OBINNA LIVE : Hot PILIPILI (CHILLI) Challenge - Ep7 SSN 1.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 112

  • @vanyizo8396
    @vanyizo8396 2 ปีที่แล้ว +3

    Endea zile za red.... hiyo wakionja moja itabaki ametoa hadi suruari

  • @FOOD-RECIPE-m8n
    @FOOD-RECIPE-m8n 2 ปีที่แล้ว +2

    I wonder why people are complaining aty obina anatesa watu..pia yee anatafuta pesa the same way HAO wanatafuta nothing comes for free hamuoni government venye imetukulisha pilipili uchumi iko juu continue oga

  • @fundientertainmentsofficia2323
    @fundientertainmentsofficia2323 2 ปีที่แล้ว +1

    Nletee moja

  • @donmlevi
    @donmlevi 2 ปีที่แล้ว +5

    Wewe una peleka pili pili kwa wasee wa chang'a

  • @josephinenaliaka3776
    @josephinenaliaka3776 2 ปีที่แล้ว +5

    Eeeeh hii nayo zii wacha pesa ikae,,uyo boy wa red ameweza sana 🔥

  • @simonmwangi9775
    @simonmwangi9775 2 ปีที่แล้ว +6

    Obina unajoke hao wanapiga chrome vodka na kibao zikiwa dry ,,,pilipili sio kitu kwao

  • @hemedihawa2748
    @hemedihawa2748 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂nomaa yani napatana na hii huu mwaka

  • @enockross6515
    @enockross6515 2 ปีที่แล้ว +1

    Waah! Hii majamaa ni wagumu,, hata mia watamaliza

  • @damarisnjoki6353
    @damarisnjoki6353 2 ปีที่แล้ว

    Haha 😄 🤣 😂 funny sana wasikii kitu izo sio politicians original 😆 😄

  • @Honest_Man
    @Honest_Man 2 ปีที่แล้ว +2

    maisha imekausha wanaumme huku nje...pilipili haiwatishi

  • @hazalioinvester3362
    @hazalioinvester3362 2 ปีที่แล้ว +2

    Obina umekoniwa za green si kali

  • @hazalioinvester3362
    @hazalioinvester3362 2 ปีที่แล้ว +2

    Pilipili red ndio kali

  • @elsykathomi1444
    @elsykathomi1444 2 ปีที่แล้ว +4

    Content after content 🔥🔥🔥

  • @pedroofficial4929
    @pedroofficial4929 2 ปีที่แล้ว +1

    Na kwahii challange Rudi umo

  • @faustinamagani2346
    @faustinamagani2346 2 ปีที่แล้ว

    Wow!! Imeweza

  • @antomuia472
    @antomuia472 2 ปีที่แล้ว +1

    Tafta GHOST PEPPER....hii moja unaona giza

  • @Abigailabi-lo4bj
    @Abigailabi-lo4bj ปีที่แล้ว

    Mungu ahurumie vijana

  • @lord_jimmy5519
    @lord_jimmy5519 2 ปีที่แล้ว +4

    you could have gotten thr bullet pilipili..red and have shape like bullet.u can get them at city market..those ones u cant bite them 2times..you will call your great grand fathers and all your ancestors by their names

  • @benardwambua7690
    @benardwambua7690 2 ปีที่แล้ว +1

    Obbina there is God In heaven

  • @joychiru8966
    @joychiru8966 2 ปีที่แล้ว

    Oga obina mofire

  • @davidgimonge
    @davidgimonge 2 ปีที่แล้ว +1

    Hehehhehehe OGA utauwa mtoto wa wenyewe.....

  • @wycliffeochieng676
    @wycliffeochieng676 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni Noma Obina weeee

  • @maasaimkisii9089
    @maasaimkisii9089 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 NOMA

  • @finesse_dance_crew4547
    @finesse_dance_crew4547 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyo boy wa kwanza alikua anadishi Kama jaba😅😅😅..alitema toxin akaanza ingine freshi😅😅😅😅

  • @Director_milton
    @Director_milton 2 ปีที่แล้ว +1

    I can also try this challenge

  • @janemwengu8838
    @janemwengu8838 2 ปีที่แล้ว +1

    Pesa Ina vituko hiyo ni 🔥💞🔥

  • @AskPastorNesh
    @AskPastorNesh 2 ปีที่แล้ว +1

    Moto sana ... Really entertained!

