungu akupe amani mum na akuponye

    • @MaryMumbi-t8y
      @MaryMumbi-t8y หลายเดือนก่อน +4

      Siku hizi hakuna brother ama sister, ni wewe na mungu wako

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 หลายเดือนก่อน +5

    Ooh pole mummy we speak fire back to the sender aki sad betrayal is real from the person who is close itamramba soon may God fight for yu 🙏

  • @marymwangi1782
    @marymwangi1782 หลายเดือนก่อน +5

    Wah pole mamaa May God see u through🙏🙏

  • @mariawambui1638
    @mariawambui1638 หลายเดือนก่อน +7

    Maroho ma ngoma mohete hakiri cia mutumia uyu nginya dareciria gutwara mwana ahoerwo😢😢😢😢

  • @gggrachealdavy7310
    @gggrachealdavy7310 หลายเดือนก่อน +6

    This story Nika yangu in 2015wen I wrz in high school.i remember thy are the time I found myself in the hospital, second in the house I found my mom,shos kol me Rachael week up .we ati the last I travel to the pry in Tanzania.&that it wrz the spirit some send to me.the Tanzania pastor pray 🙏🙏 to me & that spirit come out.i found myself free .

  • @JacklineMuchoki-h2q
    @JacklineMuchoki-h2q หลายเดือนก่อน +12

    Huyo mtoi hajakufa kuna story kama hii hapa TH-cam na Jay same as this mtoi hadi akazikwa but hakua amedead its has been long story but glory to GOD mtoi alipatikana mombasa kama hajakufa yet walikua hadi wamemzika be prayerful guys😢😢😢sad

    • @jecintawamaitha4580
      @jecintawamaitha4580 หลายเดือนก่อน +1

      Iko you tube ya nani pls niangalie

    • @Edgybhthjklew
      @Edgybhthjklew หลายเดือนก่อน +1

      Iko Kwa channel gani

    • @wanguinjoroge513
      @wanguinjoroge513 หลายเดือนก่อน +2

      Iko wapi tutazame

    • @alicekamau321
      @alicekamau321 หลายเดือนก่อน +1

      @@JacklineMuchoki-h2q could you share u tube name

    • @Bellah-c3m
      @Bellah-c3m 29 วันที่ผ่านมา +2

      @@JacklineMuchoki-h2q jay zake ni story za jaba mummy dramalee

  • @AishaMusa36
    @AishaMusa36 27 วันที่ผ่านมา +1

    May God see you through mum😢if God answers us just am sure he will do it for you keep praying 🙏

  • @leahmaina1215
    @leahmaina1215 16 วันที่ผ่านมา +1

    Plz wandau huyu mama sijeskia mahali ameenda kanisani hata kuobewa it's painful bt in God every thing is possible....I know archbishop Harrison can deliver hee😭😭

  • @teresiawanjiku6794
    @teresiawanjiku6794 หลายเดือนก่อน +6

    Those kid are not sick take them for prayers.your brother want to sacrifice your kids for riches.

  • @SalomeWanjiru-s1f
    @SalomeWanjiru-s1f หลายเดือนก่อน +3

    Mammy nihuzuni sana aki pole but kubuka ulisema mtoto aliongea akasema umelusiwa ugonjwa please please caria sacrifice uthii kwi Reve zakayo kamutiini ministry kiambuu muhoe nake na niokuona umithio nduri muruaru ni maroho wiikiirio nonginya witikire kuruta gicunji niguo kiria kia rutiruo ni brother yaku githate Ngai akuririkane muno 😢😢

  • @wanguinjoroge513
    @wanguinjoroge513 หลายเดือนก่อน +4

    Bishop yupi huyo tuabiwe😢😢

  • @queenexellent9854
    @queenexellent9854 29 วันที่ผ่านมา +3

    Peleka watoto kwa mtumishi anaye omba Mungu wa ukweli hakuna ugonjwa hapa.may you have wisdom.its demonic attacks.Kakande ministries in Uganda.

