WACHAWI WANASWA LIVE WAKIFANYA UCHAWI MAKABURINI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#HabariZaUhakika #Zinjibartv
Follow Zinjibartv
Facebook | Zinjibartv
INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 773 878 523
+255 773 071 409
Zinjibartv Journalists
cc: Abdallah Pandu
cc: Safia Hussein
cc: Maryam Kidiko
cc: Swaleh Watamaama
Camera Department"
Muarabu Mmadi
Ali Rajab
Rajab ahmada
Editors:
Ali Hassira
Mohammed Abeid
Ramla Haji
Abdillahi Said
Dereva
Yussuf Khanmis
Ali Mohammed
Video Zingine:
Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
- HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
• MTOTO WA TURKY AJITOSA...
• HIZI NDIO TEZO ZA KICH...
Subhannallah m.mungu atunusuru Kwa mitihani hii m.mungu awangawamize wote wachawi na wanga
Inshaallah mungu awalinde nyote masheikh wetu
Ameen Allahuma Ameen wafe wachawi woote...
Masha Allah Sheikh, Watamamannn & crews members bravely,bold & no fear...May Allah protect all of you as well reward your good deeds Ameen yarab 🙏🙏🙏🙏
Heee nimekuona kibwende wa bambi
Laana tu LLAH wachawi wote, Allah akuhifadhinini masheikh wetu mzidi kutusaidiwa, hakika ujira wenu mtaukuta kwa Allah
Hakika
Subuhanaallah 😭😭 hawa wachawi allah awaangamizie mbali
Subhanaallah . Mwenyezi mungu atunusuru na hayo yarabbi pia mwenyez mungu akupe maisha marefu shekhe wetu Inshaallah
Insha allah mungu awapenguvu na awalinde mashehe wetu waweze kuwaangamiza wachawi wote
Alhamdulillah...nyinyi nyote ni mashujaa, Allah awahifadhi.Amin..
Innalilah wainailah rajiun wachawi ni watu wa bay sana 😭
sheikh salum.mardhiya mi naomba siku moja uje upheld see mazila unayokumbana nayo kutoka kwa wachawi baada ya kuharibu uchawi kutibu wagonjwa nk mana mambo unayoyafanya si madogo shukran tunakutakia kila la kheri katika kazi zako unazozifanya kwa.kuwasasaidia watu
nimekusudia utuelezee au utuhadithie
Sheh salumu Muungu akulinde
Salaam aleiikum Sheikh Salum na Sheikh Watamamun Mungu awafunike na damu yake Mwanao Yesu Kristo Kwa kazi hii nzito ya kuwasaidia binadamu kutokana na waabudu subiyani,wahasidi na wenye Uzda Kwa Mila binadamu duniani Jun ya with wa nyota zao za kazi, check, macadamia kazini, ndoa, kuzaa, masomo, Mungu qwaneehemishe na kuwalinda munapofunguwa binadamu kutokana na uchawi buy wa makaburi wafee site Wanga na Wachawi Kwa Jina la Yesu Kristo, Amen😭😭😭🙏🙏🙏😇😇😇
Allah awafanyie welec zinjibar crew akulindeni na kil kit.
😃😃 na alofukia alikuwa mchawi kweli kweli dah سبحان الله
Innalillah wainnaa ilaih raajiuun ~~!!mtihani kw kwel allah awalinde masheykh w2
MashaAllah Allah awakubarik masheikhe wetu kila la kheir na baraka afya njema na umri mrefu muzidi kuwasaidia watu waliozulumiwa inshaAllah amiin
Subkhanallah Mardhia Allah awape ujasiri na nguvu za kupambana na hao wabaya InshaAllah 🙏🙏🙏🙏🙏unafanya kazi kubwa sana no one can do that 😮Allah akuweke mdaa mrefu unasaidiya umati Muhammad kwa bidi na kujitolea InshaAllah.
mungu awahifadhi na awakinge na balaa hizo
Allah akulipe kheri sheikh salum
Subhana Allah, mtihan sana hii dunia Kuna mambo ya hatar sana
Nusra ya allah ziwe juu yenu ya rabby
Mtihani
Walaykum Salam waramatullahi wabarakatuhu subhanallah
Waalaykum Salam warahmatullah wabarakatuh subhanallah 😭
Innalillah wainnailaih rajiun😭😭😭Jaman Jaman watu wanasema Dunia Ina mambo jaman😭lkn Dunia haina mambo wenye mambo ni sisi Binaadam jaman tumuogope Allah Ana adhabu kali 😭🙄🙄🙄🙄😭Allah awahifadhi jaman mnastahik tunzo kubwa sana sana sana sana kijana watamaman na wenzako SHEIKH Salim Allah akupe umr mrefu wenye kher na wewe 😭😭Ammin yarab ALLAH awahifadhi nyote yarab Hasbiyallah waniimalwakil😢😓😓💔Lailahaillallah muhammadarrasulullah 😭😭😭😭😭😭😭
Allahumma aamin yarrabbi
ALLAHUMA AMIN NA WEWE ULOANDIKA PIA
Subhanallah mungu awalaani wachawi wote
Wallahi, zaidia wacha wa allah
Tufahamishe tufanye nn sheikh n sisi tusizurike
Daaa hatari sana
Hatari kubwa kwakweli
In sha Allah shari walizokusudia ziwarudie wenyewe
Mm wa mwanzo kungaliya
Allah awajazi kheri na awalinde daima musaidie umma
Lailahaillallah muhammadarrasulullah🙄😭😭Jaman mim siwezi kwenda hapo hata munipe Dunia naviliomo ndani yadunia😢😢
Subhanallaah
سبحان الله العظيم
😭😭😭😭😭munguu tusaidiee jamanii watu wamekuwa mashani jamanii eee 😳😳😳🤔🤔🤔🤔
mungu atawatosha
Allah atuhifadhwi sote waumin
Mashallah masheikh wetu
Assalam aleikum sheikh hii ni acting???
Hii sio acting my dear ni live wametega camera
Hehehehehw mtihaniq
Subhanallah
Allahu Barik ❤
Subhnallah
Amin allah awalinde daima
Mungu awahifathi yarabi
yarabbi😢
Amiin ya Rabie,InshaAllah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢😢😢😢
Allahu Akbar
Yarabiiiiii
Fatma mungu awalinde kwakila jia
Kwani wanga wanakwanga na nguo mana mimi nasikia wanakwanga uchi
Inaonyesha wao hawkuja kukwanga ila wamekuja mkufnyia mtu uchawi,
Inna lillahi wainna ilayhi Raajiun
Waisilamu nyie kazi yenu uchawi tuu
duuuuh kwa hiyo mmerekod wachawi
Wacha uongo na wizi mtupu muongopeni Allah utapeli huo mwanga atekweli au umdoee km unaenda doe paa au kima acheni utapeli mtupu
Shehe ukulikua ukae na manati
Mtihani kweri kweri sijui wana pata nini
Hix za uck nd nzr hz
😢😢😢
Mbona mpaka leo salim mardhiyya hajanitibu? Ama ni youtube videos peke yake? Yuwapi gwiji anitibu
Ushawahi kwenda kufanyiwa dawa kwake
Mfuate atakutibu , yeye sio mungu kama atakujuwa huko uliko , mnaanza uchochezi wenu tena
Mungewarushia mawe hhhh
hhhh
Subhan Allah
Subhanallah