Askofu Gwajima leo March 12 2017 kanisani kwake Ubungo DSM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 442

  • @markosamuel6490
    @markosamuel6490 7 ปีที่แล้ว +2

    baba gwajima nakukubali saaana baba ongea wakati ni sasa hakuna wakati mwingine zaidi ya huuu ongea eti mwanasiasa sio kweli kabisaaa wacha aongeeeeee viva gwajima viva

  • @humphreymwihambi4330
    @humphreymwihambi4330 7 ปีที่แล้ว +3

    Ukiangalia vizuri Gwajima yuko sahihi. Wanasiasa wana tabia ya kujiona wao ni kama miungu. Makonda na wenzake kupitia Gwajima watajifunza kuwa na discipline ya kuongea. Makonda anaadhibiwa na Mungu.

  • @ibrahimbutera8157
    @ibrahimbutera8157 7 ปีที่แล้ว +5

    Je ni lini gwajima ataacha kuhubili siasa kwenye makanisa na kuhubili dini, Je siasa na Yesu ni vipi

  • @msaniimpyaBMW
    @msaniimpyaBMW 7 ปีที่แล้ว +4

    Shukrani Millard Ayo kwa habari, sauti haitoshi lakini #amplify.

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 7 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo inanikumbusha "MZEE PUNCH YA UDSM" .. Bashite kazi anayo..! Atajijuu..!!

  • @andulileexaud
    @andulileexaud 7 ปีที่แล้ว +3

    Napenda kuona wahukumuo leo tukihukumiwaaa naooo mbinguni maana iyo ndy furaha yanguuu, ,@gwajima@,,jehanamu around yuuu

  • @omaryally9418
    @omaryally9418 7 ปีที่แล้ว

    hili linapendeza sana sasa nineamin maneno ya wengi kuwa ukristo ni tatizo hauna msimamo eee mungu jaalia 2020 rais atoke chama cha ufufuo na uzima asante mung kuniweka nilipo

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 ปีที่แล้ว +4

    M/Mungu naomba umpiganie Makonda untie nguvu unlinked na maadui kwan vita aliyonayo sasa si kwafaida yake Bali ni kwafaida ya tnz najua wanafk,wachonganish na wenye hila hawana kibar mbele zako Mungu naomba ukamkingie makonda yasimfikie yawarudie wao Amin

    • @frajoccandle9549
      @frajoccandle9549 6 ปีที่แล้ว

      Ebu jiulize kwanza kama ni mkrisho na fuatilia maisha ya yesu kabla ya kuwalaumu wafuasi wake yesu

    • @frajoccandle9549
      @frajoccandle9549 6 ปีที่แล้ว

      UKIMUONA MKIRISTO ANACHANGIA UJINGA ETI GWAJIMA NI MWANASIASA UJUE NI MMOJA YA WAPINGA KIRSTO KWANI KRISTO ALIISHIJE NA ALITENDA NN DUNIANI

  • @sirialemmy37
    @sirialemmy37 7 ปีที่แล้ว +12

    soma kitabu kinachaitwa
    ANIMAL FARM by George.
    Bwana Gwajima,
    Hakika Mungu wako ni Mungu wa kishetani
    Naamini Mungu wa bibilia na Yesu wa Yerusalem

    • @amanichanga3448
      @amanichanga3448 7 ปีที่แล้ว +1

      George Orwell

    • @sirialemmy37
      @sirialemmy37 7 ปีที่แล้ว +2

      Amani Chang'a Thank you Amani

    • @amanichanga3448
      @amanichanga3448 7 ปีที่แล้ว +2

      Thanks too,, I read it in two Language Turkish(Hayvan Çiftçiliği) and English so u reminded me of pasts

    • @kiluamnandi5716
      @kiluamnandi5716 7 ปีที่แล้ว +1

      nimekuelewa saba bro

    • @amanichanga3448
      @amanichanga3448 7 ปีที่แล้ว

      kilua mnandi Hhh ww upo hadi huku

  • @graciousjerry1322
    @graciousjerry1322 7 ปีที่แล้ว +4

    haaaaaaaaaa et sema Daud!! waumini nao et Daudi!! eeeeeh Mungu wangu kanisani palikuwa sehemu ya kuzungumzia Amani na kutangaza Upendo!! palikuwa ni sehem ya kufundishwa kusamehe Lakin leo hii kanisani pamekuwa ni sehemu ya kusutiana na sehemu ya kulipizia visasi! Eeeeh Mungu tusaidie tukimbilie wapi sisi waja wako!! kanisan tunatajiwa majina ya huyu msichana huyu msichana!!!!! kweli kabisa! Mungu tusaidie na utunusuru ! umefanyiwa mabaya Gwajima umewekwa ndan umedhalilishwa! em aliyekufanyia hayo yote muachilie rohon kwako na Umuombee rehema!