  • @maggiesonnie1027
    @maggiesonnie1027 หลายเดือนก่อน +3

    Your uncle shared that story of his daughter's kwa wambui wa mwangi. Poleni sana aki.thats so painful n sad story 😢

  • @JoyJoy-xs1vx
    @JoyJoy-xs1vx หลายเดือนก่อน +5

    That child did not deserve to die😢😢am disappointed 😢😢😢

  • @CatherineNjoroge-k8s
    @CatherineNjoroge-k8s 25 วันที่ผ่านมา +1

    Wish God had revealed to you immediately wen yu knew wamekatwa nywele Na kucha uende deliverence but stii hujachelewa...tafuta uso Wa Bwana ...😢

  • @marykinyanjui7827
    @marykinyanjui7827 23 วันที่ผ่านมา +1

    I heard that story of her uncle in Wambui wa mwangi ,wish we can help this woman in prayer and financially 😢.

  • @PeninahWanjiru-g1q
    @PeninahWanjiru-g1q หลายเดือนก่อน +12

    Ni nyakati zamwisho ati huyo ni bishop niwakanisa gani😢😢😢

    • @queenexellent9854
      @queenexellent9854 29 วันที่ผ่านมา +2

      Right ,kumanisha anauza washirika pia

  • @gracewaithira5747
    @gracewaithira5747 หลายเดือนก่อน +4

    Haiya haha no NGAI uguka ..tihahuthu saitani ashidwo kabisa😊

  • @Ciruuu
    @Ciruuu หลายเดือนก่อน +7

    Hii kitu tafuta Mtu wa Mungu atajuaje juu wote siku hizi wanafanana..... We need to train ourselves kujiombea juu weeh.... Some of Hawa mapastors they need deliverance kushinda ata washirika wenyewe......

    • @grayceegracie5050
      @grayceegracie5050 หลายเดือนก่อน +1

      PASTOR NGARUIYA AND CEPHAS FTOM BARUTHI TV CAN HELP. THEY ARE KNOWN FOR GOOD AND TRANSPARET JOB.

    • @pastorannneema
      @pastorannneema 24 วันที่ผ่านมา

      The man in this story is not a pastor. He's an agent of Lucifer

  • @MaryKim-en7ox
    @MaryKim-en7ox หลายเดือนก่อน +3

    Uuuuii kumbe ni the same guy ,hiyo story ya hao girls wawili Iko kwa wambui wa mwangi 😢

    • @Naomy254
      @Naomy254 หลายเดือนก่อน

      Nitumie link

  • @estherguchu7233
    @estherguchu7233 29 วันที่ผ่านมา +2

    Gaai mungu kumbuka huyu mama, aty machozi haya yote ni brother yke lkn mungu anajua siri

  • @MKuria-y1w
    @MKuria-y1w 27 วันที่ผ่านมา +1

    get soon mum mungu umwema ata waponya in Jesus's name 💙 in Jesus's name amen sad🙏🏼😢

  • @estherwalsh4658
    @estherwalsh4658 หลายเดือนก่อน +5

    Haiya... kumbe huyo ni brother yako mwenye alikuwa kwa wambui 😢
    Woi ma mùciī wanyu nīŭkwenda mahoya maingī ma..😢😢

    • @MaryKim-en7ox
      @MaryKim-en7ox หลายเดือนก่อน +2

      Eeeh aki ni yeye hiyo story niliona

    • @judymwangimuthoni4176
      @judymwangimuthoni4176 29 วันที่ผ่านมา

      Mko na link ?

    • @joycewambui5560
      @joycewambui5560 29 วันที่ผ่านมา

      @@estherwalsh4658 headline ya huyo pst kwa wambui ni gani

    • @rosekamau8537
      @rosekamau8537 28 วันที่ผ่านมา

      N uncle yake,,, yy ndiye alimshikisha after kugundua huyo bee shop the devil has raped his dotas.16yrs, 14yrs

  • @natashanganga7881
    @natashanganga7881 หลายเดือนก่อน +2

    😭😭😭so emotional lakini msaidie kutafuta mchungaji afanye deliverance n afanyie pia mtoto uyo mwingine aky nimelia

  • @AnnAnnie-ow4tn
    @AnnAnnie-ow4tn หลายเดือนก่อน +11

    Na wamama bado wanatetea a certain bishop,na mwenye alikuwa karibu na yeye alisema ,alipeana watu wakufe,,these days,, bishops,,though not all of them,wanatafuta wafuasi na nguvu ,na kutumia nguvu za giza.

