Kaka joel nakupata vizuri sana upo vizuri sana,unajuwa mpaka unakera,chukuwa mauwa yako ayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mungu azidi kukufungulia milngo ya rizk,mm niyule niliekuja kununuwa MIC kwako natokea zanzibar🎉🎉
Je ikiwa nipo mbali kuna uwezekano wa kujifunza namna ya kuedit video pamoja na kujifunza namna ya kuwa LIVE kutoka kwako joel? na ikiwa inawezekana utaratibu upo vipi?
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini
Kutuma Ujumbe Whatsapp Bonyeza Link 👉: bit.ly/4bYi7OL
🔥🔥
Kaka joel nakupata vizuri sana upo vizuri sana,unajuwa mpaka unakera,chukuwa mauwa yako ayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mungu azidi kukufungulia milngo ya rizk,mm niyule niliekuja kununuwa MIC kwako natokea zanzibar🎉🎉
@@shekhiddyonlinetv4192 Shukran sana kaka K🙏🙏🙏
Sasaivi nipo dar nimeingia juzi,nitakutafuta kabla sijaondoka nataka nipate maujanja kutoka kwako🎉🎉
I'm proud of you all 💪💪
Appreciate bro. we are together
One day yes
sure trust the process
Je ikiwa nipo mbali kuna uwezekano wa kujifunza namna ya kuedit video pamoja na kujifunza namna ya kuwa LIVE kutoka kwako joel? na ikiwa inawezekana utaratibu upo vipi?
Inawezekana mkuu karibu sana tuwasiliane kwa maelekezo na utaratibu zaidi 0745152680