  • @carolineauma1503
    @carolineauma1503 2 ปีที่แล้ว +2

    Mm ntakula moja nichukuwe two hundred niende

  • @mcshortieintl7744
    @mcshortieintl7744 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 me naye huisha

  • @shariffdame8079
    @shariffdame8079 2 ปีที่แล้ว

    Igweee🔥🔥🔥🔥

  • @belindamueni1030
    @belindamueni1030 2 ปีที่แล้ว

    Noma Sana 😂😂😂😂😂😂

  • @bimenbim
    @bimenbim 2 ปีที่แล้ว +1

    Watu watanyamba moto

  • @davidonesh4848
    @davidonesh4848 2 ปีที่แล้ว +3

    Hiii ni mtaa Gani 😂😂

  • @raelkerubo6227
    @raelkerubo6227 2 ปีที่แล้ว +1

    Ohhh pesa wewe

  • @ritamarie2546
    @ritamarie2546 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣pilipili ni bure

  • @timeless2547
    @timeless2547 2 ปีที่แล้ว +11

    Next time try aloe Vera nobody can dare ,pili pili ni bure

  • @peteramani7052
    @peteramani7052 2 ปีที่แล้ว

    Hao wanajaribu tu kuja kilifi county. (Chonyi)

  • @essy_tasha1
    @essy_tasha1 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂 na hii economy hata pia naeza jaribu kuvumilia🤣🤣🤣 weeuuh lakini hata chilli sauce hunishinda, sembuse real🤔🤣🤣🤣 hao ni wazibiting🔥🔥🔥

  • @donmlevi
    @donmlevi 2 ปีที่แล้ว +1

    Waiting ✋️

  • @dancankhalumba8023
    @dancankhalumba8023 ปีที่แล้ว

    Hey Am munga From Makina kibera Mr oga obina nakuomba utulete iyo challenge uku pia sisi tubambike please

  • @jerryjerryjerry7446
    @jerryjerryjerry7446 2 ปีที่แล้ว

    Eti usikunje sura na vile pilipili hot🤣🤣🤣 Obinna vane

  • @RKBro-jr1ts
    @RKBro-jr1ts 2 ปีที่แล้ว

    Siwezikula pilipili juu ya pesa

  • @jamlickmunene6347
    @jamlickmunene6347 2 ปีที่แล้ว

    Hizi pilipili si kali 😂😂😂😂... try hebanero peppers..... this ones lazima u chase na facials🤣🤣

  • @mariemaina8355
    @mariemaina8355 2 ปีที่แล้ว +3

    people are going through alot nowadays,, hope you get food, peace and a better place to sleep,,,thats all

  • @Sethadams_maramba
    @Sethadams_maramba 2 ปีที่แล้ว

    Obina wee kuja ata migori.mwenye anaona unatesa watu sauriyake, lazima wasake doo

  • @nyamburafaith597
    @nyamburafaith597 2 ปีที่แล้ว

    Oga Obinna tunakutaka Dado

  • @davidgimonge
    @davidgimonge 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni mbogi mbaya ...... taxi imekuwa test kwisha

  • @jaredsamba
    @jaredsamba 2 ปีที่แล้ว +9

    Obinna hapo utaibiwa nipe order ya pilipili za teargas 🤣🤣🤣

    • @ritamarie2546
      @ritamarie2546 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zackzackie.
    @zackzackie. 2 ปีที่แล้ว +6

    POVERTY THOUGH 🚮🚮🚮🚮🚮

  • @ericklugonzothecheff6626
    @ericklugonzothecheff6626 2 ปีที่แล้ว

    Ogaa obina i need this challenge.... Man..

  • @kentitu4155
    @kentitu4155 2 ปีที่แล้ว

    obina huamini ao wasee 🤣🤣🤣

  • @tilalati682
    @tilalati682 2 ปีที่แล้ว

    OBINNA GOOD CONTENT.SASA WATAFTIE ILE PILIPILI FUPI TUDOGO IYO NI KALI

    • @tilalati682
      @tilalati682 2 ปีที่แล้ว

      BULLET NOMA SANA

  • @shariffdame8079
    @shariffdame8079 2 ปีที่แล้ว

    Obizzi umeona moto hii😂😂😂

  • @gracemuusi3421
    @gracemuusi3421 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥

  • @pedroofficial4929
    @pedroofficial4929 2 ปีที่แล้ว +1

    Obinna hii hakuna kazi fanya Ile challange ya the world hot one challenge chip uone watu wakitii

  • @professorjimmy3970
    @professorjimmy3970 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo sio pilipili ungewapea "kanugu"

  • @elijahmusina8329
    @elijahmusina8329 2 ปีที่แล้ว +1

    Uji moto challenge

  • @mish1193
    @mish1193 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shamillahgetrine1241
    @shamillahgetrine1241 2 ปีที่แล้ว +3

    Aiii si atashwaa akienda luu😂😂😂mm ata mbegu moja nahisii maskio zinalia😂😂

  • @kennedymwangi1558
    @kennedymwangi1558 2 ปีที่แล้ว

    Fanya challenge ya Aloe Vera, , kwanza hiyo ni beneficial to the body

  • @EEEZ2016
    @EEEZ2016 2 ปีที่แล้ว

    Ebu mtu asimame kwa mlango kesho wakienda loo... watapiga nduru Ile sharp

  • @blackscorpion6514
    @blackscorpion6514 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanakila pilipili kama shorwe

