H BABA USO KWA USO NA DIAMOND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 77

  • @jacklinemwacha8885
    @jacklinemwacha8885 3 ปีที่แล้ว +5

    Kweli H baba fuguka wezi hao hawana lolote, Big up harmo kwakutuletea Tena Mr mauno

  • @camistechnology2091
    @camistechnology2091 3 ปีที่แล้ว +7

    H baba Yuko vizuri , maana diamond ana pretend kwenye camera Ila ndo panju wakatili mwenyewe na ni master mind

  • @gatusotz9315
    @gatusotz9315 3 ปีที่แล้ว +3

    H Baba Konde Geng 🔥🔥🔥🔥 Nomaaaaa

  • @raymondjohn1876
    @raymondjohn1876 2 ปีที่แล้ว

    Uyu hech baba inabidi abewewe uongozi wa kuwaongoza wasanini mana kawazidi akili 😂🤣✔️✔️✔️🙏🏼🙏🏼

  • @ankokawishe895
    @ankokawishe895 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa uno la H Baba zilipendwa umebk kuwa chawa wa mmakonde

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 2 ปีที่แล้ว +1

    H baba anapoint nyie mnaemkosoa h baba hamjielewi makuma tu

  • @egnomsigwa8418
    @egnomsigwa8418 2 ปีที่แล้ว

    H Baba sasa nakuona kiwivu tuu wala usijilinganishe wewe ni wewe

  • @petermando917
    @petermando917 2 ปีที่แล้ว

    Huyu h baba kuma sana huyu

  • @rhinoboy3556
    @rhinoboy3556 3 ปีที่แล้ว +2

    Watching Umbea from Kenya

  • @ameirnondo993
    @ameirnondo993 3 ปีที่แล้ว

    Usiombe usifiwe wakat uwezo huna h baba hamo ndio kt gan hahahahhahahahaha

  • @salmaalsharji8205
    @salmaalsharji8205 3 ปีที่แล้ว

    Amelipishwa kwani Kaingia bure

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 3 ปีที่แล้ว +1

    Ruge sisi wasafi hatuna la kumshukuru kwa kwel h baba achana na sisi

  • @faidoninyondo
    @faidoninyondo 2 ปีที่แล้ว

    Mimi naimba gospo Ila kaka HB nimekuelewa sana

  • @boscow9380
    @boscow9380 2 ปีที่แล้ว

    Unahalikwa kufanya kazi ya watu , unaenda kumsema Diamond.

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 2 ปีที่แล้ว

    USHETANI HUWO WOTE HATAJU MWENYEZI MUNGU HAPO WEWE H BABA NI SHETANI MNAKUFURU KUPITAMPAKA

  • @nellydaniel7515
    @nellydaniel7515 3 ปีที่แล้ว

    Wew h baba chizi unalolote ushapotea upoupo2 kama ganda la kalanga.

  • @buyukubwa9713
    @buyukubwa9713 2 ปีที่แล้ว

    DIAMOND bigup Africa inakutambua

  • @allanpeter5901
    @allanpeter5901 3 ปีที่แล้ว +1

    Mic zipo sababu ya majungu nnjombaaaa nasio hiyo collabo

  • @johechacyp4996
    @johechacyp4996 3 ปีที่แล้ว +2

    Msema,kweri

  • @mipawandilizu8783
    @mipawandilizu8783 3 ปีที่แล้ว +1

    Kila kitabu na zama zake, Mwl Nyerere alifanya makubwa nchi hii, na amepigania haki na uhuru kusini mwa Afrika, alifariki lakini heshima ipo. Wamepita wengine, akaja Magufuli, alionekana bora kuliko hata Mwl...
    Leo, Samia Suluhu yupo juu, ndo maisha! Na wewe hukumzaa Diamond platinum, ajirekebishe nini! Wewe umevurugwa tu,