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 7 ปีที่แล้ว +1

      Gracious Jerry hahahah umeonaee

    • @mostoryhub
      @mostoryhub 7 ปีที่แล้ว +2

      Gracious Jerry kanisa ni sehem ya kutumbua dhambi Kama za bashite.

    • @graciousjerry1322
      @graciousjerry1322 7 ปีที่แล้ว

      Mungu hadhihakiwi gwa kukaja

  • @honestbsn3044
    @honestbsn3044 7 ปีที่แล้ว +4

    Afanye kazi ya mungu. Aache siasa
    Unapoteza heshima na Hekima kwa swala moja.

    • @doricyaudax7288
      @doricyaudax7288 7 ปีที่แล้ว +1

      sasa hapo anahubiri nini? hana utumishi wowote a natafuta pesa tu! na hao wanaomsikiliza sijui akili zao sijui zikoje! . wamefata neno LA Mungu au wamefata siasa? yaani hachoki!! Mh! Mungu atusaidie kwakweli! na wako me kutanga tanga na kufata miujiza wakiiamini ndiyo itawaokoa! sasa hapa wenye akili wataelewa

  • @irineinnocent5234
    @irineinnocent5234 7 ปีที่แล้ว +2

    Mungu anazidi kuwadhihirisha wale manabii wa uongo walioandikwa kwenye vitabu vya Mungu. Mchungaji halipizi kisasi wala hafanyi vijembe. Tuliona mfano pale alipomtukana Kardinali Pengo. Pengo wa watu hakulipiza wala kumjibu. Yule ndie mtumishi wa Mungu kweli na si hawa wafanyabiashara wanaotumia kanisa kama mtaji. Mungu atazidi kumuumbua na kutuonyesha wewe ni nani?

    • @bonniermgassa6860
      @bonniermgassa6860 7 ปีที่แล้ว

      Irine Innocent Huyu Gwajima analipa kisasi na hairusiwi ivo'ndo maana Pengo alikaa kimya nae akapata mapgo '''

    • @irineinnocent5234
      @irineinnocent5234 7 ปีที่แล้ว

      Kabisa, na hivyo ndivyo mtumishi wa Mungu yakupasa uwe. Kazi ya kuhukumu ni ya Mungu hatupaswi kulipiza kisasi.

  • @yolakahmathews6913
    @yolakahmathews6913 7 ปีที่แล้ว

    Marko 12:17 , Basi Yesu akawaambia, “Mpeni Kaisari vilivyo vya Kaisari na vya Mungu mpeni Mungu.” Jibu hili liliwastaajabisha sana.

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 7 ปีที่แล้ว +2

    Aise Mch nimekuelewa sanaa.

  • @mostoryhub
    @mostoryhub 7 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima we mtumishi wa Mungu,kufichua uovu bila woga Kama alivyo fanya Jeremiah nabii safiii.

  • @stevenhinjo841
    @stevenhinjo841 7 ปีที่แล้ว +2

    unatakiwa umwamini YESU yakale yatapita nawe utakua kiumbe kipya ndani ya YESU nawe utakua mhubiri wa injili ya YESU iletayo toba na ondoleo la dhambi

  • @aminayasin2906
    @aminayasin2906 7 ปีที่แล้ว +9

    Mtumish yan mi napenda kukushaur ww ni mtu wa mungu na kupigana kwetu c kwa damu na nyama bali kwa roho sas kma umeshamzungumiza vya kutosha kwaiyo sasa tumia roho achana na nguvu za kimwli sasa km utakua kila cku unaleta sias kwny dini walio wachanga kiroho ndo wanazid kurud nyuma na kuyumba wakat unatakiwa kuwasimamisha kiroho

    • @goodluckyleonardkipigapasi3948
      @goodluckyleonardkipigapasi3948 7 ปีที่แล้ว

      Pilipili ya shamba, mjini inakuwashia nini?

