@@rindkin1856 Mungu wa rehema, nakuomba kwa unyenyekevu ulete uponyaji wa haraka kwa kichwa cha Mwanao . Punguza maumivu haya na umjaze amani yako. Pia nakuomba umkumbuke ndugu yake aliye gerezani, umpe nguvu, faraja, na matumaini. Mfungulie njia ya haki na urejeshe furaha katika maisha yake. Tunaamini katika upendo na huruma zako, katika Jina la Yesu Kristo, Amina.
Haleluyaaa.Mwokozi ni wewe peke yako.
Wastahili sifa heshima na utukufu Jehova.Hakuma mwingine zaidi yako.
Woow I'm blessed in Jesus name listening from gulf❤❤
@@jentrixgongai2483 amen 🙏
Amen ,,, nimembarikiwa sana na hizi nyimbo,,, may God bless you
@@peninahmwongeli867 amen 🙏
Sikia kilio changu eeh mungu wangu...nashukuru kwa aya mapito tu.Asante kwa yote mungu wangu❤🎉
@@annbonareri amen 🙏
Mungu awabariki sana kwa huduma hii
@@zepinashatibu5149 amen 🙏
Hakuna mwingine kama ww Yahwe..🙏🙏🙏🙏🙏
@@FranciscahOginda amen 🙏
Sema nami Yesu nakuhitaji maishani 😢😢
@@Loice-c9o amen 🙏
I worship you jesus❤❤❤❤
@@LightnessMunuo amen 🙏
❤ barikiwa sana
@@ThomasMmary-r7w amen 🙏
Hallelujah dear God Answer my prayers 🙏
@@Centrine-tz7zm amen 🙏
Amen 🙏 be blessed nahitaji maombi kichwa kinaniuma sana na ndugu yangu ako gelezani wiki tatu😢
@@rindkin1856 Mungu wa rehema, nakuomba kwa unyenyekevu ulete uponyaji wa haraka kwa kichwa cha Mwanao . Punguza maumivu haya na umjaze amani yako. Pia nakuomba umkumbuke ndugu yake aliye gerezani, umpe nguvu, faraja, na matumaini. Mfungulie njia ya haki na urejeshe furaha katika maisha yake. Tunaamini katika upendo na huruma zako, katika Jina la Yesu Kristo, Amina.
@@swahiliheavenworship amen 🙏 🙌
Yuko Mungu mbiguni asikiaye Maombi yetu
@@BLESSED_BRIAN amen 🙏
Amina
@@EmanuelOtieno-s3b l❤️
Apewe sifa buwana
Amen 🙏
Nitasema ndio.Bwana.
@@esther.r.kulundumuruto1019 amen 🙏
Allen Anthony Brown Kimberly Hall Timothy
@@RhodesKing-q4r ❤️