  • @lucydylan1379
    @lucydylan1379 24 วันที่ผ่านมา +2

    niliona uncle ya huyu mama aki interview na wambui wa mwangi hii familia Mungu aikumbuke 😢

  • @jacquelinemumbi8952
    @jacquelinemumbi8952 หลายเดือนก่อน +29

    Huyu mama alijua what happened to the child but akapeleka mtoi hosi that's why the child died if only she had gone to seek spiritual guidance.

    • @njaukstep
      @njaukstep หลายเดือนก่อน

      @@jacquelinemumbi8952 she doesn’t know

    • @hannahrhodah2018
      @hannahrhodah2018 หลายเดือนก่อน +2

      Exactly

    • @MarygathuOman
      @MarygathuOman หลายเดือนก่อน +8

      Not everyone knows about spiritual attacks

    • @hannahrhodah2018
      @hannahrhodah2018 หลายเดือนก่อน +1

      @MarygathuOman so unfortunate

    • @wanguinjoroge513
      @wanguinjoroge513 หลายเดือนก่อน +4

      Mtu huwaza hospitali kwanza sio kutaka 😢

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M หลายเดือนก่อน +2

    La haû -la Walla qûwatah illa billah
    (THERE'S NO POWER OR MIGHTY, BUT GOD) ibilisi anatimiza ahadi yake ya kuwakusanya wafuasi wengi ,waugue naye pamoja siki za mwisho..
    This is so painful 😢😢😢

  • @webnejs5365
    @webnejs5365 หลายเดือนก่อน +6

    pole Sana dada omba Mungu na ufuje hiyo maghabahu mtoto wako atpona in Jesus Name

  • @rhodanjeri5775
    @rhodanjeri5775 29 วันที่ผ่านมา +2

    Yani ni the same Bishop mwenye story yake ilikua kwa wambui wa Mwangi 😢😢😢😢blood of jesus Hao ni wale ma bishop wanaambiwa watatajirika wakipeana watoto wa watu na walale na watoto yke ime back fire

  • @paulinemurugi4732
    @paulinemurugi4732 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo brother Ako akufe na aozee jela,ameamua kumaliza familia mzima,may good lord give u peace mummy all shall be well mummy I will pray and pray for u and ur entire family

  • @marthagithinji5714
    @marthagithinji5714 หลายเดือนก่อน +3

    Wooii ngai iguira mutumia uyu tha ngai githi nduri ngai wa ihinda ringi giria mutumia uyu maithori 😢

  • @bethwaweru7739
    @bethwaweru7739 หลายเดือนก่อน +5

    Mama, if you believe in God, you need to pray and pray and pray. This is a spiritual battle and only the blood of Jesus will protect your family . Teach your children to pray too. The most powerful weapon we have.

    • @grayceegracie5050
      @grayceegracie5050 หลายเดือนก่อน +1

      @bethwaweru7739
      Ahsante kwa hii comment. I wish she would stop using and believing in salty water. These are beliefs from the diviners. THERE'S POWER IN THE BLOOD OF JESUS CHRIST. May God come through for you. Your brother opened a door into your family for the demons to torment you all. Seek God and a true God's servant to hold your hands. Pole sana.

  • @estherkibui2371
    @estherkibui2371 หลายเดือนก่อน +19

    Listen but not judge Mama alijua watoi kwenye wamepelekwa angeenda na watoi kwa mlima not hospital life is spiritual. Plz God deliver this family 🙌🙌😢

    • @hannahrhodah2018
      @hannahrhodah2018 หลายเดือนก่อน +2

      Very true ,

    • @NancyNjihia-g2s
      @NancyNjihia-g2s หลายเดือนก่อน +2

      This is a spiritual battle,she was blinded ,her mind was captured by those powers of darkness she couldn't think of what is Soo obvious to everyone

    • @veromuniu
      @veromuniu หลายเดือนก่อน +1

      @@estherkibui2371 mlima gani?

