MREMBO WAKISHUA ANAENDESHA UBER DSM, ANAINGIZA MILIONI 1.6 KWA MWEZI, ALIACHA KAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • AyoTV inakukutanisha na Dorah Kyamba (39) Mwanadada anaefanyabiashara ya Tax Mtandaoni (UBER) miaka miwili nyuma aliacha kazi ya laki 9 kwa mwezi na kuingia kwenye kazi ya Udereva Tax wa Uber hapa Dar es salaam
    Dorah amefanikiwa kumiliki Tax mbili (UBER) moja akiendesha mwenyewe na nyingine amemwajiri ndugu yake leo hii anao uwezo wakuingiza milioni 1.6 kwa mwezi, kuyafahamu mengi ya Mwanadada huyu @dorahkyamba amepita Studio za AyoTV hapa Palm Village Mikocheni Dar es salaam.

ความคิดเห็น • 214

  • @joycekyando4768
    @joycekyando4768 2 ปีที่แล้ว +45

    Nadhani pia anapenda driving thats why anaenjoy na courage ya kufanya kazi mpk kukesha. Mungu akufikishe mbali dada umethubutu

    • @joycekyando4768
      @joycekyando4768 2 ปีที่แล้ว +2

      She loves driving nimemsikia mwishoni huku. Self confindent n goal setter.

  • @onesmokabia80
    @onesmokabia80 2 ปีที่แล้ว +48

    Hongera sana ila ushauri wangu kwako achana na mambo ya kujiweka karibu na mitandao na kuweka kipato chako mitandaoni kuna watu wabaya duniani hasa majambazi watakupoteza kwenye uso wa dunia wakachukua kila ulichonacho,fanya maisha yako kimya kimya

    • @DennisDidas
      @DennisDidas 2 ปีที่แล้ว +7

      Safi sana umempa ushauri mzuri sana. Hongera sana kwa kutambua hilo na kuweza kuwashauri wengine.

    • @onesmokabia80
      @onesmokabia80 2 ปีที่แล้ว +4

      @@DennisDidas ndo ivo ndugu angu watu wa sasa wanaroho za unyama hawachelewi kumvamia na kumpoteza.

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 2 ปีที่แล้ว +1

      Sasa we naye 1.2 avamiwe na majambazi?? Una akili kweli ww? Sasa unhefanya mishe zangu je si ungejizima data?? 1.2 sio hela bwana ww

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 2 ปีที่แล้ว +8

      @@masalakulwa7601 ww ndo unasema sio hela ila muhalifu kwake hiyo ni hela,kama wanaweza kuua mtu kisa simu itakuwa hela? Use your brain effectively

    • @sadickidd493
      @sadickidd493 2 ปีที่แล้ว

      Kweli

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera binti yangu. Mwenyezi Mungu akutunze. Unahamasisha vijana wakike na wa kiume kutobweteka na kufanya mambo yasiyofaa wakati wanaweza kujiamini kwa kufanya kazi yoyote aliyo na uwezo nayo. Sijakusikia ukijipangia muda wa kumwabudu Mwenyezi Mungu. Jitaidi uwe unasali. Bila Mungu wewe huwezi.

  • @TheSportsRecap
    @TheSportsRecap 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mdada ameshanipeleka kwangu Mwaka 2020
    Niliita Uber nikakuta niyeye ilikua usiku mida ya saa 3 hivi kunitoa kijichi mpaka gongo la mboto

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 ปีที่แล้ว +8

    God have mercy mdada nakuombea Mungu akulinde katika kazi zako dhidi ya wahalifu na uhalifu

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 ปีที่แล้ว +53

    Wengi wanahisi anadanganya lakini mimi naamini. Niliwahi kuendesha Uber mwaka 2016 nilikiwa naendesha weekend tu (ijumaa jioni na jumamosi na jumapili) na trip ya mwisho nachukua saa 12 tu jioni. Baada ya hapo napumzika. Nilikuwa napata laki 1 hadi 150 kwa hizo siku 2 na nusu tu.
    Tatizo madreva wengi wa uber na taxify kama huyo dada anavosema hawana mood na kazi. Mtu anaona boss wake ndo anapata faida bila kujali kuwa nayeye anapata pesa palepale.
    Nimeshafanya hii kazi. Hivo sioni kama anadanganya. Watu wa tanzania tuwe na tabia ya kufanya kazi kwa bidii kuliko kulalama tu

