LIVE: MAALIM SEIF ATANGAZA KUHAMIA ACT WAZALENDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 135

  • @jamilahemed6708
    @jamilahemed6708 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah kujalie afya njema na subira

  • @innocentpetershayo8788
    @innocentpetershayo8788 5 ปีที่แล้ว +8

    Hongera Maalim Seif kwa maamuzi ya busara hakika wewe ni jemedari mwenye hekma

  • @denisnjiro9652
    @denisnjiro9652 5 ปีที่แล้ว +4

    Huo ndio uanaume,,,,Hongera mkuuu umefanya maamuzi ya Kiume..

  • @oscarmwambene4411
    @oscarmwambene4411 5 ปีที่แล้ว +13

    Malim seif ww ni shujaa naendelea kukuunga mkono mungu akujalie afya njena

  • @mustafaomary4118
    @mustafaomary4118 5 ปีที่แล้ว

    unafikiria mbali sana na natabiri makubwa 2020 inshallah.

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 5 ปีที่แล้ว +14

    A. C.T WANZANZIBAR SHIME KUMUUNGA MALIM SEIF

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Maalim Sefu. Huyu Profesa Lipumba Mungu anamuona

  • @sulaymuallyuthumaniy3061
    @sulaymuallyuthumaniy3061 5 ปีที่แล้ว +2

    #MAALIM SEIF #KUHAMIA ACT WAZALENDO#HONGERA YAKO ALUTA CONTINUA# We are proudly to continue without FAILURE#

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 5 ปีที่แล้ว +9

    Wanzanzibar wote tuko pamoja na malim seif

  • @labadinafundi806
    @labadinafundi806 3 ปีที่แล้ว

    Vizazi vya Wazanzibari haviwezi kukusaha ww maalim mungu kupe nuru kwenye kaburi lako akusamehe makosa yako

  • @captain_kharus4784
    @captain_kharus4784 5 ปีที่แล้ว +8

    Kwa kweli uamuzi wa maalim seif na wenzake ni uamuzi wa busara na wa kishujaa kilichobaki ni kujenga misingi imara ndani ya chama kimpya na kuzingatia mafunzo ambayo wamejifunza kupitia wasaliti iwe ni funzo kubwa sana ila pia tunasubiri kuona nini atachofanya lipumba na wenzake baada ya maalim seif kujiondoa katika chama hicho

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 5 ปีที่แล้ว +3

    Hapo nakukubali Maalimu seif umma haujawahi kushindwa mahala popote hakuna marefu yasiyo na ncha; karibu tutafika ng'ambo;

  • @emiliankatura504
    @emiliankatura504 5 ปีที่แล้ว +1

    asante sana maalim.mtu mwenye akili timamu amekuelewa.

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 5 ปีที่แล้ว +1

    Kasema wp km anahama Cuf mtahama hukohuko bara ila znz hakuna mwanachama anayetoka cuf akenda chama chengine lbda awe msenge huyo ndiye Rais wa wa wazanzibar

  • @nelsonsimtowe4268
    @nelsonsimtowe4268 5 ปีที่แล้ว +4

    Msaka tonge kaachwaa solembaa hongerah baba

  • @bekaroga8334
    @bekaroga8334 5 ปีที่แล้ว +5

    Act wazalendo taifa kwanza mabadiliko na uwazi chukua hatua yes yes yes karibuuu mzee wetu✊✊✊

  • @kajjd40
    @kajjd40 5 ปีที่แล้ว +5

    Kalibu Sana Mze baba uamzi wakishujaa Sana tuko pamoja Sana

  • @ambeleesimbeye2365
    @ambeleesimbeye2365 5 ปีที่แล้ว +4

    Ongera sana mzee maamzi sahihi mimi binafsi nilikumis kwa Kuja chadema lakini ujapotea tuendeleze muungano wetu katika ukawa

  • @johnmwaluko2682
    @johnmwaluko2682 5 ปีที่แล้ว +6

    Daaa umemtosha best yako Hashimu Rugwe Sipunda. CHAUMA.

