UINGEREZA KUMSHAWISHI TRUMP WAENDELEZE VITA UKRAINE|YAHOFU KUVAMIWA NA URUSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 23

  • @EricZanwa
    @EricZanwa 3 วันที่ผ่านมา +4

    Africa Ina support Urusi kwa kila kitu tunapenda Urusi ashinde vita zidi ya 🇺🇦 .

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 3 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂 uingereza bana ndio apigwe tu afu aache kimbelembele

  • @hassanmlawa-o6s
    @hassanmlawa-o6s 3 วันที่ผ่านมา +3

    Urus ni taifa kubwa na wapo vizuri

  • @FabriceBag
    @FabriceBag 3 วันที่ผ่านมา +3

    Wangereza ni wagonjwa. Dunia imebadilika na wote WATASHINDWA TU. Mbinu Zao ni kuiba Mali ta uma ya Ukraine wakiipa madeni isiyo halali, baada ya D. Trump kuileza Ukraine kama ujenzi wake utachukuwa miaka 110. Wanapoteza muda kwa uhasama n'a wizi wao...

  • @SmilingOakTree-lj9by
    @SmilingOakTree-lj9by 3 วันที่ผ่านมา +3

    Ao uingereza sasa wanaogopa nn wao si wanaona wanaweza kila kitu

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli urusi inatisha dah

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 วันที่ผ่านมา

    Weweee visima imelipuliwa na storms shadow

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 3 วันที่ผ่านมา +3

    Ana washwa huyu ila atakipata anachotaka

  • @YohanaMboma-vz3sl
    @YohanaMboma-vz3sl 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wànatoroka kwakuwa wanaogopa kupelekwa yukreine

  • @AbuuAli-nf4fb
    @AbuuAli-nf4fb 3 วันที่ผ่านมา +1

    Urusi akimaliza ukrein ATAENDA uingereza na ufaransa

  • @HijaLuhumba
    @HijaLuhumba 2 วันที่ผ่านมา +1

    Urusi

  • @eriasondieki
    @eriasondieki 2 วันที่ผ่านมา

    Wanapeana silaha ziwapige warusi tena wanaogopa kupigwa na urusi

  • @ABDIMUSSA-y4w
    @ABDIMUSSA-y4w 3 วันที่ผ่านมา +2

    Uingeleza ni jeshi dogo ila ni vieleele kwakujipendekeza subili mrusi amalize vita hii

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 2 วันที่ผ่านมา

    Liberatus punguza uchoko mtoto wa KIUME usipende ushoga

  • @DodiKabasele-d8v
    @DodiKabasele-d8v 3 วันที่ผ่านมา

    Hata wa ungane pamoja na marekani wata pigwa sana na urussi wana ule mudomo sababu urussi haija waonja kipigo ki dogo ya bome moja tuu

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 3 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂.....

  • @rashidmollel529
    @rashidmollel529 3 วันที่ผ่านมา

    Wanamshawishi trump ili waendelee kuiba mali ya Ukraine

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 วันที่ผ่านมา

    Putin afe

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 2 วันที่ผ่านมา

    Puting Anakalibia kufa

    • @AziziSalimini
      @AziziSalimini 2 วันที่ผ่านมา

      Shoga mweusi ww

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 2 วันที่ผ่านมา

      Jamani shule shule hivi ni nani aliweka sheria ya kua amka asubuh kuoga na kuchana nywele kipilipili, kuchapa viboko, Hili limechangia wenda wazimu kuiona Shule adui yao (Puting ? )

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 2 วันที่ผ่านมา

      Ona mbwa hii

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 2 วันที่ผ่านมา

      Mbwa mweusi