    • @mmn7480
      @mmn7480 2 ปีที่แล้ว

      ❤️

    • @gidy6502
      @gidy6502 2 ปีที่แล้ว +5

      yaan na ww kwa uongo uber imekuja dar 2017 hiyo 2016 ilikua uber ya matako yako

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว

      @@gidy6502 😂😂😂😂😂🙄🥴🥴🥴🥴

    • @rahelifredrick8460
      @rahelifredrick8460 2 ปีที่แล้ว

      @Gidy jaman 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @DennisDidas
      @DennisDidas 2 ปีที่แล้ว +2

      Umbea, Uvivu, Starehe na Ngono ndio kipaumbele kikubwa kwa watanzania wengi, wanashindwa kutumia muda wao vizuri kwa kufanya kazi kwa bidii badala yake wanapoteza muda kwenye mambo yasiyokuwa na tija kwenye maisha yao ya kila siku. Ushauri wangu ukiwa wewe ni kijana piga kazi kweli kweli, Mafanikio hayapatikani kwa njia nyepesi. Lazima ufanye kazi kwa juhudi sana.
      Ukiwa unafanya kazi kwa juhudi Mungu naye atakubariki. Dada amezungumza mengi mazuri ila kwa maisha yetu ya kiafrika, Ukipata mafanikio sherekea mwenyewe na familia yako ili kutokuwa au kuongeza maadui maana watu hawafurahii hatua utakazokuwa umepiga maana ndio wanadamu walivyo. Unajua kwanini kinyesi kinafichwa chooni? Kinafichwa kuepuka nzi na harufu mbaya, Sasa ukiweka na kuyaelezea mafanikio yako mbele za watu ni kama unakaribisha maadui kila pembe ya kona na vita itakuwa kubwa sana ndani ya maisha yako.

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว +7

    Namuamkia huyu dada..,Big up sana. Angekuwa mitaa yangu ningetumia usafiri wake kila ninapouhitaji.

  • @super_boy_tz
    @super_boy_tz 2 ปีที่แล้ว +14

    Namfwatilia toka mda huyu dogo ko namjua vyema ninoma ana voice ana energy ana ujasili pia

  • @marympango9247
    @marympango9247 2 ปีที่แล้ว +5

    Ayoo media nawaelewa sana interview....zenu...Hongereni sanaaaa.....

  • @zulfaomari2045
    @zulfaomari2045 2 ปีที่แล้ว +8

    Nampenda sana dorah ameshawahi kunibeba Mashallh 🍎❤️

    • @agyady6260
      @agyady6260 2 ปีที่แล้ว

      Anakauli nzuri sana mm pia alishawahi nibeba

  • @babybaby8384
    @babybaby8384 2 ปีที่แล้ว +8

    hongera sana Mungu akuwezeshe Dada Dora.

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 2 ปีที่แล้ว +10

    Mwanamke yeyote yule akianzisha biashara ya Aina yeyote ile ambayo itafanya aweze kukutana na watu wa Aina mbali mbali ktk hiyo kazi yake kutoboa ni kitu rahisi Sana..

    • @tinamahega9848
      @tinamahega9848 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni kweli

    • @alijuma675
      @alijuma675 2 ปีที่แล้ว

      Amejiweka smart,anamalengo ndio katona,angeendekeza mapenzi kwenye hio biashara asingetoboa

  • @tronline6959
    @tronline6959 2 ปีที่แล้ว +10

    Nimempenda bure huyu mpiganaji.. Utakuta wahuni wanamuwinda wamuue ili wachukue gari. Mungu akulinde Dorah.