  • @zamzamrashid9534
    @zamzamrashid9534 5 ปีที่แล้ว +3

    profecer lipumbavu maalim ameshaondoka ukokwenye usaliti wako sasa muwache kumsakama Maalim kama kweli ww lipumbavu nimkomavu wakisiasa wacha bwabwaja bwabwaja yako namitusi isiyonamaan ilatambuwa uwoukafu wako uishiye ukouko Zanzibar hauna lako😁😁😁😁😁

  • @mlulamsiliwa7123
    @mlulamsiliwa7123 5 ปีที่แล้ว +1

    WATU BWANA HAWANA AKILI, KADI YA UANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE NI MALI YA MTU BINAFSI KUIRUDISHA AU KUTORUDISHA NI HIARI YA MUHUSIKA MTU HAWEZI KUWA MUONGO KWA KUTORUDISHA KADI. HOJA ZINGINE HAZINA MASHIKO. KADI NI NEMBO TU UANACHAMA UPO KWENYE NAFSI YA MTU. HATA KWANGU MIMI SI LAZIMA NIKURUDISHIE KADI.

  • @abdulhakimjuma8786
    @abdulhakimjuma8786 5 ปีที่แล้ว +1

    Hekma na busara ndio hulka ya mrengo wetu daima tuko pamoja na mzee wetu in shallah hatuta jutia uwamuzi wa leo lipumbavu hajachukuwa nyoyo zetu kachukuwa nembo na makanjanja tuu byeeee cuf we togather with ACT

  • @mhamilamgaya9790
    @mhamilamgaya9790 5 ปีที่แล้ว +1

    uamzi mzuri

  • @stephenmwingira1179
    @stephenmwingira1179 5 ปีที่แล้ว +9

    Huu ndio ukomavu wa siasa, waje tena kuwahujumu huko. 2020 muungane na vyama vingine, mwachen lipumba aendelee kupotea

  • @bonabonala8253
    @bonabonala8253 5 ปีที่แล้ว +1

    ACt na seif juu ukawa juu

  • @maxesh5135
    @maxesh5135 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee anaonekana siasa anaijua vzr sana

  • @teddymeela2791
    @teddymeela2791 5 ปีที่แล้ว +1

    Maamuz ya hrk sana think big

  • @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
    @mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 5 ปีที่แล้ว

    Siasa ni ujanja na siasa ni utapeli,pia siasa ni uongo, na siasa ni sanaaa.
    Wananchi tuwe makini sana na siasa za Tz.

  • @mshomiM
    @mshomiM 5 ปีที่แล้ว +3

    Karibu nyumban kwa wazalendo ndg

  • @bonabonala8253
    @bonabonala8253 5 ปีที่แล้ว +2

    Cuf kwishaaa tz

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 5 ปีที่แล้ว +8

    Namuona lipumba akienda kupetea kabisa, maana alikuwa akitumia mafansi wa Maalim kujipatia kiki

  • @jastinmsera9557
    @jastinmsera9557 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakika maalim wewe ni mkomavu kisiasa

  • @abdulbukhary9866
    @abdulbukhary9866 5 ปีที่แล้ว +15

    Umeonyesha ushujaa na udume

    • @franksebastian3909
      @franksebastian3909 5 ปีที่แล้ว +1

      Shujaaaa huwa hakimbii vita

    • @abdulbukhary9866
      @abdulbukhary9866 5 ปีที่แล้ว

      @@franksebastian3909 kwaio shujaa anakubali umma ufe?ijapokua njia salama IPO?

  • @issakassim8291
    @issakassim8291 5 ปีที่แล้ว +10

    Huo ni ushujaaa kuliko kwenda CCM NI BORA KWENDA KWENYE CHAMA KICHANGA CHENYE MISING YA KIUZALENDO

    • @djtwenty5503
      @djtwenty5503 5 ปีที่แล้ว

      Issa Kassim maalim hongera Sana mimi nakuungamkono nanitaji kadi ya Act

    • @issakassim8291
      @issakassim8291 5 ปีที่แล้ว

      @@djtwenty5503 uko mkoa gani kaka

    • @mahmoudramadhan6338
      @mahmoudramadhan6338 5 ปีที่แล้ว

      Ccm hawez kwenda huko aliwahi kutimuliwa huko

  • @kifarusongeaolg9726
    @kifarusongeaolg9726 5 ปีที่แล้ว +6

    mimi nakuunga mkono mzee

  • @nassirmohd6850
    @nassirmohd6850 5 ปีที่แล้ว +8

    Nenda kaendeleze mapambano mzee na sisi tupo nyuma yako maadamu hujahamia ccm bax tutakufata

  • @UmmyilhamUmmyilham
    @UmmyilhamUmmyilham 5 ปีที่แล้ว

    Laanatullah kila mzulumujiii allah atalipaa tuuuu

  • @salumrashid3482
    @salumrashid3482 5 ปีที่แล้ว +2

    Dahh mzee ashakiua chama cha Cuf masikiniii!!!

