MANDONGA | DOGO JANJA & PLATFORM ON BIG SUNDAY LIVE - S03E10
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- MANDONGA | DOGO JANJA & PLATFORM ON BIG SUNDAY LIVE - S03E10
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Waliokuja kwa ajili ya mandonga tujuane🤣🤣
Dogo janja ni fundi bana big up janjarooooo
Anyway mandonga Am a congolais 🇨🇩 💪 tuna sikiya kuji inuwa kwako kwa iyo ji andeee
Nakubal San mwanang mandonga 💪💪💪💪💪💪💪💪
sijamfata dogo janja wala pratform nimemfata mandonga mtu kaz 🔥🔥🙌💪👊
Uyu jamaa ana domo sana
Tulio foward mpaka kwa mandonga tujuane😂😂
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣 Niko
😂🤣🤣🤣🤣
Tuko wengi kinyama
Nakubali mwamba Mandonga mtu kazi
Nakukubali mwanangu mandonga. Unajiamini ndo uwanaume. Kaza ipo siku mtu atakaa tuuu💪💪💪🇹🇿.
Nimekuja kwa ajili ya mandonga mtu kazi😂😂😂😅
Mbona sioni Dogo janja kwa comments?? Nipe likes za Kenya love jamani
Mandoga hadi wakuue, tutazidi kukushabikia
Mandonga kanogesha sana show wasafi kama mnaweza mumpe fungu la kutosha aiseee
Nadhan huyu mandonga nyota yake iko pazur sana na pia nadhani hajapata kocha mzuru wa kumfunza akaperfom vizur.
😂😂😂 one love brother mandonga from🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Mandonga mtu kazi ngumi jiwe😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
🎥📺Duuuh.... Mandonga Ndiye Ame trend Show nzima...🤣🤣🤣 Mandonga Mtu Kazi💪💪💪💪💪 Safari Hii Mtu Atapigwa Kama Ngoma..🙌🙌🙌😁😁😁😁😁 " Sea Never Dry And Man Don't Cry... #Karimu_Mandonga Jitahidi Next time Ushinde Bhana🤜🤛 🤼✊Mashabiki Zako Tufanye Kasherehe.
Team mandonga mimi hata upigwe kila siku nakukubali Sana'a huna uongo 😂 😂
Na siku akishinda mimi sio shabiki yake tena 🤣
@@margrethamsechu7088 kashinda 😂 😂
Mandonga anahiti ssv san 🤟🤟
Mim ni shabiki namba moja ya mandoka
mandonga nakukubali sana mkali
Janjaro nakukubali mbaya kinomanoma Mombasa 🇰🇪🇰🇪
haki nimekuja hapa kuona vituko vya mandonga na nikajua dogo janja hawezi kuniboa.
BiG Shows Mandonga Mtu Kazi sanaaaaaa
😂😂😂ila mandonga umenifurahisha Sana'a😂😂😂😂😂😂😂😂
Mandonga anajuwa kupromoti ngumi
Bangi anazo vuta mandogo sio mchezo raha jamani kumshabikia mandonga ni sawa na kushabikia man u tuuebabu #TEAMMANDONGA
hivi mmechunguza vizuri hii POSTY?, yani hata huyo, DOGO JANJA, haonekani kwenye hii posty, yani huyu mandonga, nyota yake sio poa kabisa, kama atatumia vizuri, UPEPO wake huu, itakua poa SANA, inshallah mungu wetu ni mwema, utafika uendako.
nimesogeza mbele ad kwa mandonga
Mandonga mtu kaz umetisha sana muha.boy apa
Baba uyu mshipa wa aibu umekata😂😂😂
Mandonga bondia wangu pekee bora alie wai kutokea east africa . He is so special man
Kivuko Cha kibwengo, Kareem mandonga
Dogo janja ndokuweza one love from kenya
Hao vijana huko nyuma wangeutumia huu ktk uzalishaji na ujasiriamali wangekua mbali sanaa
Bro kunawakat wa kurefresh
Wee huu mda wa kuandika hii text ungeutumia kuzalisha si ungekuwa mbalii,, au till now kipiextra umezalisha punguzaa negativity stick kwenye Mambo yakoo
Mandonga mwanangu wa mda wote
Heshima kwako kaka umetisha sana
Mandonga kumbe ulishawai kupigwa round ya kwanza🤣🤣🤣
Nakubari sana mandonga mtu kazi
Mandonga kwa kweli anawashabiki wengi
Namkubali mandonga mtu kazi yupo poah saana
MVP tambweee,,,,,,oya mandonga wasalimie
Mandonga noma
Sea no dry, man don't cry.
