Nimefurai sana kumsikiza huyu dungu yangu vile ameongea..huko nyumbani yy ni dunguyangu.ju area yenye anatoka ndio nyumbani sasa ebuanza.maneo ya butere.God bless you bro nimefurai sana.👏👏👏🤗🤗🤗
Nataka nimwambie mwanzere hivi, ikiwa yeye ni muigizaji, hafai kushtushwa na maongeo ya binadamu sababu ikiwa walimsema Dan Sonko kwa mambaya wakati kama huo...wenye kuongea aongee na tumezoea na binadamu. Mwenye anasema wewe ni mgonjwa ajue kuna watu wamejutia magonjwa hivyo msamehe tu manake hajui alisemalo. Tulichangia Winnie na sio kupenda kwake hivyo asichukulie mambo kimchezo...manake Mungu ataweza kumhukumu. Pole na undelee tu na maisha yako. Sio chote king'aacho ambacho ni dhahabu...mwenye kukusema ako na shida zaidi yako..
Huyu Mwanzele pale Kwa matanga nilimuskia akisema ni mluhya nikashtuka sana,,,wakati huo nilikua nimeshikia Doria mahali sensitive mpaka security nikazubaa
Mwazele mwaka huu mungu akuonekani usiishe hujapata kipidi kipya nakupeda u keeping it real always
Coming soon
Nimefurai sana kumsikiza huyu dungu yangu vile ameongea..huko nyumbani yy ni dunguyangu.ju area yenye anatoka ndio nyumbani sasa ebuanza.maneo ya butere.God bless you bro nimefurai sana.👏👏👏🤗🤗🤗
We are proud of u coz u are our kuhya
Proud of u mwanzele. I'm from butere too.
Nilimpenda sana Mwanzele kwa Sultana ❤❤
Nilimpenda mwanzele ana viituko sana
Mwanzele.
I have always thought that you are a Giriama.
You don't look like a Luhya.
But you are an Overall,
Good Actor. 😅
Ata mm niliona ni mgiriama
Mm pia @@paskalinapa6177
In all the scripts i really love and was inspired by the Maria script
Huyu mwanzele ni comedian hata kwa huzini unacheka tu 😂😂😂❤
Love you so much mwanzele
Mtoto waingo am happy now
Love u mwanzele ❤❤❤❤
Ww mrembo hiyo tight yako ni ya kishetani inatisha sana. Iko na sura ya nyoka
Mwanzele you're the best
Mwanzele nampenda sana
Nataka nimwambie mwanzere hivi, ikiwa yeye ni muigizaji, hafai kushtushwa na maongeo ya binadamu sababu ikiwa walimsema Dan Sonko kwa mambaya wakati kama huo...wenye kuongea aongee na tumezoea na binadamu. Mwenye anasema wewe ni mgonjwa ajue kuna watu wamejutia magonjwa hivyo msamehe tu manake hajui alisemalo. Tulichangia Winnie na sio kupenda kwake hivyo asichukulie mambo kimchezo...manake Mungu ataweza kumhukumu. Pole na undelee tu na maisha yako. Sio chote king'aacho ambacho ni dhahabu...mwenye kukusema ako na shida zaidi yako..
shikamoo mwenzele
Mwanzele kumbe n mluhya wetu,tena Butere kwetu
Kukula hiko na shida gani❤️
Hakuna pesa
David Misiko Bukachi hawana mahusiano ya mapenzi na Annette Odubi...ila Mwanzele na Zuu ni Bibi na bwana,wako na mausiano ya mapenzi.
Binadamu ni binadamu to..ucwackize hao..me ckupenda venye walikuingilia about shati lako😢
Mwanzele umesema ukweri kabisaa sijui kama wamekuelewa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Thanks 👍 tuletee wengine wengi tuwaone pia😊
Kama nani
Bi Ua@@shimsmedia
Huyu Mwanzele pale Kwa matanga nilimuskia akisema ni mluhya nikashtuka sana,,,wakati huo nilikua nimeshikia Doria mahali sensitive mpaka security nikazubaa
Twakupenda mwanzele,forgive and move on
Nilijua Mwanzele ni Mgiriama
Prous of u mwanzele iam also luhya from butere shiathala
Kabisa nikweli 😂😂 mwanizele
Mwazele nakupenda bure😂😂
Maria was the of u can't compare it sultana and Becky
Iam also from Butere
😂😂😂😂😂❤kweli jamani mwanizele
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂jamani kweli
❤❤❤🎉
Kwa matanga ya Dida alisema ni mluhya nikashangaa
Twamis kipindi chako Sanaa mwazera
😂😂😂Mgirama
Qnakqq mdigo ngiriama
Niko nyuma simjui huyu wala hiyo sultan naiskia tu, ata sijui wanafanya nn uko
Mwanzele ni mjamaa wa nguvu
Mwanzele hawajaelewa😅
Siamini
Vile anapenda kula. Ni mluhya tu
Hata kama sitaki kukuchekelea itabidi tu nicheke coz wewe ni comedian 😂😂😂😂😂😂😂
Baba jj na kokani wakoapi
Tunakupeda mwazele pia mutuadalie
Do nlidhani mgiriama
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