"WEWE NI MMOJA MLIOTENGENEZA URASIMU, WATU WANAKIMBIA, MLIMTISHA" SAMIA AMUAGIZA MWAMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 85

  • @nikutusyamsokwa3476
    @nikutusyamsokwa3476 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante Rais (mama Samia) uko viwango vya juu sana. Unanikosha kwani naona utawala wa sheria ndani yako,busara,upendo na kiasi. Lakini zaidi,,unaonyesha njia. Ambaye haelewi,au anateseka ,ananuna,lazima hana nadharia ya uongozi

  • @pmabatimsouthtraders105
    @pmabatimsouthtraders105 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama uko vizuri sana mungu akulinde

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuu tumerudi kuleeee... Tumeuzwa ipo siku wa tz tutaelewa

    • @atumwasakyeni8672
      @atumwasakyeni8672 3 ปีที่แล้ว

      Yaan we acha tu mapema sana

    • @fjojoly
      @fjojoly 3 ปีที่แล้ว

      hata mm nimeanza kuona aki

    • @begukulemosobe9685
      @begukulemosobe9685 3 ปีที่แล้ว

      Acha muuzwe maana mmezidi ujinga

  • @avitymendezy9891
    @avitymendezy9891 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mama huwez kumfananisha na Magufuli kabisa. She is very bright. Anajitahid kumtaja lkn madudu yote anayaonesha. Inaonekana alikuwa hasikilizwi. Mungu akujalie.

    • @masamakisea7135
      @masamakisea7135 3 ปีที่แล้ว

      May be

    • @emanuelmlowe6854
      @emanuelmlowe6854 3 ปีที่แล้ว +4

      Unamsifiaje hats Nazi hujaanza?, huu siyo wakati was kumsifia au kumraum maana hujaanza hats kazibyenyewe bado anapanga tu ofisi

    • @sabinaonline6575
      @sabinaonline6575 3 ปีที่แล้ว +1

      @@emanuelmlowe6854 kweli kabisa baada ya miezi Sita tu tutarudi kutoa maoni yetu hapa

    • @emanuelmlowe6854
      @emanuelmlowe6854 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sabinaonline6575 nikweli,sasa wanamsifia mini wakati hata kazi hujaanza siwanafiki tu hawa?? Halafu asilimia kubwa wapinzani wanamshabikia aharibu wapate nafasi .

    • @meshajoni5662
      @meshajoni5662 3 ปีที่แล้ว

      @@emanuelmlowe6854 kiukwer Mimi nishaanza kushituka uyumama anaweza kuwa sorski

  • @mohamedilibone4683
    @mohamedilibone4683 3 ปีที่แล้ว

    Mama watazania tunakupensa natunakuombea Dua mungu akupe afya njena utuongoze miaka kumi Amina mungu akujalie amina

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 3 ปีที่แล้ว

    Asante my President, sio wawekezaji tu hata sisi watanzania tunateseka, nilituma mzigo kupitia DHL yaani walinisumbua sana TRA pale airport. Kila nikilipa naambiwa bado niongeze tena pesa. Yaani ni shida sana, bora uambiwe tu kodi ni kiasi fulani ulipie basi.

  • @simonmagaigwa5496
    @simonmagaigwa5496 3 ปีที่แล้ว +4

    Hawa wanaitwa wawekezaji , wanahitaji kuangaliwa kwa umakini mkubwa. Wengi wao hawana nia njema na mara nyingi wamefilisi nchi zetu. Maoni yangu tu.

    • @leinaamos
      @leinaamos 3 ปีที่แล้ว

      Unashaurije sasa ndg

    • @leverimlaki5667
      @leverimlaki5667 3 ปีที่แล้ว

      Nchi haiwezi kuendelea bila uwekezaji.

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 3 ปีที่แล้ว +1

      Itahitajika ujasili Sana wa kuwasimamia wawekezaji Maana niwapigaji sana, pia wasiizoee lkulu watamnunua

    • @mkude
      @mkude 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna nchi duniani inayoendelea bila wawekezaji,tusiwe wajinga,

    • @simonmagaigwa5496
      @simonmagaigwa5496 3 ปีที่แล้ว

      @@leverimlaki5667 mawazo hayapigwi rungu.

  • @fabianndimanya2055
    @fabianndimanya2055 3 ปีที่แล้ว

    Speechless!!!!!!!!!!!🤔🤔🤔🤔

  • @emmanueljohn9286
    @emmanueljohn9286 3 ปีที่แล้ว +3

    Haya maneno yako ni mazuri lakini Kama unatoka kwenye mstari.watz wengi waliumizwa na wawekezaji JPM akawanyoosha.sasa naona kama tunarudi kulekule Sawa wacha tuombe Mungu atie wepesi lakini Mimi naona Kama tunaanza kuyumba.nitamkumbuka Sana JPM kwa alivyotutetea wanyonge

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 3 ปีที่แล้ว +5

    Mama awe makin na hao anaowaita wawekezaj, ndo waliosababisha mambo ya Richmond, epa, simbion, lugumi, escro na hujuma nyingine, hao ndo wameihujum sana tz kwnye madini, wanyama na sehem nyingine, hata hivyo jpm hakukataa uwekezaj bali alikataa wawekezaj wanaoihujum tz, hapo naomba tuelewane kabisa

    • @leinaamos
      @leinaamos 3 ปีที่แล้ว

      Hawawezi kuhujumu bila wenyeji

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 3 ปีที่แล้ว +1

      Lsdislsus umesema kweli watu wanamshangilia hata hawajiulizi tulikotoka hawaiijui historia ya wahujumu uchumi wa nchi hii subiri ikila kwetu ndo watajua

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mathewtwimanye92 umeonaee, kweli nimeamin, baadhi ya watz kama sio wanafik bas ni wajinga kabisa, yaan juzjuz tu hao wahujumu walikuwa wanasomba kila kitu eti leo tayar wameshasahau

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 3 ปีที่แล้ว

      @@leinaamos lkn nadhan umenielewa

    • @mkude
      @mkude 3 ปีที่แล้ว

      @@ladislausngoyinde4384 hakuna nnchi duniani inayoendelea bila ta wawekezaji,wawekezaji iwe wa ndani au wa nnje ni muhimu katika maendeleo ya taifa,

  • @piustino6077
    @piustino6077 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama tuangalie na sisi wafanyakazi sekta binafsi kodi tunakatwa kubwa sana kwenye mishahara yetu

  • @jonasmaimu6782
    @jonasmaimu6782 3 ปีที่แล้ว

    Mama anapenda wa nawe

  • @msafirithomas474
    @msafirithomas474 3 ปีที่แล้ว

    She is under pressure so no way out.

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mama unaujua mfumo

  • @barakachawe6241
    @barakachawe6241 3 ปีที่แล้ว

    Background ya picture na quality ya video ni nzuri au mama etu nae na bodyguard ake wazuri ila hata upande wa audience quality yake nzuri.

  • @nassibuduma7162
    @nassibuduma7162 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama ndiye humkarimu mgeni,

  • @bahatisanga8664
    @bahatisanga8664 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania kwanza rip jpm

    • @yehudarex529
      @yehudarex529 3 ปีที่แล้ว

      Pro tip : watch movies on kaldroStream. Been using it for watching a lot of movies these days.

    • @jerichocasey2078
      @jerichocasey2078 3 ปีที่แล้ว

      @Yehuda Rex Yea, I've been watching on flixzone} for years myself :D

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 3 ปีที่แล้ว +2

    mpaka mtu atoke nje ndio haje kufanya Tanzania iwejuu instead mtanzania mwenyewe ase mungu tusadia

  • @josephinapastory9795
    @josephinapastory9795 3 ปีที่แล้ว +3

    Mama etu uwe mkini na hao wawekezaji isje ikafkia mahara wakageuka kuwa mchzo mchafu so unjua tena ndo maana walmchukia maguful baada ya kuona wankwepa kulpa kodi usiwaone kukshangilia kua makin mama etu wsje kukugeuka mama etu mngu ibarki tanzania

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 3 ปีที่แล้ว

    Mama tunaomba utoe chances kwa wanawake zaidi, Tuna matumaini na wewe ktk suala la Mwanamke na Uongozi.

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 ปีที่แล้ว

    Madam usipangue sana duh kumbe mpaka ma rc na ma dc unataka kupangua? Angalia mzee magu hajakosea kuwaacha namuona makonda nae nafasi anayo

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 3 ปีที่แล้ว

    Mama hili ni tatizo la afrika rushwa na ufisadi hashwa hapa Kenya wawekezaji wanasumbuliwa sana

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 ปีที่แล้ว

    💃💃💃Nakupenda mama

  • @emanuelmlowe6854
    @emanuelmlowe6854 3 ปีที่แล้ว

    Mama unauza nchi

  • @leinaamos
    @leinaamos 3 ปีที่แล้ว

    Daa najisikia vzr Sana mama

  • @emanuelmlowe6854
    @emanuelmlowe6854 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama hata wanafiki watakushangiliavuhari mwisho wakugeuke

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 ปีที่แล้ว +1

      Naanza kupata uoga hata mie ka wewe

  • @nancyjonas3484
    @nancyjonas3484 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante bwana Yesu kwa zawdi hii uliotupa Rais wetu mama yetu umetufuta machozi kupitia Rais Magufuli aliyetutoka lkn bado haukutuacha bwana Yesu ukatupa Rais mwingine mchapa kazi sifa na utukufu tunakurudishia ww

  • @emanuelmlowe6854
    @emanuelmlowe6854 3 ปีที่แล้ว

    Mama unaonekabkama hukuwepo kabisa

  • @emanuelmlowe6854
    @emanuelmlowe6854 3 ปีที่แล้ว

    Watu wala hawamwelewi

  • @theeyechannel8601
    @theeyechannel8601 3 ปีที่แล้ว +3

    Hauna criteria za kuwa rais mama! Rais haombi anatoa amri.Uongozi ni Accountability mama!.

    • @judithmwambe4767
      @judithmwambe4767 3 ปีที่แล้ว +3

      Hekima na Busara amefunzwa.

    • @gemstoneskingdom1944
      @gemstoneskingdom1944 3 ปีที่แล้ว +3

      Feminine energy bringing about balance. Pia ana humility.
      Haimaanishi hakuna accountability:)

    • @fjojoly
      @fjojoly 3 ปีที่แล้ว +2

      @@gemstoneskingdom1944 si walishazoea jpm alikuwa anafoka

    • @gemstoneskingdom1944
      @gemstoneskingdom1944 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fjojoly Kweli.

    • @kiatu
      @kiatu 3 ปีที่แล้ว

      Si kweli

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 3 ปีที่แล้ว

    Paye inatesa wafanyakazi

  • @housseinfallu6185
    @housseinfallu6185 3 ปีที่แล้ว

    Maman uko mpole san wata kudharahu san

  • @nashonshimba7997
    @nashonshimba7997 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mama anawapigia debe sana wawekezaji ila hajui Kama ndo wanyonyaji wakubwa na wakwepa Kodi wakubwa hawa na wanamashaliti sana. Magufuri hakuchukia wawekezaji ila alichukia mashariti yao magumu ya kuinyonya tz na watz wenyewe

    • @leverimlaki5667
      @leverimlaki5667 3 ปีที่แล้ว +2

      Wawekezaji siyo lazima wawe wa nje. Hata sisi Watanzania ni wawekezaji na tunapitia hizo changamoto.

    • @mkude
      @mkude 3 ปีที่แล้ว +1

      Acha ujinga unaongea nini sasa,wewe nashon unaelewa maana ya uwekezaji au,wewe mwenyewe unaweza kuwa mwekezaji,hakuna nchi duniani inayoweza kupata maendeleo bila ya wawekezaji

    • @merinankullua5874
      @merinankullua5874 3 ปีที่แล้ว +1

      Mama tunakuomba kwenye issue nzima ya uwekezaji uwe makini na mikataba ,tusije tukarudi kule tulikotoka.

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 3 ปีที่แล้ว

      @@merinankullua5874 Melina una akili kuliko huyo leveri

    • @leverimlaki5667
      @leverimlaki5667 3 ปีที่แล้ว

      @@mudighurayra wewe unamfahamu Leveri au umesoma comment tu 😀. Leveri ni mtu wa level nyingine. Issue ya kuwekeza ni pana kuliko unavyo dhani ni issue ya wageni kutoka nje. Kuwekeza maana yake ni kuingiza mtaji wako katika kuzalisha chochote kwa kutumia rasilimali tulizonazo kwa manufaa ya wengi. Naweza wekeza kwenye kilimo, utalii, afya, elimu, michezo, madini, viwanda, nk. Waza kwa upana zaidi kuhusu hili.

  • @emanuelmlowe6854
    @emanuelmlowe6854 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama chunga ulimi wako maana yatakugeuka hayo unayo yaongea

    • @leinaamos
      @leinaamos 3 ปีที่แล้ว

      Huyo ni Rais tumia maneno ya hekima kidogo

    • @najatahmed2066
      @najatahmed2066 3 ปีที่แล้ว

      acha ujiga ww mama allah akusimamie

    • @mkude
      @mkude 3 ปีที่แล้ว

      Chunga maneno yako na ulimi wako wewe,kuwa na adabu kwa Rais,mjinga mmoja tu wewe

  • @nassibuduma7162
    @nassibuduma7162 3 ปีที่แล้ว

    Mama YESU akuongoze

  • @nassibuduma7162
    @nassibuduma7162 3 ปีที่แล้ว

    Upo vzuri

    • @meshajoni5662
      @meshajoni5662 3 ปีที่แล้ว

      Jamani tusmsifie Sana baadae tukaanza kuliaaa