MWL, CHRISTOPHER MWAKASEGE: SEMINA YA NENO LA MUNGU KILIMANJARO [ Day 4 Tar 25/2/2023 ]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @glorymichael8554
    @glorymichael8554 ปีที่แล้ว +3

    Amina Mtumishi wa Mungu ubarikiwe Sana Mungu akutunze Baba unatufundisha vizuri Sana Mungu akupe ufunuo kila siku tunakuombea Sana Baba🙏

  • @clemevumilia9976
    @clemevumilia9976 ปีที่แล้ว

    Amen, ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.
    Eeh, MUNGU nakuomba hii taa yako inayotuangazia hapa Tanzania isipunguke mafuta ya Roho MTAKATIFU wala upepo usije usije ukaizima.
    Utujalie kuipokea hiyo Nuru nasi tuwe taa itoayo mwanga wa utukufu wako, kwa watu wote. Maana katika mwanga wa utukufu wako kuna uzima.

  • @glorykimario2664
    @glorykimario2664 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu

  • @marryhebron6185
    @marryhebron6185 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Akubariki Sana Mtumishi Wa Mungu Kwa kusudi lake katika nchi yetu ya Tanzania 🇹🇿 Damu ya Yesu iachilie uzima juu yako Na Mama Diana Amina

  • @marymasanga6446
    @marymasanga6446 ปีที่แล้ว +1

    Asante Yesu kwa huduma ya Mtumishi wako huyu uliyetupatia ss watoto wako hapa tz

  • @yusuphpetro-fire
    @yusuphpetro-fire ปีที่แล้ว +1

    Mungu aibaliki sana kazi aliyo kuitia mtumishi wa Mungu

  • @hyasinterhyera
    @hyasinterhyera ปีที่แล้ว

    Amen God is GOOD.

  • @charlescharo1845
    @charlescharo1845 ปีที่แล้ว

    Asate YESU

  • @meshackshile-hm2zc
    @meshackshile-hm2zc ปีที่แล้ว

    Baba mwakasege Mungu akupe maisha marefu ilikazi yake izaematunda mazuri bwanaa mbariki nafamilia yake

  • @meshackshile-hm2zc
    @meshackshile-hm2zc ปีที่แล้ว

    Nawapata vzr nikiwa hapa manispaaa yakahama mkoani shinyanga Mungu mbariki mtumishi wako natim yote aliyoambatana nayo

  • @meshackshile-hm2zc
    @meshackshile-hm2zc ปีที่แล้ว +1

    Mungu tusaidie upendo urudi ktk familia zetu bb urudi tena ktka kanisa lako bb tusaidie urudi ktka vizazi vyetu bb ktk watoto wetu bb tusaidie kupitia hili neno laleo bb

  • @babydismas461
    @babydismas461 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God. Haleluya Haleluya

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 ปีที่แล้ว

    Amina🙏🙏🙏👏👏👏

  • @salomembiku4256
    @salomembiku4256 ปีที่แล้ว

    Amen!!!

  • @elizabethtitus6981
    @elizabethtitus6981 ปีที่แล้ว +1

    Nilikua nahitaji kitabu kinachohusu kumuandaa mtumish

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @elizabethkimeu3156
    @elizabethkimeu3156 ปีที่แล้ว

    Neno limeniguza barikiwa

  • @aisiamkonyi4977
    @aisiamkonyi4977 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @davisdid673
    @davisdid673 ปีที่แล้ว +1

    Bwana wetu asifiwe njia gani rahisi kwa kupata hii vitatu sisi tulie marekani

  • @elizabethtitus6981
    @elizabethtitus6981 ปีที่แล้ว +1

    Bwana apewe sifa wa kwenye mtandao tunazipata vp

  • @Bemera
    @Bemera ปีที่แล้ว

    Please how can I get book, I live in America

  • @aidanongole9341
    @aidanongole9341 ปีที่แล้ว

    AMEN