    • @mohamed.hassani9917
      @mohamed.hassani9917 5 ปีที่แล้ว

      Chama nini kimeuliwa Asp itakuwa Cuf,wacha ujinga huo

  • @abdukarimjuma5233
    @abdukarimjuma5233 5 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ndo kidume wa siasa sisi tunakuunga mnono tutakufa kwa ajili ya mageuzi

  • @jumamkuchutito5475
    @jumamkuchutito5475 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sio wale vibalaka wa c.c.m

  • @rweyemamueustace1706
    @rweyemamueustace1706 5 ปีที่แล้ว +7

    ACT naamini itapata nguvu visiwani

  • @peterkisanga8089
    @peterkisanga8089 5 ปีที่แล้ว +4

    Kazi kwake Propesa Lipumba kuendelea kutumika km dodoki.

  • @yasinmuona7335
    @yasinmuona7335 5 ปีที่แล้ว

    Malim sefu wewe ni mnafiki sana ushabungi mzee njaa ya urais hitakufikisha pabaya mzee pumziika uraisi kwako ni ndotobya mchana

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 5 ปีที่แล้ว +1

    CUF KWISHAAA KABISAAAA

  • @mishaelmisana1973
    @mishaelmisana1973 5 ปีที่แล้ว

    Sawa mzee unaonekana una busara sawa sawa

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 5 ปีที่แล้ว +1

    nakupa 5 mkuu

  • @smarty1064
    @smarty1064 5 ปีที่แล้ว +3

    Bora umehama ili kumpisha Lipumba maana fahari wawili hawakai zizi moja na haya mamigogoro katika chama hayana tija, nadhani upinzani utapata nguvu maana hiyo migogoro inadhoofisha upinzani

  • @kapilykahera7883
    @kapilykahera7883 5 ปีที่แล้ว +2

    Lipumba hoiii kapiwa Ile ya mieleka Rest in ....au KO

  • @saidkatole9519
    @saidkatole9519 5 ปีที่แล้ว +10

    Mzee wangu hongera lakin kwann usistaaf tuu siasa make mambo yamebadilika staafu mzee uheshimike zaid

  • @OmarAli-wr1ti
    @OmarAli-wr1ti 5 ปีที่แล้ว

    Lipumba baki na Jina wafuasi wa Cuf wote saivi Wanakwenda ACT Kama ukipata Mbunge mmoja bahati yako Zanzibar oyeee Usicheze na Maalim seif mpendwa na watu

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 5 ปีที่แล้ว

    Duh jamani hiyo hamahama Cyo nzuri jifunzeni kutulia ndani ya chama kimoja,,, Ndo mnapigwa bao kila wakati na Ccm,,,, ikifika Mda wa kumchagua mgombea urais mnajichanganya tena mara muende kumchukua Ccm kazi kweli kweli

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 5 ปีที่แล้ว +5

    A.C.T b ndogo, zito pokea zigo baba.

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 ปีที่แล้ว

    KIKULACHO Hamad Masoud namuona hapo Kiroboto kwelikweli

  • @111dudi
    @111dudi 5 ปีที่แล้ว +1

    Good luck maalim.u might get into the palace before u die.

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 5 ปีที่แล้ว +2

    Lakin niheri kuhama kuliko kumsujudu lipumba lipumba hakika anajua kutokaa moyon kwamba alicho kifanya ni usaliti

  • @kalamakatana1531
    @kalamakatana1531 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @issakassim8291
    @issakassim8291 5 ปีที่แล้ว +2

    Maalim seif nishujaaa cuf isha vamiwa na virus pia mjifunze ACT WAZALENDO ILI MSAJILI ASIJE AKAWAVURUGA TENA

  • @ernestsaitabau4794
    @ernestsaitabau4794 5 ปีที่แล้ว +1

    Karibu babuuu

  • @sukhailluqman9385
    @sukhailluqman9385 5 ปีที่แล้ว +1

    Ulipo nipo sefu kwanza Zanzibar kwanza

  • @abuubakarmohammed3404
    @abuubakarmohammed3404 5 ปีที่แล้ว +4

    Sasa lipumba atawapatia wapi wabunge

  • @stephenmwingira1179
    @stephenmwingira1179 5 ปีที่แล้ว +2

    Lipumba yatamkuta ya Mrema na TLP yake, Leo hii haieleweki ipo au imekufa!