Bendera ya kuzimu.
Tuko pamoja mpaka ufie jukwaani
Umenchekesha aisee
Am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 watching haki I like mandonga thus man his sooo funny naanza kufuatilia saii
🤣🤣🤣mandonga mtu kazi
Nimemwelewa Sanaa sea never dry a man never cry
Unajibu mweny
Masela Bado tuko na mandonga😂😂🙌
MANDONGA MTU KAZI🔥🔥🔥
Mandonga bendera ya kuzimu
Hadi wakuue mandongq
Tuko naww mangonga mtu kazi hadi uuwawe 🔥🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaha
😂
Mandonga mtu Kazi
Nimempenda from Kenya 🇰🇪 watching from saudia Arab madinah Munawal love ❤
Mandongaaa😄😄😄moto tunauwashaaaaa
Hhhhh et mc mwenyewe ananipa utam had namuelewa 🤣🤣🤣🤣mandonga mtu kazi
Apo Kwa moni ningeshangaa sana kama asingempa 10🔥.. Mwana kashuka vizuri sana umo💪💪
This is what we call commercializing the brand. Falling back to history, the likes of Mohammed Ali explains everything mandonga is doing, the trash talk and all, #Mandonga all the way💪 Love from Kenya
One of the best 😂😂
Mandonga dahh 😂😂😂😂
Mandonga upo na kiduku Moro kwann usiombe ushaurii🔥🔥🔥👊🏿👊🏿👊🏿🎧
Team MTU KAZIIiii💪💪
Mandogaaa mtu kazi
Namkubali mandonga kwa namna anavyojikubali
Mandonga to the World
One Chance one goal
Big up BlooD
Mandonga mtu kaz niite japhetizo msanii wa bongo fulev kutoka njombe kusin sapot tusonge wadau ingia youtb andika japhetizo utazipata ngoma zangu kali zote
Mtengano Ako sawa sana asilimia 90
Dha nimecheka kwa sauti jamaa mchangamfu sana🙌🙌🙌🙌
Wakali wa Burudan Wasafi 🇹🇿👍
MANDONGA n MTU muhimu bila yeye wapinzani wake hawapati ushindi
Ndonga mtu kaz bendera ya kuzimu🤣🤣🤣🤣💪💪💪💪nimekupenda buleeeeee
Mandonga umechukua shoo
Mr kuweza
Sijawai kujutia bando langu kwa big Sunday never disappoint ✌🏿💵
Mtu Kaz mandonga
Nyie Mandonga ana vaibu japo kapigwa
DOGO JANJA NIMEKUPENDA KWA KUMKUBALI YOUNG KILLER
Woyoooooo youngkiller
MANDONGA Ana Nyota" yakupendwa na watu Dah! Yani upigwa kisha Ushindi wa wananchi uchkue ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kabisa yani mtu wa watu huyu jamaa
Janjaroo🔥🔥🔥
Inamana akina karimu wote ni akina mandonga
Mandongaaaaaaaaaaaaa😍😍😍😍hatariiiiiiiiiiiii
Sea never dry mandonga don’t cry
Mandonga👏👏
Napenda wanavyojitambulisha ikopow sana
Mandonga mtu kazi bega bega mpaka ufe uwanjani
Nimekuja hapa kwaajili ya mandonga
😅😅😅 noma sana mandonga
Mandonga u did it
Mandonga big up aná from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Platform😏😏
Mandonga made the interview a super one
New star in tonw for now
Wozaaa😂😂😂😂amekuwa star sasa😂😂
Ebana eeeh.. mandonga
Mandoga tupo pa1 na ww mpka wakuue 😁
Mandonga mtu kazi ila kwa mwakinyo atakuua wewe na ndugu yako
Mandonga the genious
😂😂😂unyama wa mandonga Dadeqiii
Wcb big Sunday mandonga unanifulahisha ya leo
MANDONGA YUPO MOTO
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
#AVATASTAR255 👈👈👈
Leo picha challenge mmejichanganya mwamba anajibu anachojua jacline wayo
Ndonga mtu kazi 💪
Jamaa Ana mikwala duhhhh alafu akala kipigo