  • @sikudhanicharless88
    @sikudhanicharless88 2 ปีที่แล้ว +10

    Tz tu ndo ajabu lakini huku kwa wenzetu kawaida wanawake wanafanya iyo kazi😊

  • @kingfumanizifrommanzese4648
    @kingfumanizifrommanzese4648 2 ปีที่แล้ว +13

    Dorah mungu anakuona hii kazi ya tax Mtandaoni uwezi ukatangeneza hiyo Pesa acha kudanganya uma labda useme unameshe zako zingine mimi nina gali yangu mwenyewe uo niuwongo kabisa

    • @marafikistation
      @marafikistation 2 ปีที่แล้ว

      Atakua ana another means na hao abilia wake

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 2 ปีที่แล้ว +6

      Bado hujajua hii biashara vzr. wanawake wanapiga hadi m4 kwa mwezi. Inategemea anawateja wa aina gani na anajiwekaje. Endelea kusema ana mishe zingine. Kwanza anafanya kazi kisomi sio kiboya

    • @marafikistation
      @marafikistation 2 ปีที่แล้ว

      @@hellendaniel3809 we milion 4 . wew siungekua kiongoz acha ushamba nenda nawewe kajiuze kama nifashion mwezio . Elimu yako itumie kwenye mambo mazuri sio uwaongopee wezio.

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 2 ปีที่แล้ว

      @@marafikistation sibishani na wapuuzi mm

    • @marafikistation
      @marafikistation 2 ปีที่แล้ว

      @@hellendaniel3809 ndio acheni kuwa ongopea watu mnajiuza afu mnasema kazi inalipa . Acheni tabia mbovu mnazalilisha taifa mtoto wako atajifunza nini kutoka kwako wapuuzi nyinyi , na sijui kama umeolewa .

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mamy chapa kazi ununue zingne hata 10 omba Mungu tu utafanikiwa usibaishwe na wenye wivu

  • @marympango9247
    @marympango9247 2 ปีที่แล้ว +5

    Binadam bwana...yeye ndo anafanya anasema anachokipata yeye... Nyie mnasema anadanganya sasa mlitaka aseme mnavowaza ninyi...jmn....duuh mungu tusaidie....

    • @dennisevarist
      @dennisevarist 2 ปีที่แล้ว

      Dada mtu anayesema anadanganya anakuwa amewahi kufanya hiyo kazi. Mimi mwenyewe nimeifanya 2019, 2020 naijua hiyo biashara, hiyo pesa inawezekana kweli anaitengeneza ila ni nje ya system ya uber. Na kingine Uanamke wake unamsaidia kupata wateja binafsi wengi, Ila kama hujawahi kuifanya ndio utaongea kama uliyoyaongea wewe hapa. Wanawake huwa mnakuwa na advantage hiyo sana kuliko sisi wanaume

  • @ebrah2468
    @ebrah2468 2 ปีที่แล้ว +17

    Huyu dada ni marketing manager anatangaza biashara tu 😂😂😂😂😂😂

  • @rashidnkumilwa8860
    @rashidnkumilwa8860 2 ปีที่แล้ว +10

    Ivi uyo dada atuambie ametumwa n campun gani maan awa utokeaga tu kila madereva wa tax mtandaon tunapo dai aki zetu kuhusu unyonyaji wa bei trip ya kilometer 11 kwa elf 5 na makato ya campun apo apo iyo laki moja unafikishaje par day atuelez vzr???

    • @ngwayatv2798
      @ngwayatv2798 2 ปีที่แล้ว

      Chizi uyo katumwa na uber uyo

    • @NgassaKids
      @NgassaKids 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni mwanamke bro jiongezee

  • @devothasimbi1055
    @devothasimbi1055 2 ปีที่แล้ว +5

    Coucou Dora courage

  • @glorymafuru6342
    @glorymafuru6342 2 ปีที่แล้ว +4

    Tisha sana Dulla umesimama vema kwenye interview nakukubali brother big up sis Norah pia

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante umenipa ldee nzuri ntanunua nijaribu

  • @jacklinenyalika5700
    @jacklinenyalika5700 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amlinde tu na watu wabaya