  • @tumainipeter6713
    @tumainipeter6713 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @roseriwa6951
    @roseriwa6951 5 ปีที่แล้ว +1

    safiiiiii

  • @allybinnseif1816
    @allybinnseif1816 5 ปีที่แล้ว +1

    Ulipo Tupo Maalim sasa hapo ndio (profesa) chapati atajuwa kuwa siasa yeye kavamia tuuu

  • @franklameck8579
    @franklameck8579 5 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa uamuzi huu

  • @mashangwanambalu6219
    @mashangwanambalu6219 5 ปีที่แล้ว +1

    Safiiii!

  • @davidlissu9099
    @davidlissu9099 5 ปีที่แล้ว

    Naunga mkono haya maamuzi.

  • @michaelmalima2833
    @michaelmalima2833 5 ปีที่แล้ว +1

    HAPO SAWA MIGOGORO IMEISHA

  • @mrishojuma1080
    @mrishojuma1080 5 ปีที่แล้ว +1

    umefanya vizuli

  • @augustinojohn4764
    @augustinojohn4764 5 ปีที่แล้ว

    Siasa na Dini Mungu alikataa kwasababu ya siasa ni mchezo mchafu

  • @chachamagoti2400
    @chachamagoti2400 5 ปีที่แล้ว +2

    Uamuzi wa busara sn mzee.

  • @issamsomba7219
    @issamsomba7219 5 ปีที่แล้ว +1

    alipanga kuhamishia wanachama chama kingine

  • @omariliwikila1979
    @omariliwikila1979 5 ปีที่แล้ว

    Wambie wazanzibar nchi unapewa lini?.

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 5 ปีที่แล้ว

    ULIPO TUPO

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 5 ปีที่แล้ว

    Heee 🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭😭bahazi tunabafilisha tanga tu tuendelee na safari

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 ปีที่แล้ว

    Ccm ndo baba lao vyama vingine ni kelele tu na njaa

  • @sadikimohamed1973
    @sadikimohamed1973 5 ปีที่แล้ว

    Cuf ngangari.

  • @awadhially1384
    @awadhially1384 5 ปีที่แล้ว +2

    Nenda kwa amani tuachie CUF yetu wafia chama tutabakia.

  • @mahfoudhmabrouk809
    @mahfoudhmabrouk809 5 ปีที่แล้ว +2

    Duuuuh! Hii kali!! Me nlidhani utani kumbe kweli???!
    Hii ndio TZ na hii ndio SIASA ya bongo!!

    • @ausrajikangezi2193
      @ausrajikangezi2193 5 ปีที่แล้ว

      tukopamoja tutamia sote wanacha wa cuf katika chama cha ect. Mimi na pamojana family yangu tuna sitopisha kuziva nguo za cuf.

    • @ausrajikangezi2193
      @ausrajikangezi2193 5 ปีที่แล้ว

      mzee wewe nimgwanasana kwakutumianjia ya hamani. pasipotumia vishawishi vya machafuko. mungu akubaliki nakupe maishamalefu yenyebalaka. amen.

  • @mselematiku9623
    @mselematiku9623 5 ปีที่แล้ว +1

    safi sana seif

  • @mh.samoladanielchikaka1370
    @mh.samoladanielchikaka1370 5 ปีที่แล้ว

    Ast naiona ndio itakuwa chama pizani

  • @gonzalesdeus5117
    @gonzalesdeus5117 5 ปีที่แล้ว +1

    kalibu sana umetuflahisha watanzania

    • @nobertmwangomo3738
      @nobertmwangomo3738 5 ปีที่แล้ว

      Gonzales Deus Zigo lala pokes Zito

    • @suleimankhalifaabdalla426
      @suleimankhalifaabdalla426 5 ปีที่แล้ว

      maalim tuko pamoja na ww

    • @masoudmohamed4763
      @masoudmohamed4763 5 ปีที่แล้ว

      Ripumbavu kabaki na jahazi alilokwisha litoboa hilooo lazama

    • @kibojewee2710
      @kibojewee2710 5 ปีที่แล้ว

      Kasome kuandika kiswahili kwanza

    • @aminamodi8927
      @aminamodi8927 5 ปีที่แล้ว

      ULICHOMFANYIA MAPALALA LEO DHURMA YAKO IMELIPWA HIYO NI SIZE YAKO WEE NENDA UTAKAPO CUF KWAKO NI NDOTO

  • @djtwenty5503
    @djtwenty5503 5 ปีที่แล้ว +1

    Nikougenini msumbiji nikirudi tz nataka kitambulisho

    • @djtwenty5503
      @djtwenty5503 5 ปีที่แล้ว

      Kitambulisho act nimuhimu

  • @mohamed.hassani9917
    @mohamed.hassani9917 5 ปีที่แล้ว

    Naamini Maalim hatagombea mwakani ila kuna ,ni Mansour atagombea kwa upande wa zanzibar na Maalim atakuwa mlezi wa chama

