Fanyeni Kazi Zenu, Nyimbo za Kristo #59 || Breath of Praise
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- 1. Fanyeni kazi zenu, usiku si mbali;
Kesheni saa zenu vumilieni:
Kwa Yesu tumikeni na hiyo Injili.
Sana wahubirini watu wa mbali.
2. Fanyeni kazi zenu giza yasongea;
Na wengi wenzi wenu wamo gizani.
Msipoteze moja dakika ni hizi;
Mwana atarejea mwisho wa kazi.
3. Fanyeni kazi zenu, hivi jua lachwa;
Wote walio kwenu apenda Mungu:
Na sisi tumjuaye na tuwafundishe,
Ili Yesu ajaye tumfurahishe.
Watch Breath of Praise Mondays on Hope Channel Kenya
#breathofpraise
Na sisi tumjuaye na tuwafundishe,
Ili Yesu ajaye tumfurahishe.
Beautiful song may God's ❤ be upon you
Amen