  • @jacquelineansigar5140
    @jacquelineansigar5140 2 ปีที่แล้ว +1

    One amongst the best in interviews @dullahtza

  • @mrdaniel5223
    @mrdaniel5223 2 ปีที่แล้ว +6

    Yanii mngekuwa mnajua wanawake wa uber wanavyopiga hela hiyo mbona kawaida sana, coz wanapigwa tip sanaa tofaut na wanaume

  • @nipautago8574
    @nipautago8574 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera dada

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu หลายเดือนก่อน

    Yupo smart ❤❤❤❤

  • @meshackgerald4032
    @meshackgerald4032 2 ปีที่แล้ว +9

    Mwak gan alikuw anaendesh uber ? Lbd mwanzon saw lkn kwa sas uber hailip tumefany sasa hv makato ni makubw san mfan kila abiria unaye mbeba uber wana kata asilimia 25 .kwa watu wasiolew mfn abiria akitoa elf 10 wao wanachukua 2500 derev 7500 .bd mafut hp bd hesabu ya boss. Uber mwanzon ilikuw inalip san co sas ase

    • @pendombinga3584
      @pendombinga3584 2 ปีที่แล้ว +4

      Kumbuka huyu uber ni yk sy ya boss

    • @edsonjumbe879
      @edsonjumbe879 2 ปีที่แล้ว

      @@pendombinga3584 Anazungunzia Uber kama Uber sio boss

    • @meshackgerald4032
      @meshackgerald4032 2 ปีที่แล้ว +2

      Wote tumefany hy kaz lkn kwa hapo ametupig na kitu kizito san. Ipo hv mwanzon makat yalikuw kdg san kulikuwa na bones nying lkn kwa sas hkn ucku kulikuw na ongezk la bei kwa sas hkn pia .sas hv ukifany kaz ukipat ht laki na ishilin ww kidume . sas hp den utakalo kutan nalo mwisho wa wiki ndio utajua Uber inalipa au una kimbiz mweng .

    • @meshackgerald4032
      @meshackgerald4032 2 ปีที่แล้ว +1

      Km hy gar ni yk saw itakuw inakulipa lkn pia kuna sevs za gar . Mm nadhan utakuw mgen kweny uber lbd ni kuulz kitu km uber inalip kwann maderev huwa hawatk abiria wa kadi . mwanzon kulikuw hkn bolt wala pin na mitandao mingin abiria walikuw wengi san .ulikuw huwez kukaa nusu saa bira cm kuit ila kwa sas unakaa ht masaa mawil hkn abiria

  • @victorianbenardnachenga6839
    @victorianbenardnachenga6839 2 ปีที่แล้ว +4

    Cute with brain...keep it up Dorah...!!!👍

  • @hanifawaliya7976
    @hanifawaliya7976 2 ปีที่แล้ว +3

    Asa kwani urembo unahusiana nini na kuendesha uba. Si anatafuta chakula Cha watoto wake bwana.

  • @jamespatsonjp4935
    @jamespatsonjp4935 2 ปีที่แล้ว +5

    Kiukweli hii kazi kama unaifanya serious ina hela cz kwa siku ukikomaa vyema hukosi 50k out of fuel.. ila.kama unataka hela myingi fanya usiku day inakuaga changamoto sana foleni trafic jua yani vikwazo kibao ila night mtelezo alafu bei inakuwaga juu kidogo.. 50k unapata vozuri tu ila.tengeneza wateja wa permenent ndio utaona hela chap chap... ila utazunguka sana mjini mpaka upate hiyo 50k .. but inalipa

  • @DennisAffiliate
    @DennisAffiliate 2 ปีที่แล้ว +5

    Uber inalipa mimi mwenyewe niko Uber hapa South Africa

    • @gidy6502
      @gidy6502 2 ปีที่แล้ว

      Unalipa sh % ngapi kamisheni yao

    • @DennisAffiliate
      @DennisAffiliate 2 ปีที่แล้ว

      Million 2

    • @gidy6502
      @gidy6502 2 ปีที่แล้ว

      nilijua tu hujitambui

    • @magembetv5866
      @magembetv5866 2 ปีที่แล้ว

      @@gidy6502 😀😀hajitambui tena

  • @faharikhamis1042
    @faharikhamis1042 2 ปีที่แล้ว +6

    Pambana sister wangu

  • @jaquilinekabadi37
    @jaquilinekabadi37 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤.

