What an amazing video... Sooo proud of all that the Tanzanian artists are doing.. This will still be a hot video even after 5yrs from now. Kuddoz Shetta.
Watu wengine wana roho za mapaka shume wakipata mabwana lazima wawachune,hahaha hapo umetisha baba Qaella, i cant stop watching ana listening keep it up shetta. Uko poa sana nimeikubali sana.
Shetta kwa kibongo bado hakuna aliyekufunika kwa mwaka huu,hiyo lazima Africa nzima ikutambue we ni nani,hongera sana ,nimependa video hata audio ,nimeisikia leo lakini nimeshashika kichwani
Tanga in da building, dogo Sheta umetisha..KISWAHILI KITAMUU..ila ushauri mdogo wangu..wachezaji hawajafanya zile twerk za SHIKOROBO wa kitaan..kama wale wa best yako DIAMOND kwa NASEMA NAWE WALE alafu wakala nguo za uswahili na TWERK ingekuwa noumaa mbayaa..hii ni ya kucheza mbayaa hao wadada wako wapolee saana ila next truck ama remix mtafute Uhuru.Love dem CARS at the back ground.
2024 tunao endelea kuichek hii ngoma like hapa❤
What an amazing video... Sooo proud of all that the Tanzanian artists are doing.. This will still be a hot video even after 5yrs from now. Kuddoz Shetta.
Hayo ndo mambo shetta big up sana mzee, shikorobo ndo habari ya town, this is a trend , from hip hop to afro pop.
Classic video.
Shetta we ni noma video nishiiiiiiiiida,,komaaa mzaz umeanza kulivuta jiwe.Amazing video
Daayaaam shetta nailed it..the song n video..duuh umeuwa kaka..
Shetta work hard, ukizubaa hutakuja toa ngoma kali kama hii tena.
Kweli aisee kapotea kiaina
Asante kwa nyimbo Nzur Shetta Nyc video yan mtu akiponda babu yake alikuwa mchawiii kamuaaaa best
Sichok kuitazama! Audio+Video nisheedahhhh!!! Big up xana Shetta!!!
I can say, this is One of the Africa best video of the year.
Congratulation Shetta
Eehh bwana shetta ngoma Kali sana big up sana kwan sasa Tanzania mnaifanya iwe juu kaz nzur nimepend jins unavyo chez !!!!!!!!!?
baba kaila nyc song, inachezeka inaburudisha haiboiiii kwa kwel big up ✌✌✌✌
bwana sheta hapa umenimaliza mpaka wasomali wadance mashallal from kenya
My first time of hearing this.... this is beautiful, Tanzania aND Nigeria... wonderful collaboration
Baba kayla ...salute nimependa sana ipo very cool...unavotingisha kiuno u murder me...
Lov u we miss u in canada ...
Sheta unaimprove day after day big up nowadys TZ another level
♥Shikorobo♥....dingi akeh qaila umetisha asee...nice joint sema hiyo lugha iliyotumika sijui maana yake nin ★shikorobo★
Salute sana shettah....hili goma ni nooooooooooumer, sichoki kulitazama...umetisha sana kaka
Shetta definitely up'd the levels, cool video!
Shetta thats one hell of a best video man..u killed t!..
nakuaminia sana shetter, since day one im your biggest fun,, vile uko juu mazeee.
Next Level Shetta Bonge la kichupa ni hatariii mzeeeee :D walete hapo kati
Shetta I love your work........ dancing and singing...
Naipenda kazi yako
Akisuka ama akinyoa kipara......kama bado unarudi hapa. Big up sanaa
Nice video!nimeipenda kiukweli iko poa sana## bigup baba kaila.
Naupenda mno huu wimbo wadada wanacheza poaa sasa upigwe club nishida kaka saluteee
Wakisema kubal Keisha wajib mambo yanabadilika..hata wabongo wenyewe hatuishi kwenye nyumba za nyasi tena..!
Production ya video iko very hot Kabisa. + +
daaaaah bonge moja la video tishaaaa sana shetta hivi ndivy tunatak na c maneno well done
Bonge moja la song!!!! Big up shetta gotta luv u eeerrrrdayyy
Dah..sasa wanigeria wanasubiri..bongo flavour is on the way to the TOP.
Hii iko vizur baba qayllah wala usiwe na wasi..itafika mbali..
For real this song is a hit .nice video and audio...kila kitu iko dope ...kudos shetta angalia mbele baba qayla
Watu wengine wana roho za mapaka shume wakipata mabwana lazima wawachune,hahaha hapo umetisha baba Qaella, i cant stop watching ana listening keep it up shetta. Uko poa sana nimeikubali sana.
