HOUSE GIRL EP 15 | S3 | Love Story 💕💞

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • HOUSE GIRL SEASON 3

ความคิดเห็น • 289

  • @priscahmahenzo642
    @priscahmahenzo642 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +55

    ❤❤❤❤❤𝚠𝚘𝚘𝚘𝚘𝚠 𝚠𝚊𝚗𝚐𝚙𝚒 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚏𝚞𝚛𝚊𝚑𝚒𝚊 𝚋𝚊𝚝𝚞𝚕𝚒 𝚔𝚞𝚜𝚑𝚒𝚔𝚠𝚊 𝚗𝚊 𝚋𝚒𝚋𝚒 𝚣𝚞𝚞 😂😂😂😂

    • @famidaally2665
      @famidaally2665 14 นาทีที่ผ่านมา

      Masozi 😂😂😂😂😂 mama somoy🎉🎉

    • @priscahmahenzo642
      @priscahmahenzo642 6 นาทีที่ผ่านมา

      @@famidaally2665 𝚖𝚝𝚞𝚖𝚒𝚠𝚊 𝚠𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚣𝚊 𝚌𝚊𝚗𝚍𝚢 𝚠𝚊𝚙𝚒𝚕𝚒 𝚌𝚑𝚒𝚜𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚝𝚞 𝚜𝚘𝚖𝚘𝚎 𝚗𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚠𝚒𝚜𝚑𝚘 𝚔𝚊𝚜𝚊𝚗𝚒𝚊😂🤸🤸

  • @milkamugomo218
    @milkamugomo218 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +36

    Nawatakia wote Sunday njema ya mwisho wa mwezi wa 9 ❤❤❤❤❤❤❤

    • @REHEMANCHALIKA
      @REHEMANCHALIKA ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Same to you❤

  • @zainabuabduliulomi
    @zainabuabduliulomi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +47

    Haijabambaa sanaa coz kumbukumbu imekua kam nd move yenyewee 😢 cjapendaa wangapi wananiunga mkonoo🤝

    • @REHEMANCHALIKA
      @REHEMANCHALIKA ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ila tumepata habat jinsi somoe alivyoanza kushawishiwa na cand na sania😊

    • @shadyasuleiman9017
      @shadyasuleiman9017 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    • @irenekweyu3133
      @irenekweyu3133 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pia mm sijapenda😂

    • @Lydia-oy1cz
      @Lydia-oy1cz 53 นาทีที่ผ่านมา

      Mm ata nimeipeleka mbele sijawasikiliza kina sania

    • @HalimaBaidu
      @HalimaBaidu 32 นาทีที่ผ่านมา

      Imekera 😢😢😢😢

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Kai usimsamehe batuli mpaka utakapo wapat akin kendi tulio furahia batuli kudondokea pua piga kelele

  • @CharlesBarakakiwambe
    @CharlesBarakakiwambe 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    Zuri is so loving, kind, caring and considerate, ooooh God let my future wife be like zuu😂

    • @EveKaari-r7r
      @EveKaari-r7r ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mimi nikue wako nitakupea namba wapi

    • @priscakimburi-sl9ml
      @priscakimburi-sl9ml ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbona tuko wengi wenye sifa hizo ila tu nyinyi viumbe ndo mwatutesa

  • @tawhidatawhida7344
    @tawhidatawhida7344 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Habar team house girl natumai ni wazima wa afya na kila mgonjwa mungu ampone amin

  • @babysister4th
    @babysister4th 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Busati . Leo mkaleta kumbukumbu sehemu kubwa.
    Naomba mlete sehemu nyingine tafadhali😢😢

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Ambayo tuamioyo kam ya zuu tujuan hapo wapenda tunajifuanza hat kam mtu Anakosa anastahili msamah

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Yani toka nimeAnza kuangalia house girl nimejifunz vitu vingi San kweny maisha yang asant San Busat tv

    • @busatitv
      @busatitv  3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Asante sana 🙏🙏

  • @didaAli-p9w
    @didaAli-p9w 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Asalam alikum Leo nimewahi

  • @SesiliaAndrew-c6y
    @SesiliaAndrew-c6y 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mimi apa jmn nipen kumi tyu zinatosha