  • @user-wk1ix1gm1p
    @user-wk1ix1gm1p 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dada

  • @alphonceluzigashija3549
    @alphonceluzigashija3549 2 ปีที่แล้ว +2

    Sidhani kwa sasa kama ni biashara yenye malipo kwa namna hio sababu makato na mengineyo ni changamoto kubwa ila napiga hesabu labda hio gari kama ni yake basi sawa ila endao ni gari ya hesabu lazima tutafakari ooh nimeona amesema ni gari yake anyways inawezekana sababu nje ya uber anaweza kuwa na private contract na wateja wake ambapo akiunganisha anapata hayo mapato.

  • @ramadhansadik001
    @ramadhansadik001 ปีที่แล้ว

    Sawa sana mamaa jikaze na safari hiyo

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 2 ปีที่แล้ว +3

    Dada kweli kabisa customer care ni namba one jambo ambalo sehemu nyingi hakuna

  • @elinahlawrancemwaipopo7633
    @elinahlawrancemwaipopo7633 ปีที่แล้ว

    Good job 💕💕💕

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว +2

    hadi raha yani inatia moyo.

  • @nataliakenny9499
    @nataliakenny9499 2 ปีที่แล้ว

    Duh hongera mmy

  • @maryamgalu5523
    @maryamgalu5523 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @abasisaadivevo4688
    @abasisaadivevo4688 2 ปีที่แล้ว

    hongera xn ccy

  • @bumbuli4170
    @bumbuli4170 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sanaa

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏

  • @gidy6502
    @gidy6502 2 ปีที่แล้ว +2

    huyu katumwa na hii mitandao ya online

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 ปีที่แล้ว

    AM TZ SUPER WOMAN BIG UP U UMEWEZA SANA ZAKELIKE 🥰🇹🇿❤

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 ปีที่แล้ว +1

    Congelicoshen

  • @samsonyemmanuel5160
    @samsonyemmanuel5160 2 ปีที่แล้ว +6

    Unapata 1.3m kwa mwezi, umefanya miaka miwili ni 31.2m. Ununue gari nyingine, ule, uvae, ulipe kodi, ulipe Ada ya mtt, usapoti ndg zako, bado hujafanya service gari yako, Ununue na uwanja 40m hapo hapo!??...Guys akili zakuambiwa changanya na zako.

    • @emanueljoseph602
      @emanueljoseph602 2 ปีที่แล้ว

      Huyu dada mapepe' kwanza hana adabu wala maadili akajifunze nidhamu na hekma tena nyumbani kwao.

    • @msowamhokole7714
      @msowamhokole7714 2 ปีที่แล้ว

      Kajiongeza muonekano unavutia

    • @smavilifestyle2471
      @smavilifestyle2471 2 ปีที่แล้ว +5

      heeee...hivi unajielewa kweli kaka?amekwambia ana uber 2,hiyo hela inategemea na mwezi wa biashara,kwa hiyo unamuona anadanganya ili iweje?au ulitaka aseme anahongwa?hiv wnaume mna matatizo gani?kila mwanamke anapojituma na akafanikiwa mnaona hawezi bila support yenu, acha makasiriko kaka jitume utafanikiwa..hiyo ni roho ya umaskini

    • @smavilifestyle2471
      @smavilifestyle2471 2 ปีที่แล้ว +5

      @@emanueljoseph602 kitu gan kimekufanya useme hana nidhamu na hana maadili?wapi alipokosea labda?ametukana?amekukosea nn?mbona umetoa kauli mbaya sana kwa mtu usiemfahamu!

