Njia sahihi ya Kumix Nyimbo za Injili / The Right Way of mixing Gospel songs.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- #uniklibrary #mixvocal #producers
Katika Video hii Utajifunza jinsi ya Kumix Nyimbo za Injili Kwa Ufasaha kuanzia Verse mpaka Chorus.
DAW.
Studio one 5.
Fahamu Zaidi;
_Eq; • Ifahamu EQ / Introduct...
_Reverb; studioslave.co...
_Compressor; • Ifahamu Compressor / H...
*Social*
Facebook; / unik-library-100577935...
Instagram; / uniklibrary
Whatsapp _api.whatsapp.c...
Whatsapp_api.whatsapp.c...
©2021 UnikRecords
#UnikRecords #UnikRecords #UnikRecords
ticha upo vzr
Good
Kaka umenibariki sana
amaizing
wowww!!!
verry nice
Awesome
Asante sana ubarikiwe
Amazing
Sweeet
🙏🙏🙏🙏
Oy ndoss nine shee
john nakupata 5/5 nikia Bujumbura. komera kw ibanga mwana wa mama
Kaka nifundishe na mimi
Kazi nzuri Sana bro nimependa Sana unavyo fundisha lakini ninashida na studio one unayotumia naomba nisaidie kwa email
Broo nimeipenda hio icon imenishawishi mpaka nimerudia kutazama tena
Asante sana kaka ......
Nitaipataje hii Software bro
Mbona Kuna baadhinyq plugs huongei
Kwa mfano ipi na ipi
Nafurahi ni hii cubase 13 ama
bro nashida na studio one 6.5 au 6.6
Nimependa mixing yako.ila kuna kitu ambacho sikuelewa kwanini ahukutoa " hile wakati ambapo waimbaji wanaimba kuna sauti tena inarudia vilevile tena.sasa umetia hizo sauti hivo kwa kupenda kwako au ahukumalizia kwasababu ya mda au kuna uwezekano wakukiondoa? Au mtunzi ndo alipenda? Ningeomba ufafanuzi. Ila nakupongeza sana
Safi sana inaonekana uko makini big up hiyo ilikua ni itro na haikupaswa kufanyiwa processing ya aina yoyote maana tutarial ilikua ni kuhusu processing ya verse peke yake
Habari teacher !!
Nimependa course yako,sasa kama mtu anahitaji plugins za 64beat inakuwaje?
Endelea kutupa ujuzi,ubalikiwe sana !!!
*kuna plug inadarisha 34_64*