    • @catecathey4059
      @catecathey4059 29 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@NancyNjihia-g2svery true.... when you are under the powers of darkness, you are no longer yourself again

  • @Lucychege085.
    @Lucychege085. หลายเดือนก่อน +13

    I can remember her uncle sharing this story kwa channel ingine vile watoi wake walishikwa na first born akapata mimba, may God remember this family 😢

    • @evatynjuguna4220
      @evatynjuguna4220 หลายเดือนก่อน +1

      @@Lucychege085. Yes kwa wambui wa mwangi

    • @sonyia7521
      @sonyia7521 หลายเดือนก่อน +1

      Are you serious? You mean that man ndiye brother wa huyu mama?

    • @evatynjuguna4220
      @evatynjuguna4220 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@sonyia7521 yes kimbia uko usikie maajabu

  • @RuthWanjirumaina
    @RuthWanjirumaina 16 วันที่ผ่านมา +1

    May God have mercy on her

  • @beatricewangui6980
    @beatricewangui6980 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana same thing happened to me mtoto wangu niliishi KNH for four monthstoi ni damu kwaapua na kutapika damu akiongezwa inatoka my only handsome boy aki but Dactari akaniambia nitafute njia zingine coz mtoi hana ungojwa after all my aon went off ad He Rested well in our beautiful Morning after sharing some good time with him ad after eaten some maembe my son just slept till now hajawahi amuka Lord this was like the world turned to my life but 💔💔😭😭

    • @Wanduawamwangi.
      @Wanduawamwangi.  หลายเดือนก่อน +1

      Pole saana 🙏

    • @janemwangi6932
      @janemwangi6932 หลายเดือนก่อน

      Shida ya watu wengi ni ku refer the victims kwa the so called deliverance preachers. Do you know deliverance ministry is man made for self gain? Casting out demons is not deliverance. Never interpret scriptures using dictionary. The scriptures were written in Hebrew. In the five fold ministries, there is nothing like deliverance ministry. Search the five ministry verse then open the bible and read to confirm. People are perishing for lack of knowledge of the word of God. People should be referred to christ not deliverance preachers otherwise hata waombewe bt they've not yet received christ, the enemy will still attack othewise they're not covered by the blood of Jesus christ.

    • @janemwangi6932
      @janemwangi6932 หลายเดือนก่อน +1

      Wahubiri wengi siku hizi are in cultism just like her brother. So refer people to christ not man.

  • @JecintahMuthoni-mk8je
    @JecintahMuthoni-mk8je หลายเดือนก่อน +10

    But wewe mama wakati uliona vyenye kunaenda bona hukutafuta watumishi wa mungu sually 😢😢😢

    • @agnesmwangi7904
      @agnesmwangi7904 หลายเดือนก่อน +8

      Mbona mnaamini watumishi kuliko Mungu??

    • @EstherWangare-nd9oc
      @EstherWangare-nd9oc หลายเดือนก่อน

      Aki hili ndio swali langu woooi , 😭😭 siangeambia watu angesaidika kwa maombi

    • @janemwangi6932
      @janemwangi6932 หลายเดือนก่อน

      ​@@agnesmwangi7904 Ndiye na shidwa, wahubiri wengi siku hizi wana tumia nguvu za illuminate. Si hata huyu brother yao ana kula watoto wao ana jiita pastor. Wahubiri wenye husema wana fanya deliverance ni wa uongo kabisa. Deliverance is salvation an God alone is the deliverer si binadamu. In the five fold ministries, there is no deliverance ministry. Casting out demons is not deliverance. Deliverance is the movement from the king of satan to the king of God. Casting out demons is commanding demons out of the victims.
      Never interpret the scriptures using dictionary otherwise the bible was written in Hebrew. Scriptures interprets themselves..