    • @aminayasin2906
      @aminayasin2906 7 ปีที่แล้ว

      Goodlucky Leonard Kipigapasi hujielew wewe na akili zako mbili hizo usije ukaona mtu anatumia jina LA kiisilam ukajua ni mwisilam

    • @aminayasin2906
      @aminayasin2906 7 ปีที่แล้ว

      Goodlucky Leonard Kipigapasi tunaelewa din sana tyu

    • @iviejustified8109
      @iviejustified8109 7 ปีที่แล้ว +1

      Amina Yasin Unamuhukumu toa mistari ya biblia inayokataza anayozungumza haya!
      Asante!

    • @dotoe.a7869
      @dotoe.a7869 7 ปีที่แล้ว +1

      Sasa huyu Askofu Gwajima kwanini kila J2 anaongea habari za Makonda jamani ....kwanini asiongee mambo ya Kiroho ?? Yeye ni siasa tuuu....inabidi tumwombee

  • @isayamwangati5239
    @isayamwangati5239 7 ปีที่แล้ว

    ufufuo na uzima watakuwa wamemic sana neno la Mungu.Tunawakarbisha Kanisan kwetu jaman mpate neno

  • @eliasdodi3823
    @eliasdodi3823 7 ปีที่แล้ว

    Baba askofu Josephat Gwajima nakuomba kwa faida ya amani ya mama yetu Tz kubali yaishe geukia neno la Mungu yaani Injili

  • @rafaeljunior8674
    @rafaeljunior8674 7 ปีที่แล้ว

    oooooh my GOD, kwakweli nashindwa kupata ufufuo na uzima katika mahubiri haya....

  • @emmanuelasheri7037
    @emmanuelasheri7037 7 ปีที่แล้ว +4

    #the return of gwajima

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 ปีที่แล้ว +14

    safi gwajima kwenye uzuri sifia

    • @memmeme503
      @memmeme503 7 ปีที่แล้ว +4

      unatangaza neno la mungu au uko kwaajili ya makond

    • @shaibungoda9647
      @shaibungoda9647 7 ปีที่แล้ว

      Fanya yako baba achana nahao wanao ropoka kanisan kwan saut hapenyi ujumbe umfikie Na mungu

    • @mostoryhub
      @mostoryhub 7 ปีที่แล้ว +3

      Mem Meme neno la Mungu ni kufichua uovu acheni aseme.

    • @gershonkomando4316
      @gershonkomando4316 7 ปีที่แล้ว +1

      weee jamnaaa vip kama kuna ukweliiiiii wa vyetiii si avitoee bhnaa

    • @rachelmlingwa5541
      @rachelmlingwa5541 7 ปีที่แล้ว +3

      Ndugu yangu Gwajima wewe huna kiasi , watu wanakuja kanisani kusikiliza Neno la Mungu, lakini unawalisha Neno la Bashite mwezi mzima,

  • @felixmwacha101
    @felixmwacha101 7 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana na ukichaa wetu Lakn MUNGU aliye hai tunaye

  • @ramadhanisakalani6676
    @ramadhanisakalani6676 7 ปีที่แล้ว +1

    hiviii kweli sehem ya ibada imekua sehem ya siasa sheria yetu inasemaje

  • @sadocksebastian7620
    @sadocksebastian7620 7 ปีที่แล้ว +3

    Imetosha... we are hungry of the Word of God & not gossip

  • @EdwinOmegaodhis
    @EdwinOmegaodhis 7 ปีที่แล้ว +3

    it is now too much enough is enough we need to move on "man of God"

  • @avitimushi1541
    @avitimushi1541 7 ปีที่แล้ว +1

    Dr. Gwajima, the god's servant, the Makonda revenger!!

  • @balualfredsdk3751
    @balualfredsdk3751 7 ปีที่แล้ว

    Sulemani aliomba Mungu ampe hekima, ni vizuri kuandaa mida ya mazungumzo without interfering mida ya ibada na mida ya mazungumzo kawaida.

  • @hamismabilu2292
    @hamismabilu2292 7 ปีที่แล้ว +5

    Hiki nn injili au siasa...?

