Dalili ya moto wa Marekani na uwezekano wa Ushindi wa Ghaza (Palestina) || Sheikh Mohammed Suleiman

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025
  • Makala nzuri ya Sheikh Mohammed Suleiman Alhibri

ความคิดเห็น • 120

  • @AffectionateElephant-tr1lp
    @AffectionateElephant-tr1lp 20 วันที่ผ่านมา +13

    Allah ndio muweza wa kila kitu tumuogope sana na timuabudu ipaswavyo waumin amiin

  • @MWAMBAZanzibar
    @MWAMBAZanzibar 20 วันที่ผ่านมา +10

    Shekhe sauti inaathiri sana allah akuhifadhi

  • @philiplangat4467
    @philiplangat4467 4 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana,mwenyezi mungu sii binadamu mnavyo fikiria nyinyi. Mnasaau ya kwenu mapema sana.

  • @suleimanroba5896
    @suleimanroba5896 12 วันที่ผ่านมา +1

    Allahuakbar

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 20 วันที่ผ่านมา +5

    Alhamdulillah nusra ya Allah imekujaaa❤❤❤❤

  • @Salsabiil12
    @Salsabiil12 19 วันที่ผ่านมา +5

    Allah aliwavumilia sana hawa watu acha Allah aoneshe uwepo wake na ukubwa wake hata vizazi vyao ili viweze kuongoka wakikumbuk makombol ya Allah tabarak

  • @ngolwetv3523
    @ngolwetv3523 19 วันที่ผ่านมา +1

    Maashaa Allah, shukran Jazeera wabaaraka llahu feek

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 20 วันที่ผ่านมา +5

    Subhanallah Allahu Akbar

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 20 วันที่ผ่านมา +8

    ALLAHU AKBAR

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx 20 วันที่ผ่านมา +7

    Maashaallah

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 19 วันที่ผ่านมา +2

    Allah ndie hakim

  • @MadulyaiAlliy
    @MadulyaiAlliy 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaallah

  • @SeleBobo-p1e
    @SeleBobo-p1e 19 วันที่ผ่านมา +1

    Allah ndie mueza ☝️

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 18 วันที่ผ่านมา +1

    ALLAHU AKBAR. ALLAHU AKBAR

  • @khadijashabani5509
    @khadijashabani5509 14 วันที่ผ่านมา

    Nimeamini kuwa hakuna jambo lisilokuwa na malipo i love u allah

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 20 วันที่ผ่านมา

    Shukran sheikh mpendwa

  • @rukiafaraj1400
    @rukiafaraj1400 19 วันที่ผ่านมา +1

    الله اكبر!

  • @MakameRashid-j3n
    @MakameRashid-j3n 17 วันที่ผ่านมา +2

    Alla huakbar

  • @Fatma-e5q6f
    @Fatma-e5q6f 17 วันที่ผ่านมา +1

    Allah hafundishwi nn afanye acheni ujinga jiulizeni mwisho wetu wanaadamu ni wapi halaf ndo mtajua hamjui wapuuz nyie lailaha ila llah najivunia kuwa muislam asanteni wazaza wangu na sio kuwa muislamu jina allah awajaalie kila alieamin tumche allah subhana wataala

  • @MbaroukAbdallah-k8h
    @MbaroukAbdallah-k8h 20 วันที่ผ่านมา +3

    ALLAH AKBAR

  • @MusaLandare
    @MusaLandare 20 วันที่ผ่านมา +1

    Allahuakbar 🤲🤲🤲

  • @khamissehel-jr1cs
    @khamissehel-jr1cs 18 วันที่ผ่านมา

    allahu akbar.. allahu akbar

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 20 วันที่ผ่านมา +4

    Nikweli kabisa hiyo dalili ya ushindi wa Gaza maana Jimbo hili ni la mazayuni tena matajiri wanao fadhili vita vya Gaza.

  • @mwanaishaSalimu-vq8sh
    @mwanaishaSalimu-vq8sh 19 วันที่ผ่านมา

    Subhanallah alhamdulillah

  • @AbuuGodesh-o8y
    @AbuuGodesh-o8y 17 วันที่ผ่านมา

    Alhmdllh

  • @JustinMwanzeni
    @JustinMwanzeni 11 วันที่ผ่านมา

    Nabado washenzy sana wamagharibi wanalipwa na ALLH wauwaji wakubwa

  • @IssaMabiki-y4n
    @IssaMabiki-y4n 20 วันที่ผ่านมา +2

    Naam

  • @AllyramadhaniSungi
    @AllyramadhaniSungi 18 วันที่ผ่านมา

    وإما جنودنا لمن المفلحون

  • @mwinyiothman5106
    @mwinyiothman5106 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu mkubwa

  • @issamushi6389
    @issamushi6389 18 วันที่ผ่านมา +1

    Allah tunaomba mwingine mpaka waelewe

  • @Saidsadick-e3u
    @Saidsadick-e3u 17 วันที่ผ่านมา

    Amii

  • @SakinaJuma-q6b
    @SakinaJuma-q6b 20 วันที่ผ่านมา

    allahu akbaru

  • @jacobboyakil3196
    @jacobboyakil3196 19 วันที่ผ่านมา +4

    Toa wito Duniani kote watu watubu si Marekani tu maafa yameenea kote ulimwengini na popote kwenye majanga ya Asili Mafuriko, Moto Upepo aridhi kuhama yote hayo chanzo kutofuata tabia Mungu Tubuni mkabatizwe ili mupate ondoleo la dhambi Mathayo 3:5--8

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 10 วันที่ผ่านมา

    Tunasubiri sasa ishallah hukum yaezrael marekani tayari

  • @ZulekhaAltiwani
    @ZulekhaAltiwani 19 วันที่ผ่านมา

    Mbona tayari shkh...israel imesalim amri.... Alhmdllh..

  • @AnordErio
    @AnordErio 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mm sishangai kuhusu uyu shekhe kama shekhe maaana hata mudi akusoma

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 17 วันที่ผ่านมา +1

      Kojoa ukalale acha na waislam

    • @hamidamussa593
      @hamidamussa593 17 วันที่ผ่านมา +1

      @@Ayuminchasi Tena akojoe akalale bila ya kutawaza maana ndo kawaida yao viristo kufanya uchafu.... Wanuka mavi nyie.....🤣🤣🤣

    • @MariamAhmadaMwikalo
      @MariamAhmadaMwikalo 16 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂akanyoe na mavu.....

  • @PriscaChangoma-jf6tq
    @PriscaChangoma-jf6tq 19 วันที่ผ่านมา

    Sio kwl

    • @OthumaniKadama
      @OthumaniKadama 19 วันที่ผ่านมา

      Ipo siku utajua tu

  • @AlfredZacharia-of3je
    @AlfredZacharia-of3je 18 วันที่ผ่านมา +1

    Gaza yamebaki magofu tu, lakin badala Allah aiangamize Israel ambao ndo adui mkubwa wa waislam et kapeleka adhab yake marekan, kwel Allah cyo mungu wa kweli.

    • @yustoedward2224
      @yustoedward2224 18 วันที่ผ่านมา

      Akil huna hao wote wanasaidiwa na markan

    • @sophiajuma6798
      @sophiajuma6798 18 วันที่ผ่านมา +1

      Umepotea wewe rudi kwa mola wako

    • @massudidadi679
      @massudidadi679 18 วันที่ผ่านมา +1

      Hata makafiri wlio pita walisema hayo hayo yakawakuta yaliowakuta na ww hutaishi mile utajionea

    • @AlfredZacharia-of3je
      @AlfredZacharia-of3je 18 วันที่ผ่านมา +1

      @@yustoedward2224 nikwel wamarekani wanasaidia rakini Quran inasema adui mkubwa wa waislam ni mayahudi sasa et Allah wenu kaenda marekan kuunguza majumba tu wakati gaza watu wanateketea duuh siyo poa huyo Allah jaman anamasihara.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 17 วันที่ผ่านมา

      Hujui unachokisema ww kafir , adui mkubwa wa waislam duniani kote ni marekani kuliko huyo unaemjua ww huyo unnaesema ww hawezi kufanya chcht bila ya marekani . Wewe hujui unachokisema

  • @philiplangat4467
    @philiplangat4467 8 วันที่ผ่านมา

    Mtetemeko wa Arthi ilio kumbataki na mafutiko ya meca ni?

  • @salumsalum8347
    @salumsalum8347 19 วันที่ผ่านมา

    Duuu

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 19 วันที่ผ่านมา +1

    Marekani wakome tena wakome kabisa kabisa hii ndio dawa yao.

