"The road to success is always under construction, never give up! Avoid any tempftations of a relapse."This is a great and well conducted interview, conducted in a very coastal kiswahili, sio ile ya kisheng! Fingers crossed from Germany.
If You Enjoyed This Conversation, Please Do Me A Little Favour And Like The Video 👍 By Doing That, You're Showing This Conversation To Even More People ❤️...2ndly PLEASE SUBSCRIBE TO DAY Because Since Last Month, Only 10% OF Those Watched Had Subscribed 😥 We are Pleading At Least 50% Of Our Viewers Should Be Our SUBSCRIBERS 🙏🙏🙏❤️
Dogo namkubali sana nilikua Jirani mnarani pale cooper Kenya school ,ushauri tu naomba abane iyo ya kua mama anauza dawa serikali itaanza kumsaka ak na hatungependa astresike asharud form mungu amsaidie afike mbali bro congrats sana
Master Kimbo this is Barcelona, you opened my night club hapo ndodo. Please brother I'm soon doing it renovation . Then we start a fresh all the way from Stockholm Sweden . I'm soon home by May, we do renovation of Barcelona na ufungue Mr Kimbo.🇸🇪🇰🇪🇸🇪🇰🇪🇸🇪🇰🇪🇸🇪🇰🇪
Barcelona huyu. Mr Kimbo what can I bring for you from Stockholm?? Please let me know what you want for your support. I'm working as Sound technic engineer in Stockholm . What can I do for you Master Kimbo to improve your talent.
kuna wakati nkiwa mnarani kilifi, nilitaka kumsaidia Kimbo but nkapelekwa Somalia ghafla.ako na bro cuzoo anaitwa mody. but will make an appointment ya kumcheki.

Respect bro kimbo,,afu ntakupaje angaliu tupige colabo bro
Kimbo big up bado game yako iko juu watching you from canada mnarani kitaa 🔥🔥
Mtoto wa nyumbani huyo wacha tumpe likes nimeskia raha kusikia umeacha unga mungu atajaalia uwe utasahau kabisa hio kitu Amiiin 🤲
Jina la Kimbo ni kubwa sanaaa ndani na nnje ya Kenya yetu!!!
Bigup master the street major Kwa kuwacha hizo drugs well done
My master nakutambua saaana my geee isingekuwa wwe zhilah isingekuwepo kwa wanaojua🎉🎉🎉🎉🎉
Master kimbo safii kujieka wazi na kuamua kuacha huu ulevii . 4really umejieleza safii sana big up sana
One of my favourite song from kimbo English Gold
Respect brother kimbo potezea na usahau hauaja chelewa
Limbo best friend imenitoa machozi,marafiki niwabaya sana
Hapo sawa Master ulifanya vizr sana
English Gold Master kimbo.
Hakuna show bila Master Mwenyewe
If You Enjoyed This Conversation, Please Do Me A Little Favour And Like The Video 👍 By Doing That, You're Showing This Conversation To Even More People ❤️...2ndly PLEASE SUBSCRIBE TO DAY Because Since Last Month, Only 10% OF Those Watched Had Subscribed 😥 We are Pleading At Least 50% Of Our Viewers Should Be Our SUBSCRIBERS 🙏🙏🙏❤️
My fevourte song english gold fire.
Dogo namkubali sana nilikua Jirani mnarani pale cooper Kenya school ,ushauri tu naomba abane iyo ya kua mama anauza dawa serikali itaanza kumsaka ak na hatungependa astresike asharud form mungu amsaidie afike mbali bro congrats sana
Really appreciate about your work brother keep up the good work. Jeymo Mkenya from mtwapa 🙏👊
OMG am in love with this guy,... 🔥🔥🔥🔥
Queen niachie my wangu 🤣🤣🤣
Guys I'm with you, I'm Barcelona . Mr Kimbo ulinifungulua hiyo club bro, bigup bro
I like this show ...big up
Hio show Kali Sana
Master kimbo!...Ngoja Kwanza👊🏿 😎.