  • @mt_zephaniakapinga7812
    @mt_zephaniakapinga7812 7 ปีที่แล้ว +4

    kama mungu amepanga makonda awe mkuu wa mkoa wewe huwezi zuia hata iweje hapo unapotosha jamii

  • @coutinhofanaka2839
    @coutinhofanaka2839 7 ปีที่แล้ว

    Gwajima hata mungu hayuko upande wako......kumbuka ulitakiwa uhubili neno la uzima sasa unafanyann mtumishi

  • @fridahfredy5272
    @fridahfredy5272 7 ปีที่แล้ว

    nashindwa kumuelewa kanisa lake hamna mahubiri watu wanakuja kusikiliza ubuyu.... iyo sio kazi yako

  • @vumiliambehi79
    @vumiliambehi79 7 ปีที่แล้ว

    huy cyo yesu tunayemtumaini, hubiri neno La mungu ww baba achana na siasa utaumizwa kichwa

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 7 ปีที่แล้ว

    Ikiwa makanisa yatageuka kuwa sehemu ya siasa je kuna haja gani sasa mtu kwenda kanisani jumapili akitegemea kupata chakula cha kiroho nakujifunza pamoja na kuutafakari ukuu wa Mungu badala yake mtu analishwa siasa si bora ukae nyumbani au ukafanye kazi zako tu. Kama inshu ya Makonda ishajulikana si kuna vyombo husika waachie wafuatilie but not discussion about political in the church.

  • @mariamupeter7871
    @mariamupeter7871 7 ปีที่แล้ว

    Yaani hii ni sawa na kuwaambia makahaba waache kujiza huku wanapeta wateja tena eanaowalipa donge nono.Makonda juuuuuuuuu!

  • @UlimeA
    @UlimeA 7 ปีที่แล้ว

    Mungu atuhurumie sana sisi Wakristo sijui tuna tatizo gani

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 7 ปีที่แล้ว +2

    Yaani Gwajima ananiboa sana jamani,kwanini asiache uchungaji aingie kwenye siasa?maana yupo kanisani ila anahubiri siasa,maneno anayeongea hayapo kwenye maandiko ya Mungu,2020 ingia kwenye kampeni ww

  • @ndeyamassawe1449
    @ndeyamassawe1449 7 ปีที่แล้ว +1

    serekali iko wapi mbwa kichaa anabweka ovyo mfungieni hilo danguro

  • @frabomdemu4767
    @frabomdemu4767 7 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaaa acheni Jicho la macho kumchuzi nao ni wapiga kura hata yesu aliongea na wana siasa akina herode nebkadreza

  • @inocentlaurent8232
    @inocentlaurent8232 7 ปีที่แล้ว

    sizani mungu Wa ukwel anahitaji kulipiza kisasi jamn tusilipize kisasi

  • @daudikhamis1595
    @daudikhamis1595 7 ปีที่แล้ว +1

    movie inaendelea

  • @thedeo472
    @thedeo472 7 ปีที่แล้ว +1

    Gwajima, Man of the Year!!

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 7 ปีที่แล้ว +3

    gwajima umeongea kweli ingawa wengine wanaona uko na chuki ila kuna walofukuzwa kwa ajili ya cheti kweli hili lakuangaliwa bila kujali ni nani

  • @hafidh_juma
    @hafidh_juma 7 ปีที่แล้ว +1

    movie tamu hii...tehtehteh

  • @bensonfrank9578
    @bensonfrank9578 7 ปีที่แล้ว

    PIGAAA..!! 🙌🙌🙌🙌 SEMA DC ALIPOGUSA PABAYA SANA!!!

  • @januarypeter4655
    @januarypeter4655 7 ปีที่แล้ว +2

    gwajima yuko sawa kwani mbona wakati yeye anachafuliwa watu walishangilia sasa hv anajibu mapigo watu ndo mnakumbuka kama yeye ni mtumishi wa mungu mbona hapo anawatetea watu wengine ambao bado mda wao wakuonewa haujafika?

  • @rebecawerema3973
    @rebecawerema3973 7 ปีที่แล้ว

    hio injili nimeitafuta mwanzo hadi ufunuo haipo ,tupe neno la kutusogeza karibu na yesu, wengine ss sio wanasiasa wala ht hayo ya vyet hayatuhusu

  • @lucyhadwiger3164
    @lucyhadwiger3164 7 ปีที่แล้ว

    Jamani huu ni ukweli au ni hadithi..jamani gwajima mkuu si msukuma mwezio si msameheane tu..inaonyesha mnajuana sana..historia unavyoelezea huna hata wasiwasi.

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 ปีที่แล้ว +3

    mmmhu mhuuu ya kaisal muachie kaisal ,,,we upo church upo

    • @emmyleonard5939
      @emmyleonard5939 7 ปีที่แล้ว

      Rosemary Benjamin ulitaka awe klabuni

    • @rosemarybenjamin5866
      @rosemarybenjamin5866 7 ปีที่แล้ว

      Emmy Leonard eee

    • @naimajuma6659
      @naimajuma6659 7 ปีที่แล้ว +1

      hajielewi Ana ongea upuuzi nakuchukia mpka bas shenzii

    • @radhiaradhia6673
      @radhiaradhia6673 7 ปีที่แล้ว +1

      ninge kuwa mm ninge ama kanisa yni hili jipu

    • @emmyleonard5939
      @emmyleonard5939 7 ปีที่แล้ว +1

      Naima Juma mpuuzii we we na ndomana uelewi kitu

  • @tulisalu7253
    @tulisalu7253 7 ปีที่แล้ว

    Jamani tuwe waungwana. Yatosha sasa. Sisi ni wakristo tusamehe basi. Mtoto akikukosea msamehe

  • @ramiahassani8750
    @ramiahassani8750 7 ปีที่แล้ว +1

    bila shaka huyu mchungaji ajiaibisha tu,
    hebu tafakari maneno yake,
    (1) huyo Christina malanja na Paul malanja amesema ni mtu na binamu yake, kama kweli ni mtu na binam yake haiwezekani kila mmoja awe ni Malanja!,
    kwasababu mtoto wa mjomba ndie atakae beba jina la ukoo husika(Malanja) ila mtoto wa shangazi atabeba jina la ukoo ambao mamaake alipo olewa,
    ukisema mtoto wa mjomba awe Malanja na mtoto wa shangazi awe Malanja huo ni uongo wa wazi na nivitu unavibuni kuvieleza wala huvijui,
    (2)halafu hayo mambo yote yalio kua yakifanyika na mengine ni ya siri wewe ulikua wapi!!?
    (3)lakushangaza zaidi ili ugundue hizo ni tungo kazitunga, ni chuo gani cha kipumbavu hivi kinapokea copy ya cheti na kuacha kudai cheti original!!!?
    huyu mchungaji atajiabisha sana dhidi ya mkuu wa mkoa, wewe muache aendelee kubwata kanisani ili wafusi wake wamsifie,
    kwanza kwa watu wenye busara wanasema hivi, "mwendaazim akichukua nguo zako wakati wa kuoga halafu nl akawa anakimbia nazo, usikurupuke uchi na ukawa unamfukuza eti kwa lengo la kutaka umpora nguo ndio uvae sasa wewe ndie utaonekana mwendazim!!,
    na hiki ndio nakiona anafanya huyu mchungaji,
    lakini anavyo onekana anamajingambo ndio komana anafanya haya.

  • @jerrymeelerally1563
    @jerrymeelerally1563 7 ปีที่แล้ว

    Gwajima, wahubirie waumini wako vitu vya msingi,, sio kila siku umahuburi juu ya mtu mmoja

  • @boniphasijosephkh5419
    @boniphasijosephkh5419 7 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji achana na majungu Injili siasa nikama mafuta na maji achana na bakonda, nikiongozi mtoto.

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 ปีที่แล้ว +6

    Makonda kashikwa mkono narais atok wala habanduk sasa ww poteza muda wako apo unajizalilisha bure naao wanaokuskiliza awana kaz zakufanya wakitoka apo wanalalamika maisha magumu

    • @thabitbarajah3889
      @thabitbarajah3889 7 ปีที่แล้ว

      Fafi 90 ni kweli kashikwa mkono ila sipati picha siku atapotaka kuongea na wananchi wake na kama tunavyojijua kwa kuuliza maswali itakuwa balaaa,me nadhani ajitokeze ili ajenge iman kwa wananchi

  • @priscamwita6368
    @priscamwita6368 7 ปีที่แล้ว +2

    Huyu gwajima anaitaji maombi anajisahau kam yupo kanisa

  • @theresias5289
    @theresias5289 7 ปีที่แล้ว +4

    Inawezekana na wewe unavyeti feki,kinachokufanya kwenda kuhubiri mambo ya vyeti Kanisani ni kitu gani?au ndo mahali pakuhubiri Siasa,mimi nakuona km bado hujitambui au hufahamu wajibu wako umeegemea mno kwenye mambo ya Siasa hicho ndo kinapoteza wadhifa wako,na Makonda mwache achape utume yeye anajua wajibu wake tena sanaaaaa.

