ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Daaaaah! Moto unazidi kuwaka.
Nzuri sanaaa🎉🎉🎉
Othiman vipande nivifupi jmn natamani tu niiangalie nimewapenda wote mpo vizuri sanaa
Short but very understandable keep moving forward 👍
Tamthilia ni 🔥🔥🔥 Sema ni fupi fupi mnooo
Umetisha sana kiongozi😮😮
It's bombastic series, but is too short 😢
Hii ni hatar🔥🔥
Mko vizuri san
Ahsante Sana
😂 zendaya bwana...very fantastic series👏
Nzuri sana mafunzo mengi sana❤❤
Ivooo sio vizurii huo niupumbavuuu
We kila siku maneno maneno 😂
Zuri ila inachelewa
huyu demu kumbe mzinguaji yaani anawaleta hadi wadau aaaaaaaaaaah
Appreciate gud luck 🤞
Othman mwanamke wa hvy mdaa huohuo anaenda kwao
Angalau imtk
Wana simba na maziwa mnashida gani lakini 😅😅
tamthilia nzur sana
Mmmh,ni fupi.ongeza takika.❤
Dk 9 😂😂😂
Tunaendelea tulipoishia 🎉🎉🎉
🎉🎉
Zendaya kachoyo😂😂
Kajanamke haka heshima😂
Othoman vipande vifupi san jaman😢
Ni fupi sana na inachelewa sana mpaka inapoteza maana yani hata haieleweki mpaka tunasahau iliishia wapi😢😢😢
😂😂Mpak una sahau
Frankyyy😂😂😂😂
Dakika 9 kwl😢 jaman mnazinguw kbx😢
Si utoe series
Zindaya jamn unamdharirisha mwenzio
Leta mambo wewe😮
Zendaya asee wewe kiburi na unadharau asee ujuaji mwingi Mwnaume hapendi hivyo mmmh
Mbona mnatoa taratibu vitu sana jamani
Tamu tatizo mnachelewesha kinoma
Utafikiri ni kipindi cha mizengwa dk 9tu
Uyu dada kiboko jaman🤣🤣
Leta mambo wewe
Zenday han adabu ht kw huy therapist anavyomjibu yaan km shog ake
Ni noooouma
❤
Kwa mara ya kwanza nimejifunza kufatilia tamthilia za kibongo katika maisha yangu hongereni sanaa mmeweza❤
Mnazongua
Binafsi ningekuw mwanaum huyu mke sioi
Zendaya jau😂
Kafupi mno mzee then kanachelewa sana bora ingekuwa inaua dkk 30 tunakaa all week tunasubr dkk9 😅
Eti naanza diet kamwili kenyewe ako ila wadada😂
Tuongezeeni muda its too short. 9mins ???
Bado mda mchache chupa kwa hewaaaa
Mirafiki ya ivi ata Mimi hapana kwakwel 😅😢 haina mipaka ikifika Kama ipo kwao ukikaa vibaya adi chumbani inaingia 😅
Kwel zendaya kazingua 😢
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hii tamthilia bwana vipande vyake havieleweki si mposti kimoja tu cha kueleweka
🎉🎉🎉❤
❤❤
Episode mbili ziko wapi mzeee ochu
@@kikie_chyna 6 & 7
Zendaya umejua kumtia aibu mwenzio mbele za wageni kisa maziwa jmn
yaan😢
Zendaya ana roho mbaya😂😂
I nachukua muda san kuachia episode Yaan mpk tunasahau ya mwisho ilikuwaje
Igizo limejaa utoto mwingi, hapo kama nimke hakuna kitu na mwanaume alikua haelewi vizur kwenye vikao vyetu
Toka buana hujalazimishwa😂😂Katafute za wakubwa😂😂
Katafute za wazee unatafuta nini apa 😅
Team othman nimewaho naomba like,kama unampenda mungu pia
naombeni like zangu nimewahi leo
Ochu ulisema utatoa ep 2 subsicriber wakifika 10k
Yes Tunatoa Two Episode Jumapili Hii
@@Othamannjaidihii au next week
Mbona ameshatoa mbili tayar ep ya saba ipo nayo
Yeah am getting tired of this shit. kwani hamuwezi kuuploads at least two episodes per week. maana its short and sweet, atleast two episodes
Ame upload tayari
❤❤❤❤
❤❤❤

I nachukua muda san kuachia episode
Yaan mpk tunasahau ya mwisho ilikuwaje
Igizo limejaa utoto mwingi, hapo kama nimke hakuna kitu na mwanaume alikua haelewi vizur kwenye vikao vyetu
Toka buana hujalazimishwa😂😂
Katafute za wakubwa😂😂