Safi Sana kama umeacha powder Kakaa, strong Sana street major.💪🏾
Noma sana broo ,respect 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
God's good bro... Quick recovery and keep the fire burning 🔥🥵
Broo amejieleza vizuri sana, nimekubali na ni nataka arudi kwa game kama zamani, awachane na marafiki wabaya, salamu kutoka barcelona
Kimbo mungu akuweke broo maishaa tu
Proud of u.... Utafikia ndoto zako kama ni talent ipo bro.
Yoh big up master Kimbo💪welcome back Man
Master Kimbo this is Barcelona, you opened my night club hapo ndodo. Please brother I'm soon doing it renovation . Then we start a fresh all the way from Stockholm Sweden . I'm soon home by May, we do renovation of Barcelona na ufungue Mr Kimbo.🇸🇪🇰🇪🇸🇪🇰🇪🇸🇪🇰🇪🇸🇪🇰🇪
This ninja is lit on free styling
Kimbo ni mnoma Sana kirapa
Noma san broo
Waah! Bro am happy to see you kwa hali nzuri may God to keep you high in music and life 🙏♥️
Wow nice interview
Kimbo uko juu broo ukoapi
Plz advice master kimbo to link out his social media accounts for more support
Watching from dubai salimia master kimbo jirani yangu hapo kilo kwa mzee kai shule hapo
Wow,thanks for your support.. well received
Baba Barcelona huyu bro. Ulinifungulia Barcelona yangu waaaah . Your great bro
Huyu ni Barcelona , I love you bro, your great man ulinifungulia Night club yangu, hapo Ndodo ulikuja wakisha moto
Barcelona huyu. Mr Kimbo what can I bring for you from Stockholm?? Please let me know what you want for your support. I'm working as Sound technic engineer in Stockholm . What can I do for you Master Kimbo to improve your talent.
classic...
Thanks for the support
New master kimbo...utaweza mwana
We are humbled 🔥🔥
@@LavishHatTV welcome
Nakubali
Kimbo master
LavishHat TV u've killed with Master Kimbo kutoka Kilifonia
kwnaza big up sana Lavishat,alaf kimbo ndie Master wa hipop klf....nani anayebisha???
😂😂😂 salute bro
Safi
Thanks for supporting us
big up ma friend kimbo welcome back again to the music of hip hop
💥💥💥
Kimbo chapa na harmonize itawika sana
🔥🔥🔥
Konk master kimbo
Big up bro, a nice interview.hope unanikumbuka lavish hat. Shaaban mwenye gari zinaitwa "Baby Thuma"
Solder Wallah Sanaa Tu..
@@LavishHatTV long time banaa wee. nko Kahawa Barracks. nkija mombasa ntakusaka Man.
kuna wakati nkiwa mnarani kilifi, nilitaka kumsaidia Kimbo but nkapelekwa Somalia ghafla.ako na bro cuzoo anaitwa mody. but will make an appointment ya kumcheki.
@@shaabanochungo4624 inshallah navyenye nlikua nairobi for 3 wks man daa
Nice work bt kwanini umegeuza interview katika hali za miadarati we need to know more about #kimbo let us know more about next stage
Let by-gones be by-gones .....got this bruh.
Saf kaka
Eeh namkubali xana kimbo bwoi...
Naomba link yenye naeza pata hio ngoma ya mteja ft kaa la moto
Huyu alikuwa vzr kweli alafu akapotea kabsa
Kuuliza tu jamani anavyo sema mama pia anauza hatatafutwa
Wazi
Skiza hii apa 🔥 🔥 🔥 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇
th-cam.com/video/KBdgKWQrP5A/w-d-xo.html
Sasa wacha ngoma lisonge na Master mwenyewe....napenda vile Sasa amerejelea mziki full time
Thanks for supporting us 💞
KIMBO NIMEGUNDUA
Huyu jmaa hii sauti yake ni pesa tupu akitulia
Inaitwaje hio song bana hio master tycondo bana Ebu niambie anaiijua mahal ntaipata
Yaitwa Best friend
Nampata vip huyu kimbo?
Very available send your concerns to lavishhatonlinetv@gmail.com
Nicheki me najua kuimba nishaandika nyimbo zangu sema sija ingia stdio
Auto tune but sound the same
Uko poa kimbo acha kuwa teja kipaji uko nacho na kinalipa
Mtafuteni na mchafuzi pia
We received, thanks for shearing..