Wapendwa Karibuni sana kwenye channel. yetu Tanzania nchi yangu ni moja ya nyimbo zilizopo kwenye Albamu yetu iitwayo Mungu wetu wa ajabu iliyozinduliwa tarehe 05.05.2024. Albamu hii ina nyimbo 8. Karibu . Naomba usisahau ku subscribe. Like ku share na ku like Asante sana na ubarikiwe
Asanteni sana.
Hongera Sana Mama yangu Mungu Akubariki Sana
Wapendwa Karibuni sana kwenye channel. yetu Tanzania nchi yangu ni moja ya nyimbo zilizopo kwenye Albamu yetu iitwayo Mungu wetu wa ajabu iliyozinduliwa tarehe 05.05.2024. Albamu hii ina nyimbo 8. Karibu . Naomba usisahau ku subscribe. Like ku share na ku like Asante sana na ubarikiwe
Asanteni sana ninalijuq hilo. Mungu awabariki. Ninaomba mnisadie kusubscribe na kushare na kuwaomba wasubscribe na kushare pia.Mungu awabariki sana.
Hongera sana met Magreth Masawa. Tunakufuatilia sana
Asante sana met. Ubarikiwe sana
🎉🎉❤
Ubarikiwee tu good job. Unajua tunakupenda ,tunakuombea❤❤❤
Amen Asante sana. Ubarikiwe
Hongera mama kwa wimbo mzuri. Mungu ainue huduma Yako juu zaidi.
Amen Asante sana. Ubarikiwe
Hongera sana, Mama umetisha kazi nzuri.Ubarikiwe sana
Asante sana Mungu atukizwe
Kaz nzuri👏👏
Asante sana na ubarikiwe sana
Amen. Asante sana na ubarikiwe
Hongera. Nyimbo zur
Asante sana ubarikiwe sana
Asante sana. Mungu atukuzwe
Hongera sana mama Angu
Asante sana dada Sarah. Mungu atukuzwe
Hongera Binti yangu wimbo mzuri
Asante sana mama na ubarikiwe sana
Asante sana mama. Mungu akubari sana.
Hangera sana boss wangu
ubarikiwe kwa wimbo mzuri mama yetu Magreth
Amen Asante sana ubarikiwe sana
Hongera mtumishi wa Mungu❤❤
Amen Asante sana na ubarikiwe sana
Hongera sana mama kwa kazi nzurii ya Mungu , Mungu akubariki 🙏
Asante sana. Mungu atukuzwe
Hongera sana mama
Asante sana Mungu akubariki sana . Mungu atukuzwe
Amen