MASLAY QUEEN ACHENI HIZI TABIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2021
  • Hamna watu wa kuwa makini nao kama Maslay Queen. Waiba vyombo kwenye mgahawa na kuondoka bila kulipia. Baadaye wakutana na madini ya Dr. GeorDavie yaliyowafanya wajutie matendo yao na kurudi kuomba msamaha.
    #Shukrani za dhati kwa wafanyakazi wote wa Pablo Picasso Restaurant kwa ushirikiano wao kwetu na huduma yao ya kipekee.
    NIFUATILIE
    ☞ Facebook: / geordaviemaarifa
    ☞ Instagram: / geordavie_maarifa

ความคิดเห็น • 8

  • @sarahnashon9070
    @sarahnashon9070 3 ปีที่แล้ว +2

    Bado nazidi kujifunza kutoka kwako Baba yangu wa Kiroho Nabii Mkuu Doctor Geordavie.Ahsante sana Baba,

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 3 ปีที่แล้ว +1

    ☝️🔥💕Asante Baba hapa ni kujifunza tu.

  • @noahlomayani3778
    @noahlomayani3778 3 ปีที่แล้ว +1

    Du ! Imenifurahisha sana Na. Nimejifunza kikubwa sana. Bt wako vzr wadada wamecheza vzr.

  • @mathsmeme-tv6576
    @mathsmeme-tv6576 3 ปีที่แล้ว +1

    #🔥🔥

  • @zimangervas4206
    @zimangervas4206 3 ปีที่แล้ว +1

    Elimu nzuri

  • @loya_media254
    @loya_media254 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndiyo

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 3 ปีที่แล้ว

    Kwakweli nifunzo kubwa sana

  • @R.Dickon
    @R.Dickon 3 ปีที่แล้ว +1

    Pizza bandits...