    • @hannahrhodah2018
      @hannahrhodah2018 หลายเดือนก่อน

      ​@agnesmwangi7904 It's the same God who has annointed those men and sent them here to help people. If you don't believe there are true Men of God remaining wee kaa hivo

    • @JoyJoy-xs1vx
      @JoyJoy-xs1vx หลายเดือนก่อน

      Exactly

  • @PerrySonnier
    @PerrySonnier หลายเดือนก่อน +2

    Ooh my God ,hizi n Gani Sasa aki😭

  • @pastorannneema
    @pastorannneema 25 วันที่ผ่านมา +1

    Sorry mama. What you needed was not hospital and medication. You needed first to get born again and be in a church of a true Bible teaching church, and you can engage in a journey of prayers with the pastor, yourself and even church brethren because this was a tight Spiritual warfare. Please do that mama so that you save the rest of your family. Anzia na kuokoka ili uwe na nguvu na mamlaka ya kuvamia hayo maroho kiroho. Nitakuombea but chukua hatua nimekwambia, tena kwa haraka.

  • @rahabmaina3240
    @rahabmaina3240 28 วันที่ผ่านมา +3

    Mum hauko mgonjwa you only need deliverance pamoja na watoto wako mtakua sawa

  • @DamarisWangui-xq5wd
    @DamarisWangui-xq5wd 29 วันที่ผ่านมา +6

    Kwani uyu ni sister y ule mzee alikuwa kw wambui wa mwangi juu iyo storii y kurape watoi ilikuwa uko

    • @Gatwiri213
      @Gatwiri213 26 วันที่ผ่านมา

      @@DamarisWangui-xq5wd yule alilala na watoto wa ndugu yake na wako uhai walizaa wote

  • @faumash6734
    @faumash6734 หลายเดือนก่อน +2

    waah my GOD see you through mum

  • @joycemwihaki8613
    @joycemwihaki8613 26 วันที่ผ่านมา +2

    Mama kwa Saa hii mambo. Haitakusaidia,nasisemi mambo ni mbaya but you need a major prophet to fight that demonic spirit,kuna jini yakuwamaliza na sasa vile imemaliza huyo mwingine na sign ni zile Tu zilianza ule mwingine

  • @veromuniu
    @veromuniu หลายเดือนก่อน +5

    Semeni jina lake ,kanisa ,na yale yoote wananchi wanafaaa kujua.mkimficha mnaumiza watoto ,na binadamu wengine.

    • @rhodanjeri5775
      @rhodanjeri5775 29 วันที่ผ่านมา +3

      Hata kwa wambui wa mwangi Kuna story yke vile alirape Hao watoto anaitwa Elijah

    • @fridahmwangi2760
      @fridahmwangi2760 27 วันที่ผ่านมา +1

      Niagwetwo na maritwa mothe tumumenye

  • @favourmiracle872
    @favourmiracle872 24 วันที่ผ่านมา +1

    This story makes me to loose confidence with pastors and churches, may Jesus anoits us with prayer to deliver ourselves

  • @deservetracy7733
    @deservetracy7733 หลายเดือนก่อน +2

    Lakini ata ww mom ulifanya makosa unge seek spiritual help aki na mtoi akikwambia anaona vitu u could rebuke them aki mtoi angekufa 😢wooooi

  • @skylarwaweru4852
    @skylarwaweru4852 หลายเดือนก่อน +4

    Poleni sana family s ziko na shida dont trust anybody even your Siz brothers Hugs mum nikuri ngai wa hihinda ringi

    • @PamelaPamelaPamela-i6m
      @PamelaPamelaPamela-i6m 26 วันที่ผ่านมา +1

      Ukweli mi nimeuliwa twins girls one year old na my two sisters...iyo kitu inaniuma sana 😢😢

    • @Wanduawamwangi.
      @Wanduawamwangi.  26 วันที่ผ่านมา +1

      @PamelaPamelaPamela-i6m uko wapi

    • @PamelaPamelaPamela-i6m
      @PamelaPamelaPamela-i6m 26 วันที่ผ่านมา +1

      @@Wanduawamwangi. Nko kasarani mwiki.september ad October watoto wangu wakaeda hivo tu.this year