    • @marysdiosa8764
      @marysdiosa8764 2 ปีที่แล้ว

      huyo ni mwanamke kumbuka

  • @goodluckymosha2515
    @goodluckymosha2515 2 ปีที่แล้ว

    Hivyo ndivyo inavyo paswa kwa mwanamke kujiongeza kwani hata mwanamke anaweza kufanya makubwa zaidi ya dora nikujiongeza2

  • @netlity5532
    @netlity5532 2 ปีที่แล้ว +9

    Mmmh tusidanganyane jamani, laki 9 mshahara wa receptionist? Huo ni mshahara wa mtu mwenye degree tena ofisi kubwa tu, mwanajeshi, n.k hapo tu sikubaliani ngoja niendelee kusikiliza zaidi

    • @rikekikonyo2265
      @rikekikonyo2265 2 ปีที่แล้ว +7

      Sema wewe hujawahi kulipwa mshahara huo!! Wapo hadi milioni moja wanalipwa inategemea na kampuni

    • @immajuzo2440
      @immajuzo2440 2 ปีที่แล้ว +5

      Pole wengine hiyo ni posho tu .jiajil acha uoga

    • @ciarmnyone738
      @ciarmnyone738 2 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣Kuna ofc hyo ni pesa ya tishu

    • @ayoubhussein6625
      @ayoubhussein6625 2 ปีที่แล้ว +3

      Hujui kitu tulia.... Arusha kuna taasisi mfagiaji analipwa 1.5m w kaa ivyo ivyo na degreee

    • @rikekikonyo2265
      @rikekikonyo2265 2 ปีที่แล้ว

      @@ayoubhussein6625 hapo unatupiga mzee, taasisi gani au na wewe umesimuliwa??

  • @samwelichupa3931
    @samwelichupa3931 2 ปีที่แล้ว

    Tunaijua iyo

  • @musason1680
    @musason1680 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu dogo yupo vizr mno anafaa kukaa kwenye kiti hicho

  • @francyprojest2703
    @francyprojest2703 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mikoani ukiwa na gari yako unawezaje kujiunga na tax driving kama izo za mitandaon kama iyo uber

    • @baloziubalozini5074
      @baloziubalozini5074 2 ปีที่แล้ว

      Ingia Appstore/Playstore, download hzo apps hko Bolt/taxify/Uber.

    • @francyprojest2703
      @francyprojest2703 2 ปีที่แล้ว

      @@baloziubalozini5074 Tatzo sasa uku amna wateja

    • @elenlazaro3192
      @elenlazaro3192 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂mikoani kwetu ni daladala baiskel na bodaboda

    • @flavy_kipps4025
      @flavy_kipps4025 2 ปีที่แล้ว

      Arusha kuna Indrive

  • @felixally297
    @felixally297 2 ปีที่แล้ว +5

    Hii ni promosheni tu kiwanja millioni 40m then gari nyingine second end 7.5m total 48m kazi umefanya miaka miwili na miezi kazaa. Kwa mahesabu ya haraka haraka kila mwezi 2m kwa miaka miwili ni 48m inakuwaje hapa wakati ww kwa mwezi ni 1.6m bado ujalipa kodi na school fees. Labda kama unadaga kupitia taxify na uber

    • @mariamlupenza6657
      @mariamlupenza6657 2 ปีที่แล้ว

      Hapo tumepigwa

    • @oscarmakoye9920
      @oscarmakoye9920 2 ปีที่แล้ว

      huku Marekani wapo kina Dada wengi sana tuvwanaofanya biashara ya Uber,tena hadi wakina Mama wenye umri mkubwa tu wapo wanaoendesha uber

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 2 ปีที่แล้ว

    Smart

  • @super_boy_tz
    @super_boy_tz 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyu dogo anapepelusha vyema bendela Yako Brooo amini huyu dogo mkali wa enteview niamini

  • @kingfumanizifrommanzese4648
    @kingfumanizifrommanzese4648 2 ปีที่แล้ว +1

    Shangazi nakusikiliza kwa makini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ngwayatv2798
    @ngwayatv2798 2 ปีที่แล้ว

    Mnatuletea usanii kwenye jumba la sanaa uyo dada katumwa na bolt awashawishi watu wajiunge zaidi mimi nafanya hizo mishe hiyo hela uwezi pata ata uendeshe UCHI huu ni usanii bei ya mafuta ipo juu plus bei chini za kila trip this is BULLSHIT

  • @JOHNJOHN-pu7wb
    @JOHNJOHN-pu7wb 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahaa wakishua afu anaendesha uber 🤣🤣🤣. Tusichoshane

    • @Mhasibu
      @Mhasibu 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni aka yake kwani we unamzarau wa uber

    • @pendokomba8322
      @pendokomba8322 2 ปีที่แล้ว

      Ushua sio pesa tu hata utanashat wake ni ushua

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 2 ปีที่แล้ว +1

    TRA

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว +1

    Mapato ghafi au?

