MIKOPO MITANDAONI GUMZO BUNGENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @Naomysinkonde-t8i
    @Naomysinkonde-t8i หลายเดือนก่อน +1

    Jaman kwel watusaidie jamn sio kwamb tunapenda kukopa lib zao nikubwa mda mchache aah

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wamiliki wa mikopo wa mitandaoni ni waongo na wanyanyassji na wadhalilishaji waku wa na ni zaidi ya kausha damu

  • @MwanaidiHamis-e5h
    @MwanaidiHamis-e5h 3 หลายเดือนก่อน +2

    mtu mfano kachukua 45500 analipa 70000 akilipa kwa awamu mbili deni aliondoki unaambiwa kunapenati ya 80000 mzima ikiwa ushalipa 70000 yao wenzi sana ao wa mtandaoni

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nihatari tunanyanyaswa tuliokopo mitandaoni afadhali serikali imeriona Hilo kampuni ya mkopo faster na kisasi finance

  • @SebastianGoha-u3f
    @SebastianGoha-u3f 2 หลายเดือนก่อน

    Wasikie wezi hao🤗🤗🤗
    JUKUMU LETU NI KUKUMBUSHA KUFANYA MALIPO YA 85000 AMBAYO IMEONGEZEKA KWA 2%. KWA KUKOSA KULIPA KWA WAKATI LICHA YA JUHUDI ZETU WEWE UMEKUWA SI MWAMINIFU NA UMEPITILIZA SIKU YA KULIPA DENI LAKO LIPIA SASAHIVI KABLA YA SAA TANO ILI UPANDE KIWANGO CHA KUCHUKUA MKOPO LEO HII

  • @MwanaidiHamis-e5h
    @MwanaidiHamis-e5h 3 หลายเดือนก่อน +1

    tena shelia ifate mkondo wake wezi wakubwa ao mtu tena mtu anapijiwa cm alipe kwa awamu mbili au tatu analipa kisha anaambiwa alipe tena kuna penati penati iyo penati inausiana vp mtu usha lipa unaambiwa penati ukiagalia penati ni kubwa kuliko mkopo ulio ukopa

  • @GilbertGombeye
    @GilbertGombeye 3 หลายเดือนก่อน

    Serikali tusaidie ukikopa unaletewa mikopo minne kwa wakati mmoja

  • @EdinaMilembe-k1o
    @EdinaMilembe-k1o หลายเดือนก่อน

    ata mimi nimetaperiwa kwa jina la turia akisony japo naamini kuwa dr turia hewezi fanya hivyo ila niwatu wahun watumiapo jina lake kumuchafua

  • @black_queen_vibe
    @black_queen_vibe 2 หลายเดือนก่อน

    Flex cash, sunny au rappid loan ......🤑🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮

  • @EdinaMilembe-k1o
    @EdinaMilembe-k1o หลายเดือนก่อน

    pia nape najua anafahamu fika mitandao tunaomba atusaidie km waziri wa zamana hiyo