JB MPIANA - FEUX DE L'AMOUR in Swahili.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 10

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Hamida .Shantuu .alikua mke wa Jb mpiana. Na alivunja ndoa yake na Jb mpiana. Na kwenda kuolewa na Tajili Wa Madini Didi kikuani mfanyabiashara wa madini. na kilicho muumiza Jb. ni kuwa Didi kikuani alikua mfadhili wa bendi ya Wenge Bcbg.

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 ปีที่แล้ว

    Mimi mfuasi wako najua kilingara kidogo .. Na ninapenda sana nyimbo za Zaire.utanisamee kwa kuita Zaire nimeita hivyo ili watoto wajue kuwa Congo ya leo ilitwa Zaire kabla ya utawala wa Raulent Kabila..

  • @TillaClasc-s8h
    @TillaClasc-s8h 5 หลายเดือนก่อน

    Safi denis... Izu

  • @kakafadhili4472
    @kakafadhili4472 7 หลายเดือนก่อน

    Umetafsiri vizuri

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana