Miradi ya USAID umesitishwa na Rais Donald Trump
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Takriban watu elfu 40 waliokuwa wameajiriwa na shirika la Kimarekani la USAID huenda wakakosa ajira baada ya serikali ya Rais Donald Trump kuwaagiza raia wake kurejea nchini. Wengi walioathirika nchini ni wafanyakazi wa afya huku athari zake zikianza kuonekana kwenye ofisi zinazofadhiliwa na shirika hili
Good job 👍 mr trump
Ruto corrupt government imeleta hii yote
Kwani hamukuinvest? Wakenye tuache kuwa wajinga bana
Wacha waende nyumbani kwani amkusave