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Maua yako mam masoz 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂

  • @MaryIsaac-l3e
    @MaryIsaac-l3e 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Namkubali bibi zuu🎉🎉

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kiramb kasha mpenda somoye ndo man anamtetea

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +36

    kumbukeni leo kuna posa na kumsamehe somie kma una kubali zuu atamsameh somoe like hpa team frlus🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @AngelSebas-f2c
    @AngelSebas-f2c 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Leo wa kwanza🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AidatAmadi
    @AidatAmadi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Yani nyie akuna kit mmelusha kipande kizima mmeweka kumbukumbu tu ama mmechoka kupigia ata kibendu amepota adi ninechok

    • @FaisalAlrefai-u2y
      @FaisalAlrefai-u2y 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nakwambia hata wameniboo aki

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Zuuuuuuu hapo ndo unapofeliiiii huruma yakooo hiooo itakujaaaa ikutokeeeee puaniii🌬️🌬️🌬️🌬️🌬️🌬️🌬️🌬️

    • @PendoStivini-i6y
      @PendoStivini-i6y ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwakwel kakwepa kunywa sumu na chupi atakazochanganya dawa unafikiri nin apo sibado kunautata

  • @ramadhaniferuzi
    @ramadhaniferuzi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mim wakwanza kutoka burundi nazitaka

  • @ChancelineCatherine-bj6jd
    @ChancelineCatherine-bj6jd 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Leo wakwanza jamani naomba basi like zenu kama sote tunawapenda ❤❤❤❤

    • @bubasha88
      @bubasha88 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bibi zuhu anafanya kazi kubwa kwa mjukuu wake Zuhu, mama Tasha pia anamashauri mema kwa mwanaye Tasha

  • @LatifaAlly-xu8ng
    @LatifaAlly-xu8ng 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Angekuuwa ungesema hayo mtu ibilis km huyo bado wamuombea msamaha haliyakuw mmemsaidia pesa km angekuw ni binadamu mwema siangebadilika😏😏😏

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Yan somoye umeaibika vibay San umedumbukia kwa Hao viruka njia pole yako

  • @FatmaKambanga
    @FatmaKambanga 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    Dah Kpande Chaleo Ata Sijakipenda Kumbu kumbu Imekua Ndefu Sana 😢😢

  • @ShufaaJohn
    @ShufaaJohn 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jaman candy apunguze roho mbaya

  • @priscahmahenzo642
    @priscahmahenzo642 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    𝙷𝚢𝚞 𝚌𝚊𝚗𝚍𝚢 𝚜𝚒𝚍𝚑𝚊𝚗𝚒 𝚔𝚖𝚊 𝚞𝚔𝚘 𝚗 𝚛𝚘𝚑𝚘 𝚗𝚣𝚛𝚒😢😢𝚑𝚝𝚖𝚢𝚎 𝚖𝚙𝚊𝚗𝚐𝚘 𝚠𝚊 𝚌𝚊𝚗𝚍𝚢 𝚞𝚖𝚎𝚏𝚎𝚕😅😅𝚙𝚘𝚕𝚎

  • @GladysOmwando
    @GladysOmwando 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    mpambavu umesimia mara ngapi 😂😂😂😂😂😂kilamba hadi umesahau jasmin kumbavu zako 😂😂

  • @marynabwile4086
    @marynabwile4086 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hongera wana busati kwa movie nzuri yenye mafunzo 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DaystarDieugo
    @DaystarDieugo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sisi wengine atupendagi kubukumbuku ichukuwe hata dakika 2 mnabowa zehee

  • @pricsillahEkiru
    @pricsillahEkiru 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hiii kipindii naloo bila saniaa na kendy 😂😂😂 eishyyyyy 😂😂😂😂 aiiiiii😂😂

  • @HelinaEdward
    @HelinaEdward 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Sisi atutak kumbukumbu tunatak mamb mengn jmn ni vochaa hz😢😢😢😢 tunatumiaaa

    • @awaynaaaa3490
      @awaynaaaa3490 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeonaee yaan kipande kizima kimehamiy kweny kumbukumb wakat tumeshajuw kwamb mpk ulipangwa na hawa sasa wameturudish nyuma

