ALIKIBA AKABIDHIWA KADI NA JEZI YA SIMBA RASMI |NILIKUWA NAWAONEA WIVU KITAMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

ความคิดเห็น • 22

  • @evaristpaul6403
    @evaristpaul6403 ปีที่แล้ว +1

    Asante king mung akujalie maisha marefu

  • @renatusmkome2754
    @renatusmkome2754 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda tenaa kiba wetu karibu sanaa simbaa 🔥🔥🔥

    • @ZaidaniMkinga-ro3zj
      @ZaidaniMkinga-ro3zj ปีที่แล้ว

      Kiba hunabaya umetufurahisha sana Wana Simba walikuwa wanatutishia Hilo mondi lao

  • @mohamedaden8483
    @mohamedaden8483 ปีที่แล้ว +3

    Alikiba anafanana sana na manula

  • @saidaal1679
    @saidaal1679 ปีที่แล้ว +2

    Karibu King kiba❤ unyamani

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 ปีที่แล้ว +1

    Mnyama king kiba

  • @evateete302
    @evateete302 ปีที่แล้ว +1

    Kwanzia leo mie timu kiba nilikuwa simpend kisa alikuwa yanga nw nakupenda king

  • @HidayaKarim-wy9yc
    @HidayaKarim-wy9yc ปีที่แล้ว

    Simba nguvu moja yeah 👍

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb ปีที่แล้ว

    Mwijaku umenifraisha sana unajua kuhamasisha.

  • @MubarakChoyo-tg4yc
    @MubarakChoyo-tg4yc ปีที่แล้ว

    Safi San karib king

  • @jonsonmuluta8053
    @jonsonmuluta8053 ปีที่แล้ว +2

    From today wanasimba tutakutambua kama King Simba,karbu unyamani KingKiba...gonga likes kama umekubali🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅

  • @AyoubHamza-sd1nb
    @AyoubHamza-sd1nb ปีที่แล้ว

    Kalibu mfalme

  • @mmungaramazani4016
    @mmungaramazani4016 ปีที่แล้ว +2

    Mwijaku 😂😂😂

  • @umarrashird5009
    @umarrashird5009 ปีที่แล้ว

    Mwijaku ni kama anatia back vocal

  • @moodykassim4029
    @moodykassim4029 ปีที่แล้ว

    Ufanywe wimbo wa Taifa

  • @Japhari-fu5oj
    @Japhari-fu5oj ปีที่แล้ว

    Maokoto alafu tunarudi kwetu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Japhari-fu5oj
    @Japhari-fu5oj ปีที่แล้ว

    Maokoto kiba wapige hao makolo hawajielewi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @aminaramambungo4414
    @aminaramambungo4414 ปีที่แล้ว

    Mwijaku utazeeka araka babu hueleweki kha😂😂😂😂😂

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂Uuuuwiii

  • @KautharIssaNassor-gx8qh
    @KautharIssaNassor-gx8qh ปีที่แล้ว

    Ila karamu ukiichngamkia nasi huwa ni.yako maana huyu mwinjaku event zote unamkuta yupo muhusika.mkuu

  • @HassanBakari-g7v
    @HassanBakari-g7v ปีที่แล้ว

    Sio wa utopolo mnyama.Sijui kama mmemuelewa nyie

  • @daffagunda-rm3hj
    @daffagunda-rm3hj ปีที่แล้ว +1

    Very local song, am not interested