  • @japhetkavishe8
    @japhetkavishe8 2 ปีที่แล้ว

    kwa bei ipi ya mafuta jamani

  • @ellymaduhu8668
    @ellymaduhu8668 2 ปีที่แล้ว

    dAAAH HUYU DADA ALISHANIDRIVE

  • @shamimushittindi1418
    @shamimushittindi1418 2 ปีที่แล้ว

    Ila dorah mmh

  • @alumbwagemchilo1047
    @alumbwagemchilo1047 2 ปีที่แล้ว

    Sema naona interviewee ni more intelligent kuliko interviewer, Why unazidi kusema amejiajiri uber yeye anainsist ni tax mtandaoni. Mtangazaji ujue kutofautisha kati ya brand ya uber na tax mtandaoni ambazo zipo nyingi siyo uber tu.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +1

    Sawa shangazi

  • @oscaroscaroscar7974
    @oscaroscaroscar7974 2 ปีที่แล้ว

    Itakua wanampa na tip

  • @musason1680
    @musason1680 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanajiwahiga kusema single mother 😂

    • @janethshem5782
      @janethshem5782 2 ปีที่แล้ว

      Kwaniniasiseme kuwa ninsingle mother kama kweli ni single mother

  • @eliasmyamba4767
    @eliasmyamba4767 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa vile anavyo jiamini

  • @japhetkavishe8
    @japhetkavishe8 2 ปีที่แล้ว

    story tuh

  • @wizzoally8354
    @wizzoally8354 2 ปีที่แล้ว

    Hub yke mbna siyon jmn

  • @mbelwapaschal6320
    @mbelwapaschal6320 2 ปีที่แล้ว

    Halali yake kupata hyo helaa kazi indeleeee

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 ปีที่แล้ว +1

    AWA YA KULIPWA MADENI YAKO m.th-cam.com/video/NzCJvpVkxHI/w-d-xo.html

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji upo vizr unajua kuhoji akili imetulia maswali yamejipangilia

    • @dennisevarist
      @dennisevarist 2 ปีที่แล้ว

      Japo kuna maswali mengine anakosea kumuuliza, hayahusiani na taxi mtandao yanahisiana na taxi za kawaida

  • @jepamacherehani1626
    @jepamacherehani1626 2 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/j22k6Ge2zUI/w-d-xo.html
    Karibuni katika ukurasa wetu ujionee bidhaa zetu

  • @davidmnyagwia8443
    @davidmnyagwia8443 2 ปีที่แล้ว

    Jiraniiiiiiiii!!!!😂😂😂

  • @fredymkatale3376
    @fredymkatale3376 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo dada ni muongo,amenunuliwa na mitandao ili awasafishe,hana lolote mamluki huyo.

  • @amosmwanga4027
    @amosmwanga4027 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahaaaaa, Hapa unawatengeneza wasio ijua kazi hii......ila sisi kama wakongwe utumbii kitu.
    Tumeifanya kazi hii toka inaingia hapa mjini tukiwa na application moja tu ambayo ni uber, hapo kidogo kwa kiasi hicho ningeweza kukubali, lakin toka application ya Bolt ilivyo ingia mjini hakuna atakaenidanganya kuwa anaipata hiyo pesa kwa mwezi......Tena kwa hiyo miaka yako katika kazi changamoto zimekuwa nyingi kuliko zamani, sasahv abiria wengi wanatumia Bajaji na Bodaboda kwa hili miaka yako miwili tofauti na nyuma coz Boda na Bajaji havikuwepo na bado hiyo pesa haikuwepo,....sshv kwa usafiri wa mtandaoni Boda na Bajaji kidooogo ndo watuambie kuwa wanapata pesa lakn cyo kwa sisi tunao endesha gari.

