Yoh feel it Mwanaume ni Effort Mwanaume ni Effort Mwanaume hachagui kazi boss Kazi ni kazi jo, ata kuchonga viazi bado unapata mchuzi bro Wĩra nahustle poa yaani ndio... Kusomesha watoi wafikishe University Got my respect man, man I salute you People think ni easy wakitry wanaanguka Dooh zikishuka works ikishuka Ndio huwa unajua huu msee huwa anatry kuinukaaa Tia bidii man, Usichoke na hustle pia saa zingine brain huwanga ndio muscle man Facing the Hard times Boyz ako mad times Kila saa akijisukuma anajipata kwa start line Ye anazidi jo, amezidi jo Visiki kibao but siku ni njema jo Shikilia hapo boss Fuatilia mambo boss Ukifika kwa mtaa Dooh umepewa boss (Mwanaume ni eeh Mwanaume ni eeh Mwanaume ni eeh Mwanaume ni Effort) ×4 Mwanaume ni Effort, mwanamke tabia Hata akiwa juu lazima akuwe malkia Juu mi nasaka dooh, ndio niweze angukia Life poa na ye, wife poa ka ye Future iwe bright kama lights za Passaris Hustle ikilipa nibuy nyumba na gari Plots Kawangware, shamba Kitale Si Calvo alishika dooh, ye hustay Nyali Mi nahustle hard, muziki manufaa Milan akiwa mbigii apate masomo poa man Dem nitamarry apate kuna foundation Ki-epic nation apate nina station Life yangu saji, bless me worth it Saa hii nagive thanks Furi furi P-sine So ukiona jo, niko kwa creditstore Kijana wa mtaa saa hii amebreak bad Mwanaume ni eeh Mwanaume ni eeh Mwanaume ni eeh, Mwanaume ni Effort ×4 Kaa wewe huamkanga asubuhi kwenda wĩra Kuhustle wafaa ujiambie (Mwanaume ni Effort) Kama wewe hupiga tizi ukiperfect Maskills ili ukuze kipaji (Mwanaume ni Effort) Kama uko mjengo, Weh watchie weh huvuta mkoko usikufe moyo (Mwanaume ni Effort) Na kaa umemake it weh boss mahze husign mabig Cheques encourage vijana (Mwanaume ni Effort) Mwanaume ni eeh mwanaume ni eeh Mwanaume ni eeh Mwanaume ni Effort ×4
2025 ,who's here
Iyo time ya THE BEAT...2030 still listening to this hit banger
Most underrated song😢
Calvo aliendanga wapi🤔🤔🤔
Here after listening to Calvos iko nini episode
Iko nini reminded me of this banger.
Must listen to this hit and motivation every week so I can never give up.
where is calvo mistari i miss real music😪
I just watched his new jam feat Naiboi & Zzero. Check it out🫵
2024 SEPTEMBER ❤❤❤
Ending year 2022 and this dope piece of craft pushes me an extra mile nkiwa uku gulf 🇧🇭
Yoh feel it
Mwanaume ni Effort
Mwanaume ni Effort
Mwanaume hachagui kazi boss
Kazi ni kazi jo, ata kuchonga viazi bado unapata mchuzi bro
Wĩra nahustle poa yaani ndio...
Kusomesha watoi wafikishe University
Got my respect man, man I salute you
People think ni easy wakitry wanaanguka
Dooh zikishuka works ikishuka
Ndio huwa unajua huu msee huwa anatry kuinukaaa
Tia bidii man,
Usichoke na hustle pia saa zingine brain huwanga ndio muscle man
Facing the Hard times
Boyz ako mad times
Kila saa akijisukuma anajipata kwa start line
Ye anazidi jo, amezidi jo
Visiki kibao but siku ni njema jo
Shikilia hapo boss
Fuatilia mambo boss
Ukifika kwa mtaa
Dooh umepewa boss
(Mwanaume ni eeh
Mwanaume ni eeh
Mwanaume ni eeh
Mwanaume ni Effort) ×4
Mwanaume ni Effort, mwanamke tabia
Hata akiwa juu lazima akuwe malkia
Juu mi nasaka dooh, ndio niweze angukia
Life poa na ye, wife poa ka ye
Future iwe bright kama lights za Passaris
Hustle ikilipa nibuy nyumba na gari
Plots Kawangware, shamba Kitale
Si Calvo alishika dooh, ye hustay Nyali
Mi nahustle hard, muziki manufaa
Milan akiwa mbigii apate masomo poa man
Dem nitamarry apate kuna foundation
Ki-epic nation apate nina station
Life yangu saji, bless me worth it
Saa hii nagive thanks
Furi furi P-sine
So ukiona jo, niko kwa creditstore
Kijana wa mtaa saa hii amebreak bad
Mwanaume ni eeh Mwanaume ni eeh
Mwanaume ni eeh, Mwanaume ni Effort ×4
Kaa wewe huamkanga asubuhi kwenda wĩra
Kuhustle wafaa ujiambie (Mwanaume ni Effort)
Kama wewe hupiga tizi ukiperfect
Maskills ili ukuze kipaji (Mwanaume ni Effort)
Kama uko mjengo,
Weh watchie weh huvuta mkoko usikufe moyo (Mwanaume ni Effort)
Na kaa umemake it weh boss mahze husign mabig
Cheques encourage vijana (Mwanaume ni Effort)
Mwanaume ni eeh mwanaume ni eeh
Mwanaume ni eeh Mwanaume ni Effort ×4
2022 still here, still big tune
Am here 2021 Calvo big up yourself.
Kenya Music Evolution. Likes za 2022 zikam bila effort
If you are here I wish you more success
Maaaaad❤
2023 still slaps different 💯💯💥💥💥
Maaaaa N199a!!! 🔥🔥🔥🔥
May 2021
Wapi subscribers
💪🏾2024💪🏾
2020 STILL LIT