Ubarikiwe sana dada angu hakika tunapata kujifunza mengi kupitia wewe dada leo nimejaribu tena hii ni mara ya pili nimejaribu tena lakin keki yangu inapasuka juu sijajua tatizo ni nini dada angu naomba unisaidie hapo
Sis, thank you so much, I have a question eti happ kweny 2 cups za unga vikombe vyangu ni 250 kwa viwili itakua 500, so nipinguze kdg maana yako umesema 400 kwa 2 cups ?
Dada mm na jaribu vyote unavo pika keki ww ila haziwi keki Yan nikianza kuandaa keki anakuwa mzur ila nikisha choma hainyambuki Yan Ina batana sjuw nakosea wap 😣
2 cups of flour
1/2 cup of cocoa
BP 2tsp
BS 1tsp
4 eggs
2cups of sugar
1/4cup of melted butter
1cup of yoghurt
2TBSP of vanilla
im impressed with the results, i tried yesterday ur recipe thnk yu so much for the fst time i got it right with choco cake😋
Ubarikiwe Sana .nimejaribu umetoka ivoivo .Mungu akubariki mnooo
Jaman nimejaribu Jana kutengeneza kwa recipe hii hii na imetoka 🔥🔥🔥 hatar nzuri imechambuka mnooo ahsante sana ubarikiwe
Shukran mziwanda nimejifunza.
Mimi nina oven ya gas lkn sijui kuitumia jamni
Mashaallah wewe ni mwalimu wangu kabisa yani allah akueke maisha yenye kheri nawe mpnz
Amiin Yaa Rabbi 🙏🙏🙏
Asante sana kwa mafunzo yako.
Sikuwa najua kupika keki bt kupitia kwako nimeaza kupika.. nitajalibu hii pia
Samahani umetumia sufuria ya inch ngapi😊
hi samahan nimefatilia sana cake recipe zako kuna zenye maziwa na zisizo na maziwa zipi ni nzuri kibiasharaa
Zote ni nzuri tu
Ubarikiwe sana dada angu hakika tunapata kujifunza mengi kupitia wewe dada leo nimejaribu tena hii ni mara ya pili nimejaribu tena lakin keki yangu inapasuka juu sijajua tatizo ni nini dada angu naomba unisaidie hapo
Asante sana kwa kufundisha vizuri
🙏🙏
Lazima sukar ya Inga,na ni ipi,na prestige kipimo gani umetumia,na yoghurt Kia's gani
Delicious 😋 Thank you for Sharing I will definitely try this! 🤗💖💖💖
Ahsante sana, ni lazima yogat?
Mungu akubariki Kwa mafunzo yako
Tafadhali mm nime nunuwa Unga wa cake bado2 kuchaganya unawenza niadikiya maelezo
Dada tunaomba na msaada wa red velvet cake
Ahsante,nahitaji sukari ya unga
Nauliza mm na tumia whipping powder kutengeneza crea lkn Vbaada ya muda ina melt
Dear kma nataka nifanye nusu yke nitaweka unga Gram 200 Mayai 2 sukarigrm 200 yai je??
Sis, thank you so much, I have a question eti happ kweny 2 cups za unga vikombe vyangu ni 250 kwa viwili itakua 500, so nipinguze kdg maana yako umesema 400 kwa 2 cups ?
Kadiria tu mpenzi kwenye nusu punguza unga ubaki kdg, ila kwenye cake mzani muhimu
delicious 😋 can we substitute yoghurt with milk,???
Yes u can 😋
Naomba nba yako nijiunge
Asaante mungu akubarikie 🤗😋
Amiin
Allah akupe umri mrefu my dear unatupa uhuzi bila ya choyo ninajifunza mengi kutoka kwako much love
🙏
@@mziwandabakers8297 hali yako,naomba unifahamishe utumiaji wa vipimo vya vikombe na mzani was digito
Lazima utumie maziwa ya youghrt au maziwa yoyote tu?
Tunaomba uwe unatuwekea vipimo kwenye description box
Hongera Sana dada kwa kaxi nzuri
Madamu naomba kwenye keki utufundishe jinsi ya kujua unapotengeneza mchanganyiko unatakiwa uweke kwenye tin ya inch ngapi mm pananichanganya
Mashaa Allah mabati umenunuwa wapi??
Tunafundi wetu anachonga
Sasa km sina izo cup za kupimia kwa mzani napima gram ngapi
Nzuri sanaaa
🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒
😘
Masahallah ubalikiwe mamy
Nakukubaki Sana mziwanda
😘😘
Ni lazima utumie sukar ya unga huwez tumia sukar nyeup ya kawaida
Yafaa pia ni nzuri
Unaweza tumia icing km sukari ya unga??? Na yogurt n ip?
Unaweza kutumia ila sukari itapendeza zaidi
Yogurt ni lazma? Mbadala wake nn? Mana kuna wengine hawapend
My dada nauliza hivi huwez kutumia sukar ya kawaida na pia yougt hyo haiwez kuwa yadukan?
Unaweza kutumia bila wasi,na yoghurt pia zote zinafaa
Samahani umetumia tin inc ngapi my dear
Kazi nzuri Mashaallah... Mbona siku hizi hutuwekei ingredients kwa description box?
Watu wanaiba video zangu wanatumia kufundishia watu kwa kulipisha asa sitaki kuwafanyia wepesi ...pitia video Ingredients nimeweka ndani
Hi baking soda na baking powder is it not the same thing what's the difference
Soda and powder that's the difference iko tayari na kazi pia zinatofautiana
Pls dear naomba namb yako nkuchek unifundishe
Mpendwa unga wa ngano upi ni mzuri kwa kupikia cake
Ppf mzuri sana
Thanks 🙏 dear
Umeandika wapi Sasa
unaweza tumia sukar y kawaida?
Naam unaweza
Sukari ya unga ndo icing sugar au
tunaomba utufundishe eggless cake dear,
Sawa dear
Cocoa gani nzuri kwa chocolate cake?
Primo dear
Mziwanda Bakers inapatikana wapi
Tabora
Mziwanda huna darasa la cupcakes pls nahitaji kujifunza kwako
Yapo madarasa dear
Nice
Cocoa powder huwa naiona chungu aua inabidi kufanyeje ili uchungu upungue
Ndio maana tunazidisha sukari dear
what's the temp in centigrade for a electric oven?
175°c
Naomba kuuliza sukari ya ungaa ni sukari inasagwa au ni icing sugar
Inasagwa
Asante Sana🙏
Tin inch ngap??
6" hizo
why youghurt?
Mashaallah
Kama sukari yako haijasagwa,kipimo gani itakuwa
400g
Thaanx
Asante
Dada mm na jaribu vyote unavo pika keki ww ila haziwi keki Yan nikianza kuandaa keki anakuwa mzur ila nikisha choma hainyambuki Yan Ina batana sjuw nakosea wap 😣
Zingatia ukorogaji wako dear na pole pia fuatilia moto huenda mkali sana
@@mziwandabakers8297 shukran nitajaribu Ten Inshallah
Keki zangu nikipika hazipandi juu kama wewe sijui nakosea wapi.
Zingatia kanuni za keki dear
Mama yangu😂😂😂😂
😂😂😂😂 hapo sasa
Balaaaa hizi 😂😂😂😂
kitchen daaah nimecheka hiyo mama yanguu
😂😂😂Dangaa
Naomba namba yako unielekeze
Ni lazima kuweka yogat?
Mashaallah