    • @JaffarIliasy
      @JaffarIliasy ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora useme ww

    • @JaffarIliasy
      @JaffarIliasy ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora useme ww

    • @HelinaEdward
      @HelinaEdward ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@JaffarIliasy mem wananichshaa jmn nadaiwa ad na mtandao kwa Ajir y kukopa vocha ahahhaha

  • @REHEMANCHALIKA
    @REHEMANCHALIKA ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    S house girl tena ndipo n utekaji😮😮 vzur mfanye tasha aowe zatiti ashike ujauzito ...hapo tutajifunza kuwa anaeachwa upata mume mwengne mwema na chiko abaki na kuhangaika basi kuliko kileta utekaj mwakera

    • @lucyalto7320
      @lucyalto7320 26 นาทีที่ผ่านมา

      Hakuna vitu kwenye maisha vinaenda kimserereko hivyo unavyopenda hekaheka zipogo nyingi TU watu hawafanikiwi kirahisi hvyo wengine mambo huwa rahisi huisha hvyo unavyotaka iwe ila Kuna wengine hupitia misuko suko zaidi kwahvyo acha tuone mwandishi atatufunza nn zaidi

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kiramb kasha mpenda somoye ndo man anamtetea

    • @busatitv
      @busatitv  3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Zuu unamoy wa kipekee San na ubay alikufanyia batuli bado unamuombea msamah zuu 🎉in 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @busatitv
      @busatitv  3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🙌🙌

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂munajuwa naceka nini naceka kundi lawakina Candy yaniawo macizi kabisa😂😂😂😂😂😂

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 9 นาทีที่ผ่านมา +1

    Tunaoamin cay atamsamehe batuli gonga like hapa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KanwahiEmanuel
    @KanwahiEmanuel 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Jmn my mother mwendlz

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hakika mnatufunza mengi San Busat TV 🎉i🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ Shukran san

    • @busatitv
      @busatitv  3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ❤❤❤

  • @KanwahiEmanuel
    @KanwahiEmanuel 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    My mom mwendlz jmn

  • @Maryburhan
    @Maryburhan 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamn SA MBNA video nzima mnaadisia kitu kilishapita mnatulest

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pole somoye umeyakanyaga akin kendi hawatakua na msad na wew

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yani somoye aende t polisi ili akatoe ushahid WA kundi lake lote wakamatike hao

    • @AshaMohd-u7n
      @AshaMohd-u7n 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Um.eona ee

  • @EviathaEdistedius
    @EviathaEdistedius 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mnarusha vifupi kmn yaan ep ya 13 imeoneshw sehem 2 tuu yaan

  • @AminaK0ikoi
    @AminaK0ikoi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yani nyinyi kina cndi mwachekesha sana masozi umenikosha😂😂

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jaman jaman kiramba ww hatari siyo kwakuzimia uko😂😂😂😂

  • @MariamMwachiberya
    @MariamMwachiberya 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Batuli ameyatimba kwa Kai 😂 weeuwee patamu

  • @GraceOtieno-vo3sj
    @GraceOtieno-vo3sj 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Today you have failed us.anyway good job....

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Timu kai maua yako mtimulie Mbali huyo somoye

  • @MasauShida
    @MasauShida ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri sana team Busati tv🇹🇿

  • @KhadijaG-rm8fu
    @KhadijaG-rm8fu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wa kwanza Leo from Oman🇴🇲

  • @NestorySanga-y2j
    @NestorySanga-y2j 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wakwanza mm nipeni like zang

  • @DeogratiasAmos
    @DeogratiasAmos 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Somoye kufa

  • @JoyceKizo
    @JoyceKizo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nimekuja kimya kimya nikajua watu wapo kanisani kume nimechelewa duh😂😂

    • @injeai361
      @injeai361 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @SarahWanjala-tb9oz
    @SarahWanjala-tb9oz 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kilamba ukwaju yaani nikifikiria ep14 ilivyokua nacheka ila kiukweli nawapenda nyote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kazi safi

