My Bishop and Prophet! This is absolutely true. Whatever is happening in our country, is called Satanic reverse psychology and can only be understood by those who have been gifted with discerning spirit in the spiritual realm. But God is not a man that he should lie. He will definitely rescue his children from this kind of subjugation. Wacha nisikie a big Amen.
AMINA. Unajiuliza kwa nini huna amani na kwa nini Mungu Akawachilia shetani atuangamize. Kwa sababu dunia sio yetu na sisi ni wasafiri. Ingawa tunaishi katika dunia ulimwengu huu umepeanwa mikononi mwa shetani na anajua tuko na kwetu kuzuri tumeandaliwa.Lazima shetani ajaribu kufunga njia zako ndivyo ukose imani hata useme huu wokovu siutaki. Lakini wenye imani wako na Roho na Malaika wa Bwana na watamshinda shetani waweze kunyakua Ufalme wa Jehova. Hata kama shetani atakufuata wewe angalia mbele kule umeitwa. Hata kama kuna mambo mazito wekelea kwa mabega. Beba Msalaba wa Yesu, hata ingawa ni mzito, ingawa uko na machozi, ingawa uko na kilio, ingawa misumari itakudunga lazima utaubeba na ukiubeba utafika ng'ambo ingine na ushuhuda utapatikana.
Daddy umetoka mbali na Mungu amekufanya ushuhuda kweli kuna Mungu I trap the blessing kutoka Kwa hii neno by faith I will stand through the power of lord Jesus Christ .Amen
AMINA. Watu wengi wakati wanateswa na shetani ni wakati wametoka kwa njia za Bwana na Mungu Anawaachilia mikononi mwa shetani. Wakati Sauli alikataa kutii Mungu Akatuma roho chafu. Lazima tukatae roho chafu kuingia ndani ya maisha yetu.Wale wanaendaga kutafuta mashauri kwa mganga, mganga ako na kioo chake na wakati anakuwanga na kioo yake na anaongeaga na wale wamekufa kwa hivo yale mambo unaongeleshwa nayo ni ya maspirit ambayo imekufa.Ndio maana unakutanga mtu ambaye anaenda kwa mganga anakuwanga amekufa kwa sababu anayekutabiria ama mwenye kuongea na wewe anatumia "dead spirit."Yule mwanamke mganga alipoona roho ya Samueli alianza kulia. Ukiwa umeokoka na umesimama na utakatifu hata upelekwe kwa mganga akikuona kwa kioo ataona Damu ya Yesu Kristo.
My Bishop and Prophet! This is absolutely true. Whatever is happening in our country, is called Satanic reverse psychology and can only be understood by those who have been gifted with discerning spirit in the spiritual realm.
But God is not a man that he should lie. He will definitely rescue his children from this kind of subjugation.
Wacha nisikie a big Amen.
AMINA. Unajiuliza kwa nini huna amani na kwa nini Mungu Akawachilia shetani atuangamize. Kwa sababu dunia sio yetu na sisi ni wasafiri. Ingawa tunaishi katika dunia ulimwengu huu umepeanwa mikononi mwa shetani na anajua tuko na kwetu kuzuri tumeandaliwa.Lazima shetani ajaribu kufunga njia zako ndivyo ukose imani hata useme huu wokovu siutaki. Lakini wenye imani wako na Roho na Malaika wa Bwana na watamshinda shetani waweze kunyakua Ufalme wa Jehova. Hata kama shetani atakufuata wewe angalia mbele kule umeitwa. Hata kama kuna mambo mazito wekelea kwa mabega. Beba Msalaba wa Yesu, hata ingawa ni mzito, ingawa uko na machozi, ingawa uko na kilio, ingawa misumari itakudunga lazima utaubeba na ukiubeba utafika ng'ambo ingine na ushuhuda utapatikana.
Amen ❤❤❤
Mwisho wangu ndio mwanzo mwa Mungu
Amen Amen Amen
Amen
Amen 🙏
Amen🙏🙏
Daddy mungu amekutoa bali,sifa na shukrani irudie Jehovah
Praise God, paster priching righteousness till todate
Listening to this 17th Wednesday 2024 nikiwa chini sana
Dad Asante Kwa ujumbe huu mungu akubarili sana umenitoa mbali na kujua ukweli na kunitia nguvu..
Neno mzuri sana .God bless you
Bishop you have kept the faith. I tap
Into the blessing of JWM. Please keep posting more preachings for years back.
Mungu tusaidie ...neno iedelea mbere
Asante dad & my prophet.! Absolutely true na tuendelee kuweka utakatifu. Mungu akubaliki dad
Amen amen
Jesus winner tumetoka mbali Mungu atazidi kuitwa Mungu
True amen 🇺🇸 Texas
Ameen
Daddy umetoka mbali na Mungu amekufanya ushuhuda kweli kuna Mungu I trap the blessing kutoka Kwa hii neno by faith I will stand through the power of lord Jesus Christ .Amen
Amen mafundisho yako huijenga day by day, Mungu akaubariki pastor
Umetoka mbali dad.i tap this blessings 🙌
Long live dad.your preaching always gives me hopes 🙏
Amen 🙏 na anaendelea tu kuwa Moore Handsome 🤭 ,Mimi sitaki kuangaliwa vibaya just commented 🤔
Ujumbe huu no Wangu, just the right time, thank you Dad
I love this vintage teaching... the journey is not smooth but we will make it by the power of God through Jesus Christ our Lord
Daddy asante kwa ujumbe
Amen ibelieve it
True...
AMINA. Watu wengi wakati wanateswa na shetani ni wakati wametoka kwa njia za Bwana na Mungu Anawaachilia mikononi mwa shetani. Wakati Sauli alikataa kutii Mungu Akatuma roho chafu. Lazima tukatae roho chafu kuingia ndani ya maisha yetu.Wale wanaendaga kutafuta mashauri kwa mganga, mganga ako na kioo chake na wakati anakuwanga na kioo yake na anaongeaga na wale wamekufa kwa hivo yale mambo unaongeleshwa nayo ni ya maspirit ambayo imekufa.Ndio maana unakutanga mtu ambaye anaenda kwa mganga anakuwanga amekufa kwa sababu anayekutabiria ama mwenye kuongea na wewe anatumia "dead spirit."Yule mwanamke mganga alipoona roho ya Samueli alianza kulia. Ukiwa umeokoka na umesimama na utakatifu hata upelekwe kwa mganga akikuona kwa kioo ataona Damu ya Yesu Kristo.
Dad ombea Baba yangu aliangushwa na motorbike mugongo bavu anaumwa kutembea ni shida.God bless you.
Daddy niombee Niko saudia
Amen 🙏
Amen