  • @edwinahbuyu7611
    @edwinahbuyu7611 2 ปีที่แล้ว

    Aki pesa wewe

  • @ZED972
    @ZED972 2 ปีที่แล้ว +3

    200 n kidogo qwa izo conditions za kutokunja sura

  • @mustafawanga7231
    @mustafawanga7231 2 ปีที่แล้ว

    Obinaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sharonhope8905
    @sharonhope8905 2 ปีที่แล้ว +1

    Nataka hii challenge ya firifiri😂mi ntaenda na 20k,, eldoret hoyeee

  • @manchesterunitedfans2568
    @manchesterunitedfans2568 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mjama anatumia watu vibaya aki

  • @mamechmamech7243
    @mamechmamech7243 2 ปีที่แล้ว

    Obina same people Kila episode

  • @sheixytv5269
    @sheixytv5269 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyo wa pili kwani zombie

  • @Award247
    @Award247 2 ปีที่แล้ว

    Obinna nimegundua unapenda hiyo mtaa sana, yule Kienyeji alikuwa kwa KulaCooler show nimemuona hapo na Mavin yake, kwani mtaa zimeisha Kanairo

  • @soulescoentertainment8217
    @soulescoentertainment8217 2 ปีที่แล้ว

    Atleast hapa naeza pata thao bila kustruggle😂😂

  • @shabydy8594
    @shabydy8594 2 ปีที่แล้ว

    Tafuta pilipili mzuri urudie

  • @ronolizz4394
    @ronolizz4394 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤭🤭 weeeh

  • @fredrickmwania7471
    @fredrickmwania7471 2 ปีที่แล้ว

    Wacha kutexa watu fuata nyayo za mwenye alikuachia hio job Mr jelango na uwache kubaatisha maisha

  • @lethalronnie7729
    @lethalronnie7729 2 ปีที่แล้ว

    Kale kapilipili kadogo ni hatari sana😹

  • @vinchacha5026
    @vinchacha5026 2 ปีที่แล้ว

    Tafuta madem

  • @strabiliante2023
    @strabiliante2023 2 ปีที่แล้ว

    200 ni pesa kidogo sana poverty though! May God help us Obina that's wrong on your fellow Kenyans

  • @josephotienoo
    @josephotienoo ปีที่แล้ว

    Kam TL

  • @dingdema6038
    @dingdema6038 2 ปีที่แล้ว

    Yani 200 inatuma ukule pilipili

  • @lethalronnie7729
    @lethalronnie7729 2 ปีที่แล้ว +1

    Bring the eggs challenge
    Where people eat boil eggs without removing the shells

  • @angienanjala1135
    @angienanjala1135 2 ปีที่แล้ว

    😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

  • @hellenotieno3580
    @hellenotieno3580 ปีที่แล้ว

    Utaua mtu

  • @mundelwemba4840
    @mundelwemba4840 2 ปีที่แล้ว

    leta io challenge

  • @veronicahkagiriwambui3990
    @veronicahkagiriwambui3990 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni hataree

  • @alexinahbosibori9172
    @alexinahbosibori9172 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂🔥

  • @thee.don.show.official
    @thee.don.show.official 2 ปีที่แล้ว +1

    Obinna kindly watafatie maziwa...to avoid ulcers that is after the challenge

  • @wilson1445
    @wilson1445 2 ปีที่แล้ว

    Where are ladies

  • @zaitunitv.3758
    @zaitunitv.3758 2 ปีที่แล้ว +1

    pilipili za chinku.....

  • @arshmuhu
    @arshmuhu 2 ปีที่แล้ว

    Itabidii upe hawa watu pilipili ingine huku Mt.Kenya tunaita “kanugu” utaenda na pesa nyumbani

  • @mamakeshi8326
    @mamakeshi8326 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂

  • @topanimals_
    @topanimals_ 2 ปีที่แล้ว +1

    Creating insane content 😂🔥🔥

  • @charlesjoe8183
    @charlesjoe8183 2 ปีที่แล้ว +1

    Hao wasee watafuni ule boy wa kwanza ndio alikula the rest walikuwa wanameza 2

  • @lynnkesh254
    @lynnkesh254 2 ปีที่แล้ว

    Whats rwabe?

  • @lord_jimmy5519
    @lord_jimmy5519 2 ปีที่แล้ว +1

    gender equality atleast give the challenge to boys n girls bruv make the show enticing bruv

  • @lovvy854
    @lovvy854 2 ปีที่แล้ว +2

    Walevi wa makali na chankaa hawezi skia kitu Kwa pilipili wewe nipesa yako imekosakazi

  • @mutukumumbi1989
    @mutukumumbi1989 2 ปีที่แล้ว

    Kindly it's not good health wise

  • @oliviolivi1261
    @oliviolivi1261 2 ปีที่แล้ว

    Manze you are hurting people na hizj ujinga

  • @SheriffNomand
    @SheriffNomand 2 ปีที่แล้ว

    Ruto amekuwa Murife😂😂
    th-cam.com/users/shortsqetATNseAkg?feature=share

  • @nold3
    @nold3 2 ปีที่แล้ว

    This is nonsense bana, taking advantage of desperate poor individual,, mediocre