  • @SwaliinaYusufu
    @SwaliinaYusufu 20 วันที่ผ่านมา

    Allah ndio mjuzi akunaatakeweza kufanya chochote bila yeye wangalie wanamkosea wapi mungu iyondio ishara yake

  • @hamidamussa593
    @hamidamussa593 20 วันที่ผ่านมา +1

    We mkweli😂

  • @AlfredZacharia-of3je
    @AlfredZacharia-of3je 18 วันที่ผ่านมา

    Quran inasema waislam wote duniani ni ndugu, ila nashangaa gaza wanakufa ninyi mnashindwa kwenda kutoa msaada mnajifariji tu kwenye moto ulitokea marekan eti ndo kisasi Cha Allah Kwa wapalestina.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 17 วันที่ผ่านมา

      Hujui uislam unasemaje kuhusu hili sababu ww ni kafiri

    • @AlfredZacharia-of3je
      @AlfredZacharia-of3je 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@HemedSeriouswewe kubali tu kwamba Mungu wenu ni dhaifu sana, jaribu kufuatilia jinsi Mungu wa Ibrahim, isaka, yakobo na manabii wengine alivyokuwa akiwapigania waisrael kushinda vita vyao, sasa angalia jinsi wapalestina wanavyokufa kama wanyama haraf Mungu wenu kalala tu hiyo n shida.

    • @NkengurukiyimanaBoniface
      @NkengurukiyimanaBoniface 16 วันที่ผ่านมา +1

      We mwana adamu we shika adabu yako na ujuwe kwamba Allah sio mungu wa kuchezea sawa kwa hio jiheshimu kabla hujaangamizwa na wewe

    • @NkengurukiyimanaBoniface
      @NkengurukiyimanaBoniface 16 วันที่ผ่านมา

      We mwana adamu we shika adabu yako na ujuwe kwamba Allah sio mungu wa kuchezea sawa kwa hio jiheshimu kabla hujaangamizwa na wewe

  • @AbdulChakaar
    @AbdulChakaar 19 วันที่ผ่านมา

    Hakuna dhulma isiyokuwa na malipo

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 20 วันที่ผ่านมา

    Yesu anarudi

    • @Nabiilkhamis
      @Nabiilkhamis 20 วันที่ผ่านมา

      Ww mijnga tu kaa umsubr yesu

    • @JailaniOmary-b5f
      @JailaniOmary-b5f 20 วันที่ผ่านมา

      Usisahau chandarua na shuka ya kujifunika

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 19 วันที่ผ่านมา

      Kutokea wapi?

    • @diehansi
      @diehansi 15 วันที่ผ่านมา

      Mnadanganywa tu Yesu arudi ww iwezekane vipi huuu mwaka wa 2000 kila siku ni hvyo hvyo tu

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 20 วันที่ผ่านมา +1

    Moto na yanaendelea gaza tofauti kule wanakufa watu uku moto ulioua 25 uko gaza unajua idadi yake au😂😂😂😂

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 19 วันที่ผ่านมา

      Hawasemi idadi kamili ya watu waliokufa thas y ingekua kwetu tumetangaza idadi iyo ingekua kelele kweli kweli kweli

    • @kifandenabil
      @kifandenabil 19 วันที่ผ่านมา

      Aliekuambia 25 nani hawawez kutoa idadi Kamili wataaibika,

    • @AlfredZacharia-of3je
      @AlfredZacharia-of3je 18 วันที่ผ่านมา +1

      Waliokufa hko marekan ni wale wasiojiweza, maana moto Huo alikuwa anasambaa kutoka eneo Moja kwenda jingine na watu walikuwa wakihamishwa haraka kabla moto haujafika, hyo ni tofauti na gaza ambako zaid ya watu elf 50 wamekufa.

    • @hamidamussa593
      @hamidamussa593 15 วันที่ผ่านมา

      @@AlfredZacharia-of3je Ni sawa wamekufa kwa iyo idadi uliyoitaja sasa ww umefaidika na nini? Sisi tunavyojua wale ni innocent...na wamekufa mashahidi sijui ww utakufa ukiwa unafanya nini 😏

    • @AlfredZacharia-of3je
      @AlfredZacharia-of3je 15 วันที่ผ่านมา

      @@hamidamussa593 wale wanakufa kwasababu ni maadui wa Mungu, maana kila anaeilaani Israel huyu ni adui wa Mungu

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 20 วันที่ผ่านมา

    Niuwongo. huu nimpango wa silikali yamarecani

    • @FarhatSuley
      @FarhatSuley 19 วันที่ผ่านมา +1

      Serikali ndo iloleta upepo?

