MCHOME MAPOVU ATUA JANGWANI KUNYWA SUPU/YULE CAMARA SIFA ZIMEMZIDI/MANGUNU HANA MAKOSA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • #mrmwanya #nandy #simba #harmonize #ahmedally #zuchu #eliud #ndaro #tangail

ความคิดเห็น • 33

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Supu yetu sote. Ila mchome mbishiiiiiiii duuuu. Uko vizuri brother kisoka

  • @AbdiYusuphu-rk1hj
    @AbdiYusuphu-rk1hj 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Nyumbani tv hamfai kabisa kwa nini mmefuta maongezi ya ally kamwee mnataka misifa tuu ya simba sasa huko kwenye supu mlifuata ninii rudisheni haraka tusikie alichosema.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Jana alipokuwa na makolo alinywea akiogopa kichapo! Nilijua atakuja kunywa supu aanze kukandia timu yake!😂😂😂😂

  • @KhalidJafary
    @KhalidJafary 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    😂😂😂😂Seema uyu jamaa katetea sana supu

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺😋😋😋😋😋 sio xhida zetu ngoja tupate supu kidogo😂😂❤😂😂

  • @LameckMkumbwa-eg3dy
    @LameckMkumbwa-eg3dy 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lakini Mimi ni yanga uyu mchezaji ahoua nimzuri sana mpenda ninaitwa lameck malawi uk kwenye mchezaji yule peter Banda chitipa

  • @malilosaid6495
    @malilosaid6495 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe na manala kitu kimoja mnafiki na wanafiki wanajulikana mpaka kwa mungu

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo jamaa sio shabik wa simba mnafiki sana huyu

  • @nicodemshello163
    @nicodemshello163 10 นาทีที่ผ่านมา

    Hapo ❤ni kweli

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MCHOME WEWE NI NGURUWE MLA MIHOGO HATA UVAE NGOZI YA SIMBA HAISAIDII KITU HARUFU YA KINGURUWE INAKUUMBUWA 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

  • @LeilaSaid-n2g
    @LeilaSaid-n2g 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Supu hyoooooo

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mdg wng Mchome,cku ya kufa nyani miti yooooote huporomoka.ile ni bahati mbaya na mwanaadam,Camara haikuwa cku yake,kula Supu hii ndio Tz mpira UDUGU/BURDAN/URAFIKI,idumu AMANI YETU TZ InshaAllah,Wananchi bab kubwa

  • @JumaJumakpg-s2i
    @JumaJumakpg-s2i 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hana akili huyu jamaaa

  • @AbelLucas-o4I
    @AbelLucas-o4I 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchome Ila Simba sijui huwa wanakusikiliza interview zako

  • @deven.oauditx7547
    @deven.oauditx7547 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu ndiyo anajua ushabiki wa mpira. Vinginevyo mtu utakufa kwa pressure bure.

  • @NeemaDaniel-j3g
    @NeemaDaniel-j3g 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yule yule chama wanamdharau na kumtukana Kila siku ndio kawafunga mdomo Jana .

  • @nathanmmasi3890
    @nathanmmasi3890 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We matako kweli kweli tena kitumbo tu ndokina kusumbuwa unanja umeshindwa kununuwa ata subu ya buku mpaka ukapewe na yanga usituchanganye wewe niyanga tena dam mwana simba awezi kuwa ivyo zulima tu wanayanga naka yoko wenu nimwanayanga tunajuwa fuini sana mmeshinda mpira ulio toka .

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Jana alisema yanga hawawazidi simba🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bongo balaa

    • @makejamaduhu7618
      @makejamaduhu7618 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ilikuwa ni lazima aendane na upepo

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wee nae kumbe mnafiki wee kunywa tu supu jana ulikua ukihojiwa ulikua unajibutu why not tusimfunge yanga leo tena umebadirika

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hapooo sasa! ALIOGOPA KICHAPO, jana hapo alitumia akili, angeongea haya, angepigwa vibaya mno! Ilibidi asifie simba ili atoke pale salama! Watu jana wana hasira ,aongee ujinga huu? Walimchania jezi ya simba jana ! Akavaa ya TAIFA STARS 🤣🤣🤣🤣.. huyu ni Simba,sema kutumia hii njia kujitafutia kipato! Na furaha ya mpira! Football is a game!😂😂😂

  • @nicodemusmemba1402
    @nicodemusmemba1402 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ajili Yako ndo imeishia kutukana

  • @bennyMazimba
    @bennyMazimba 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Unanjaa wwe inakusumbua

    • @rehemamuhammad3893
      @rehemamuhammad3893 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwenzak njaa inamsumbua pengin wew apo ulip unaitaman

  • @KichwaGeneral
    @KichwaGeneral 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu njaa

  • @marylucas4025
    @marylucas4025 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poa sana

  • @SalumuSelema
    @SalumuSelema 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkwisha nyiesimba

  • @SalumuSelema
    @SalumuSelema 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Atasupu supuyakukummeshindwammbwanyie

  • @mohdseif2593
    @mohdseif2593 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa kaolewa nayanga akijifanya simba lkn muongo

  • @CosmasKweka
    @CosmasKweka 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie mmbwa tu mitambo hamna kenge sana nyie

  • @JumaJumakpg-s2i
    @JumaJumakpg-s2i 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hana akili huyu jamaaa