Ni hatari! Video ya KOMASAVA ina-trend Ujerumani,Marekani,Uholanzi,uingereza etc,JASON DELURO akiri
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- Please subscribe now on our TH-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#Komasava
wakwaza Mimi jamani nipeni like zangu ikiwa we w🇲🇿a msumbigi
Wa 6 kutoka Drcongo. Likes zangu please 🥺🇨🇩
Simba la masimba dangote🔥🔥🔥🦁
Huyu jama ajengwe sanamu pale posta. 🔥🔥
Nakubali kaka nabado ndotuna Anza naona mwisho nikuzuri mondi apewe maisha marefu 🙏🙏
Simba lasimba Dangote 💥
Nampenda sana diamond platnumz kutokea drcongo
Wapi like za.middle simba 🦁❤❤❤❤
Diamond ni kimataifa ❤❤
Mnapoteana apo mnapoteana apo nginja nginja nginja 💥💣💣💣🔥🦁🙌🏻🙌🏻
💓BIG UP 💗 LEGEND🌍
Simba la masimba LIKE kama na wewe unamkubali simba la masimba 😂😂😂😂❤❤
Hii mbn ita trend Dunia mzima
Mashaallah
Tunaendelea Kuupdate tuu.
KOMASAVA world 🌍
Ebanaee acha aitwe diamond platinum,Chibu ndangote, Baba laooo a.k.a Simbaaaaa la masimbaaaa Nakupend xan mond kigoma Moja Tuna jivunia uwepo wako sisi Watu wa kigoma Leka Dutigite wishavu ameneke.
Simba la Masimba Dangote HAUJUI!
Noma sana
Simba la masimba 🔥🔥
Me wa kwanza Nipeni like zangu
Congrats simba no one all the time My African Geant
Haujuiiiiii😂🔥
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Diamond Platnumz umejua kuwachezesha watu
Diamond platnumz wezombi kbx ananiflaisha natokea Burundi namkubali diamond 💘💘💘💘💋💋💋
trop cool courage big
Unabay Simba ❤🎉 nakupend san
Fire❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉Sina neno Ahsante diamond platnamz 🙏💪🔥💥
Nipen like zangu
Dubai ipo nu 7 muda huu
Mondi ni mmoja tu❤❤❤
Simba Hana mpizani tukubariane tu kwamba mond ni baba wataifa
Dunia 🙏 chris mitndo from mlaban🔥🔥🔥
Atar sana asee bora ata jasson
Nacho kiona kwa sasa wasanii wakubali mondi kawazidi kwa kila kitu ushirikiano uwepo jmani ili tusimamishe dunia wanaija wanatuzidi ushirikiano cyo kma wanajua kuliko ss hebu wasanii wetu tulizeni vichwa mtikise ulimwengu kwa ushirikiano mtaweza
Simba la masimba
Huyu diamond platnamz ni jini middle simba 🔥🔥🔥🔥
Oyooo !!! ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Kinachobak niapige show 2arena ❤🎉
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
Safi sana mindle ngurue kwa taarifa 😂
Diamond platinum ❤❤❤❤
Hongera sanaa Diamond 👍
Komassava
Haujui 🔥
Kenyan super star 🌟
Diamond labda wamloge lakin ashikiki❤
Simba hafai jaman
Diamond wanamwangalia kama Tanzania wakat sahiz anawakilisha Africa ata kama mapiano ni sound of africa
Wa kwanza Mimi likes
Lazima itrend
Mzee Popo Harmonize... uchawi umebuma 😅😅😅😅😅
Marioo kama kawa namba mbili views zitamwagikia
Kumbe hii channel ipogo
Dogo anaweza sana sana
Ni Simba na masimba
Simba la masimba dangote
Wa kwanza from Namibia
Simba🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mtoto wa tandale anapambana kweli kweli,Ipo siku atafanikiwa anachotahitaji.
Hatareeeèeeeee
Apa Moz 1:24 1:30 lek
Hili Goma achnanalo ye mwenyewe ana kwaza kma atakuja kutowa gma kama hili
Hahahhaha simbaaaa wewe utawauwa
Akili nyingi na kubwa
Wa 7 kutoka Tanzania likes zang
♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👪💐💐💐💐💐💐💐💐
Middle simba ni mke wa mondi😂😂😂
Mutu akishashiba bangizake ananza kumufananisha simba na tembo daah jamani wa Tanzania pendeni vituvyenu
Grami yetu safar hii
Simba aachwe tu huyo hashikiki tembo kaanguka aache mashindano
Sasa harmonize Sheree himefia kwa pimbi
😂😂😂😂😂jaman
Wa 30
Simba
Uyu mwamba ashikiki
huyu jama ashikiki tena namba moja ni yake kubalini wa tanzania mu si ibe iyi nafasi yake safadali
Diamond ni jini sio mtu wakawaida ni balaaaa
Wengine wapo bz kushika matako yawatu watu wanatupa vyuma
Tukiwakanya hawasikii,watakoma
Vp afrika kusini?
23 trend 😂😂😂
mziki wamama vipi😂😂😂😂 na sherehe,😂😂 disconnect,😂😂😂😂sesele😂😂😂😂😂 vipi imefika duniani?
Simba 😂😂afu lije😂nimtu nakuja kunlinganisha diamond na harmo 😂😂😂
Kuna marioo ni 🔥
@@Fantastic.-gm1eo fire Tanzania tu
@@user-re4ve4nf3p nyumban kwanza, nje baadae
Weee zombi🫀🫀👀
Yan mond sio mtu
Kila mtu wa kwanz Mi wa poli jmn sio wa kwanz🎉🎉🎉 like zangu😮
Ulkuwag wap
❤❤🎉🎉🎉❤
Hongera sana Diamond 👍
Simba
Diamond ni jini sio mtu wakawaida ni balaaaa
Hongera sana Diamond 👍