  • @beatricehenry7101
    @beatricehenry7101 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee kalale

  • @madrasatulmujtabahschool7621
    @madrasatulmujtabahschool7621 5 ปีที่แล้ว

    Nakubali sasa kama wewe maalim ni mnafiki unasema huna shida ya cheo unapigania maslahi wakati jumbe alitaka kupendekeza masharti mapya ya muungano ukenda kujipendekeza kwa mwalim nyerere ili amfukuze jumbe ukidhani atakupa uraisi ww na alipokuwa hajakupa baada ya maraisi wawili ndio ukaanza kugombana nae ndio akakufukuza baada ya kuona mpenda madaraka kama hupendi madaraka tuone usigombee uraisi 2020

  • @jgitzfm2903
    @jgitzfm2903 5 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @bonabonala8253
    @bonabonala8253 5 ปีที่แล้ว +1

    Hamia chadema chama dume

  • @mathiastido2595
    @mathiastido2595 5 ปีที่แล้ว

    Babu umepotea nibora ungepumzika maana ata kabwe jimboni kwake kushinda ni kitendawili

  • @awadhially1384
    @awadhially1384 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukome nenda wew na wahuni wenzako CUF ngangari kinoma tukutane 2020.

    • @MohdRashid-cu9qb
      @MohdRashid-cu9qb 5 ปีที่แล้ว

      Wacha kutukana watu wewe je kama mamaako ataitwa muhuni utajisikiaje?

    • @amosmabula918
      @amosmabula918 5 ปีที่แล้ว

      Awadhi Ally Yeye hakumsema vibaya MTU usifanye hivyo use na kiasi

  • @mustafaomary4118
    @mustafaomary4118 5 ปีที่แล้ว

    wewe mzee una akili na busara, alama yako kwenye nchi hii haitasahaulika.

  • @mathiastido2595
    @mathiastido2595 5 ปีที่แล้ว

    Walio tunga katiba ya act wote wapo ccm, hahahaaaa sasa sijui mtatengeneza katiba yenu ya wana act wa kweli mkaachana na ya akina prof kitile mkumbo na mwigamba?hahahaaaa yetu macho

  • @mahfoudhmabrouk809
    @mahfoudhmabrouk809 5 ปีที่แล้ว +1

    Ila huu binafsi naamini ni woga tu!

  • @franksebastian3909
    @franksebastian3909 5 ปีที่แล้ว

    NINA IMANI MAPALALA KWA SASA ATAPUMZIKA KWA AMANI

  • @anytime5685
    @anytime5685 5 ปีที่แล้ว

    Hii ndio siasa zubaa uzikwe

  • @jaffarkhakisramadhan7641
    @jaffarkhakisramadhan7641 5 ปีที่แล้ว

    Njaa itakuuwa ww Mara hii umempata mwanaume mwezako hee

  • @hassangomai8884
    @hassangomai8884 5 ปีที่แล้ว

    jahazi mbovu hilo utazama usipo jijuwa

    • @hassamfariis1754
      @hassamfariis1754 5 ปีที่แล้ว

      Maalim seif kwa zanzibar hazami ndugu yangu sisi ndio wazanzibar

  • @essaujoel4807
    @essaujoel4807 5 ปีที่แล้ว

    Muongo huyo. Mbona hajarejesha kadi ya uanachama.
    Siasa mchezo mchafu kweli

  • @jumafandey707
    @jumafandey707 5 ปีที่แล้ว

    Kisha piga hela huyo
    l

  • @hassangomai8884
    @hassangomai8884 5 ปีที่แล้ว

    sefu uko ulipo kwenda utakula maviii yakoooooo

    • @hassamfariis1754
      @hassamfariis1754 5 ปีที่แล้ว +1

      Seif ana watu na sisi tuko ulaya tutampa support