  • @mohdmatar6076
    @mohdmatar6076 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wa pili

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kai Hongereni Sana Kbx Ivyoivyo Urivyo Saiyi Ewuana Kama Mwanaume Kbx Simama Ivo Ivo Tuuu Nakubali Sana Brother 👊👊👊👊 Ila Zuuuh & Mupumbafu Mwenzangu Aca Uruma 🤔🤔 Ira Nyinyi Wote Nawapenda Bure❤❤❤❤

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pig kelele kwa sauzi za kuigiza mam somoye weweeeeeeew😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Wametuvunja mbavu h timu ni balaa 🎉😂🎉aa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kasania kako na akili ya ziada kma ya mchwa....lakin watafungwa moja baada ya mmoja....naona wazi kabisa polisi wakiingilia Kati...maharamia....na mshutumiwa WA kwnza n SANIA....alafu ndio ata taja candy wapili....alafu wengn wafwate😅😅

  • @VgmukomboziOficiel
    @VgmukomboziOficiel 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hapo mimi wa 52

  • @AishaAbdoullah
    @AishaAbdoullah ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Busati TV jamani Tunasubiri kipande kingine tumuone Mr Tasha na Zatiti wakienda kijijini Leo kumbukumbu zimekuwa ndefu eeeeh wanaosubiri hicho kipande kingine gongeni like hapo

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndo kumbukumbu iwe movie nzimaa,,hpa kitu mungefanya munge record Batuli akieleza alfu apelekwe kwnye kituo cha polisi alfu wapumbavu wngne wawili zuu na kilamba ety musamehe, utakufa vibaya zuu weweee, hyo yote alioleza ni njia sawasawa ya kumpata Kendi, hpo ss munatoa funzo lipi haswaaa

  • @sinawsinaw6201
    @sinawsinaw6201 นาทีที่ผ่านมา

    Kwa kumbukumbu hii hapana maana mpaka nimesahau move yenyewe nimesahau imeishia wapi mmh rekebisheni kumbukumbu zisiwe ndefu zinabowa

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂kkweli kabisaa kai kuna makubwa mbeleyako juyakendi😂😂😂😂

  • @DomitilaEmily
    @DomitilaEmily 7 นาทีที่ผ่านมา

    Batuli pole kwa kushinikizwa kufanya kitu usichotarajia sababu ya kukosa pesa

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Busati tunaomba episode 2kwa cku iliniombi kama watazamaji na wafuatiliaji wa house girl

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 18 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu zuuuu na huluma yako unabahati sanaa mushukulu bibi yako la sivyo ungetegetea kbs 😅😅😅

  • @SaidaAlly-q9c
    @SaidaAlly-q9c 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Sasa ndy mmerusha nn jaman
    Kama idea imeisha bora mmalize tu

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwanamke mwenye roho ya imani duniani ni zuu wee mmangeenda namakozi juu kendy chuma.chaja hicho police itawahusu

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leo mumefanya ujinga sans dakika 15 za yaliyopita ndo munatuonyesha 😢hamujafanya poa kabisaa hpo

  • @latifahkambi453
    @latifahkambi453 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Flashback plot imekua ndefu mno ,hadi kupelekea scene kuwa fupi, chamsingi twaomba ep nyingne as soon as possible

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Busati leo mmetukera kabixaa simulizi inachukua episode nzima dah

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mam masoz maua 🎉so 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Yako sauti umeigiza Safi San 😂😂😂😂😂😂

  • @Jenniffer-m9k
    @Jenniffer-m9k ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hongeren kwa kaz yenu nzuri .ila mbona mumeleta kumbukumbu ndefu jamami 😢😢

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jaman timu kendi ni moto WA kuogopwa jaman Kila kon wap da konde kimamul atawamaliza😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HUSNANyosso
    @HUSNANyosso ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mamhhhh baturi yameyakanyaga polisi tena

  • @MussaSultan-j3e
    @MussaSultan-j3e ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakika watu wa Busati Tv hamjawahi kuniangusha kabisa maana kila siku ni burudani naombeni kitu kimoja ya kwamba kila siku msikose kupost kila siku episode 2 tafadhali

