KCPE: Mfungwa katika Gereza Kuu la Lodwar apata alama 386

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มี.ค. 2022
  • Mfungwa mmoja kutoka gereza kuu la Lodwar, amepata alama 386 katika mtihani wa kcpe mwaka 2021. Nobert Maraka aliye na miaka 28 alihukumiwa kifungo cha maisha na hivyo kuiweka hatima yake katika njia panda. Gereza hilo lilikuwa na wafungwa 14 walioufanya mtihani wa taifa wa KCPE.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น •