Subhana Allah mwenyezi mungu awape imani wazirudishe maana khatari pesa ya msikiti, ina kumaliza wewe na kizazi chako chote ,muta fakari sani ,hii ni njia tuna pita tuu ,watizame wale unao wa Acha, kisha ndio muna sema ka rogwa ame husudiwa ,ame fanyiwa kumbe pesa ya msikiti ulo kuwa una kula na unaku una good time na yo tafakarini ,ni moto wa duniani na akhera una kungoja zizala
Misikiti unaingiza au kumiliki mali zaidi ya Bilioni mbili mnashudwa kumiliki hata shule ya msingi au secondary au hospital , uongozi mbovu hapo kuchumia tumbo na kutokuwa na maono mapana ya umma
Innalillah wainna ilaihiii rrajiun, Huu ni msiba mkubwa Msikiti unawanufaisha baathi na waumini hawanufaiki Kuna yatima kuna Mauststh wanafundisha Qur'an wanakuwa maskini wakati Qur'ani yenyewe ni tajiri kuliko maelezo ila hukmu inawajia
Wewe pia umo tu haiwezekani hujui. Mtamkumbuka Sheikh Aboud Maalim na wenzake. Walisimamia ujenzi wa msikiti hadi kumalizika. Mliingiwa na fhambi ya kutaka kula na mkataka mpe wenyewe. Kumbe nyinyi ni Uislamu jina, walaji tu. Msikiti unapaswa kuwa jina lakini wa Waislamu wote. Mgechanganya Watu kwa jina la Uislamu siyo uoabila. Mmevuna mlichokipanda.
Sheikh Jongo aliwahi kumlilia NYERERE kwa uchungu,Leo anasema anaeilaumu serikali(CCM) amelaanika.Sheikh anakataa kuwa Shetani Bubu.Wallah uislamu wetu hatma anaijua Allah lakini kesho kazi IPO.Kweli tulaanike kwa kuilaumu Serikali hii ?
Vp kuhusu ww makosa yako Kwa wanaokujuwa , waonaje wakakuombea Dua uende moton waeza itikia Aamiin, Muislam mwenzako wamuonbea aende moton we jahil kweli, s ungesema tuu Allah atuongoze ukijijuwa naww nimkosaji tena pengine kuliko hao unaowadhania
@jaabirbakar2081 Hivi unavyofikilia hawa wameanza leo mtaani kwetu wameuza nyumba tatu na kuna nyumba moja wakfu anakaa mkwewe muft Alhad mussa hawa c watu mungu hawa sweke motoni Ameen
Inauma sana Kuna maskin wajane sehem nyingne tunaswalia chini Wala msaada hamna ndo mana mtu akiwa na jhazba anaomba Dua hii ila Mwenyezi mungu atuongoe @@jaabirbakar2081
Subhana Allah mwenyezi mungu awape imani wazirudishe maana khatari pesa ya msikiti, ina kumaliza wewe na kizazi chako chote ,muta fakari sani ,hii ni njia tuna pita tuu ,watizame wale unao wa Acha, kisha ndio muna sema ka rogwa ame husudiwa ,ame fanyiwa kumbe pesa ya msikiti ulo kuwa una kula na unaku una good time na yo tafakarini ,ni moto wa duniani na akhera una kungoja zizala
Misikiti unaingiza au kumiliki mali zaidi ya Bilioni mbili mnashudwa kumiliki hata shule ya msingi au secondary au hospital , uongozi mbovu hapo kuchumia tumbo na kutokuwa na maono mapana ya umma
Kwani shule ndio maendeleo ya dini?
Innalillah wainna ilaihiii rrajiun,
Huu ni msiba mkubwa
Msikiti unawanufaisha baathi na waumini hawanufaiki
Kuna yatima kuna Mauststh wanafundisha Qur'an wanakuwa maskini wakati Qur'ani yenyewe ni tajiri kuliko maelezo ila hukmu inawajia
Huyu mzee ni mpuuzi sana
Hapo anaomba gari la kifakhari kiaina
Wewe pia umo tu haiwezekani hujui. Mtamkumbuka Sheikh Aboud Maalim na wenzake. Walisimamia ujenzi wa msikiti hadi kumalizika. Mliingiwa na fhambi ya kutaka kula na mkataka mpe wenyewe. Kumbe nyinyi ni Uislamu jina, walaji tu. Msikiti unapaswa kuwa jina lakini wa Waislamu wote. Mgechanganya Watu kwa jina la Uislamu siyo uoabila. Mmevuna mlichokipanda.
Namuomba MwenyeziMungu uchunguzi uliofanywa Masjid manyema Ufanyike Misikiti yooteee...na Makanisa yooteee....
Duh sasa wakitaka upishe uchunguz kwa kuwekwa imam upo teali shekh jongo
Kwa nafasi alionayo ndani ya Bakwata hakuna wa kumtoa katika nafasi ya uimamu
Aliyekwambia imam Ana husika na pesa ni nani?
Sheikh Jongo aliwahi kumlilia NYERERE kwa uchungu,Leo anasema anaeilaumu serikali(CCM) amelaanika.Sheikh anakataa kuwa Shetani Bubu.Wallah uislamu wetu hatma anaijua Allah lakini kesho kazi IPO.Kweli tulaanike kwa kuilaumu Serikali hii ?
JONGO ANASAFISHA HEWA
Mim nataka wazile mpaka mnataka akale wap nandiokazi yake viji bilionimbili tu mnalalamika jongo kama umechukua wew amnashida mfanya kaz wahekaruni hula humohumo ekaruni kuleni
Hujaweza kabisa kuuficha ukafiri wako
Yani mashekh wakiwa namagari ya milioni mia tu imekua nidhambi wapuuz sana nyinyi baadhi yawaislam
Mchee allh unauhakikaa hiyoo nidhanaay bayaaa
Yeye ni imamu na yupo karibu sana na uongozi sasa shida inakuja kwako wew unaepinga nini unafahamu kuhusiana na msikiti?
Ndugu acheni dhana za hassadi , mulitaka aseme nini mumuone yuko sana
Kama KWELI unataka Haki jiondoe kwenye uimamu WA Msikiti WA Manyema baki na Bakwata yako.Miaka yote hukuona huu wizi ?
Asa aulizwe nan wakat wew ndo imam nando muuska mkuu
Alikwambia nani imam Ana husika na pesa?
Hujui Kuna miskiti imamu ni muajiriwa tu ila si kiongozi
Hivi aliyemuajiri ni nani
Kwa wetu wa bakwata sio ajabu
Sisi waislamu tuna matatizo
Mnadai nini na nyie ndio mliopiga 😂😂😂
Wambie navakwata wenzio wanauza Mali za waqfu kila siku
Kwanini usiondoke kama unadai mnafiki we
Imam ndo kila kitu msikitini hukosi mgao
Hapana imamu ni mwajiriwa tu ndani ya msikiti nawala sio kila kitu ndugu yangu
Kwani mwajiri ni nani?@NelsonNaga-g5d
Hawa Bakwata wezi sana mwezimungu hawasweke motoni amini
Vp kuhusu ww makosa yako Kwa wanaokujuwa , waonaje wakakuombea Dua uende moton waeza itikia Aamiin, Muislam mwenzako wamuonbea aende moton we jahil kweli, s ungesema tuu Allah atuongoze ukijijuwa naww nimkosaji tena pengine kuliko hao unaowadhania
@jaabirbakar2081 Hivi unavyofikilia hawa wameanza leo mtaani kwetu wameuza nyumba tatu na kuna nyumba moja wakfu anakaa mkwewe muft Alhad mussa hawa c watu mungu hawa sweke motoni Ameen
Bado sio hoja yakuwaombea dua kama hiyo bado wapo kwenye uislam, na Kaz ya Muislam nikumuombea Muislam mwenzako uongofu
Inauma sana Kuna maskin wajane sehem nyingne tunaswalia chini Wala msaada hamna ndo mana mtu akiwa na jhazba anaomba Dua hii ila Mwenyezi mungu atuongoe @@jaabirbakar2081
Hiyo nyumba ulitaka uishi wewe?
Majambazi hao