haina shida hio ni nyimbo kama zengine atakaye fanya makosa abebe msalaba wake kortini aseme ni nyimbo imemtuma atafunzwa Sheria vizuri...pangale dance is a challenge dance kama zengine ikiisha itaenda
Tamaa za wasichana ndio chanzo cha wao kuwawa coz wao hukimbilia wasee wako na pesa na hajui pesa kazipataje mtu kumbe ako na Mambo zake badae unatolewa kafara juu ya tamaa mi nasema mapangalee iendelee coz haijasema madem wakatwe na mapangalee
Life is spiritual and everything is spiritual.....dont think plainly
mapangaleeeeee....wanasiasa wakora,mapangaleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
I just liked and subscribed to your tiktok coz you made me know the meaning of "mapangale"
Waaaa swingsss😅😅😅😅😅😅😅😅 you always made my day mapangaleeeee
Tipsy gee akonaufala awezi fikia mc wetu man
Mapangale ni kusema nini na vile mnaona.madem wetu wanauliwa.kila wakati.mbona msilete challenge ya song za gospel.ata kupea watu hope?
Acheni ujinga mapangaleee c mbaya acheni kuwa so spiritual
The song is okay & you know we are all raised, study & teached by different people also places. So not all of us can be at the same page 😂😂
serikali ndio haifanyi kazi yake.Kwani kuna mtu ameimba mapangale akimadwa watu waache utoto
Tipsy Na wenzake no umbwa tuh
We n ubwa nn majabaz wamekuibia nn ghasia😢Chunga mdomo wako nani
Mc fullstop ndio goat then Zadiambo
Oya,hapo zii😂
Oooh nmefikiria ati pia wewe unataka kusema mapangale n mbaya ningeunsubscribe😂
we ishia mnapenda ku over think vitu sana . ata im sure hamjui genesis ya hii slang yote
haina shida hio ni nyimbo kama zengine atakaye fanya makosa abebe msalaba wake kortini aseme ni nyimbo imemtuma atafunzwa Sheria vizuri...pangale dance is a challenge dance kama zengine ikiisha itaenda
Tamaa za wasichana ndio chanzo cha wao kuwawa coz wao hukimbilia wasee wako na pesa na hajui pesa kazipataje mtu kumbe ako na Mambo zake badae unatolewa kafara juu ya tamaa mi nasema mapangalee iendelee coz haijasema madem wakatwe na mapangalee
Very demonic song need to be removed
Sio mkubwa ,fullstop ni mnoma
Wacha kuntaa watu majambazi washaii kuibia
Ah,si ivo,ni jina ya mtaa tu😂😂😂! Hao ndio wanatutolea stress..
Iko poa aifai kutolewa juu nika wembo zingine ama aje mfans .....
shida yako nii
Acheni wivu, hii ni dance challenge tu na hakuna mwenye ameforce mtu kufanya , wewe tafuta kazi acha kuhate
Mahater
We mea
Hiyo ni challenge ya mapepo tu.