    • @Wanduawamwangi.
      @Wanduawamwangi.  26 วันที่ผ่านมา +1

      @PamelaPamelaPamela-i6m your phone number

  • @AnnAnnie-ow4tn
    @AnnAnnie-ow4tn หลายเดือนก่อน +7

    Change how you introduce your story,coz umepeana story yote,hata hakukua na haja ya kuleta story yenyewe..aende Vincentian retreat center Thika road,,, Friday,,hata hataombewa na mtu,,wakati misa inaendelea,,watafunguliwa peke yao,,ama aende weekdays,, kunakuanga na one on one na fathers,atapewa tu bible verses,,,

  • @veronicahnyambura1696
    @veronicahnyambura1696 29 วันที่ผ่านมา +2

    Enda Cci Dandora , Rev Cephas will help you

  • @faithnyambura425
    @faithnyambura425 หลายเดือนก่อน +2

    Haki, why mum. Haki hakukua na mtu wa kua advice huyu mum apeleke watoto deliverance 😭😭. Please God, save the other one

  • @perismwangi5824
    @perismwangi5824 29 วันที่ผ่านมา +3

    Tuache kumlaumu huyu mama kwa kukosa kuwajulisha mapastor...maybe alichaganywa ma mapepo na huyo broo wako ili asichanuke kutafuta wasaidixi

  • @SusanWanjiru-t5z
    @SusanWanjiru-t5z 29 วันที่ผ่านมา +1

    God have mercy,sasa wa kuamini ni nani

  • @estherlsaac
    @estherlsaac หลายเดือนก่อน +1

    Sorry so sad story 😭😭😭God, remember thi woman in Jusus might name Amen 🙏

  • @amani9823
    @amani9823 หลายเดือนก่อน +3

    Pole mama, Peleka watoto na wajukuu wako maombi

  • @SarahSarahSarah-h8r
    @SarahSarahSarah-h8r หลายเดือนก่อน +1

    Arotoma! Saitani nimuhoye piu,, in Jesus name, ti mundu wothe ugaga Gai uyu Gai witu, ukona jehovah, anza kuomba mungu, and have deep prayers, amka saa tisa usiku, na uanzage kuomba ukisema Gai ithe, murio na roho, alafu uwe unasika hao watoto wako mkono ukiomba, na usitake kuomba na nguvu

  • @carolinekinya-b5d
    @carolinekinya-b5d 27 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna Mungu mbinguni mama amini Mungu kwa kila kitu

  • @doreenshii563
    @doreenshii563 หลายเดือนก่อน +9

    Huyo mtoto ata anaeza kuwa hajakufa mlizika shadow yake..wakampeleka kwa temple yao ndo watumiange Spirit yke for their own gains weeuh ogopa watu

    • @nashryans7727
      @nashryans7727 หลายเดือนก่อน +2

      @@doreenshii563 inaweza kua..I heard of a similar case

    • @doreenshii563
      @doreenshii563 หลายเดือนก่อน +1

      @nashryans7727 wanafaa wafanye uchunguzi Kwa kina na watajua ukweli

    • @emmahkamande
      @emmahkamande หลายเดือนก่อน +2

      Hizi stories zko Sana but only deliverance will save hata Mtoto hajakufa ameuzwa..

    • @ambassadorofchrist6983
      @ambassadorofchrist6983 หลายเดือนก่อน

      @@nashryans7727 sikiliza promover tv testimony mafunzo na mahumbiri ya mchunganji katekela

    • @sonyia7521
      @sonyia7521 หลายเดือนก่อน +2

      Alichuliwa msukule, huyu mama ni naive sana

  • @Mggiecharleskui
    @Mggiecharleskui หลายเดือนก่อน +1

    Woi the same my small brother kalifanyiwa😭😭😭😭

  • @eunicewairimu518
    @eunicewairimu518 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna story related to this in Wambui Wa mwangi's channel,is it one family?