  • @Victoriambalangu
    @Victoriambalangu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leo wamezingua ila wamenifurahisha kipande cha kuigiza sauti

  • @MancerNkya
    @MancerNkya ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nawatakia j pili njema ndugu zangu,j pili ya Mwisho ya mwezi wa 9

  • @shadyasuleiman9017
    @shadyasuleiman9017 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani wanafanya epsode iwe kubwa mchezo huu tunataman uishe tena watuleetee mwengine

  • @buru1235
    @buru1235 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani sitawahi kuwa Wa Kwanza jmn Yani najua tunwenye wanatangulia n team strong team hammmmu team free WiFi 😃😃😃🤦

  • @shadyasuleiman9017
    @shadyasuleiman9017 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zuri na amfukuze simoe tuu km bibi zuu asingeona si amlngekuwa ashazurika na mtoto tumboni

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Somoye ukutana na bibi nzuri kazi nzuri bibi zuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aliceaugustine1327
    @aliceaugustine1327 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo batuli akitoka hapo anaenda kuwambia akina candy af et mijitu inamsamehe😏😏😏

  • @VbG-p7d
    @VbG-p7d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nmependa sana Kaz nzur lkn flashback iwe ndefu kias hicho

  • @SharonMunene-x6n
    @SharonMunene-x6n 31 นาทีที่ผ่านมา

    Naomba na ingine maana hii imekuwa n kumbukumbu tu hata sijaenjoy hii movie ya leo

  • @Kai_busati
    @Kai_busati 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    jumapili tulivuu na Chakula changu bora cha Housegirl🥰

  • @Juliety-v3o
    @Juliety-v3o ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yan kend umepotea kabixaa bibi zuu amekuweza xaxa na ww lazima ukalale na ngonde na ww

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml 57 นาทีที่ผ่านมา

    Nshawai sema batuli alikua team candy 😂😂😂😂😂kumbe kweli

  • @KeziaMdemu
    @KeziaMdemu ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Saiv mmechoka kazi yaan movie nzima kumb. Tyuu... Ahhh

  • @FatumaAthuman-t9l
    @FatumaAthuman-t9l 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    House girl ya leo sijapenda kwa kweli ndio nn hivi kutuekea flash back

  • @dianaqueen7967
    @dianaqueen7967 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nani mwingine ameona kua Sania ndio mshauri wa canty?watching from kenya!

  • @sakina5550
    @sakina5550 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaan mpka nimemuonea tena huruma batuli 😢😢 candy una roho mbaya sana sania masozi chisa mtafika mbiguni mmechok sana

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi cn kay huyo Zuu na kilamba bwana wanashangaza Mtu kataka kuuwa huyo anaroho ya kishetani kwani angempiga candy baadae si angelipwa hpo mshahara tu angemsaidia tu mama yk na walisha ahidi kumsaidia ilikua haina haja tena kuwaendeshwa na candy ila na yy roho yk

  • @aliceaugustine1327
    @aliceaugustine1327 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zuu nae kama jinga kwahyo wakimsamehe ndo ataachana nampngo wa kumuuwa😏😏😏😏

  • @rosewafula915
    @rosewafula915 6 นาทีที่ผ่านมา

    Aki yuko sahihi kbs kama sio bibi yake na zuu huyu batuli si alikua yuko tayari kufanya kila kitu bila ya kujali😏😏😏

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leo busati tv mymetycykuliaje kweli kytupatia kumbykumbu tuu sema mutatupa part 2 leo kabisa

  • @LatifaMkinga
    @LatifaMkinga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunawapenda sana ila mnatukera padogo sana yaan mawazo tu dakika 20 hapana mnabugi

  • @SushuLiboko
    @SushuLiboko ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani izo kamera mbona saivi sizielewi amuonekani vizuri au sm yangu inamatatizo

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Batuli lako hilo nilisema kila Mchuma janga hula na wa kwake ila wewe hilo lako kai usimsamehe mpaka candy na hao waloshiliki uwatie mbalini....

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Me naona kama mmeixhiwa now hainogi vipande vxvyokua na maana mnavilefuxha vyenye maana mnaviacha