WAGANGA WAHUNI WASHENZI// SHEIKH NYUNDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 31

  • @mohamedmazrui
    @mohamedmazrui 3 ปีที่แล้ว +15

    Mwenyezimungu amsamehe madhambi yake na ampe pepo ya firdaus 🙏

  • @MrJuma-in5io
    @MrJuma-in5io 2 ปีที่แล้ว +3

    MashAllah Mungu akulaze mahala pepa peponi,
    "Amin"

  • @alifaki4651
    @alifaki4651 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujalie pepo miongon mwa pepo za daraj la juu amiin

  • @fauzia4610
    @fauzia4610 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh wanipunga kwel... mwenyezi mungu ailaze roho Yako pahala pema peponi

  • @abdallahomar5868
    @abdallahomar5868 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah amjalie awe miongoni mwa watu wema wa peponi

  • @Mudikariat
    @Mudikariat ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe pepo shekh wetu

  • @fathyy436
    @fathyy436 2 ปีที่แล้ว +5

    Khutba imesheheni tawheed MashaAllah... Inalillah wainailaih rajiun

  • @DaudiAloycious-w5u
    @DaudiAloycious-w5u 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu sheikh mwenyezi Mungu amrehemu tu

  • @yusuphhugugu9759
    @yusuphhugugu9759 2 ปีที่แล้ว +2

    TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU
    AKUHIFADHI SEHEMU SALAMA
    AMIIN AMIIN AMIIN
    ALLAHUMMA AMIIN

  • @shakilayusuf7802
    @shakilayusuf7802 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akurehemu sheikh,mafunzo yako daima yatabaki kwenye nyoyo na nafsi zetu In Shaa Allah.

  • @abbdiibrahiimadan1959
    @abbdiibrahiimadan1959 3 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH amrahmu sheikh letu na ampe janah tul firdaus

  • @medwho959
    @medwho959 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuhifadhi, walahi nasaha Zako ni ya faida kubwa kwa umma. Allah akuhifadhi

  • @labanakyoo4177
    @labanakyoo4177 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapo umenena shehe, ulikuwa na mafundisho mazur

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

    Ulikuwa na mafundisho ya kipekee,,,,, Mashaallah!!!

  • @maryamnassoornassoor3336
    @maryamnassoornassoor3336 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallah Allah akujaalie pepo ya darja shekh nyundo tulikupenda lkn mola anakupenda zaid 🤲

  • @MazoeaKunawa-gf1zs
    @MazoeaKunawa-gf1zs ปีที่แล้ว +1

    Mashekhe wengi awakemei waganga wa shirikina ila nyundo ajaacha kitu,nyundo nyundo kweli

  • @ameirchum-qw5yv
    @ameirchum-qw5yv ปีที่แล้ว +1

    Kweli waganga wahuni cana

  • @mussakhamis2377
    @mussakhamis2377 2 ปีที่แล้ว +2

    Yarab mfutie madhambi yake shekh wetu

  • @mustafamaulid8276
    @mustafamaulid8276 2 ปีที่แล้ว +1

    اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه واكرم به

  • @salimomary1922
    @salimomary1922 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuhifadhi

  • @akimmiradji981
    @akimmiradji981 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuihifaz

  • @imranvaalvlogs2060
    @imranvaalvlogs2060 2 ปีที่แล้ว +2

    Maasha Allah

  • @abdurrahmanhatiib3193
    @abdurrahmanhatiib3193 3 ปีที่แล้ว +3

    اللهم اغفرله وارحمه

  • @nuiyaswalehe3421
    @nuiyaswalehe3421 2 ปีที่แล้ว +2

    Inalilah wainalih laniun

  • @elianamos8383
    @elianamos8383 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah malik

  • @FatumaMwalim-u3l
    @FatumaMwalim-u3l ปีที่แล้ว +1

    Hhh

  • @hafidhwazir6604
    @hafidhwazir6604 2 ปีที่แล้ว +2

    simba na yanga

  • @abdoulkarenzo3138
    @abdoulkarenzo3138 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran

  • @IbrahDahasra
    @IbrahDahasra 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 ปีที่แล้ว +1

    RIP