  • @leonardjeremia1525
    @leonardjeremia1525 7 ปีที่แล้ว +2

    safi sana gwajima mtumbue uyo

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 7 ปีที่แล้ว +2

    True Mtumishi. Muunge mkono na vita ya dawa za kulevya basiii. So yapoteza jirani na watoto wa jirani. Za Makonda zinatoshea Mkoa.

  • @graciousjerry1322
    @graciousjerry1322 7 ปีที่แล้ว +1

    kisasi ni Juu ya Mungu mwenyewe.

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 ปีที่แล้ว

    waumini poleni sana. kanisa limegeukia siasa na siyo neno la mungu tena.

    • @mohamedkiyombo42
      @mohamedkiyombo42 7 ปีที่แล้ว

      kweli wafuasi wa huyo gwajima mnahasara sana ibada yen leo nikumsakama makonda pole ngwajima mungu atuadhib hap hap duniani kwa husda zako

    • @mostoryhub
      @mostoryhub 7 ปีที่แล้ว

      MOHAMED KIYOMBO we ibada za wakristo znakuhusu nini Kama si uongo.

  • @adismas665
    @adismas665 7 ปีที่แล้ว +5

    HONGERA MILLARD
    LEO MIZANI IKO SAWA KIDOGO.

    • @adismas665
      @adismas665 7 ปีที่แล้ว +2

      Ben Elohim
      KABISA MAANA ALIKUWA AMEEGEMEA UPANDE MMOJA TU.

  • @allyfaraji907
    @allyfaraji907 7 ปีที่แล้ว +1

    Sehemu ya Ibada imeshakua Siasa. hatari kweli kweli

    • @thabitbarajah3889
      @thabitbarajah3889 7 ปีที่แล้ว

      Ally faraji 😂😂😂😂😂😂😂

  • @tonnychibwete8903
    @tonnychibwete8903 7 ปีที่แล้ว

    wabongo mnapinga nini sasa !!!!!! achaaa aongeeeee kumbukenii kanisani ni sehemu Ya kutubu so lazima atubuu kwanini adanganye taifaaa bwana bashitee !!!!!!!! wanyoosheeeeeeeeeeeeeeeee mzeee

  • @williamimanuel418
    @williamimanuel418 7 ปีที่แล้ว +2

    bora hata kuwa mpagani ila siyo kusali katika kanisa lenye mchungaji kama huyu ivi hapo mkirudi nyumbani mkaulizwa somo la leo limetoka kitabu gani si ndo mtajibu MAKONDA 9 Mstali wa 4 kweli hiyo ni siasa na hapo mpo bungeni.

  • @damaslucas6421
    @damaslucas6421 7 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu tunusurie huyu mchungaji arudi kwenye maandiko aachane na siasa amepotoka

  • @babondoirlandejacobkakozi5839
    @babondoirlandejacobkakozi5839 7 ปีที่แล้ว

    Gwanjima vs Makonda who's gonna win?

  • @josephheke7442
    @josephheke7442 7 ปีที่แล้ว

    tumbua mjomba i wish wachungaj wote wangekuwa hivi sijui Tanzania ingekuwaje?

  • @mariamupeter7871
    @mariamupeter7871 7 ปีที่แล้ว

    Gwajima hana shida ila hao wanaomsapoti ndio vichaa,akikosa sapoti ataona aibu.

  • @ritamalya7772
    @ritamalya7772 7 ปีที่แล้ว +5

    mtumishi piga kazi ya mungu acha siasa, afu ni mtumishi gani mwenye visasi? acha serikali ifanye kazi yake, ww fanya kazi ya mungu ulishasema kila mtu amesikia hauchoki

  • @ramiahassani8750
    @ramiahassani8750 7 ปีที่แล้ว +1

    huyu mchungaji ni bigwa wa kutunga ila kuna mambo mengi sana amewrong kwenye story yake ya kutunga.

  • @abeid1000
    @abeid1000 7 ปีที่แล้ว

    gwajima unatuchanganya Mara ya kwanza ulisema ni Paul Christian muyenge sasaivi ooh malanja daaaaah kiki hizo buana

  • @mt_zephaniakapinga7812
    @mt_zephaniakapinga7812 7 ปีที่แล้ว +2

    hapo ni siasa sio mahubiri bora angefanyia uwanjani sio kanisani

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว

    WEWE TULETEE YULE DADA ALIYEKUELEZA HIZO HABARI KUWA ALIMUIBIA KOPI ILL MAKONDA AKASOME, AKISHATOKEA TUNAFUNGUA KESI. HAUNA AKILI WEWE NI BWEGE GWAJIMA.