    • @CynthiaWanjiru-f1b
      @CynthiaWanjiru-f1b หลายเดือนก่อน +2

      Yes

    • @Edgybhthjklew
      @Edgybhthjklew หลายเดือนก่อน +1

      Seems so I have related with it they even look alike with that man in wambui's channel

  • @florencemungori274
    @florencemungori274 หลายเดือนก่อน

    Ningependa kuskiza but hiyo ya ntoo_ ntoro...imaasha_ imanishaga,,😅😅 nimeboeka😅

  • @lucymburu400
    @lucymburu400 หลายเดือนก่อน +6

    Aki mum uliachilia mtoto akakufa coz anajiexplain anaona mapepo ..
    Aiiiiiiiiiii it had pained me.....

    • @MaryMumbi-t8y
      @MaryMumbi-t8y 27 วันที่ผ่านมา +3

      Sio kupenda hizo evil spirit huwa zinakufunga design ingine hujielewi, siongeangi sana once upon time I was there, but God is great

  • @shikobig3591
    @shikobig3591 27 วันที่ผ่านมา +1

    Most people don't believe in spiritual attacks.. let's be praying for all our children...kwina ungoma muingi muno guku thi

  • @shiksjustin
    @shiksjustin หลายเดือนก่อน +3

    si watu wa kijiji wachukue hatua uyo mtu akitoka jera wamuue 😢😢si ata maliza family yao yote

  • @carolinenthemba866
    @carolinenthemba866 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo bro wako alichuku nyota za watoto wako tafta mungu akurudishie nyota zenyu

  • @elizabethwanjiru5572
    @elizabethwanjiru5572 หลายเดือนก่อน +1

    God please help this woman.and above everything heal her for your Glory

  • @BoboMugo-pz2uk
    @BoboMugo-pz2uk หลายเดือนก่อน +1

    Akolosai 2:13
    Inyuĩ-rĩ, kwĩ hĩndĩ mwakuĩte kĩĩroho nĩ ũndũ wa meehia maanyu o na nĩ ũndũ mwarĩ andũ a Ndũũrĩrĩ arĩa matarĩ Watho. No rĩĩrĩ, Ngai rĩu nĩamũheete muoyo hamwe na Kristũ. Ngai nĩatuoheire meehia maitũ moothe;
    Akolosai 2:14
    aatharirie thiirĩ ũrĩa twandĩkĩĩtwo o hamwe na Watho ũrĩa watũmĩĩte tũgĩe na thiirĩ ũcio, akĩeheria maũndũ macio o biũ na ũndũ wa kũmaamba mũtharabainĩ. Hau mũtharabainĩ Kristũ
    Akolosai 2:15
    nĩatooririe hinya wa maroho marĩa maathanaga na magathamaka; aamoohanirie magĩthiĩ mamuumĩĩte thuutha, agĩkĩonania mbere ya mũingĩ atĩ nĩatooreetie hinya wa maroho macio.

    • @BoboMugo-pz2uk
      @BoboMugo-pz2uk หลายเดือนก่อน

      Repeat this verses with sincerity of heart, God Will deliver those kids and restore everything the enemy has stolen...

  • @gracekuria4767
    @gracekuria4767 หลายเดือนก่อน +1

    😊Wewe Wacha introduction refu

  • @Grace-lq7vp
    @Grace-lq7vp หลายเดือนก่อน +6

    Host, try to cut short your introduction because you have already given us the whole story.......

    • @Wanduawamwangi.
      @Wanduawamwangi.  หลายเดือนก่อน +4

      Noted 🙏🙏

    • @PatrickMwaniki-o5y
      @PatrickMwaniki-o5y หลายเดือนก่อน +1

      Too long story....just seek true deliverance by true worshipers.

  • @AnnaBella-ty6we
    @AnnaBella-ty6we หลายเดือนก่อน +2

    The problem is that you didn't sink deliverance.Yiu have clean heart coz if it's me,the time to bury my kid we bury my brother too.