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 19 วันที่ผ่านมา +1

      Wenye akili za msitu utawajua tu sku zote

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 20 วันที่ผ่านมา

    Huo niuongo

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 19 วันที่ผ่านมา

      Lete ulio ukwei

    • @OthumaniKadama
      @OthumaniKadama 19 วันที่ผ่านมา

      Naamin ipo siku utajua ukweli na njia ya haki ni uisilam pekee

  • @GodfreyDaudi-vz4ot
    @GodfreyDaudi-vz4ot 19 วันที่ผ่านมา

    Kuna uhusiano gani kati ya moto wa marekani na palestina waafrika tumerogwa na nan mbona tumerogekavibaya

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g 19 วันที่ผ่านมา +1

      Ndo mwisho wa akili zako. Huwezi kujua kwann kijiti ch kuzuia mimba kinawekwa begani

    • @IssaFumo-e4j
      @IssaFumo-e4j 19 วันที่ผ่านมา

      We umejiroga mwenyewe

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 19 วันที่ผ่านมา

      Huwezi kuelewa hapo mana akili zako ni sola jifunze zaid ndo utajua

    • @Fadhilchombo
      @Fadhilchombo 19 วันที่ผ่านมา

      Akili yako imefika umega

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 20 วันที่ผ่านมา +1

    Watuwadini niwepesisana kuamini mamboyauwongo

    • @bahatimaholomaholo936
      @bahatimaholomaholo936 20 วันที่ผ่านมา

      kweri wewe sio wa dini moto unawaka katikati ya mti wewe unasema wa mechoma wenywe wangekua wanauzima na ndege zao kuanguka nyie ambae hamuamini dini hata dalili pia hamzioni poleni

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 20 วันที่ผ่านมา

      Yaani watu mumekua wajinga kupitiliza

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 19 วันที่ผ่านมา

      Akili za sola utazijua tu aliesma soma ujue hajakosea

    • @diehansi
      @diehansi 15 วันที่ผ่านมา

      Kuna muda principal zako zote unazoamini hazitofanya kazi with none reason, ndio utajua kwamba hkuna jambo ulofanya kwa uwezo wako

  • @AlfredZacharia-of3je
    @AlfredZacharia-of3je 18 วันที่ผ่านมา

    Allah wa waislam hana uwezo wa kuwasaidia watu wake, kwanza adui wa kwanza kwa waislam ni Israel na yeye ndo haiharibu gaza na kuua watu zaid ya 50 elfu, harafu kisasi kinafanyika marekani, kwanini huyo Allah wetu asiunguze Israel ambao ndo wamekaa kwenye aridhi wa wapalestina? Matokeo yake kaenda kulipa kisasi cha watu wachache marekan

    • @MakameRashid-j3n
      @MakameRashid-j3n 17 วันที่ผ่านมา

      Subiri na ww maangamizi kutoka kwa Allah utakua t na utajuta acha upumbavu kijana

    • @MakameRashid-j3n
      @MakameRashid-j3n 17 วันที่ผ่านมา

      Na nyie kama mnaweza nendeni kawasaidieni kuzima moto wamarekani

    • @AlfredZacharia-of3je
      @AlfredZacharia-of3je 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@MakameRashid-j3nmoto kama Huo nikawaida tu. Ni ajali kama ajili zingine wala c adhabu ya Mungu, mbona hata kwetu majanga kama haya yanatokeaga? Sisa ajali Moja tu ya vyombo vya moto inaweza kuua watu 50 na zaid. Sasa ni adhabu gan ya Mungu inayoweza kuua wazee tu wasioweza kukimbia?