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 ปีที่แล้ว +1

    karegeshe ndoa ya Flora mbasha kwanza kumanyoko zako muongo wew

  • @josephheke7442
    @josephheke7442 7 ปีที่แล้ว

    siasa kali sana hizi

  • @ladyeva9781
    @ladyeva9781 7 ปีที่แล้ว +1

    usilipe kisasi mbona walipa ubaya ????

  • @ramadhanisakalani6676
    @ramadhanisakalani6676 7 ปีที่แล้ว +1

    huyu si mchungaji ana chuma dhambi

  • @kibongobongo8950
    @kibongobongo8950 7 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sio mfuasi wa Gwajima ila sishangai yeye kuongea hapo kwani inammbidi ajisafishe na kashfa aliyopewa kwahivo sehemu anayoweza kusimama na kupeleka ujumbe ni hapo hapo kanisani kwake kwahivo mimi binafsi namuelewa

    • @kibongobongo8950
      @kibongobongo8950 7 ปีที่แล้ว +5

      Na kama Makonda aka Daudi amedanganya Taifa vipi aaminiwe na kama ni jipu kwanini asitumbuliwe?.

  • @josephheke7442
    @josephheke7442 7 ปีที่แล้ว +1

    sasa sielewi unampongeza raisi au unamponda kidizaini raisi wetu wanamke

  • @jamesmagafu6145
    @jamesmagafu6145 7 ปีที่แล้ว +1

    kanisani hapo

  • @simonfundi5472
    @simonfundi5472 7 ปีที่แล้ว

    Dah hii ni shida pastor kaacha kuhubiria waumini wake mambo ya kiroho ana wahubilia bashite you have to change mr

  • @erastosolomon4554
    @erastosolomon4554 7 ปีที่แล้ว +2

    upuuuzi mtupu

  • @mt_zephaniakapinga7812
    @mt_zephaniakapinga7812 7 ปีที่แล้ว +2

    hubirini neno sio umbea

  • @lumamichombochayesu1838
    @lumamichombochayesu1838 7 ปีที่แล้ว +1

    duuh! tamthilia hii sijuwi mwisho ni lini, MB nazo sio za kupewa ila najikaza tu kununua MB ili nifikishe saison hii mwisho. kama ww pia wasubiri kuona Mwisho wa tamthilia hii basi comment BASHIIITEEEEE!!!

  • @msengimsengi5507
    @msengimsengi5507 7 ปีที่แล้ว +3

    sasa somo la Leo n lp?

    • @doricyaudax7288
      @doricyaudax7288 7 ปีที่แล้ว

      vyeti

    • @salehehassan3665
      @salehehassan3665 7 ปีที่แล้ว +2

      Msengi Msengi ibada haikuwa dakika hizi tunazoziona hapa,ibada ilikuwa zaidi ya masaa manne. dakika hizi chache alideal na bashite

    • @jamesjw.kizanga2602
      @jamesjw.kizanga2602 7 ปีที่แล้ว

      Msengi Msengi kutenda haki

  • @msafirizesafari2077
    @msafirizesafari2077 7 ปีที่แล้ว +1

    ya ngoswe bora aachiwe ngoswe,'"

  • @daudimligo289
    @daudimligo289 7 ปีที่แล้ว +18

    Too much now we are tired with this

    • @pascalwissi8263
      @pascalwissi8263 7 ปีที่แล้ว

      mligo r u the one I know

    • @furahah9437
      @furahah9437 7 ปีที่แล้ว +1

      Umbea wko umekanushwa baba huna haya kuongea mambo ya mmeo hadharani

    • @samalanga1
      @samalanga1 7 ปีที่แล้ว

      DAUDI MLIGO;Hello e-mail yangu {ally.bb1@gmail.com} naitwa Mr Mng'ong'o tuwasiliane.