  • @JackyMuthoni
    @JackyMuthoni หลายเดือนก่อน +3

    Wee mama kwann ukupeleka mtoto church naunajua what happen?😥mpeleke aobewe usipatie setani nafasi naukicheza ata huyo atakuacha tu edelea ku-ignore.

    • @JoyJoy-xs1vx
      @JoyJoy-xs1vx หลายเดือนก่อน

      She is very ignorant,,that is spiritual matter

  • @dorcasgathoni580
    @dorcasgathoni580 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mum look for intercessors

  • @prettyn1039
    @prettyn1039 หลายเดือนก่อน +2

    Oooh no kwani kashcana kalipass i watched this story sometimes back

  • @charitymaina5965
    @charitymaina5965 3 วันที่ผ่านมา +1

    Bomoa mathanbahu hiyo ya shetani na magojwa back to Seder in Jesus name

  • @joycemwihaki8613
    @joycemwihaki8613 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mum hiyo jini imetumwa kumaliza familia yako,na umefungwa unapeana Iyo mambo kama yakawaida,pls kuna nikuperekee nambii coz utakufa cancer na huyo Mtoto ananguka ATA diagonisiwa cancer ya damu

  • @AdventureMania8
    @AdventureMania8 หลายเดือนก่อน +1

    May God heal the family

  • @marynjau2290
    @marynjau2290 หลายเดือนก่อน +4

    Wadua pliz mutware kwa pasta Kim kim

  • @zipporahwahito8793
    @zipporahwahito8793 หลายเดือนก่อน +3

    Nitakwabia ukweli manyuru ni more more fire fire 🔥

    • @ruthwilliams7371
      @ruthwilliams7371 หลายเดือนก่อน +2

      Ooh my 😮manyûrû ûrîkû?Messiah hingûra andû aku maitho ma kîroho 😢

    • @SusanKaranja-yu9hm
      @SusanKaranja-yu9hm หลายเดือนก่อน

      Ati manyuru Wacha mchezo

    • @Coach585
      @Coach585 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂this is a joke or what?

    • @catecathey4059
      @catecathey4059 29 วันที่ผ่านมา

      I think you are spiritually blind too zipporah....may God give you a discerning spirit dear

    • @Esbonkimani-jj8yk
      @Esbonkimani-jj8yk 27 วันที่ผ่านมา

      @@zipporahwahito8793 hata huyo ni wa giza,

  • @rosewambui9906
    @rosewambui9906 หลายเดือนก่อน +3

    Hey,Mami,ni inyuii murerete Ngoma kwanyu Kuma kiabiria ukimenyaga nimwaganu.

  • @__shirroh
    @__shirroh หลายเดือนก่อน +1

    I watch Chephas there
    But if you have direct connection it can be better

  • @phylismbugua4700
    @phylismbugua4700 หลายเดือนก่อน +1

    We speak the blood of Jesus Christ to deriver this family 🙏 please look for true men and women of God take them to CFF kwa bishop Harrison Nganga have no scandals please do it fast ama bishop Jj, there are there who will help you genuinely

  • @marthakairu8506
    @marthakairu8506 หลายเดือนก่อน +2

    Aki mum hata wewe for the first time uliona your bro amefanya hivyo na ukajuwa ungetafta mtu WA Mungu awaombe apinge hiyo mipango ya shetani .then if watu wenu wanajuwa huyo bro yako anafa mob justice akufe kabisa

  • @Annieclemens
    @Annieclemens หลายเดือนก่อน +1

    😮😢 I saw the story of the brother kwa Wambui wa Mwangi 😢

  • @elizabethwanjiru5572
    @elizabethwanjiru5572 หลายเดือนก่อน +1

    What they need is a good deliverance

  • @zipporahwahito8793
    @zipporahwahito8793 หลายเดือนก่อน +1

    Wee mama huyo mtoi akiangunga toa hiyo mapepo juu nirusifa mwenyewe anaonga sema kwa jina la yesu namuamuru mufungue hako kasichana ndio atafua hiyo family yako aki please 🙏