    • @elenlazaro3192
      @elenlazaro3192 2 ปีที่แล้ว +1

      Lakini huyu ni mwanamke... Na wanawake ni wachache af kila mtu na nyota yake

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 ปีที่แล้ว

    Kawaida sana

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanadanganya sana watu kwanza uyo Dada muizi sana

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว +9

    Mmmmmh WaTanzania ni waongo waongo yaani una diploma ya business administration unafanya kazi na hair cutting saloon then una kuwa receptionist na mshahara laki tisa, tuwe wakweli receptionist gani Tanzania analipwa laki tisa?? Huo ni mshahara wa mtu ana degree tena inategemea ni degree ya aina gani. Na watu wengi wanaokuwa wa rahisi kusema kiasi wanachoingiza wengi uwa hawana pesa hizo . Huyu dada nahisi yuko mawindoni anatangaza biashara yake ingine na anajitia aibu kwa kudanganya kuhusu elimu yake na kazi ya receptionist ya laki tisa.

    • @emanueljoseph602
      @emanueljoseph602 2 ปีที่แล้ว +1

      Anajitia mapepe' mademu wengine wanaendesha mabasi ya mikoani au matenki ya mafuta mbona hawana mauzo kama hayo.

    • @neylicious_mollel5194
      @neylicious_mollel5194 2 ปีที่แล้ว +1

      Kbs yaan mi pia nmshanga sana yaan

    • @cr7tz770
      @cr7tz770 2 ปีที่แล้ว +2

      Inategemea na reception unaweza kulipwa Hadi 1 million kwa mwezi

    • @ciarmnyone738
      @ciarmnyone738 2 ปีที่แล้ว +1

      Kuna salun kusuka nywele ty za mkono beii ya chin 15...so inategemeaa ni wap ....🤣🤣💅

    • @meddy4
      @meddy4 2 ปีที่แล้ว

      @@cr7tz770 sio bongo bhn

  • @bidabidatz
    @bidabidatz 2 ปีที่แล้ว

    "KITUTU NA VIN'GASTI WAPANGAJI".
    _😂😂__😂_
    😂😂😆😆👐__👐
    LINK ON TH-cam
    👇_______👇
    th-cam.com/video/qaFPIqMX5yU/w-d-xo.html

  • @stanleyjohn3655
    @stanleyjohn3655 2 ปีที่แล้ว

    duh dada uyu nimecheka sana wakati yeye tumekaa nae airport analalama kazi ngumu ela amna abilia wanazingua leo yupo uku anapata millioni moja na kwa mwezi mh hatari sana basi sawa kama katumwa itakuwa sawa ila ni muongo uyu dada

    • @ericafransis6663
      @ericafransis6663 2 ปีที่แล้ว

      Sio Kila mtu anaweza kukuweka Waz mzunguko wake

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 ปีที่แล้ว +1

    Another way ya kudanga...who is she deceiving🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @msellah1717
      @msellah1717 2 ปีที่แล้ว +2

      Kama ana own hio gari kupata hio pesa ni ktu cha kawaida wanawake tupendane mtu akifanikiwa kadanga ?

    • @agyady6260
      @agyady6260 2 ปีที่แล้ว

      Shika moyo jipige sema unawivu na Mungu akubadilishie maisha dada

    • @nobertmwaweza3713
      @nobertmwaweza3713 2 ปีที่แล้ว

      @@agyady6260 huyo ni muongo dada wenyewe tuna fanya kazi izo sasa anapo sema akatai trip mwambie mm naenda kigamboni fani city usiku saa nane kama ata enda

  • @virusunityonline5786
    @virusunityonline5786 2 ปีที่แล้ว +3

    TUFANYE IBADA VIJANA SIKU ZIMEISHAth-cam.com/video/oHXabKKB5n4/w-d-xo.html

  • @noakipajiacademy
    @noakipajiacademy 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/J450TzE7Z1Y/w-d-xo.html
    New comedian in town karibuni kutazama guys

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera dada