    • @georgemanyanda425
      @georgemanyanda425 7 ปีที่แล้ว +1

      sijui hill ni kanisa au ofisi ya chama

  • @papafikiri
    @papafikiri 7 ปีที่แล้ว +1

    leo imenilazimi nicheke tu naona vituko

  • @weremamwita2996
    @weremamwita2996 7 ปีที่แล้ว +1

    Inasadikika kuwa hizi ni nyakati za mwisho. utautambua mti kwa matunda yake!

  • @yohanesfelix7534
    @yohanesfelix7534 7 ปีที่แล้ว +21

    poleni mnaosali katka hill kanisa!mkiulizwa mmejifunza nn hapo kanisan mtajibu nn?kp kiongelewacho hapo kitawajenga kiimani na kuwaingiza mbinguni?je hapo mko kanisani au jukwaa la siasa.For sure kilichoandikwa ktk biblia kuwa watu Wang wanapotea kwa kukosa maarifa kinawahusu mliopo humo ndani.

    • @emmyleonard5939
      @emmyleonard5939 7 ปีที่แล้ว

      Yohanes Felix we we sio mungu was kuhukumu, angalia matendo yako kwanza,wanaosali kwagwajima nizaidi ya elfu sabini sasa we we ninan wakuhukum,unauhakika gan namchungaji wako

    • @hamisindoki9485
      @hamisindoki9485 7 ปีที่แล้ว

      Yohanes Felix mbona haukumpa pole gwajima aliposingiziwa madawa

    • @frabomdemu4767
      @frabomdemu4767 7 ปีที่แล้ว +1

      Yohanes Felix pole na wewe upo nyuma sana hakuna Kanisa lisilo na wana siasa viongozi wanawaomba viongozi wa dini Kongo Ruanda Burundi Tanzania popote duniani nini gwajima bwana

    • @kiluamnandi5716
      @kiluamnandi5716 7 ปีที่แล้ว +2

      pole yao waumin kama mm ningeshalala mda

    • @aggreymsemwa5167
      @aggreymsemwa5167 7 ปีที่แล้ว

      Yohanes Felix kweli baba halafu baadae wanatoa sadaka

  • @chidymzaramoog3989
    @chidymzaramoog3989 7 ปีที่แล้ว

    acheni unafiki wa tz kwani alipohusishwa na madawa alikuwa mwana siasa acha ampe vidonge vyake bg up gwajima endeleza motoooo

  • @mikasamwely3149
    @mikasamwely3149 7 ปีที่แล้ว

    its true but... what is our position.. is true kwamba ndo kazi ya mheshimiwa mahala alipo

  • @protv2627
    @protv2627 7 ปีที่แล้ว

    huyu mzinzi Gwajima, i can predict mwisho wake siyo mzuri.Anafikiri Rais anaweza kumsikiliza yeye kuliko Makonda. Let us wait and see

  • @zuberibenitho7670
    @zuberibenitho7670 7 ปีที่แล้ว +2

    siku hizi makanisa yanahubiri siasa

  • @awadhikanyawana3120
    @awadhikanyawana3120 7 ปีที่แล้ว +2

    jamaa kasahau kuhubiri duh hamna church apo ni kituo cha siasa

  • @frankjulious4897
    @frankjulious4897 7 ปีที่แล้ว +2

    kila mtu anaongea anachojisikia natamani kujua ukweli wa hili jambo la bashite

  • @gracemsemo9414
    @gracemsemo9414 7 ปีที่แล้ว

    unafanya kanisaa kichaka cha dhambi kwa upuuzi unaoongea makanisa kama haya ya siasa kanisani yafungiwe tu watu hawaendi tena kumuabudu Mungu wanaenda kusikiliza udaku shwaini kabisa

  • @ramiahassani8750
    @ramiahassani8750 7 ปีที่แล้ว +1

    au nae anaakili za kumtosha yeye tu!, kwasababu hii ni ishu binafsi yake na sio ya kanisa,

  • @charleskaozya9924
    @charleskaozya9924 7 ปีที่แล้ว

    pia makondaa anayo mazurii mangapiii ila Ilo moja kila kukicha unalo si umsamehe bc tujue kweli mtumishi uuh mfano wa kuigwa

  • @bonniermgassa6860
    @bonniermgassa6860 7 ปีที่แล้ว +3

    Katka ulimwengu wa Roho tumefundishwa kusamehe na wale wanaotukusoea, sasa kama Mchungaji kakosewa na hana dalili za kusamehe je'waumini anaowafundisha cjui akili zimeganda???? Gwajima lia na Mungu na sio kulalamikia waumini '''.