Hahaha umefika mpaka huku,haya nipe no yako basi Magret .wanjiru
Sina neno niko poa kabisa
Labda wewe
Me too nko poa,number yako nitaipataje Magret .wanjiru
Naenda kwa room yangu nita kutumia
kaka safi sana mimi nakupa sapoti sana mungu hawe nawe Amina
Daaaamn.. kweli hii ni shikorobo
Should be a million views plus
Shetta umetisha mbaya mshikaji hadi make wangu kila nikifika anakuzungumzia wewe tu
Video iko juu big up baba kaila
Ametisha nimemuelewa sana salute kwako mzazi baba kaira
CHEY! de song dey flow well well o. Thumbs up for this collabo.
That superb Kaka mdogo.. Fanyeni kazi haina majungu
Wimbo bora na video bora kbsa kwa mwaka 2015 kutoka bongo. Asante shetta
shikorobo......moto kama pasi.keep up your creativity.
Iko gud Man Sheta ... Keep it up utoe Ngoma kali na Video Kali zaid ya Hii..Ila All in all Umedone good my bro
Yap uko vizur shetah zp panda level za juu!!
Wow amazing well done excellent artwork love it big up
OMG amazingggggggggg....... Best song of the year
Real nice big boi shetta...shikorobo..bravo braza
Nice video bigup baba kaira now time of shikorobo
hahahah You did it Baba kayler..... umetisha sana, wataelewa tu, ila umenifurahisha dis tym umeimba haha
Shetta kwa kibongo bado hakuna aliyekufunika kwa mwaka huu,hiyo lazima Africa nzima ikutambue we ni nani,hongera sana ,nimependa video hata audio ,nimeisikia leo lakini nimeshashika kichwani
bongo fleva taking a big step 👏
Nice track I like it all the way from 🇺🇸
Big Up Sana Kazi Nzuri.....Audio nzuri muonekano mpya One step ahead Hongera sana Kaka....Ngoma kali
Video ni noma aisee your now an International artist man
This song released when i was fom3 ,keep it up shetta
its a nice work...a classic video and classic music.
Woyooo!! baba qayllaah tisha sanaaa
Good job Shetta keep up man
2020 anyone? 😍
love it, yunas bless both of you , amen . Big up , the girls are beautiful , loooovvvveeee it , am a gambian. But i live in holland ..
2020 who else is watching
Anapendeza ata akinyoa kipara SHIKOROBO , My head and shoulders My knees and toes SHIKOROBO, Tamu kitu hii @shettaTz @kcee-Emoney
Umetishaa ipo poa sana .love you shetta
Nice video quality video every thing perfect nice work Shetta
Sheta tupe nyimbo Kama hizi
sheta nimeQubali baba Qayler! SHIQOROBO ndo habareeee
Nakukubali baba kaila ipo juu song
Tanga in da building, dogo Sheta umetisha..KISWAHILI KITAMUU..ila ushauri mdogo wangu..wachezaji hawajafanya zile twerk za SHIKOROBO wa kitaan..kama wale wa best yako DIAMOND kwa NASEMA NAWE WALE alafu wakala nguo za uswahili na TWERK ingekuwa noumaa mbayaa..hii ni ya kucheza mbayaa hao wadada wako wapolee saana ila next truck ama remix mtafute Uhuru.Love dem CARS at the back ground.
HATAREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE SANA @SHETTA
Daaaaaaaah hii sasa ndo bongo to kimataifaaaaa
ebana hii ngoma ni sheeeeidaa ,,inabamba vbaya pande hiz za udsm
👏👏 wonderful song excellent video @ShettaTz @Kcee
Kazi Nzuri shetah
Nimeikubali video unatisha big up sana sheta enderea hivyo hivyo utavuna ulicho panda
upo vzur baba Qyler
big up ba kaila iko njema snaaaaa,,,,,,
Boni venture ni mekubali njimbo kali sana shetta the don mpaka vidio.
omg!!gd job ma boyy bba kaira"xo impressive
ts a nice song and a very gud video 2 xo wel done brother n keep it up..make us proud
Sheta unatisha mbaya, video yako nimeikubari. Shikorobo
Wow I like it
Never get old 🔥🔥🔥02/07/2022
Mind-Blowing music .....
Ni shidah. Big up kwa ngoma nzito
Superb! Good tunes
I have no clue what's going on but it's still awesome
It's Swahili an language what is spoken in Ostafrica
Hahahahahaha kazi safi sanaaaaaaa unabadilika badilika kama kinyongaaaa
2021 bado naipenda 🔥🔥🔥
aiseeeeeeeeee nimeinua mikono hapo umetisha\]
kweli good sana
Top i luv the song🔥🔥
Wimbo uko pouwa video imesimama guda sana baba kaila
Meeeeen....it's super awesome video, i love it
amezinguaa bado sanaaaaa keep it up
Wimbo iko juu sana...
Flash the Identity.. let's appreciate the music.. Nice one Shetta
The 102 haters sit your ass down and listen to some gooood music, Shikoroboo😂😂😂
Nimeipenda xana
this is superB, i cant stop watching and listening , i enjoy more, but whats the meaning of Shikorobo plzzzzzzzzzzzzzzzz
NO BODY KNOWS WHAT'S MEANS ... SHIKOROBOOOO !
Iko bomba kias chakeee... 👏👏