    • @MODEKAI
      @MODEKAI 3 ปีที่แล้ว

      Hii ni burudani kaka sio siasa

    • @joelijoseph2709
      @joelijoseph2709 3 ปีที่แล้ว

      Mwambie

  • @samwelijoeli7174
    @samwelijoeli7174 3 ปีที่แล้ว

    Wewe ni msenge

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 3 ปีที่แล้ว +1

    H baba wewe endelea tu kumtukana mond ipo siku utapiga magoti mbele ya kamera

  • @mishelineamuri3618
    @mishelineamuri3618 2 ปีที่แล้ว

    Kweri kabisa

  • @ramadhaniramadhani3774
    @ramadhaniramadhani3774 2 ปีที่แล้ว

    Dogo kavue sangara nkome, kiki kwa dimo hupaaati

  • @nellydaniel7515
    @nellydaniel7515 3 ปีที่แล้ว +1

    Umetumwa malaya ww na mchawi2

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 ปีที่แล้ว

    We Ungekua Mzarendo Ungekua Unakatika Viuno Mbere Za Watu Wakila Dizaini Wakati Ukiwa Sio Chizi Tujifunze Nini Kwako Wewe Mziki Umekutupa Jomba

  • @jfjdnckfhdnc3916
    @jfjdnckfhdnc3916 3 ปีที่แล้ว

    Kwani wee h mama shida kubwa nini kwahuyo kaka wawatu kamchukia hebu pambana nahali yako

  • @msalabanireko1518
    @msalabanireko1518 2 ปีที่แล้ว

    Usifiwe kwa lp ww

  • @mtimacharles2059
    @mtimacharles2059 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli lakini

  • @priscillambingu7399
    @priscillambingu7399 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunaona ukweli huo kutoka kenya

  • @peterokwemba177
    @peterokwemba177 3 ปีที่แล้ว

    H baba falaaa tu

  • @kotongomunkupahlombe8169
    @kotongomunkupahlombe8169 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks H ba ba 👏👏👏👏

  • @ankokawishe895
    @ankokawishe895 2 ปีที่แล้ว

    Na kabeba tuzo ongea tena mwanga wwe

  • @yussufmussa315
    @yussufmussa315 2 ปีที่แล้ว

    hajafuta kwa.maslah yake tatoo.kwake.km.ufunguo.kwenye.maslah.yake

  • @iddikitola548
    @iddikitola548 3 ปีที่แล้ว

    Kaka kushafer acha wivu dogo katoboa muacheni aendelee

  • @ankokawishe895
    @ankokawishe895 2 ปีที่แล้ว

    M 600 ulikuwepo wakati anampa au kiki tuu njaa kali mfuate mwijaku kwenye neema wewe

  • @athumanmubaruk6871
    @athumanmubaruk6871 3 ปีที่แล้ว

    Kuna kitu kinasumbua huyu jamaa wivu sababu tz yoyote anafaa kusonga mbele kimaisha kinacho msumbua wivu wamaisha mshamba fran atembee dunia kubwa aondoe ujina wasanii wazaman in wengi lkn ujinga huu hawana

  • @boazmisango9797
    @boazmisango9797 3 ปีที่แล้ว +1

    100m h baba

  • @hamdanbakarihamdanbakari7580
    @hamdanbakarihamdanbakari7580 3 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @vionahsikanga2209
    @vionahsikanga2209 3 ปีที่แล้ว

    Unalazimisha kupendwa hehe

  • @carentemu9141
    @carentemu9141 2 ปีที่แล้ว

    Hugo nistaa wewe chizitu toka umeimbaumefanyanini daimondi anaimba na anacheza tatu kafunguwa makampuni watu wanafadika sasa samata kafanyanini
    Kapuni ana tunataka maendereooo sio ujinga

  • @priscillambingu7399
    @priscillambingu7399 3 ปีที่แล้ว

    haya ndio urudiya mtu kumbe unafanya vitu na watu wanakuona tu na huo ndio uzalendo unaongeya kweli

  • @vicentvenent447
    @vicentvenent447 2 ปีที่แล้ว

    Akusifie nan wakati kazi yako kumuataki diamond....wewe maic zinakufata kwavile unamzungumzia diamond ongelea kuhusu mr ebo au mr nice kama maic zitakufata....ujinga huo H.mama ..badilika ww

  • @deborangura2712
    @deborangura2712 3 ปีที่แล้ว

    Chaaa!!! Umekuwa msemaji wa baba tiffa!! Mana Apo no kumzungimZia tuu

  • @zuweinaally2413
    @zuweinaally2413 3 ปีที่แล้ว

    HIYO RAISI HAPIGIWI KURA NA WATU WOTE HUYO DIAMOND NI NANI NA HIYO TUNZO ITAWASAIDIA NINI WATU VIJIJINI

  • @stephanomwizalubi9619
    @stephanomwizalubi9619 3 ปีที่แล้ว +1

    MBONA UNAJISAHAU SANA UNASHINDWA KUFANYA INTAVYU UNAMTUKANA DIAMOND

    • @deborangura2712
      @deborangura2712 3 ปีที่แล้ว

      Wivu na roho yakwanini vimemsahaulisha

    • @suleymanbugado5892
      @suleymanbugado5892 3 ปีที่แล้ว

      Wewe ni chizi kufa na roho mbaya yako tutakupigia kura za kutosha unaonekana ukoo wako wote mnaroho mbaya

    • @justerkaregi8044
      @justerkaregi8044 3 ปีที่แล้ว

      Simba jota ya Tanzania

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 3 ปีที่แล้ว

    Sasa unataka wakuzungumzie wimbo wako kwani mond walizungumzia wimbo wake wa waah??? Mbona mnaleta mambo ya umavi hapa halafu hujui mboso kukutaja alikuinua kidogo ndipo mkaanza kuonekana

  • @athumanmubaruk6871
    @athumanmubaruk6871 3 ปีที่แล้ว

    Kila Sikh akihojiwa huyu jamaa amuongelea mond simuelew tatizo njaa

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว

    Nenda huko ajilekebishe nini

  • @nabillkhamis8188
    @nabillkhamis8188 2 ปีที่แล้ว

    Huna stor ww

  • @BK60066
    @BK60066 3 ปีที่แล้ว

    Acheni kugombana gombana nyinyi wanamziki wakibongo nyie mbona washamba washamba, nyie mnatakiwa muwe vitu kimoja nyie vipi watanzania, sie tupo south atujawahi kusikia wanamziki kugombana ata kutukanana alafu huku ndio kuna bunduki kama mtu unakwenda kununua pipi.. Nini nyie watanzania mnatutia haibu, miziki yenyewe mibovu alafu amuelewani

  • @theesankaratv
    @theesankaratv 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwani wivu inaeza fanya mtu ivi

  • @nasonmlonga2988
    @nasonmlonga2988 3 ปีที่แล้ว

    huna kazi zakufanya we hb uwe na aib bac mbon siyo msitarab kam ndev zako

  • @mipawandilizu8783
    @mipawandilizu8783 3 ปีที่แล้ว +1

    Mu'attack aliyeimba, Diamond ndo aliimba!? Kwani wakati huo Harmonise hakuwemo wcb? Wewe una chuki na Diamond platinum tu, huna lolote!

  • @abedysteven6910
    @abedysteven6910 3 ปีที่แล้ว

    Shda wivu 2

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 3 ปีที่แล้ว

    Wewe k

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 3 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo mwijaku ni sawa na mtu anaemshitaki mungu ndio tafsir yako si ndiyo???

  • @mipawandilizu8783
    @mipawandilizu8783 3 ปีที่แล้ว

    Huna aibu kabisa wewe H Baba, unatudhalilisha wasukuma, maana hatunaga umbeambea wakumsema mwanaume mwenzio..,

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 3 ปีที่แล้ว

    Wewe mshamba

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว

    Uzalendo upi chizi wewe .wakupe wewe Sasa pumbu wewe

  • @hawakiwamba9314
    @hawakiwamba9314 3 ปีที่แล้ว

    Kwani h baba dimond unamdai shingapi jmn mbna una mambo ya kike yasiyoisha

    • @stephanomwizalubi9619
      @stephanomwizalubi9619 3 ปีที่แล้ว

      Ukitaka kujulikana mtukane diamond

    • @finaaa0026
      @finaaa0026 3 ปีที่แล้ว

      @@stephanomwizalubi9619 😂😂😂😂😂😂😂😂 mwambie tena

  • @adoadomhagama2686
    @adoadomhagama2686 3 ปีที่แล้ว

    Sawa Dada H baba

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 3 ปีที่แล้ว

    We kuna kitu unataka usaidiwe na diamond ila utaki tu kuweka wazi na kwa akili yako unadhan matusi yako na kejeli kwake ndiyo yatamuumiza na kukusaidia,umepotea tu weweeee