    • @AlfredZacharia-of3je
      @AlfredZacharia-of3je 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@MakameRashid-j3nHuyo Allah Hana lolote ndo maana hata mtume wake wa michongo Muhammad hajawahi hata kufanya muujiza wa kumponya mtu, matokeo yake alikuwa akiona wagonjwa na vipofu anawakimbia

    • @MakameRashid-j3n
      @MakameRashid-j3n 17 วันที่ผ่านมา

      @AlfredZacharia-of3je laqadkhalaknal insanu fi ahsanu taqwin thumma radadenahu asfala safilin sasa we iyo pumzi yake alokuanzima subir aichukuwe alafu uune hasira zake Allah
      Halafu ww ni wakutubia he njoo katika rehema za Allah upate salama we unaamini issa bin Mariam ndo mungu wakati yeye ni mja wa Allah
      Usijitie kibri kijana alikuwepo firiani na ujabari wake Allah kamuangamiza katika tumbo la bahati na Allah hakutaka azikwe ili awe fundisho wanaadamu wenye kibri, basi ndugu yanu achana na Imani potofu njoo katika sina haki

  • @JacobJoel-cb3ni
    @JacobJoel-cb3ni 20 วันที่ผ่านมา

    Mmmhhhhh

    • @muhamedmsomally4175
      @muhamedmsomally4175 20 วันที่ผ่านมา

      Hhh-hhhhh
      Unaguna nn

    • @JailaniOmary-b5f
      @JailaniOmary-b5f 20 วันที่ผ่านมา

      Endelea kuguna hivyohivyo...... Na utaguns sn mpk utakubali kuwa ukweli ndo huo

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 20 วันที่ผ่านมา

    Uongo na unafiki tu. Majanga kila mtu anaweza kupata.

    • @hamidamussa593
      @hamidamussa593 20 วันที่ผ่านมา

      We mkweli 😂

    • @mressahassan6832
      @mressahassan6832 20 วันที่ผ่านมา

      Kuchi wew nimnafiki nabwege alie kamilika km niuongo nikm ule wamamaako alivojiuza kisha ukazaliwa wew umbwaaaaa,,

    • @AmusedCatfish-hd8wo
      @AmusedCatfish-hd8wo 20 วันที่ผ่านมา

      Nyie makafiri mtihani sana

    • @muhamedmsomally4175
      @muhamedmsomally4175 20 วันที่ผ่านมา

      Utawaona 2 wajinga km hawa

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 20 วันที่ผ่านมา

      Sisi hatukushangai kuamini hilo,ikiwa unamkataa Allah muumba wa mbingu na nchi alie kuumba wewe kwa tone la menii, akakukuza hadi hapo ulipofikia amekupa kila kitu mwisho wa siku umekua kiburi unamkataa na unaamua kua kafiri.

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 20 วันที่ผ่านมา +1

    Uongo mtupu

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 20 วันที่ผ่านมา

      Mw MUNGU haonekani ila.ghadhab zk
      Imani juu ya ALLAH kuwa anaweza kila atakalo na ukichupa mipaka atakushughulikia! Ni juu yako kurudi kwake ukatubu au ukaona ni kawaida2

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 20 วันที่ผ่านมา

      Yote kwa yote acha kiburi kuna siku utakufa sasa hapo ndio utaelewa Kama maharage ni nyama au Sio,.

    • @JailaniOmary-b5f
      @JailaniOmary-b5f 20 วันที่ผ่านมา

      Tupe yko ya ukweli

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 19 วันที่ผ่านมา

      Very simpo alisma kumwelesha chizi kqzi hajakosea😂😂😂

  • @kalekela-j1e
    @kalekela-j1e 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi nawasikitikia Masunni ambao wanawatenga Mashia wakati Mashia ndio wanajitoa katika kuwatetea Wapalestina.
    Mashujaa wote waliopigana vita na wanaopendelea kupigana na Israeli wanatoka katika Makundi ya Kishia. KWA NINI MASHIA WASIHESHIMIWE?
    Kwa nini watengwe?

    • @IssaFumo-e4j
      @IssaFumo-e4j 19 วันที่ผ่านมา

      Umetoka nje ya mada mbn....huo ni mjadala mwengine

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 19 วันที่ผ่านมา

      Apo hkuna cha shia wala sunni baki na imani yako mjinga 1

    • @HajiJuma-xr3dv
      @HajiJuma-xr3dv 18 วันที่ผ่านมา

      Tun wateng kw sababu wanping baadhi za aya za qur an,

  • @hizzarashidi1118
    @hizzarashidi1118 18 วันที่ผ่านมา

    Mashallah